
28/03/2023
π΅ KUBADILI MFUMO WA ULAJI NA UHUSIANO WA KUBEBA UJAUZITO.
Kula vyakula Visivyo sahihi huleta magonjwa yanayotokana na mfumo mzima wa ULAJI na kupelekea matatizo katika mfumo wa uzazi, ukiwa na Mvurugiko wa homoni, kitambi, uzito mkubwa, kisukari, basi kwako unakuwa kwenye nafasi finyu ya kuweza kubeba ujauzito, acha kula holela, Epuka vyakula vya kukaanga na mafuta mabaya, Acha kunywa vinywaji vya viwandani, Acha kunywa pombe, Epuka Kwa silimia kubwa vyakula vya wanga, kula kiasi kidogo mno, Acha kula fast food, chips, snacks, n.k, Zingatia vyakula hivi hapa vitakusaidia zaidi kutimiza lengo lako.
ASUBUHI- k**a unatumia chai basi,unaweza kutumia maziwa fresh, au Chai ya Tangawizi+mchai chai+ mdarasini, au supu Yako safi, nyama, au ya samaki, Acha kula maandazi, bagia, chapati, na vyakula vingine vinavyotongana na ngano zilizokobolewa.
πUnaweza kutumia viazi vitamu, magimbi, ndizi za kuchemsha,+ ongeza matunda, au mayai Asubuhi sio mbaya.
π΅ PATA ZAIDI VYAKULA HIVI HAPA CHINIππ
1:Mboga mboga za majani, kwani Ni chanzo Cha vitamic, C usisubiri kumeza vidonge vya vitamini c, anza kutumia vyakula,Pia Ni chanzo kizuri Cha Folic Acid, Tumia zaidi kabichi, broccoli, nyanya, spinach, karoti, namboga zingine za kijani.
2:)MATUNDA.
Matunda Ni chanzo kizuri Cha Antioxidants, tumia zaidi, maparachichi ndizi, machungwa, tikiti maji, nanasi, zabibu.
3)OMEGA 3 FATS
Chanzo Cha Omega 3, Samaki, salmon fish π) mayai, pia nyama yakuku tumia zaidi.
πPia tumia Sana Maziwa, kwani utapata Madini ya calcium, fats, vitamin D.
4): Pia tumia kunde, Maharage,Nataka K**a ngano,nyama,
mchele wa kahawia.
5:)Zingatia kutumia vitu Asilia (viungo)
πTumia mafuta ya Mzeituni(Olive oil)kukaangia/kupikia, pia mafuta ya Samli, N**i.
πTumia mbegu za maboga,unaweza kutafuna, au kuunga kwenye mboga zako.
πTumia Mbegu za alizeti.
πTumia karanga mbichi, unga kwenye mboga zako au tafuna.
πTumia vitunguu swaumu walau meza punje saba kilasiku.
.........
Jitahidi Sana kwa asilia kubwa kufuata utaratibu...
Ahsante
Simu:0787367182