Bright health Care

Bright health Care AFYA BORA NI MAENDELEO YA TAIFA BORA

_*HABARI NJEMA KWA WANAWAKE*_ Wanawake wengi wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo la PID.A) Kuhisi Maumivu Ya Tumbo Hasa Mae...
14/12/2023

_*HABARI NJEMA KWA WANAWAKE*_

Wanawake wengi wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo la PID.

A) Kuhisi Maumivu Ya Tumbo Hasa Maeneo Ya Chini Ya Kitovu.
B) Kupata Maumivu Ya Mgongo.
C) Kupata Utoko Mchafu Sehemu Za Siri, Utoko Huu Huambatana Na Harufu Mbaya.
D) Kuhisi Maumivu Wakati Wa Kukojoa.
E) Kupata Maumivu/Kutokwa Na Damu Wakati Wa Tendo La Ndoa.
F) Kutokwa Damu Bila Mpangilio Wakati Wa Hedhi.
G) Kupata Homa.
K**a wewe ni mmoja wao, ningependa kuongea na wewe..

Ninawasaidia wanawake kutatua tatizo la PID kwa njia za kisasa kabisa tafadhali ningependa kuzungumza na wewe kwa ajili ya kumaliza tatizo lako la PID

Tupigie au tuma sms kupitia namba +255626027279 / +255758595331

Kisha tutawasiliana na wewe ili tuelewa vizuri kuhusu changamoto uliyonayo..,

Dkt.P.N.Loloma - *255758595331
https://wa.me/c/255626027279

19/11/2023
_*HABARI NJEMA KWA WANAWAKE*_ Wanawake wengi wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo la PID.K**a wewe ni mmoja wao, ningependa ...
17/11/2023

_*HABARI NJEMA KWA WANAWAKE*_

Wanawake wengi wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo la PID.

K**a wewe ni mmoja wao, ningependa kuongea na wewe.

Kwa jina naitwa Dkt.P.N.Loloma.

Ninawasaidia wanawake kutatua tatizo la PID bila ya VIDONGE wala SINDANO kupitia progamu maalumu.

Wiki hii nataka kuandaa darasa la bure kwa ajili yako la Namna ya Kutatua tatizo la PID.

K**a utapenda kuhudhuria darasa hilo bofya link hapo au unaweza kubofya kitufe cha whatsapp kuwahi nafasi.https://chat.whatsapp.com/E4q5OwyqU4eLDwkRxtPMrS

Au tutumie namba yako ya whatsapp kupitia whatsapp namba yetu https://wa.me/c/255626027279

Kisha tutawasiliana na wewe ili tuelewa vizuri kuhusu changamoto uliyokuwa nayo tupate kukuandalia (wewe pamoja na wenzako) darasa bure kabisa kupitia group la watsapp.

Wahi nafasi hii kabla siti yako haijachukuliwa na mtu.

Ni mimi mwenye kujali mafanikio yako,

Dkt.P.N.Loloma

Mkurugenzi, BRIGHT HEALTH

Jinsi Ya Kutumia Mchai chai kutibu UTI sugu:-Chukua majani ya mchaichai, yakate kate vipande vidogo vidogo alafu ivyo vi...
02/10/2023

Jinsi Ya Kutumia Mchai chai kutibu UTI sugu:-

Chukua majani ya mchaichai, yakate kate vipande vidogo vidogo alafu ivyo vipande viweke kwenye chupa ya chai...

Chukua kipande cha tangawizi kiponde ponde alafu chemsha kwenye maji kiasi cha glasi moja au mbili. Maji hayo ya tangawizi yakishachemka yachuje...

Weka maji ya tangawizi yaliyochujwa kwenye chupa ambayo kuna mchaichai na funika kwa muda wa dakika 30...

Dakika 30 zikishapita kunywa kikombe kimoja asubuhi na jioni kwa muda wa siku tano mpaka saba...

Hapo utakuwa umetibu tatizo la UTI sugu

ONYO:🚫🚫🚫
Mchaichai unatabia ya kushusha presha,

hivyo k**a ni mjamzito au una tatizo la presha ya kushuka tumia kwa tahadhari au Acha kabisa usitumie mpaka ruksa wa Daktar wako

Je Umejifunza kitu? Na ungependa wengine wajifunze pia 👂🖊 Mtag Rafiki yako kwenye coment tujifunze pamoja 🤝

Usisahau KUSAVE POST hii, Itakusaidia Baadae.

Kwa msaada wa haraka wa changamoto za UZAZI KWA MWANAMKE,

Nitumie Ujumbe whatsapp :
Hata k**a sio wewe basi unae mtu/rafiki/ ndugu mwenye tatizo k**a hili msaidie kwa kumpa taarifa ili aweze kupata matibabu

KWA MATIBABU NA USHAURI

TUPIGIE 📞☎️📲 +255684771711

WHATSAPP 🟢+255626027279

https://wa.me/c/255626027279

SHARE LINK NA WENZIO WAJIFUNZE K**A WEWE🤝

ZIJUE SABABU ZINAZOPELEKEA MWANAMKE KUKOSA UTE WA UZAZI (MIMBA)Ute Wa Mimba:Ute wa mimba ni ute unaovutika, ni ute muhim...
02/10/2023

ZIJUE SABABU ZINAZOPELEKEA MWANAMKE KUKOSA UTE WA UZAZI (MIMBA)

Ute Wa Mimba:
Ute wa mimba ni ute unaovutika, ni ute muhimu sana linapokuja suala la kutungwa kwa ujauzito. Ute huu ambao huvutika mithili ya yai husaidia mbegu kuogelea na kupenya kwenye mlango kwa kizazi na kwenda kulirutubisha yai kwenye mirija ya uzazi. Baadhi ya njia za uzazi wa mpango zinapelekea kukosa ute wa mimba ili usishike mimba isiyotarajiwa.

Tatizo la kukosa ute wa mimba linachangia pia uchelewe kupata ujauzito ambapo baadhi ya wanawake watahitaji kutumia kwanza dawa za kuongeza ute ili kushika mimba. Hivyo ute ute laini unaovutika ni wa muhimu ili kuweka mazingira mazuri ya kushika ujauzito.

Siku chache kabla ya mimba kutungwa ute ute laini unaovutika huanza kuzalishwa kwa wingi kwenye mlango wa kizazi. Katika ulaini wake ute huu unaleta mazingira mazuri kwa mbegu za mwanaume kuogelea kupenya mlango wa kizazi. Changamoto yoyote kwenye uke maana yake mbegu haitapenya na mimba haitatungwa.

kukosa ute
Sababu Za Kukosa Ute Ukeni:
Zifuatazo ni baadhi ya sababu zinazochangia mwanamke kukosa ute wa mimba ukeni ambazo ni pamoja na;

1) Madhara Ya Matumizi Ya Baadhi Ya Dawa.
Baadhi ya dawa unazotumia kujitibia maradhi mengine zinaweza kukuletea matatizo kwenye ute wako wa uzazi. Ute kukauka au kukosa kabisa ute au ute wa uzazi kupungua wingi kunaweza kutokea k**a matokeo ya dawa zingine unazotumia kujitibu magonjwa mengine.

Baadhi ya dawa zinazotumika kutibu magonjwa yafuatayo zinaweza kuathiri ubora wa ute wako wa uzazi; Dawa za kutibu mzio (aleji), dawa za kuondoa msongo wa mawazo, baadhi ya dawa zinazotibu tatizo la kukosa usingizi, dawa zinazotibu kifafa nk. Kwa kawaida dawa hizo hutumika ndani ya siku chache tu unapoumwa homa au aleji hivyo hupaswi kuziogopa sana. Lakini pia una uwezo wa kutumia dawa za asili zisizo na madhara ili kutibu maradhi mbalimbali.

Angalizo: Usiache kutumia dawa au usibadili dawa yoyote unayotumia bila ruhusa ya daktari wako wa karibu.

2) Umri.
Tafiti zinaonesha kwamba kadri mwanamke anavyozidi kuwa na umri mkubwa kuanzia miaka 35 hivi kwenda juu anaweza kuanza kuuona ute wa uzazi kwa siku chache kidogo kidogo tofauti na alivyokuwa msichana ambapo ubora na uwingi wa ute wa uzazi pia huanza kupungua kidogo kidogo. Mwanamke akiwa kwenye umri wa miaka 20 hivi mpaka miaka 28 anaweza kuwa anauona ute wake wa uzazi kwa kipindi cha mpaka siku 5 na anapata ute bora na wenye afya, lakini pia mwanamke anapofikisha miaka 30 mpaka miaka 40 na kuendelea mpaka miaka 45 anaweza kuuona ute wake wa uzazi kwa muda usiozidi siku 2 au 3. Hata hivyo hali na mabadiliko hayo hutofautiana sana toka mwanamke mmoja hadi mwingine.

3) Maambikizi Kwenye Mji Wa Uzazi.
Maambukizi ya bakteria au fangasi kwenye uke hupelekea ukavu ukeni na kukosa ute wa mimba.

Fangasi ukeni husababisha dalili za muwasho, kutokwa na uchafu mwingine mweupe na maumivu wakati wa kushiriki tendo la ndoa. Harufu mbaya ukeni ni dalili ya maambukizi ya bakteria.

Lakini pia magonjwa ya zinaa k**a vile kisonono, kaswende, pangusa yanaweza kupelekea mwanamke akose ute wa mimba ukeni pamoja na kuziba kwa mirija ya uzazi k**a hatatibiwa mapema.

Soma pia hii makala: Mambo 6 Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Kuziba Kwa Mirija Ya Uzazi Kwa Wanawake.

4) Mvurugiko Wa Homoni.
Ikiwa homoni za uzazi kwa mwanamke hazipo sawa na zimevurugika basi hiyo ni mojawapo ya sababu zinazoweza kupelekea changamoto ya kukosa ute ukeni. Hivyo basi k**a mwanamke huoni ute wako wa uzazi au unaona ute wa uzazi usioeleweka kuna uwezekano mkubwa ikawa ni matokeo ya kuvurugika kwa homoni zako za uzazi.

Hormones imbalance
Soma pia hii makala: Mambo 4 Usiyo yajua Kuhusu Mvurugiko Wa Homoni Kwa Wanawake.

5) Kusafisha Uke Kupita Kiasi (Vaginal Douching).
Kuosha uke mara kwa mara hupelekea kuondoa bakteria wazuri (normal flora) wa ukeni na hivyo kuongeza hatari hatari ya kupata maambukizi ukeni k**a vile fangasi na kupungua kwa ute ukeni. Mwanamke unashauriwa kuacha kuosha sehemu ya ndani ya uke kwa kutumia manukato na sabuni zenye kemikali, kwani sehemu ya ndani uke hujisafisha yenyewe (va**na is self cleansing) badala yake osha sehemu ya nje ya uke tu.

va**nal douching
Soma pia hii makala: Fahamu Siri 7 Za Utunzaji Wa Uke Ambazo Hakuna Mtaalamu Wa Afya Atathubutu Kukwambia.

6) Matumizi Ya Dawa Za Kupevusha Mayai Ziitwazo Clomifene.
Siyo kila mwanamke anayemeza dawa hizi anakosa ute. Kwa wanawake wanaotumia dawa hizi kwa muda mrefu wanapata changamoto ya kukosa ute ute wa mimba. Endapo utagundua uke wako ni mkavu ama unakosa ute wa mimba baada ya kumeza clomifene, mjulishe daktari wako mapema. Daktari ataweza kukupa dawa zingine kuondoa madhara haya.

clomifene
7) Uzito Mdogo Kupita Kiasi.
Homoni ya estrogen ndio kichocheo kinachopelekea mwili kuzalisha ute wa mimba. Wanawake wenye uzito mdogo sana, na wanaofanya mazoezi makali huwa na kiwango kidogo cha homoni ya estrogen. Kupata lishe nzuri, kupunguza mazoezi na kuongeza uzito yaweza kusaidia k**a hichi ndio chanzo cha tatizo lako.

HITIMISHO:
Ikiwa unasumbuliwa na changamoto ya kukosa ute wa mimba ukeni unashauriwa kutumia Chelated zinc k**a suluhisho lako bora,

NITUMIE UJUMBE WHAT'SAAP 🟢

Hata k**a sio wewe basi unae mtu/rafiki/ ndugu mwenye tatizo k**a hili msaidie kwa kumpa taarifa ili aweze kupata matibabu

MWISHO
Prepared by ✍️✍️✍️ Dr Loloma CEO/founder of Bright health Care
BOFYA LINK HAPO CHINI KWA TIBA NA USHAURI

🔜Tuwasiliane 0684771711

🔜 https://wa.me/0626027279

Kuchati nasi moja kwa moja bofya Link https://wa.me/c/255626027279

SHARE LINK YA GROUP NA WENZIO WAJIFUNZE K**A WEWE🤝🙏

Mwanamke usipite bila kusoma ujumbe huu, Huenda unajiuliza Kila siku mbona sipati ujauzito, mbona afya yangu ya uzazi ha...
02/10/2023

Mwanamke usipite bila kusoma ujumbe huu,

Huenda unajiuliza Kila siku mbona sipati ujauzito, mbona afya yangu ya uzazi haiko sawa, Leo nataka ufahamu hili jambo:...

Wanawake wenye vitambi, Uzito mkubwa wengi wao wanakuwa na Matatizo ya uzazi, ongezeko la hormone ya kiume ya Testestorone, ongezeko wa HOMONI ya Insulini mwilini.

Wanawake Hawa wenye vitambi na Uzito mkubwa Huwa na upungufu wa homoni za kupevusha mayai, follicle stimulating hormone (FSH).

Sasa Hali hii inavyotokea mwanamke Huwa anapata Matatizo k**a kuwa vimbe kwenye Mayai, kutopata mimba kirahisi.

Pia wanawake wenye tumbo kubwa, Uzito mkubwa Huwa wanapata sana matatizo ya Mvurugiko wa hedhi, mimba Kuharibika haribika, wanakuwa pia kwenye hatari ya kupata Sukari, na Wengi wao Huwa pia hawapati hamu yatendo, ( Nyege Huwa haiji kirahisi).

Nini chakufanya?......

⛔Wewe mwenye Uzito mkubwa, na kitambi, muhimu ufanye vipimo vya homoni hizi.. mwilini na Pamoja Yako.

Ili uweze kuondokana na haya matatizo na hata ukipewa dawa zifanye kazi Kwa haraka.

Unahitaji kuondoa kitambi nahuo Uzito, Ili uweze kufurahia afya Yako ya uzazi.

NB: ningeongeza kitu hapa, Kuna wale wanawake wenye Uzito mdogo zaidi, (under weight) wengi nao Huwa wanasumbuliwa na Matatizo ya uzazi, hivyo muhimu uonane na daktari.

Kwangu ninaposema utasimamiwa vizuri k**a unamatatizo ya uzazi, basi Moja wapo ni hilo la kukusimamia kuhusu kupunguza Uzito wako na kitambi, Pamoja na matibabu.

Je ungependa kupata nafasi hiyo?? Basi njoo inabox tuzungumze zaidi na upate suluhisho, , , uje inbox k**a unautayari, na umeichoka hiyo Hali.

Unaweza kupiga simu ofisini ukazungumza namimi moja kwa moja k**a unatatizo linakusumbua nikakupa USHAURI au MATIBABU inategemea na tatizo lako k**a litahitaji ushaur ntakupa ushaur k**a litahitaji tiba ntakupatia matibabu yake kulingana na ukubwa wa tatizo lako

KWA MATIBABU NA USHAURI

TUPIGIE 📞☎️📲 +255684771711

WHATSAPP 🟢+255626027279
Chat pamoja nasi moja kwa moja bonyeza link https://wa.me/c/255626027279

SHARE LINK NA WENZIO WAJIFUNZE K**A WEWE🤝

🕳 UCHAFU UNAOTOKA UKENI NA MAANA ZAKE. 🕳  Chanzo.~Kitaalamu Hali ya mwanamke kutokwa na maji yenye rangi nyeupe au njano...
02/10/2023

🕳 UCHAFU UNAOTOKA UKENI NA MAANA ZAKE. 🕳

Chanzo.

~Kitaalamu Hali ya mwanamke kutokwa na maji yenye rangi nyeupe au njano ni Hali ya kawaida na sio tatizo Lakini endapo maji yanatoka yapo katika Hali ya ute mzito wenye rangi nyeupe au kahawia na yanatoa harufu kali au kuwasha hapo una tatizo.

~Majimaji au ute unaoteleza kutoka sehemu za siri ni njia inayowezesha viungo vya uzazi vya mwanamke kujisafisha au kutoa uchafu wa seli zilizokufa na mabaki ya damu ya hedhi nnje ya mwili pia huvikinga viungo vya uzazi dhidi ya maaambukizi ya bacteria.

~Kwa kawaida huwa hayatoi harufu na huwa hayawashi na huwa na rangi nyeupe au njano pia huwa na asidi ya LACTIN ambayo huzuia bacteria kuzaliana.

~Mwanamke hutoa kiasi cha grams 2 za seli zilizokufa kutoka kwenye mji wa kizazi na grams 3 za ute mwepesi kila siku, kiwango hicho kinaweza kuongezeka au kupungua kutegemeana na mzunguko wa hedhi pia Kuna wakati ute huwa mwepesi na unaovutika na Kuna wakati pia huwa mzito wa rangi ya njano hautoi harufu.

VISABABISHI VYA TATIZO HILI.

Sababu za kutokwa na uchafu ukeni una vyanzo vingi sana vifuatavyo ni vyanzo vya tatizo hili.

1. BACTERIA VAGINOSIS.

Chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijafanikiwa kuwa wazi,kinachotokea ni kuongezeka kwa ghafla kwa idadi ya ya bacteria hawa na kubadilisha uwiano wa kawaida katika mazingira ya uke, wanawake wenye wapenzi wengi na wanaofanya mapenzi kwa njia ya mdomo Wana hatari ya kupata tatizo hili.

2. TRICHOMONAS.

Maambukizi haya hutokana na Aina ya protozoa wa seli moja, trichomonas mara nyingi huambukizwa kwa njia ya ngono, protozoa huyo huweza kukaa kwenye unyevu unyevu kwa Muda wa saa 24 Bila kufa hivyo kufanya taulo na chupi zisizokauka kuwa chanzo kingine cha tatizo hili.

3. YEAST INFECTION.

Kwa kawaida Kuna kiwango kidogo cha yeast (candida albicans) katika uke, huwa tunasema Kuna maambukizi pale kiwango kinapozidi Hali ambayo inatokana na kubadilika kwa Hali ya hewa ukeni (Change in the PH balance of va**na).

Maambukizi ya yeast hayatokani na tendo la ndoa.

Mambo ambayo huchangia tatizo hili ni:

(a) MATUMIZI YA DAWA ZA KUZUIA MIMBA,
(b) MAWAZO,
(c) UJAUZITO,
(d) KISUKARI
(d) MATUMIZI YA ANTIBIOTICS.

4. VAGINAL OR CERVICAL CANCER.

Mtu anapokua na kansa ya uke, hutokwa na maji ya harufu mbaya, hivyo ni heri uwe unafanya check up ili kujua Afya yako na Kwa kuwa cancer ya kizazi inapona hivyo ni vema ukatambua mapema uanze tiba.

5. SEXUAL TRANSMITTED DESEAS (STDs).

Kuna baadhi ya magonjwa k**a vile KASWENDE NA KISONONO yanasababishwa na ngono na kuwa chanzo cha tatizo hili.

6. POOR HYGIENE.

Tatizo la kutokwa na maji wakati mwingine husababishwa na muhusika kua mchafu yan mtu unaoga kwa siku mara moja, chupi moja ndio hiyo hiyo mwaka mzima, pads unakaa nayo saa 24, ukienda kukojoa ujitawadhi na maji masafi hivyo unategemea utakua salama kweli??? Zingatia usafi mrembo.

DALILI ZA TATIZO HILI.

Kutokwa na uchafu ukeni unaoambatana na kuwashwa au kutokewa na vipele, hii hutokana na kuharibika kwa uwiano wa bacteria hivyo kuwa na madhara na uchafu hutoka wa aina tofauti hapa chini nitaelezea kila Aina ya uchafu na dalili zake.

1. UCHAFU WENYE RANGI YA KAHAWIA AU DAMU.

Huu uchafu huonyesha dalili ya kuwa mzunguko wako wa hedhi umevulugika na wakati mwingine ni dalili ya kansa ya kizazi, mwanamke anayepata tatizo hili hutoa damu nyingi kuumwa sana nyonga.

2. UCHAFU WENYE RANGI YA NJANO /KIJANI WENYE HARUFU MBAYA.

Endapo uchafu huo utatoka k**a povu na wenye rangi ya kijani au njano na ukiambatana na harufu mbaya huwa ni dalili ya ugonjwa wa trichomonas, maambukizi ya parasite yanatokana na ngono zembe, dalili Yake nyingine ni maumivu na kuwashwa wakati wa kutoa haja ndogo.

3. UCHAFU MWEUPE MZITO K**A JIBINI.

Mara nyingi hii huwa ni dalili ya maambukizi ya fangasi(YEAST INFECTION) na dalili nyingine huwa ni kuvimba sehemu ya nje ya siri, kuwashwa na kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.

4. UCHAFU MWEUPE/KIJIVU WENYE HARUFU YA SAMAKI.

Uchafu wa Aina hii ni dalili ya maambukizi ya bacteria vaginosis, mara nyingi mwenye tatizo hili husikia muwasho na maumivu sehem ya nnje ya uke.

5. MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KUEPUKA TATIZO HILI NA TIBA YAKE.

Matibabu ya tatizo hili hufanyika baada ya kugundua chanzo cha tatizo na mara nyingi tiba Yake ni tiba ya dawa za antibiotics kitu ambacho si tiba nzuri zaidi kwa sababu tatizo huweza kujirudia kila wakati na kusababisha matatizo zaidi hivyo tiba nzuri ni kuepuka hili tatizo kwa kufanya yafuatayo:-

👉EPUKA KUJIINGIZA VIDOLE MARA KWA MARA UKENI
👉EPUKA MATUMIZI YA DAWA ZA ANTIBIOTICS MARA KWA MARA
👉PUNGUZA KULA VYAKULA VYENYE SUKARI NYINGI
👉TUMIA PADS ZENYE ANIONS NI SALAMA KWA AFYA YAKO
👉SAFISHA VIZURI NGUO ZAKO ZA NDANI NA UZIANIKE JUANI NA HATA
KUZIPIGA PASI
👉KUNYWA JUICE YA APPLE,STRAWBERRY, NANASI KWA WINGI
👉EPUKA KUFANYA NGONO ZEMBE
👉HAKIKISHA UNAJISAFISHA KILA UNAPOMALIZA KUJISAIDIA
👉EPUKA KUTUMIA DAWA ZA KUZUIA MIMBA
👉EPUKA KUTUMIA SABUNI AU VITU VYA MANUKATO UKENI,

NOTED : Wanawake wengi mnapenda kutumia baadhi ya dawa kwa lengo la kuongeza vionjo kwenye mapenzi pia kufanya uke kunukia vizuri, au kukaza uke rafiki uke una harufu nzuri sana ambayo haipatkan kokote hivyo haihitaji kuwekwa pafyumu Wala kusafishwa kwa sabuni za kemikali kwani huwa panajisafisha hivyo ni heri ukaacha kutumia kwani madhara Yake hayaonekani sasa ila baada ya Muda huonekana.

" Ili Kuondokana na Matatizo Ya Harufu Mbaya Ukeni , Kutokwa na Uchafu au.Uke Kulegea ~ Piga Simu 0684771711 / 0626027279
Bofya link kuchati pamoja nasi https://wa.me/c/255626027279

_*NIINI KINACHO PELEKEA WANAWAKE KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA*_? ~ +255684771711 / +255626027279 ~• Nimekuwa Napata kesi...
22/09/2023

_*NIINI KINACHO PELEKEA WANAWAKE KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA*_?

~ +255684771711 / +255626027279 ~

• Nimekuwa Napata kesi nyingi sana kutoka kwa akina mama hasa wenye umri kuanzia miaka 25 na kuendelea wakihitaji msaada kwenye ndoa zao kuhusu Dawa ya kukosa hamu ya tendo la ndoa baada ya kujifungua au kabla ya kujifungua na Wengine Kushindwa Kupata hata Ujauzito .

• Na Wengi Kati ya hao hawafurahii tendo la ndoa k**a vile inavotakiwa na Wapo ambao hawajui hata Maana ya Kufika Kilele ( Kukojoa ) .

• Tatizo hili linazidi kuongezeka kwa kasi na wengi hawafahamu chanzo cha tatizo hili hivo inakuwa vigumu hata Kufikilia Kulitibu na Wapo ambao Wanadhani Ndiyo Walivyopangiwa na Mungu na haliwezekani Kuepukika - HAPANA Linawezekana na Ukafurahia tendo la ndoa k**a Wanawake Wengine.

~ _*Zifuatazo ni sababu za maumivu wakati wa tendo la ndoa yanayopelekea kukosa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake*_:-

* Kuvimba kwa kuta za uke kutokana na kushambuliwa na fangasi (candida Albicans) au bakteria - Kuta hizi huanza kuwa na vijitundu vidogo vidogo na kadiri muda unavyokwenda bila kutibiwa , vitundu hivi huongezeka ukubwa na kuwa k**a vidonda na hatimaye kuta za uke kuanza kumomonyoka na hali hii huondoa kabisa hamu ya kushiriki tendo.

2. Matatizo ya shingo ya kizazi (cervical incompetence) kutokana na maambukizi ya fangasi maeneo hayo - Kutoka kwa mbegu za kiume muda mfupi au saa kadhaa baada ya tendo ni dalili kuu ya tatizo hili , Pia mwanaume anapogonga shingo hii ya kizazi mwanamke huwa k**a anatoneshwa kidonda , Hali hii ya mbegu kurudi nje husababisha mwanamke kutoshika ujauzito.

3. Uvimbe kwenye mji wa mimba/mfuko wa uzazi (Uterus ) - Uvimbe huu kitaalam hujulikana kwa majina mengi lakini `fibroid` ni maarufu Zaidi , Huanza k**a mbegu ndogo ya mchicha na hukua k**a boga kubwa , Mwanamke huongezeka ukubwa wa tumbo na baadaye huonekana k**a ana mimba kubwa Kiasi Cha watu Kushangaa kwa nini hajifungui kipindi chote.

4. Maumivu wakati wa tendo hasa chini ya kitovu Pembeni Kidogo huashiria tatizo kwenye mirija ya uzazi - Yawezekana ikawa ni tatizo la mirija ya uzazi kujaa maji machafu kutokana na kuzaliana sana eneo hilo , tatizo ambalo hujulikana kitaalam k**a Hydrosalpinx.

Kitu hiki husababisha mirija ya uzazi kuziba kwani maji haya huwa mazito, kitu ambacho husababisha mayai ya uzazi na mbegu za kiume kushindwa kupenya.
Kutoshika mimba (ugumba) kwa mwanamke aliye kwenye ndoa au uhusiano kwa zaidi ya mwaka mmoja na anasikia maumivu ya aina hii ni kiashiria kikubwa cha tatizo hili.

5. Uharibifu Wa Kinga Uke ya Asili Kwa Wanawake ( PH - POTENTIAL HYDROGEN ) - Hili Ndiyo Kubwa Zaidi Kuliko Yote Niliyotangulia Kuuasema , Kwa Sababu Wanawake Wengi Sana Wamejikuta Wakiangukia Kwenye Maambukizi ya Mara Kwa Mara Ukeni ya Maradhi K**a UTI , Fungus yanayo Sababisha Muwasho , Majimaji na Harufu Mbaya Ukeni Kutokana na Kupoteza hii Kinga Ya Asili ( PH au Potential Hydrogen ).

PH au Potential Hydrogen ni nini ?

Maana Ya pH ni Potential Hydrogen whereby pH scale Inaanza from 0-14 ambapo 1-5 ni acidic na 8-14 ni Basic. Kwa kawaida mwili wa Binadamu una pH yake na pH ya Vagina(Uke) ni kuanzia 3.8-4.5 nikimaanisha va**na ni acidic In nature.

Ipo hivyo so as to favour ukaaji wa bacteria fulani wanaitwa Lactobacilli ambao kazi yao kubwa ni kulinda uke from Infections mbalimbali giving it a certain smell na the fluids unazoziona kule ndo lactobacilli acid ambayo kazi yake ndo Hiyo, kwahiyo ikiondoka tu hiyo uke unashambuliwa na magonjwa k**a yote.

_*VITU AMBAVYO HUATHIRI VAGINAL pH*_

1.SABUNI(SOAP).

Tumejengewa Imani kuwa inabidi kuosha uke na sabuni na powders kwamba unatoa harufu huku tukisahau kuwa uke unajisafisha wenyewe(Self cleaning) na Ile harufu ndo Yake sasa hii huathiri ecosystem ya uke. Kuna soaps zina PH 9-10 kwahiyo zinaathiri lactobacilli wanaolinda uke hivyo ulinzi wote unaondoka mashambulizi from infections yanakua very simple.

2. Kunyonyana Sehemu Za Siri ( Uke / Vaginal ).

kwa ufupi madhara ya kunyonya Yako Mengi Sana Ukiacha haya ambayo Yanahusiana na Uharibifu wa hii Kinga ya Uke ( PH - Potential Hydrogen )

KUBADILISHANA VIJIDUDU (BACTERIA).

K**a wote tunavofahamu ya kwamba kwenye miili yetu kuna vijidudu (bacteria) Rafiki (normal flora) ambao Pia Wapo Kwa Vingi Sana Mdomoni na Sita yao Kubwa ni Kuchukia Uchafu , Ndiyo Maana Kati ya Maeneo ambayo hayawezi Kabisa Kustahimili Uchafu ni Mdomo ; Sasa hao bacteria wakiingia sehemu ambayo sio yake huleta madhara kwani wameingia eneo ambalo hawajazoea , wataingia sehemu mpya kwa kuwanyonya kutoka kwa mwanamke au mwanaume na Kusababisha Mwanamke Kutokuwa na Utelezi Ukeni na Hivyo Kuhisi Maumivu Wakati wa tendo na Kukosa hamu ya tendo lenyewe .

Hii inaweza isilete madhara mapema lakini Uendeleaji wa kunyonya nyonya wanaume au wanawake wengi mara kwa mara hupelekea kupata madhara mengi na mengine ni magumu kutibu.

Lakini Pia Unaweza Kupata Maambukizi ya HIV.
Kupata madonda mdomoni.
Kujiweka katika hatari ya kupata saratani za mdomo, ulimi nk.

SULUHISHO.

Tumia maji Ya moto na kitambaa kuosha uke, au unaweza tafuta soaps zenye pH ya 4.5.

Kumbuka : Matatizo ya uzazi unayokutana nayo k**a maumivu makali kipindi cha Hedhi , Ugumba , kukosa hamu ya tendo la ndoa baada ya kujifungua ama kabla ya kujifungua , kupata maumivu wakati wa tendo la Ndoa , kuvurugika kwa Hedhi , uzito mkubwa na kitambi siyo kitu ulichoumbiwa , Bali ni matokeo ya Maisha unayoishi - Kwa kifupi matatizo yote haya chanzo chake kikubwa ni kuvurugika kwa homoni za k**e au hormonal imbalance.

Matatizo haya siyo kwamba ni mabadiliko ya vinasaba kutokana na Umri , ila ni matokeo ya mpangilio mbovu wa vichocheo ama homoni zako na hasa homoni za uzazi - Hivyo Mpaka hapa Utakubaliana nami kwamba wanawake hawajaumbiwa kupata shida hizi zote hata k**a umri wako Umeenda , Unahitaji kuendelea kufurahia tendo la ndoa. Sawazisha mpangilio wako wa homoni na Rudisha Kinga Yako ya Uke ( Potential Hydrogen) Kwa Siku Saba tu na Matatizo Yote hayo Utakuwa Umeyamaliza.

Karibu tukuhudumie , Tunapatikana Ilala boma, Kijitonyama na Mlimani City Dar es salaam , Kwa mikoani utatumiwa popote ulipo.

🕳 Kwa msaada zaidi :- Tafadhali Usisite Kuwasiliana Nasi Kuhusu Tiba Kwa Njia za Kisasa Kabisa na Ushauri wa Masuala Mbali Mbali Ya Afya.

𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔 𝐍𝐈𝐊𝐔𝐒A𝐃𝐈𝐄 𝐏𝐈𝐆𝐀 & 𝐖𝐇𝐀𝐓𝐒𝐀𝐏𝐏

Call➖text&sms➖whatsapp👇

➖ Ili Kupata Ushauri Bure na Msaada Zaidi Kuhusu Matatizo Mbali Mbali Kiafya

-📞"Wasiliana nasi kuhusu afya - Kupitia Simu Namba 0684771711 / 0626027279

°Au Kuchart Nasi Moja Kwa Moja Watssapp Bofya link hapo chini 👇👇
https://wa.me/c/255626027279

- Pia Waweza Jiunga na Group letu la Afya la WhatsApp Kwa Kubonyeza Link Hii hapa 👉👉👉 https://chat.whatsapp.com/KzcL2QoUbj18UU9a4DbO9L

, & Usaidie na Wengine

♐UGONJWA WA BAWASIRI - ( Hemoroid ) ♐▶ Nii nini ?🕳▶ Ni pale mishipa ya veins (nyama) zinapojitokeza eneo la haja kubwa (...
21/09/2023

♐UGONJWA WA BAWASIRI - ( Hemoroid ) ♐
▶ Nii nini ?🕳

▶ Ni pale mishipa ya veins (nyama) zinapojitokeza eneo la haja kubwa (A**s)
Hali hii humfanya mtu ajisikie hali ya kukera sana na wakati mwingine maumivu makali.

▶ Hali ya kukera hutokea kipindi Mgonjwa anapojaribu Kwenda chooni kupata haja kubwa ila kwa wengine hali hii huwafanya wapate maumivu kila wakati na kujisikia vibaya sana na kushindwa kufanya mambo mengine.

▶ Mara nyingi bawasiri huendana na kupata Choo Chenye damu.

▶ Kawaida eneo la haja kubwa lina mishipa ya damu mingi aina ya VEINS na mishipa hii IPO juu juu sana. Sasa presha inapoongezeka eneo hili mishipa hiyo hupasuka na hujitokeza kwa nje hivyo huonekana k**a nyama zimejitokeza.

▶ Ingawa wakati mwigine BAWASIRI hujitokeza ndani kabisa ya njia ya haja kubwa hivyo hufanya bawasiri iwe ya ndani bila nyama kutokea nje ya haja kubwa MTU atajisikia hali ya kukera bila nyama kutoka nje kwa hiyo hii inaitwa BAWASIRI ya ndani.

▶ SABABU ZA BAWASIRI KUTOKEA🕳

1⃣KUPATA CHOO KIGUMU.

▶ Choo kigumu huongeza presha eneo la haja kubwa hivyo husababisha bawasiri kutokea
Hii hutokea zaidi kwa watoto wadogo na watu wenye constipation au wenye tatizo la kutopata choo.

2⃣UZAZI (MIMBA).

Huongeza presha eneo la nyonga hivyo huongeza presha eneo la haja kubwa na Kuongeza nafasi ya kupata bawasiri

3⃣KITAMBI (OBESITY).

Pia huongeza presha eneo la nyonga, hii hupelekea huongeza presha eneo la haja kubwa.

4⃣KUNYANYUA VITU VIZITO🕳

• Pia huongeza presha eneo la haja kubwa na huongeza nafasi ya kupata bawasiri

▶ Mara nyingi watu wengine hufanyiwa UPASUAJI kutatua tatizo hili kwa jinsi lilivyo.

▶ TIBA YA BAWASIRI BILA UPASUAJI🕳

▶ Zipo tiba za aina nyingi katika kutatua ugonjwa huu! Ila kwetu sisi tunatumia njia mbadala ambayo huondoa tatizo hilo Kabisa na hutakuwa na haja ya kufanyiwa upasuaji.

🕳 Usisite Kuwasiliana Nasi Kuhusu Tiba Kwa Njia za Kisasa Kabisa na Ushauri wa Masuala Mbali Mbali Ya Afya.

• Tupigie Sasa Kupitia Namba Zifuatazo - +255626027279 au +255684771711 Ili Kufanya oda Ya Dose Ya Tatizo hili na Utatumiwa Popote Ulipo.

• Ili Kujiunga na Group letu la whatssapp Fuata Link hii hapa 👉👉👉 ♐UGONJWA WA BAWASIRI - ( Hemoroid ) ♐

• Ili Kujiunga na Group letu la whatssapp Fuata Link hii hapa 👉👉👉

• Ili Kujiunga na Group letu la whatssapp Fuata Link hii hapa 👉👉👉 https://chat.whatsapp.https://chat.whatsapp.com/FfacKFjBByRHu80VBVivWf

° Kuchart Nasi Moja Kwa Moja Watssapp Bofya link hapo chini 👇👇
http://.wa.me/255626027279

Address

Makumbusho
Kinondoni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bright health Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram