
25/01/2022
HATUA ZA PINGILI ZA UTI WA MGONGO KUSAGANA:
Lazima uelewe mpaka KUFIKIA hatua mtu pingili za mgongo KUSAGANA kuna hatua takribani tano:
1. Hatua ya kwanza ni Disc(cartilage au gegedu) kuwa dhaifu. Hapa virutubisho vinakuwa vimepungua na kufanya disc kuwa laini.
2. Hatua ya pili ni Disc kutuna ili uteute utemwe(disc bulge). Hapa disc inakuwa imebonyezwa Kwa sababu ya mgandamizo WA pingili ambapo huathiri mishipa ya fahamu.
3. Hatua ya tatu ni Ute kutemwa kutoka kwenye disc. Hapa uteute unaotemwa huathiri mishipa ya fahamu .
4. Hatua ya nne ni Disc kuwa nyembamba na kulika kabisa
5. Hatua ya tano ni *Pingili kugusana kabisa*
KUMBUKA KUWA KILA HATUA NILIYOELEZA HAPO JUU MTU ANAPATA MAUMIVU MAKALI KWASABABU INAHUSISHA MOJA KWA MOJA MISHIPA YA FAHAMU.
Wasiliana nasi tukusaidie hakuna tatizo lisilokuwa na ufumbuzi. Tupigie leo 0747 060665