16/02/2025
BAWASIRI NA P.I.D
Bawasiri ni kuvimba kwa mishiap ya damu iliyopo ndani ya au katika eneo linalozunguka njia ya haja kubwa.
Ni hali ambayo inaweza kusabanisha nyama kujitokeza nje.Hivo bawasiri inaweza kuwa ya ndani au nje. ugonjwa huu unaweza kusabisha miwasho, maumivu na danu au k**asi kutoka wakati wakati wa kujisaidia haja kubwa ingawa wakati mwingine hauna dalili.
madhara ya bawasiri ni pamoja na damu kutoka wakati wa kujisaidia, damu kaganda ndani ya mishipa na maumivu.kansa ya utumbo, kupungukiwa na damu.
Sabubu zinazopelekea kupatwa na bawasiri ni pamoja na.
Uzito mkubwa wa mwili kupita kiasi
Ujauzito
kubeba vitu vizito mara kwa mara
kuhara kwa muda mrefu
kupatwa na choo kigumu ama kukosa kabisamagonjwa yanayoathiri njia ya haja kubwa.
kuketi kwa muda mrefu.
karibu nikupatie matibabu yatakayokusaidia kuondokana na hii changamoto kubwa madhara yake ni mabaya saba kwa baadae
ambapo matibabu yake yanakuwa ni dose siku 21 unakunywa na kupaka tu matokeo unaanza kuona siku ya 3 hii hata k**a umeshafanyia upasuaji inakutibu kabisa bila shida
kituo cha tiba kinapatikana moshi kiborloni karibu na kituo cha polisi
PIA KWA WALE WANAWAKE WANAOSUMBUKIWA NA SHIDA YA PID SUGU UMESHINDWA KUPATA UJAUZITO TIBA ZIPO.
fika kituo cha tiba
piga simu 0754608922
whatsap 0754608922
Addiction treatment centre