Afya ya uzazi wanaume

Afya ya uzazi wanaume Tunatibu na kutatua changamoto za nguvu za kiume kwa virutubisholishe

Fuatilia kwa makini hatua kwa hatua ili kufahamu njia njia iliyomsaidia mume wangu kulegea kwa mlingoti kwa asilimia Mia...
03/10/2023

Fuatilia kwa makini hatua kwa hatua ili kufahamu njia njia iliyomsaidia mume wangu kulegea kwa mlingoti kwa asilimia Mia moja

Bofya link Learn More

03/10/2023
Sifa 5 za manii yenye uwezo wa kuzalisha vyema1. KIASI: Angalau mililita 22. IDADI: Angalau mbegu milioni 20 kwa kila mi...
02/02/2023

Sifa 5 za manii yenye uwezo wa kuzalisha vyema

1. KIASI: Angalau mililita 2

2. IDADI: Angalau mbegu milioni 20 kwa kila mililita

3. KUKOMAA: Angalau 30% ya mbegu ziwe zimekomaa

4. KUOGELEA: Angalau 50% ya mbegu ziweze kuogelea

5. UMBO: Angalau 50% ziwe na umbo la kawaida

✅Ukienda hospital ili ujue uwezo wa mbegu zako pima kipimo kinaitwa Semen (S***m) analysis.

Stress(Mkazo) hudhoofisha sana afya ya uzazi wa mwanaume kuanzia kwenye usawa wa vichocheo vya mwili,ushiriki wa tendo l...
02/02/2023

Stress(Mkazo) hudhoofisha sana afya ya uzazi wa mwanaume kuanzia kwenye usawa wa vichocheo vya mwili,ushiriki wa tendo la ndoa pamoja na uzalishaji wa mbegu bora za kiume.Ni ngumu kuondoa kabisa hali hii ,lakini ni vizuri walau kuepuka stress zisizo za lazima ili kulinda afya!

Utafiti: Kukosa usingizi wa kutosha hupelekea kupungua kwa Nguvu za Kiume▪️KUKOSA usingizi wa kutosha kunaweza kusababis...
02/02/2023

Utafiti: Kukosa usingizi wa kutosha hupelekea kupungua kwa Nguvu za Kiume

▪️KUKOSA usingizi wa kutosha kunaweza kusababisha kufifia kwa nguvu za kiume.

▪️Madaktari wanasema kuwa mwanaume anachukuliwa kuwa amepata usingizi wa kutosha usiku iwapo atalala kwa kati ya saa saba na tisa. Hata hivyo, watu wengi huwa hawazingatii muda huo kutokana na aina ya kazi wanazofanya au shughuli nyingine za kutafuta riziki.

▪️Utafiti uliofanyiwa wanaume 2,676 wa zaidi ya umri wa miaka 67 nchini Amerika, ulibaini kuwa wale ambao hukosa usingizi wa kutosha hukumbwa na changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume.

▪️“Utafiti umeonyesha kuwa kukosa usingizi wa kutosha kunapunguza uzalishaji wa mbegu za kiume kwa mwanaume na hilo linachangia kukosekana kwa hamu ya mapenzi na pia ashiki wakati wa tendo la ndoa.

▪️Utafiti huo huo unaonyesha pia kupungua kwa mbegu za kiume pia kunasababisha ukosefu wa usingizi,” ilisema ripoti ya utafiti huo.

▪️Ukosefu wa usingizi wa kutosha pia hupunguza kinga mwilini na kusababisha iwe rahisi mwanaume kukumbwa na magonjwa k**a shinikizo la damu, ugonjwa wa sukari na unene.

▪️“Asilimia 20 ya vijana kuna uwezekano mkubwa wamepungukiwa na mbegu za kiume kutokana na shughuli za kutafuta riziki,” akasema Mtaalamu Karen Rowan kutoka Uingereza kwenye jarida linalochapisha habari za afya, LiveScience.

▪️Kwa hivyo, wale ambao hulala chini ya muda wa saa sita utafiti umeonyesha wanaweza kuwatungisha wapenzi wao mimba kwa asilimia 31 huku wale waliolala kwa muda wa saa tisa zaidi wakiwa na asilimia 49.

NB:Najua ni ngumu kwa wanaume watafutaji kulala masaa saba mpaka tisa lakini ukipata muda jitahidi kulala.

Chanzo: Taifaleo.ke

Address

Kinondoni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya uzazi wanaume posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya ya uzazi wanaume:

Share