Matta Fundikira

Matta Fundikira 🌿Holistic Doctor | LAB Scientist | Businessman

Therapy Services;
🌿Herbal
📣Frequency
🍎Nutritions
🏺Hijama(Cupping)
👐 Reflexology/Phiotherapy
🔋Bio-Energy

My role is to Influence people (You) on Business, Nutritions, Technlogy, Health & Fitness.

From Tabora to Dar Es Salaam
12/05/2024

From Tabora to Dar Es Salaam

The Family
15/04/2024

The Family

EID MUBARAK
10/04/2024

EID MUBARAK

Je, una fahamu ya kwamba sehemu kubwa ya dunia hii ni bahari??
08/03/2023

Je, una fahamu ya kwamba sehemu kubwa ya dunia hii ni bahari??

20/06/2022
  | JE, WEWE UNAHITAJI MAYAI HALISI YA KIENYEJI, TUNAUZA MAYAI YA HALISI YA KIENYEJI KWA BEI YA JUMLA. Mpendwa mteja, SH...
06/06/2022

| JE, WEWE UNAHITAJI MAYAI HALISI YA KIENYEJI, TUNAUZA MAYAI YA HALISI YA KIENYEJI KWA BEI YA JUMLA.

Mpendwa mteja, SHUJAA EGGS ni wauzaji na wasambaji wa MAYAI YA KIENYEJI. Tunakutangazia mteja wetu, nunua mayai yaliyo bora kutoka SHUJAA EGGS ni mayai ya halisi ya kienyeji yenye lishe ya asilia itakayokusaidia kujenga afya yako na familia yako, tunauza mayai kuanzia trei moja kwa bei ya jumla ya 15,000/= Tshs Tu!.

Toa ODA yako mapema tupigie 👉 Call/WhatsApp +255 (0) 717 - 210 215

MAYAI YA KIENYEJI (NATURAL ORGANIC EGGS) by SHUJAA EGGS

- EAT HEALTH AND STAY HEALTHIER WITH SHUJAA EGGS -

  | FAHAMU HATUA TATU ZA UJENGAJI UCHUMI BINAFSI1. KUTAFUTA PESA, hapa mtu anaenda kufanya kazi au biashara ili apate MS...
18/05/2022

| FAHAMU HATUA TATU ZA UJENGAJI UCHUMI BINAFSI

1. KUTAFUTA PESA, hapa mtu anaenda kufanya kazi au biashara ili apate MSHAHARA, POSHO AU FAIDA lakini hapa kuna njia ya HALALI na HARAMU

2. KUPATA PESA, hapa mtu anapata malipo sasa ya baada kufanya kazi au biashara ambayo anaifanya.

3. KUTUMIA PESA, Hapa mtu ameshapata PESA sasa anakuja kwenye kutumia kile alichokipata baada ya kufanya kazi au kugeuza nguvu kazi kuwa pesa au kutumia pesa kutengeneza PESA, ila hapa ndio tunatoa WATU MASIKINI AU WATU MATAJIRI.

  | MTINDO WA MAISHA YA MJASILIAMALIMjasilimali ni mtu ambaye amachagua kuishi maisha kwa muda mchache watu wengi hawawe...
13/05/2022

| MTINDO WA MAISHA YA MJASILIAMALI

Mjasilimali ni mtu ambaye amachagua kuishi maisha kwa muda mchache watu wengi hawawezi kuishi na hata anaweza kuishi maisha yote yaliobakiwa kuishi maisha ambayo watu wengi wanashindwa kuishi.

MJASILIAMALI | MAMBO NYETI KWA MJASILIAMALI NA UJASILIAMALI Nguzo za mjasiliamali 1. Maarifa2. Mtaji3. Eneo4. Wafanyakaz...
06/05/2022

MJASILIAMALI | MAMBO NYETI KWA MJASILIAMALI NA UJASILIAMALI

Nguzo za mjasiliamali

1. Maarifa
2. Mtaji
3. Eneo
4. Wafanyakazi (Timu)

Sifa za mjasiliamali

1. Kujiamini
2. Hakati tamaa
3. Kufanya kazi kwa bidii
4. Kujifunza
5. Kuzikimbilia fursa
6. Kuwa na shauku

Faida za ujasiliamali

1. Kujitosheleza
2. Kuwa huru

Hasara za ujasiliamali

1. Kuingia katika misongo ya mawazo
2. Kufilisika
3. Kupoteza marafiki
4. Kuwa mbali na ndugu

  |  MSINGI WA KUJENGA UCHUMI BINAFSI 1. Hakikisha uwe na KIPATO 2. Punguza MATUMIZI  yawe chini yasizidi KIPATO 3. Weka...
06/05/2022

|  MSINGI WA KUJENGA UCHUMI BINAFSI

1. Hakikisha uwe na KIPATO

2. Punguza MATUMIZI  yawe chini yasizidi KIPATO

3. Weka AKIBA ikusaidie baadae

4. WEKEZA Fedha, biashara ndio chombo kikuu cha kuzalisha Fedha

5.  ILINDE Fedha fungua MFUKO maalum kwa ajili ya MAJANGA yakitokea

  | FURAHA NA AMANI 🥰Haijalishi furaha nini kinachokusababisha kuwa na furaha na amani, lakini cha kuuzunisha katika mai...
03/05/2022

| FURAHA NA AMANI 🥰

Haijalishi furaha nini kinachokusababisha kuwa na furaha na amani, lakini cha kuuzunisha katika maisga ya duniani huwa furaha haiwezi kudumu kila siku hadi milele.

Credit: Matta Fundikira

  | NAWATAKIA KHERI YA EID EL FITRNawatakia heri ya siku ya EID MUBARAK wewe unayesoma na waumini wa kiislamu wote 🤲
03/05/2022

| NAWATAKIA KHERI YA EID EL FITR

Nawatakia heri ya siku ya EID MUBARAK wewe unayesoma na waumini wa kiislamu wote 🤲

Address

Kinondoni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Matta Fundikira posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Matta Fundikira:

Share