26/07/2025
Niwakumbushe pia k**a hauli nyama utapata ganzi, mwili kuwaka moto, stress, depression, confusion. Kwa sababu unapata upungufu mkubwa wa B vitamin, na ukizingatia Vitamin B1,B6, B12 ni chakula cha mishipa. Na Bila B12 vitamin nyingine zinakuwa ngumu kuwa Absorped. Na B12 Inapatikana kwenye red meat. K**a hali nyama lazima atumie supplements kupata B vitamin.
Other wise nyama huliwa na herbs, vegetables, kupunguza inflammation. By the way, hata vitabu vya dini vinzungumzia umuhimu wa nyama ndio maana kuna sherehe za kuchinja. Ndio maana Ibrahim Alitoa dhabihu za kuchija. Akaweka mdalasini n.k.
*_Dr Elizabeth H. Lema ND_*
*+255 713 306 263*