The desert root products

The desert root products Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from The desert root products, Doctor, Kinondoni.

❗️Unapona kabisa kwa 10,000 tu✅️

🔥vidonda vya tumbo🔥
🫦u.t.i sugu🦋
😋heshima ya ndoa😍
💕kubeba ujauzito💗
🤒maumivu ya chango🤔
☠️hedhi kurukaruka💀
💣mimba kutoka💥
🚸NI KWELI HATUDANGANYI☎️0616854995/0784925998 ukiona simu haipokelewi acha ujumbe

⚠️⚠️ TANGAZO ⚠️⚠️😪Huwezi amini kuna mpumbavu unateseka na maradhi mepesi ninayoyaweza mimi😳😷mimi sio mganga wa kienyeji🤪...
26/07/2025

⚠️⚠️ TANGAZO ⚠️⚠️

😪Huwezi amini kuna mpumbavu unateseka na maradhi mepesi ninayoyaweza mimi😳

😷mimi sio mganga wa kienyeji🤪

🤗mimi ni mkatoliki safii,,naamini ktk Utatu mtakatifu😋

☠️umezunguka sana nakupoteza gharama kibao wakati mimi uwezo wakukusaidia ninao tena kwa ela kidunchu tu na hata k**a tatizo lako siliwezi nakwambia ukweli maana hata wanaoenda INDIA sio wote wanapona🔥

❗️TATIZO DHARAU😏

💥eti tapeli,,nyooo🙄kwa ela ipi😏icho ki elufuu kumi chako🫩hata bando ya siku tu hakinitoshi😁

🤪sasa chagua 1,,unipe hicho ki elufuu kumi chako nikusaidie au ufunge ndoa na matatizo yako🫣

💀mficha maradhi kifo humuumbua☠️

⚠️Mungu akitaka kumtumia mtu hamtongozi,,,sasa we bakia tu ukisema hakuna Mchagga muuza dawa😂wakati wenzio wanapona huku🤗

😳Aya watu wangu mlionielewa twendeni👇

❗️Unapona kabisa kwa 10,000 tu✅️

🔥vidonda vya tumbo🔥
🫦u.t.i sugu🦋
😋heshima ya ndoa😍
💕kubeba ujauzito💗
🤒maumivu ya chango🤔
☠️hedhi kurukaruka💀
💣mimba kutoka💥
🚸NI KWELI HATUDANGANYI🪺

☎️0616854995/0784925998
Ukiona simu haipokelewi tuma SMS

26/07/2025

❗KWANINI UNAPATA UTI SUGU⁉️

♥️♥️♥️UTI*(Urinary Track Infection)

📌ni maambukizi kwenye njia ya mkojo. Mtu anakua na UTI sugu kwa sababu ya kuugua UTI mara kwa mara.

♨️♨️♨️UTI SUGU♨️♨️♨️

✍Ni mkusanyiko wa maambukizi aidha ya fangasi, virusi au bacteria ambayo yanatokea kwenye njia ya mkojo ya mwanamke au mwanaume.

🌺🌺🌺DALILI ZA UTI🌺🌺🌺

⭕Kupata maumivu makali
wakati wa kukojoa
⭕Kujisikia hali ya
kuchomachoma kwenye
kibofu wakati wa kukojoa
⭕Kujisikia kukojoa mara
kwa mara au kupata
mkojo kidogo sana
⭕Kupata maumivu ya
misuli
⭕Maumivu ya tumbo
la chini
⭕Mkojo kuwa mwekundu au
pink(dalili ya damu
kwenye mkojo)
⭕Mkojo kutoa harufu kali
⭕Maumivu ya nyonga
kwa mwanamke
⭕Wakati mwingine
kushindwa kujizuia mkojo
kutoka

🚷🚷🚷MADHARA YA UTI SUGU🚷🚷🚷

📌Figo kushindwa kufanya
kazi(kidney failure)
📌Kupata magonjwa ya
kibofu na kupelekea
mgonjwa kukojoa kwa
mirija
📌Maumivu makali ya
kiuno, mgongo na nyonga
📌Kupoteza hamu ya tendo
la ndoa
📌Kuharibu homoni
(hormonal imbalance)
📌Mimba kuharibika
📌Kushindwa kubeba mimba

☘☘☘SULUHISHO☘☘☘

✍Ipo tiba asili ya virutubisho ya kutibu UTI sugu na utaelekezwa njia za kujikinga usiugue UTI mara kwa mara tuma ujumbe kwenda whatsapp namba 0784925998 au piga simu usaidiwe mapema.

26/07/2025
25/07/2025

🔥MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA🔥

🫦Tendo la kujamiiana linapaswa kuwa tendo la kuvutia na bila shaka utajiuliza maswali mengi iwapo maumivu yataambatana na tendo hilo.

🦋Zifuatazo ni sababu zinazoweza kusababisha maumivu wakati wa tendo la ndoa👇👇👇

💥Vaginismus💥

🫦Hili ni neno la kitaalamu linalomaanisha kukaza kwa misuli ya uke kusiko kwa hiari wakati wa tendo la ndoa.

💋Hii hutokea pale ambapo mwanamke anakua na hofu ya kuumizwa wakati wa kuingiliwa.

💥Maambukizi katika uke💥

💋Hii hutokea mara kwa mara pale ambapo uke unashambuliwa na vijidudu k**a vile fangasi.

🫦Hatimaye sehemu iliyo na maambukizi huweza kuwa na maumivu wakati wa kujamiiana.

💥Uvimbe katika mji wa mimba💥

💋Iwapo kuna uvimbe katika mji wa mimba (Uterus) k**a vile uvimbe unaofahamika kitaalamu k**a fibroids, huweza kusababisha maumivu wakati wa kujamiiana hasa pale mwanamke anapoingiliwa kwa nguvu (deep penentration).

💥Ukavu katika uke💥

💋Hii hutokea iwapo mwanamke hajaandaliwa vizuri kabla ya kuingiliwa hivyo hukosa msisimko wa kutosha kuzalisha majimaji yanayolainisha uke.

🫦Pia huweza kusababishwa na hofu wakati wa kujamiiana hali inayopelekea mwanamke kutoshiriki kikamilifu na kukosa msisimko.

💥Hali ya kukoma kwa hedhi💥

🫦husababisha ukavu ukeni kutokana na kukosekana kwa homoni mbalimbali.

💥Majeraha💥

💋Mwanamke anaweza kuhisi maumivu wakati wa kujamiiana iwapo bado hajapona majeraha yatokanayo na kujifungua, upasuaji au ubakaji.

❗️Maumivu wakati wa kujamiiana huweza kutibiwa kutegemea chanzo cha tatizo.

⚠️Mwanamke anapaswa kusubiri walau wiki sita baada ya kujifungua kabla ya kujamiiana tena.
📌Iwapo shida ni ukavu ukeni, ni vema kutumia vilainishi visivyo na kemikali (water-based lubricants).

Iwapo ukavu unasababishwa na ukomo wa hedhi, ni vema kuwasiliana na daktari akuandikie dawa za estrojeni au dawa za tibalishee.

✍️Ni vizuri pia kuondoa mawazo ya kujilaumu (guilt) au hisia za matukio mabaya ya nyuma k**a ubakaji.

⚠️Maumivu yakiambatana na dalili k**a kutoka damu, hedhi zisizoeleweka, ute usio wa kawaida au kukaza misuli ya uke kusiko kwa hiari ni vema kumtembelea daktari kwa msaada zaidi.

25/07/2025

💋CHANZO CHA UKE KUWA MKAVU💋

🫦Uke mkavu; ni tatizo ambalo husababishwa na upungufu wa homoni au kutokua na uwiano wa homoni ya estrogen ambayo upelekea misuli ya uke kusinyaa na kukosa vilainishi.

✍️ Kwa kawaida uke unatakiwa kuwa na Ute wa wastani ambao hufanya uke kubana kuleta joto na Raha ya tendo.
Ute huo ukizidi Sana au kua pungufu Sana nalo ni tatizo.

💀VISABABISHI VYA UKE MKAVU💀

⚠️Utumiaji mafuta yenye kemikali (cosmetics)

⚠️Magonjwa ya zinaa na fangasi

⚠️Matumizi ya sabuni za antibiotics kwa kuoshea uke

⚠️Upungufu wa homoni

⚠️Uoga na wasiwasi

💣DALILI ZA UKE MKAVU💣

🔥Maumivu wakati wa tendo la ndoa

🔥Kupungua hamu ya tendo la ndoa

🔥Kua na ngozi kavu

🔥Maumivu ya mifupa na viungo

🔥Msongo wa mawazo

🔥Mzunguko wa hedhi Kubadilika badilika

🔥Kutokufurahia tendo la ndoa kutokana na Maumivu.

21/07/2025

✳️FAHAMU KUHUSU CHOLESTEROL✳️

💥Cholesterol ni mafuta ambayo yanapatikana katika mwili na yana jukumu muhimu katika utendaji wa seli. Hata hivyo, kiwango kikubwa cha cholesterol, hasa aina ya "cholesterol mbaya" inayojulikana k**a LDL, kinaweza kuwa hatari kwa afya na kusababisha magonjwa ya moyo, kiharusi, na matatizo ya mishipa ya damu. Cholesterol mbaya inapojikusanya kwenye kuta za mishipa ya damu, inaweza kupunguza mtiririko wa damu na kuathiri afya ya moyo na ubongo. Kutambua dalili za cholesterol mwilini mapema ni muhimu ili kuchukua hatua za haraka na kuboresha afya. Makala hii inachambua kwa kina dalili za cholesterol mwilini, mambo muhimu ya kuzingatia, pamoja na ushauri wa kitaalamu kwa ajili ya kujitunza na kuimarisha afya.

🔥🔥Dalili Kuu za Cholesterol Mwilini🔥🔥

☠️Maumivu ya Kifua☠️

✍️Moja ya dalili kuu za cholesterol mwilini ni maumivu ya kifua. Maumivu haya mara nyingi hutokea kwa sababu mishipa ya damu inayosambaza damu kwenye moyo imezibwa au imepungua, hali inayojulikana k**a angina. Maumivu ya kifua yanaweza kuwa ya kubana, kuhisi uzito, au kuwa na hisia za kuchoma. Maumivu haya yanaweza kuongezeka wakati wa mazoezi au wakati wa shughuli zinazohitaji nguvu nyingi. Hii ni dalili muhimu ya kuzingatia kwa sababu inaweza kuwa ishara ya ugonjwa wa moyo unaosababishwa na cholesterol nyingi mwilini.

☠️ Kupumua Kwa Shida au Kukosa Hewa☠️

✍️Watu wenye kiwango kikubwa cha cholesterol mwilini wanaweza kuhisi kupumua kwa shida. Hii hutokea kwa sababu mtiririko wa damu kwenda kwenye moyo unakuwa umepungua, hali inayosababisha moyo kufanya kazi kwa bidii zaidi ili kusambaza oksijeni mwilini. Wakati moyo unapata changamoto kusukuma damu kwa kawaida, mtu anaweza kuhisi kukosa hewa au kuwa na pumzi fupi, hasa wakati wa mazoezi au shughuli nzito.

☠️Maumivu ya Mguu au Kuganda kwa Miguu☠️

✍️Cholesterol inapojikusanya mwilini, inaweza kuathiri mishipa ya damu kwenye miguu, hali inayosababisha maumivu au hisia ya kufa ganzi. Maumivu haya yanaweza kuwa makali wakati wa kutembea au wakati wa kusimama kwa muda mrefu. Hii ni kwa sababu mishipa ya damu inaziba na kuzuia mtiririko wa damu kwenda kwenye miguu. Hali hii inajulikana k**a peripheral artery disease (PAD) na inaweza kuwa dalili ya cholesterol nyingi mwilini.

☠️Kizunguzungu na Kuhisi K**a Kupoteza Kumbukumbu☠️

✍️Kiwango kikubwa cha cholesterol mwilini kinaweza kuathiri mtiririko wa damu kwenda kwenye ubongo, hali inayosababisha kizunguzungu au kutoona vizuri. Kizunguzungu hutokea wakati ubongo unakosa oksijeni ya kutosha, jambo ambalo linaweza kusababisha changamoto ya muda mfupi katika kuona au kusababisha kushindwa kufikiri vizuri. Dalili hii ni ya hatari, hasa kwa watu wenye historia ya matatizo ya moyo au shinikizo la damu.

☠️ Kuwasha na Kuganda kwa Ngozi ya Miguuni au Mikononi☠️

✍️Cholesterol inapozidi mwilini, inaweza kuathiri mishipa ya damu na kusababisha damu kutiririka kwa shida kwenye mikono na miguu. Hii inaweza kusababisha ngozi ya miguu au mikono kuhisi kuwasha, kuganda, au hata kuwa na rangi tofauti. Kuwasha kwa ngozi kwenye maeneo haya inaweza kuashiria kuwa mishipa ya damu haipitishi damu kwa kiwango kinachohitajika, na hali hii inaweza kuwa ishara ya cholesterol nyingi mwilini.

☠️Madoa ya Njano au Nundu kwenye Ngozi☠️

✍️Dalili nyingine ya cholesterol nyingi mwilini ni madoa ya njano au nundu ndogo kwenye ngozi, hasa karibu na macho, viwiko, na magoti. Madoa haya yanaweza kuwa ishara ya kiwango kikubwa cha mafuta mwilini, hasa kwa watu wenye hali ya xanthelasma (madoa ya mafuta). Madoa haya hujitokeza kwa sababu cholesterol nyingi inakusanywa kwenye ngozi. Ingawa hayana maumivu, yanaweza kuashiria hatari kubwa ya matatizo ya moyo.

☠️Kuhisi Uchovu na Kukosa Nguvu☠️

✍️Cholesterol nyingi mwilini inaweza kusababisha mwili kuhisi uchovu na kukosa nguvu. Hii hutokea kwa sababu mishipa ya damu iliyozibwa husababisha mwili kupata kiwango kidogo cha oksijeni, hali inayochangia mwili kuchoka. Uchovu huu unaweza kuwa wa kudumu, hata baada ya kupumzika, na unaweza kuathiri utendaji wa kazi na shughuli za kila siku. Ni muhimu kwa watu wenye dalili hii kuchunguza viwango vya cholesterol ili kuhakikisha afya bora.

☠️Shinikizo la Damu Kuongezeka☠️

✍️Cholesterol nyingi mwilini inaweza kusababisha shinikizo la damu kuongezeka kwa sababu mishipa ya damu inajaa mafuta na kufungika, hali inayosababisha moyo kufanya kazi kwa nguvu zaidi ili kusukuma damu. Watu wenye shinikizo la damu la juu wanapaswa kuchunguza viwango vya cholesterol mara kwa mara, kwani shinikizo la damu linaweza kusababisha matatizo ya moyo ikiwa halitadhibitiwa mapema.

🔥Dalili Nyinginezo za Cholesterol Mwilini🔥

💀Kuhisi Maumivu ya Kiuno au Mgongo💀

✍️Mishipa ya damu kwenye mgongo inaweza kuzibwa, hali inayosababisha maumivu.

💀Kupata Homa Kidogo💀

✍️Hii inaweza kuwa ishara ya mwili kupambana na msongamano wa mafuta mwilini.

💀Kupoteza Kumbukumbu💀

✍️Cholesterol nyingi inaweza kuathiri ubongo na kusababisha tatizo la kumbukumbu.

💀Kuhisi Maumivu kwenye Mabega au Mikono

✍️ Hii ni dalili ya kawaida kwa wale wenye matatizo ya mishipa.

💀Kuhisi Maumivu Wakati wa Kupumua Kwa Kina💀

✍️Cholesterol nyingi inaweza kuathiri mfumo wa upumuaji.

✳️Mambo Muhimu ya Kuzingatia✳️

⚠️Kufanya Uchunguzi wa Mara kwa Mara wa Cholesterol⚠️

✍️Ni muhimu kufanya uchunguzi wa cholesterol mara kwa mara, hasa ikiwa kuna historia ya familia ya matatizo ya moyo. Uchunguzi wa cholesterol unasaidia kugundua kiwango cha cholesterol mwilini na kuchukua hatua mapema kabla ya hali kuwa mbaya zaidi. Uchunguzi huu unafanyika kwa kuchukua sampuli ya damu na kuangalia viwango vya LDL, HDL, na cholesterol jumla mwilini.

⚠️Kudhibiti Uzito na Kudumisha Afya ya Moyo⚠️

✍️ Uzito wa mwili una athari kubwa kwa viwango vya cholesterol. Watu wenye uzito mkubwa au wenye unene uliopitiliza wako kwenye hatari kubwa ya kuwa na cholesterol nyingi mwilini. Kudhibiti uzito kupitia lishe bora na mazoezi husaidia kupunguza cholesterol na kuimarisha afya ya moyo. Mazoezi k**a vile kutembea, kukimbia, na kuendesha baiskeli yanaweza kusaidia kupunguza viwango vya cholesterol.

⚠️Kuepuka Vyakula Vyenye Mafuta Mengi na Chumvi⚠️

✍️Vyakula vyenye mafuta mengi, k**a vile nyama nyekundu, vyakula vya kukaangwa, na vyakula vya kusindikwa, vinaweza kuchangia cholesterol nyingi mwilini. Pia, chumvi nyingi husababisha shinikizo la damu na inaweza kuongeza hatari ya magonjwa ya moyo. Lishe bora yenye mboga, matunda, nafaka nzima, na mafuta yenye afya k**a vile mafuta ya zeituni inasaidia kupunguza cholesterol.

⚠️Kupunguza Msongo wa Mawazo na Kupumzika⚠️

✍️Msongo wa mawazo unaathiri afya ya moyo na unaweza kuongeza viwango vya cholesterol mwilini. Ni muhimu kupunguza msongo wa mawazo kupitia njia k**a vile yoga, kupumua kwa kina, na kufanya shughuli zinazokuondoa mawazo. Kupumzika na kulala vya kutosha pia husaidia mwili kujirekebisha na kudhibiti viwango vya cholesterol.

🌿Mapendekezo na Ushauri wa Kitaalamu🌿

🌿Kutumia Dawa kwa Ushauri wa Daktari Ikiwa Inahitajika: Kwa wale wenye viwango vya juu sana vya cholesterol, daktari anaweza kupendekeza dawa za kupunguza cholesterol k**a vile statins. Dawa hizi husaidia kupunguza cholesterol mbaya na kudhibiti hatari ya magonjwa ya moyo. Ni muhimu kufuata maagizo ya daktari na kuhakikisha kuwa dawa zinafanya kazi ipasavyo kwa kuchunguza viwango vya cholesterol mara kwa mara.

🏃Kufanya Mazoezi ya Mara kwa Mara kwa Afya Bora ya Moyo: Mazoezi husaidia kuimarisha afya ya moyo na kupunguza cholesterol. Mazoezi k**a vile aerobics, yoga, na mazoezi ya mipasho husaidia kuboresha mtiririko wa damu mwilini na kupunguza uzito. Watu wanashauriwa kufanya mazoezi kwa angalau dakika 30 kila siku kwa afya bora ya moyo.

🏝Kula Lishe Yenye Mafuta Yenye Afya: Mafuta yenye afya k**a vile mafuta ya zeituni, mafuta ya samaki, na mafuta ya mbegu za chia yanaweza kusaidia kupunguza cholesterol mbaya mwilini. Mafuta haya yana asidi za mafuta aina ya omega-3 ambazo zinaweza kusaidia kudhibiti viwango vya cholesterol na kuboresha afya ya moyo.

💥Kunywa Maji ya Kutosha na Kuepuka Pombe: Maji ni muhimu kwa mtiririko mzuri wa damu mwilini. Kunywa maji ya kutosha husaidia mwili kuondoa sumu na kudhibiti afya ya moyo. Pombe, kwa upande mwingine, inaweza kuongeza viwango vya cholesterol, hivyo ni vyema kuiepuka au kuinywa kwa kiasi kidogo kwa afya bora ya moyo.
The desert root products

21/07/2025

❗️ UNAUMWA NA MAGOTI⁉️

❗️HUSHINDWA KUKUNJA AU KUCHUCHUMAA⁉️

📌Hii inaweza kuwa ishara ya matatizo ya viungo au mifupa. Fuatilia hapa chini kujua sababu kuu na nini cha kufanya 🦵⬇️

🔍 SABABU KUU ZA KUUMWA MAGOTI:

1️⃣ Osteoarthritis

🦴 Uharibifu wa gegedu kwenye kifundo cha goti
📌 Dalili: Maumivu, kuvimba, ugumu wa kukunja goti
🧓 Huathiri zaidi wazee, wenye uzito mkubwa

2️⃣ Rheumatoid Arthritis

🛡️ Kinga ya mwili kushambulia viungo
📌 Dalili: Maumivu, wekundu, joto, ugumu wa goti asubuhi
🔁 Huathiri magoti yote mawili

3️⃣ Meniscus Tear

✂️ Kupasuka kwa gegedu ya goti
📌 Dalili: Maumivu makali, kushindwa kukunja, kuganda kwa goti

4️⃣ Majeraha ya Mishipa ya Goti (ACL, PCL n.k.)

🏃‍♂️ Hasa kwa wanamichezo
📌 Dalili: Uvimbe, maumivu ya ghafla, kushindwa kuchuchumaa

5️⃣ Bursitis

💧 Kuvimba kwa mfuko wa kiowevu cha goti
📌 Dalili: Maumivu mbele ya goti, wekundu na joto

6️⃣ Gout (Kiungulia)

🧪 Uric acid nyingi kwenye damu
📌 Dalili: Maumivu ya ghafla usiku, uvimbe kwenye goti

7️⃣ Chondromalacia Patella

🔧 Kuchakaa kwa gegedu nyuma ya kapu la goti
📌 Huathiri vijana na wanawake
📍 Dalili: Maumivu unapopanda ngazi au kukaa muda mrefu

🧪 VIPIMO VYA KUCHUNGUZA

📸 X-ray – kuangalia mifupa

💡 MRI – kuchunguza meniscus/mishipa

🩻 Ultrasound – kuona uvimbe

🧬 Damu – kuthibitisha gout au arthritis

💊 MATIBABU NA USHAURI

✔️ Tembelea daktari bingwa wa mifupa au viungo
✔️ Epuka mizigo mizito na kupiga magoti mara kwa mara
✔️ Tumia dawa kwa ushauri wa daktari
✔️ Fanya mazoezi ya physiotherapy
✔️ Upasuaji kwa majeraha makubwa

21/07/2025

💥TATIZO LA UTI WA MGONGO NA MAUMIVU YA KIUNO💥

✅Maumivu ya kiuno ni hali ya maumivu kwenye mgongo wa chini (lumbar). Huathiri mtu kwa muda mfupi au kuwa ya muda mrefu.

🦋Visababishi Vikuu🦋

✳️ Degenerative Disc Disease – Diski za mgongo kuzeeka

✳️ Herniated Disc – Diski kutoka nje na kukandamiza neva
Sciatica – Maumivu yanayosambaa hadi mguuni

✳️ Muscle Strain – Misuli kuvutika au kuumia

✳️ Spondylosis – Kuvimba kwa vifundo vya mgongo

✳️ Spinal Stenosis – Njia ya uti wa mgongo kuwa nyembamba

✳️ Scoliosis – Mgongo kupinda isivyo kawaida

🏝 Dalili🏝

💀Maumivu ya kiuno na miguu

💀 Maumivu yanayoenea mguu mmoja (sciatica)

💀 Kushindwa kusimama/kukaa muda mrefu

💀 Maumivu yanapoinama au kunyanyua vitu

🌿 Kinga na Tahadhari🌿

✅ Fanya mazoezi ya mgongo mara kwa mara
✅ Epuka kunyanyua mizigo vibaya
✅ Tumia godoro bora
✅ Dhibiti uzito wako
✅ Kaa/kusimama kwa mkao sahihi

⚠️ Usipochukua hatua mapema, maumivu haya yanaweza kuwa sugu na kuathiri maisha yako ya kila siku.

21/07/2025

❗️ UNASUMBULIWA NA MAUMIVU YA VIUNGO⁉️

👉🏾Kusagika kwa maungio ya mifupa (Osteoarthritis) ni hali inayosababishwa na kuchakaa kwa cartilage, na kusababisha maumivu, kuvimba na kushindwa kusogeza vizuri.

🏝Sababu kuu ni pamoja na👇👇

☠️Kuzeeka

☠️Uzito mkubwa

☠️Majeraha ya zamani

☠️Kazi nzito au kurudia-rudia

☠️Kurithi

☠️Magonjwa ya kinga (mf. Rheumatoid Arthritis)


🦋Dalili kuu🦋

💀Maumivu ya viungo

💀Uvivu wa maungio asubuhi

💀Kuvimba na kishindo unaposogeza kiungo

💀Kupungua kwa uwezo wa kutembea au kufanya kazi

21/07/2025

☠️MIGUU/MIKONO KUFA GANZI☠️

📌Matatizo ya miguu/mikono kuhisi ganzi au maumivu husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa Neva za pembezoni mwa mwili (peripheral neuropathy), hivyo kusababisha kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika eneo husika (miguuni au mikononi).

🦋DALILI ZA TATIZO🦋

🔥Mtu kuhisi miguu/mikono kufa ganzi

🔥Maumivu au kuhisi k**a vile moto unawaka miguuni au mikononi

🔥Kuhisi k**a vile umevaa soksi au gloves wakati hujavaa

🔥Kuhisi k**a vile kuna kitu chenye ncha kali kinakuchoma miguuni au kwenye vidole

❗️HIZI NDIZO SABABU ZA KUDHOOFIKA KWA NEVA HIZO

💥Kupungua kwa virutubisho mwilini. Hapa tunamaanisha mwili kutokuwa na Vitamin za kutosha hasa mkusanyiko wa Vitamini B Complex

💥Matumizi ya dawa fulani kwa muda mrefu mfano TB na ARV

💥Uzito mkubwa wa mwili. Hii hupelekea maumbile ya viungo vya mwili mfano umbile la uti wa mgongo huonekana tofauti na ilivyo kawaida. Kubadilika huku husababisha baadhi ya Neva katika uti wa mgongo zikandamizwe zaidi na misuli/uzito wa mwili na hivyo kusababisha Neva hizo zishindwe kufanya kazi vizuri, matokeo yake unaanza kuhisi maumivu au miguu/mikono kufa ganzi.

💥ugonjwa wa kisukari

💥shinikizo la damu

21/07/2025

🔥🔥UVIMBE KWENYE KIZAZI🔥🔥

🚸FAHAMU SABABU, DALILI NA NAMNA YA KUUTIBU BILA UPASUAJI

🔑Uvimbe kwenye kizazi (uterus) ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi, hasa walio katika umri wa kuzaa. Uvimbe huu unaweza kuonekana kwa aina mbalimbali, zikiwemo:

💥FIBROIDS (Myoma)💥
(Uvimbe usio wa kansa unaotokea kwenye misuli ya kizazi)

✍️Sababu zake ni pamoja na👇👇👇

🦋Mabadiliko ya homoni (estrogen na progesterone)

🦋Historia ya familia

🦋Uzito kupita kiasi

🦋Umri wa miaka 30–50

✳️Dalili✳️

✅️Hedhi nzito au ya muda mrefu

✅️Maumivu chini ya kitovu

✅️Tumbo kujaa au kuvimba

✅️Maumivu wakati wa tendo la ndoa

✅️Kukojoa mara kwa mara

✅️Ugumu wa kupata ujauzito

💥CYSTS 💥
(Uvimbe wenye maji kwenye ovari)

✳️Dalili zake✳️

✅️Maumivu upande mmoja wa tumbo

✅️Tumbo kuvimba

✅️Mzunguko wa hedhi kubadilika

✅️Maumivu wakati wa tendo la ndoa



💥ENDOMETRIOSIS💥
(Tishu zinazofanana na za ndani ya kizazi hukua nje ya kizazi)

✳️Dalili kuu✳️

✅️Maumivu makali wakati wa hedhi

✅️Maumivu ya nyonga na mgongo

✅️Ugumba

💥SARATANI YA KIZAZI💥
(Uvimbe hatari unaoweza kuenea mwilini)

✳️Dalili za tahadhari✳️

✅️Damu isiyo ya kawaida (hasa baada ya kukoma hedhi)

✅️Maumivu ya nyonga au tumbo

✅️Uchovu mkubwa bila sababu

✅️Kupungua uzito ghafla

❗️USIOGOPE! UVIMBE UNA TIBA – BILA UPASUAJI

20/07/2025

💗SABABU ZA MAUMIVU YA KIUNO NA MGONGO KWA WANAWAKE💗

✍️Kuna sababu nyingi zinazofanya wanawake wengi wasumbuliwe na maumivu ya kiuno mara kwa mara hasa wakati wa hedhi na kuna wengine huugua kwa muda mrefu zaidi ya miezi mitano. Zipo sababu nyingi za kuzuka kwa maumivu haya k**a vile kuwa na matatizo kwenye via vya uzazi, kibofu cha mkojo, utumbo mkubwa au misuli ya nyonga kuwa na tatizo. Maumivu yanaweza kuwa yanaendana na mzunguko wa hedhi au la, mara nyingi hujitokeza chini ya kitovu na kiunoni.

✍️Sababu ni nyingi ambazo zinaweza kusababisha mwanamke kupata maumivu haya ya kiuno kwa muda mrefu, k**a vile kuwa na maumbukizi ya ndani ya kiuno ya muda mrefu kitaalamu huitwa Chronic Pelvic Infection. Maambukizi haya hutokana na ugonjwa wa kifua kikuu (TB) na huweza kusababisha maumivu ya kiuno.

✍️Sababu nyingine ni kuwa na Endometriosis, hii ni hali ambayo seli za ukuta wa uzazi huota sehemu nyingine za uzazi na itokeapo hivyo basi mwanamke hujikuta akipata maumivu makali wakati wa hedhi au tendo la ndoa. Wengine hupata maambukizi ya muda mrefu ya shingo ya uzazi au mji wa uzazi nayo husababisha maumivu ya kiuno wakati wowote na hasa wakati wa kushiriki tendo la ndoa.

💋Wanawake wengine hupata maumivu hayo kutokana na mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi kitaalamu huitwa Ectopic Pregnancy. Baadhi ya wanawake hutokwa na uvimbe mdogomdogo wa kizazi ambao husababisha maumivu pale unapokua kwa haraka na kukandamiza viungo vingine. Maumivu yake huwa ya wakati, huja na kuacha.

💕Wengine hupata maumivu wakati wa kukojoa kutokana na kuwa na maambukizi kwenye njia ya mkojo ya muda mrefu huku baadhi yao wakipata maumivu baada ya kupata maambukizi ya via vya uzazi kitaalamu huitwa Pelvic Inflammatory Disease – PID au wale wenye maambukizi ya Kibofu cha Mkojo yaani Interstitial Cystitis.

💖Wale wenye hali hii hupata maumivu hasa chini ya kibofu cha mkojo ambayo hupungua pale anapokojoa na hujikuta akikojoa mara kwa mara na kushindwa kubana mkojo. Lakini pia ugonjwa wa Kidole Tumbo yaani Chronic Appendicitis huleta maumivu upande wa kulia chini ya kitovu ambayo huwa hayatulii na dawa za kutuliza maumivu na wapo wanaougua kiunoni chini ya kitovu kutokana na kuwa na Saratani ya Utumbo Mpana.

😍Wapo wanaougua kiuno kutokana na kusagika kwa mifupa kwenye maungio yaani Degenerative Joint Disease na hali hiyo inapotokea husababisha maumivu makali maeneo ya kiunoni hasa wakati wa kutembea.

🌿TIBA🌿

📌Matibabu ya kuumwa na kiuno hutegemea na kinachosababisha k**a tulivyoeleza hapo juu. Nenda kamuone daktari na akigundua tatizo baada ya uchunguzi atakupa dawa husika wewe mgonjwa, au dawa za majira k**a tatizo linahusiana na mzunguko wa hedhi au atakufanyia upasuaji na atakupa ushauri.

Address

Kinondoni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The desert root products posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to The desert root products:

Share

Category