
29/01/2021
MAAJABU 10 NA UMUHIMU WA VITAMIN A INAYOPATIKANA KWENYE C24/7 AU COMPLETE
✍🏻Vitamini A ni kundi la vitamini inayochanganyika katika mafuta, na vitamini hii hujulikana pia k**a retinol, retinal,retinoic acid na beta-carotene; na katika yote hayo beta carotene ndiyo iliyo muhimu zaidi.
✍🏻Vitamini A hupatikana katika vyakula vitokanavyo na wanyama k**a, Mafuta ya samaki, maini,figo, maziwa,jibini na samaki. Maziwa yaliyoondolewa siagi huwa hayana vitamini A, labda k**a itaongezewa na wasindikaji.
✍🏻Kirutubisho hiki ni muhimu kwa ukuaji na afya bora, ambapo huimarisha kinga ya mwili na husaidia;
👉🏿Hukukinga na Magonjwa ya Uzeeni,
👉🏿Inaimarisha Mfumo wa Kinga ya mwili,
👉🏿inaimarisha afya ya mifupa,
👉🏿inaimarisha ukuaji na uzalishaji bora wa mbegu za Uzazi kwà mwanaume na mwanamke.
👉🏿afya ya macho na kuona vyema.
👉🏿kuepukana na upofu wa kuona usiku,
👉🏿kuona vyema nyakati za mchana.
👉🏿huondoa sumu mwilini zijulikanazo k**a free radicals,
👉🏿kupunguza uwezekano wa kupata maradhi ya kansa
👉🏿Vitamini hii pia husaidia afya ya seli, tishu, ngozi, meno na mifupa
✍🏻Upungufu wa vitamini A, husababisha;
➡️kutokuona usiku,
➡️ukavu wa macho kwa kushindwa kutengeneza machozi,
➡️upofu,
➡️ngozi kavu,
➡️kupoteza uwezo wa kunusa na kukosa hamu ya kula.
➡️Husababisha Ugumba, utasa na matatizo ya kutunga kwà mimba,
➡️huchelewesha ukuaji,
➡️husababisha maumivu ya kifua na koromeo na
➡️Vidonda kuchelewa kupona
Upungufu wa vitamini hii husababisha mtu kuwa na kinga dhaifu hivyo kushambuliwa na maradhi.
✍🏻Vitamin A hupatikana kwenye bidhaa zetu hasa C24/7 au Complete kwa kiwango stahiki. Piga/WhatsApp +255768246988