Afya kwa maendeleo

Afya kwa maendeleo Prevention is better than Cure

Unawahi Kufika Safari?,Uume Unaingia Ndani na Kuwa  Mdogo,,Mbegu Chache Inaweza Kuwa  NGIRI au  Umepiga PUNYETOBonyeza l...
20/11/2021

Unawahi Kufika Safari?,Uume Unaingia Ndani na Kuwa Mdogo,,Mbegu Chache Inaweza Kuwa NGIRI au Umepiga PUNYETO

Bonyeza link hii chini itakupeleka kwenye video ambayo itakupatia elimu sahihi juu ya mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume

https://youtu.be/J2PT6T6IOjk

👉Uume kusinyaa kila ukijaribu kubadilisha style au mtindo.

👉Uume kusimama kwa ulegevu baada ya kumaliza bao la kwanza.

👉Kupata bao lenye maumivu hasa kuanzia bao la pili na kuendelea.

👉Kukosa hisia kabisa baada tu ya kufika kileleni safari ya kwanza

👉Kuchoka sana baada ya kufanya mapenzi.

👉Uume kutosimama ukiwepo na mwenza wako lakini akiondoka unaona unapata hamu na uume unasimama vizuri.

👉Kufika kileleni haraka sana na baada ya kufika unashindwa kurudia tena.

👉Kushindwa kumuandaa mpenzi wako, kuhofia utafika kileleni kabla ya mchezo.

👉Kutoa mbegu hafifu hadi kusababisha kushindwa kumpa mkeo ujazuzito.

✓Uume kunywea na kuwa k**a mtoto mdogo(kibamia)
Je wewe umejichua mpaka unakumbana na changamoto hizi?
au tayari umesha anza kupata dalili kati ya izo hapo juu

Call/WhatsApp +255765613692

Tuzungumze,Tukushauri na Tukupatie suluhisho.

*TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME – Chanzo, Dalili & Tiba**UTANGULIZI – LIJUE TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*U...
08/10/2021

*TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME – Chanzo, Dalili & Tiba*

*UTANGULIZI – LIJUE TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*
Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. atizo hili huripotiwa kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao anatatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kuto kuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba.
Hili tatizo huwanyima watu raha kwa kuwa na mawazo, kuwa na matatizo katika mahusiano, watu wengi wenye tatizo hili wanahitaji kutumia dawa zisizo na madhara na kubadilisha mitindo ya maisha yao ili kuweza kurudisha hali zao na kuondoa tatizo, cha msingi ni kuzingatia yale utakayoelekezwa.
Kuna matatizo ya kutofanya mapenzi kikamilifu, nayo ni; kuwahi kumwanga mbegu za uzazi, Kuto kumwaga, kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa

CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na;

1.Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo

2.Kuvuta sigala na unywaji wa pombe

3.Uzito kupita kiasi na unene uliozidi

4.Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

5.Kisukari

6.Kuwa na mawazo na wasiwasi

7.Matumizi ya madawa mbalimbali

8.Umri hasa wazee

9.Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili

10.Kuwa na tatizo la kibofu

11.Tabia za kujichua kwa mda mrefu

12.Kutopata usingizi kamili

13.Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa k**a kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Dalili za kuonesha kuwa una tatizo la upungufu wa nguvu za kiume karibia zote zinahusiana na hali itakayo onekana katika tendo la ndoa au mda wa kujamiiana, hizo dalili zake ni k**a;

1.Kuwahi kufika kileleni

2.Kukosa hamu ya mapenzi

3.Kushindwa kurudia tendo la ndoa

4.Uume kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha

5.Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji

6.Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo

7.Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)

8.Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji

JINSI YA KUEPUKANA NA KUPATA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME

1.Fanya mazoezi – Angalau dakika 30 kwa siku

2.Kula vyakula asilia na usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

3.Tibu magonjwa yako yanayokuweka hatarini k**a kisukari, moyo, punguza unene na mengine

4.Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol) au mafuta yaliyozidi

5.Balansi usito wako

6.Usivute sigara

7.Punguza au acha kunywa pombe

8.Punguza mawazo

9.Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali

10.Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9

11 Usitumie dawa zenye kemikali nyingi huathiri mfumo wa uzazi

12.Kunywa maji ya kutosha

TIBA YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Hili ni tatizo ambalo huwanyima raha watu wengi kwasababu linaashiria upungufu flani wa kimwili, tunawashauri watu wengi wafanye mazoezi, kula chakula bora hasa asilia na pia wanywe maji mengi ili kuimarisha afya zao. Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linaondolewa japo ni kwa mda kidogo, wengi hudanganywa na kupewa dawa za kuongeza nguvu pale unapoenda kujamiiana na sio dawa ya kutibu.
Tuna Virutubisho vya kutatua tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ambavyo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa.Virutubisho hutibu kwa mda kulingana na ukubwa wa tatizo, ukianza kutumia baada ya siku ya tano huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa utumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendelea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa.
Tunamshukru Mungu kwa uumbaji wake na kutupa dawa ambazo alizileta ili kutuimarisha na kutuponya, Mungu hakuumba dawa nyingine zaidi ya mimea na vitu vingine vya asili, japo wengi hudharau. Mungu tunaomba utuokoe na kutuponya.

*0765613692**TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME – Chanzo, Dalili & Tiba*

*0765613692*

27/09/2021

*BIDHAA YA KULINDA UKUAJI WA TEZI DUME NA KUBORESHA NGUVU ZA KIUME.*

*Je wafahamu kadri umri unavyoongezeka kwa mwanaume, kasi ya kukua au kutanuka kwa tezi dume pia huongeza!?*

Ndiyo, na hii imekuwa ni changamoto kubwa sana kwa wanaume wengi hivi sasa, hali ambayo hupelekea kuwa na ongezeko la matatizo ya nguvu za kiume, kushindwa kuzuia haja ndogo na hatimaye kupata saratani ya Tezi Dume.

Kutokana na changamoto hizo, Forever Living Products, tumeandaa virutubisho hivi

*VITOLIZE FOR MEN, ARG PLUS.*

ambavyo ni virutubisho bora sana katiki kuthibiti ukuaji wa tezi dume, utendaji kazi wa kibofu, ku relax tezi dume na kuboresha nguvu za kiume.

*FAIDA ZAKE:*

1: Huthibiti kasi ya ukuaji na utanukaji wa tezi dume na kuimarisha kinga dhidi ya saratani ya tezi dume.
2.Huongeza hamu ya mapenzi stamina na nguvu wakati wa tendo na baada ya tendo.
3.Inasaidia kuondoa depression - (msongo wa Mawazo)
4.Inarutubisha mayai.
5.Inaongeza idadi ya mbegu za kiume (s***m count) ,na uwezo wa mbegu kuogelea vizuri (mobility).
6.Inabalance kiwango cha chuma Kwenye damu.
7.Zinasaidia kupromote matumizi ya glucose Kwenye damu kubadilishwa kuwa nguvu na si kugeuzwa kuwa mafuta.
8: Ni bidhaa bora ambayo husaidia katika kuondoa changamoto ya mwanaume kuwa kufika kileleni mapema na kutorudia tendo.
9: Huboresha misuli ya usafirishaji mbegu ya uume na kuifanya kuwa imara hasa kwa walioathirika na changamoto ya kujichua kwa mda mrefu.
10: Huboresha tatizo la kusinyaa kwa uume na kutorudia tendo.
11: Husaidia kuondoa athari za kujichua kwa mda mrefu na kukufanya kuwa imara zaidi.
12. Huboresha mfumo wa mzunguko wa damu na kuondoa mafuta mabaya katika mishipa ya damu.
13. Husaidia kuongeza uzalishaji seli katika tezi hivyo huthibiti saratani ya tezi.

*Na utazitumia kwa siku 20*

*Hivyo ni bidhaa bora kwa na afya ya uzazi na Tezi Dume.*

*JE UNGEPENDA KUANZA KUITUMIA SASA?*
Popote ulipo utahudumiwa.
Kwa msaada zaidi:

*+255765613692.*

Tunapatikana, Dar es salaam.
Victoria, Karibu na Makumbusho.
Ila unaweza ipata huduma popote Tanzania.

*KARIBU SANA.*

MAUMIVU YA VIUNGO,KIUNO,SHINGO NA MGONGO,MIGUU KUWAKA MOTO,KUKAKAMAA KWA MISULI,NICHANGAMOTO KWA WAZEE,WANAMICHEZO,WENYE...
23/09/2021

MAUMIVU YA VIUNGO,KIUNO,SHINGO NA MGONGO,MIGUU KUWAKA MOTO,KUKAKAMAA KWA MISULI,NICHANGAMOTO KWA WAZEE,WANAMICHEZO,WENYE UZITO MKUBWA NA WANYANYUA VYUMA(WANA GYM).

Matatizo ya viungo,miguu kuwaka moto,maumivu ya kiuno na mgongo, yamekua yakiwasumbua watu wengi hasa wenye uzito mkubwa,wanaofanya mazoezi na wazee wenye umri kuanzia 55+

Hii ni kwasababu umri unavyozidi kwenda mwili unashindwa kuzalisha ute ute katika viungio vya mifupa,na hivyo kupelekea misuguano ya mifupa,ambapo husababisha maumivu makali sana na kupelekea mtu kushindwa Kukaa,Kuinuka,Kukimbia au Kutembea Kabisa!!

CHANZO CHA TATIZO LA VIUNGO (JOINTS TEAR AND WEAR)

-Mara Nyingi Ugonjwa Huu Huitwa ARTHRITIS,Unasababishwa na hitilafu yoyote katika sehemu hizo za maungio ya mifupa.

Inaweza kuwa cartilage inalika,upungufu wa synovial fluid(Maji Maji Katika Maungio),maambukizi ya vijidudu katika moja ya maeneo hayo au mchanganyiko wa matatizo Mbali Mbali,Ikiwemo Uzito mkubwa.

Tabia kuu ya magonjwa haya ni maumivu kwenye maungio ya mifupa (joints) ambayo ni endelevu na ambayo hutokea eneo hilo hilo moja.

Chanzo Cha Arthritis Ni Nini...?

Ili Upate Kuelewa Vyema Chanzo cha ugonjwa huu,hebu kwanza tutazame muundo wa joint au sehemu mifupa miwili inapokutana(Maungio).

Mfano Goti ambapo mifupa miwili mmoja wa paja na mwingine wa mguu vinapokutana:

Maungio ya mifupa-Ligaments;

-Ndicho kitu kinachoshikilia mifupa hii miwili pamoja,hii ni k**a utepe wa plastiki au mpira unaonyumbuka uliozunguka eneo hilo kwa nje,ukikunja goti inanyumbuka na ukinyoosha mguu inarudi.

Cartilage;Huu ni utando unafunika eneo ambalo mifupa hugusana ili kuzuia mifupa hii isisuguane moja kwa moja,Utando huu ambao kwa kiswahili tunauita gegedu huyawezesha maungio hayo kufanya kazi kiulaini pasipo kusababisha maumivu.

Capsule;Hiki ni kitu kinachofunika maungio haya kikizunguka pande zote,ndani ya mfuko huu wa capsule kuna synovial fluid ambayo huzalishwa na synovial membrane.

Synovial fluid ni ute ute wa kulainisha sehemu hiyo ya maungio na synovial membrane ni utando ulio kwenye kuta za ndani za capsule.

K**a nilivyoeleza hapo juu,kuwa kuna aina zaidi ya 100 za ugonjwa huu wa joints au arthritis.

Katika mada yetu ya leo tutatazama aina k**a nne hivi za ugonjwa huu,tukielezea chanzo cha kila aina....

1. Osteoarthritis.

- Hii ni aina ya arthritis inayosumbua watu wengi zaidi kuliko aina nyingine zote...

Ugonjwa huu huwapata zaidi watu wenye umri mkubwa,Osteoarthritis hutokea pale cartilage inapopoteza uwezo wake wa kubonyea na kuwa ngumu hivyo kuharibika haraka.

- Cartilage ni kiungo cha kuhimili migandamizo ya ghafla (shock absorber),Cartilage hii inapopoteza ubora wake,tendons na ligaments huvutika na kusababisha maumivu.

Hali ya uharibifu huu wa cartilage ikiendelea,mwishowe mifupa huanza kusuguana moja kwa moja na ndipo mgonjwa atakapoanza kupata maumivu makali sana sana.

- Athari za ugonjwa huanza taratibu na kuongezeka zaidi,Mgonjwa ataanza kupata maumivu kwenye joint baada ya kufanya shuguli fulani au baada ya mapumziko ya muda mrefu. Joints zitaanza kukaza siku hadi siku,Hasa wakati wa asubuhi unapotaka kuanza shughuli zako za kawaida.

Na siku zinavyosogea ndivyo utakavyoona ni vigumu zaidi kukitumia kiungo chako,Mara nyingine utaona uvimbe kwenye joint.

Osteoarthritis hushambulia zaidi nyonga,mikono,magoti na uti wa mgongo.

2. Rheumatoid arthritis.

- Ugonjwa huu hutokea pale mfumo wa kinga ya mwili unapopungua,viungo huanza kushambuliwa, ikiwa ni pamoja na synovial membrane (synovium) na kusababisha uvimbe na maumivu.

Hali hii isipodhibitiwa,huweza kusababisha ulemavu. Ugonjwa huu unaweza pia kushambulia macho,ngozi,mapafu,midomo,damu na mishipa ya damu. Huu ni ugonjwa ambao zaidi ni wa wanawake na huwatokea zaidi wawapo kati ya umri wa miaka 40 hadi 60.

Mgonjwa atasikia maumivu na kuona uvimbe kwenye joints za pande zote za mwili;

Yaani k**a ni magoti,yote mawili yatashambuliwa na Viungo vinavyoshambuliwa zaidi ni vidole,viwiko vya mikono na miguu.

- Athari zake huonekana zaidi asubuhi unapoamka na maumivu yanaweza kudumu kwa muda wa hadi nusu saa.

Muathirika wa ugonjwa huu hujisikia mchovu muda wote, hukosa hamu ya kula na hupungua uzito,Ugonjwa huu huweza kukua zaidi na Kusababisha matatizo katika viungo vyote vya mwili.

Matatizo yanayoweza kujitokeza ugonjwa ukikua ni k**a yafuatayo:

– Macho kuwa na ukavu,maumivu,wekundu,kutopenda mwanga na kutoona vizuri

– Midomo,Ukavu au kukauka kwa lips za midomo,maumivu na maambukizi ya fizi

– Ngozi,Vijinundu chini ya ngozi kwenye maeneo yenye mifupa

-- Mapafu,Kushindwa kupumua vizuri

– Mishipa Ya Damu,Uharibifu wa mishipa ya damu

– Damu,Upungufu wa chembechembe nyekundu za damu

3. Infectious arthritis (septic arthritic).

- Aina hii ya arthritis inatokana na maambukizi ya bacteria kwenye synovial fluid. Maambukizi haya yanaweza kuwa pia ni ya fungus au virusi.

Wadudu kutoka sehemu nyingine ya mwili iliyo karibu na maungio ya mifupa huweza kusambaa kupitia mfumo wa damu hadi kwenye joint na kuleta maambukizi.

Mara nyingi mtu mwenye aina nyingine ya arthritis ndiye anayepata maambukizi ya namna hii,Mgonjwa ataanza kwanza kupata homa, maumivu na uvimbe kwenye joint.

Maeneo ambayo hushambuliwa zaidi na aina hii ya arthritis ni goti, mabega,kiwiko cha mkono,kiganja (wrist) na vidole na mara nyingi ni eneo moja tu ndilo litakaloshambuliwa

4. Juvenile rheumatoid arthritis (JRA).

- Ni ugonjwa ambao huwapata zaidi vijana walio na umri ulio chini ya miaka 16 na unakuja kwa namna nyingi.

Kuna aina kuu tatu za ugonjwa huu:

I. Pauciarticular JRA.

- Huu ndiyo unaoonekana zaidi na hauna madhara makubwa ukilinganisha na aina nyingine,Mtoto atasikia maumivu kwenye joints zinazofikia nne.

II. Polyarticular JRA.

- Huu hushambulia joints nyingi zaidi, zaidi ya nne na maumivu yake ni makali zaidi.

Kadri siku zinavyoongezeka, ndivyo maumivu yatakavyozidi.

III. Systemic JRA.

- Huu huonekana kwa nadra ambapo maumivu hujitokeza kwenye maeneo mengi na madhara yake kuwa makubwa zaidi,Mtoto ataanza kusikia homa za vipindi ambapo huzidi zaidi nyakati za jioni.

Hali hii inaweza kumtokea mtoto kwa muda mfupi au kwa wengine kwa muda mrefu sana.

Mtoto atapata mauvimu kwenye maungio ya mifupa (joints),uvimbe kwenye maungio hayo na kukak**aa kwa viungo.

Mtoto huyu atakosa hamu ya kula hivyo kumfanya akonde.

Ugonjwa ukizidi, mtoto anaweza kudumaa (kushindwa kukua), ukuaji wa mifupa yake kuathirika na kupata matatizo ya macho (uveitis).

Changamoto Kubwa Ya Matatizo Ya Joints Huwapata Wana Michezo,Wanyanyua Vyuma(Body Builder),Watu Wanaofanya Kazi Ngumu,Mafundi Magari,Wabeba Mizigo Na Madereva Wa Masafa Marefu Na Wafanyakazi Wa Mahofisini Wanao Fanya Kazi Za Kukaa Zaidi.

SULUHISHO KWA MGONJWA MWENYE TATIZO LA JOINTS NA KUJIKINGA NA TATIZO LA JOINTS

Hakuna Ugonjwa usio na suluhisho k**a ukiuwahi mapema,japo pia ukichelewa ina kuwa ni mbaya zaidi ila suluhisho halikosekani kabisaa!!

Na Suluhisho pekee la Tatizo La Joints ni kutumia Virutubisho(Food Supplements),kwa mwenye tatizo ama kwa wanaofanya mazoezi ili kuongeza huo ute ute kwa lengo la kuzuia misuguano ya joints.

Au Changamoto Nyingine Za Kiafya Tuwasiliane......

*0765613692*

*TATIZO LA NGUVU ZA KIUME*Tafiti zinaonesha kwamba katika kila wanaume 10, wanne wana tatizo la nguvu za kiume. Na katik...
22/09/2021

*TATIZO LA NGUVU ZA KIUME*
Tafiti zinaonesha kwamba katika kila wanaume 10, wanne wana tatizo la nguvu za kiume. Na katika kila wanawake 10, nane hawafurahii tendo la ndoa.. either kwasababu wanaume hufika kileleni haraka kabla ya mwanamke, or kwasababu ya maumivu anayoyapata mwanamke kutokana na uke kukauka haraka wakati wa tendo n.k

*DALILI ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME*

✔Mwanaume anayekabiliwa na tatizo la ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume huonyesha dalili zifuatazo:-
1▶️Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake barabara. Kwa kawaida uume wa mwanaume aliyekamilika (rijali ) unaposimama, hutakiwa kuwa imara k**a msumari, lakini kwa mwanaume anaye kabiliwa na tatizo hili uume wake hata ukisimama hubakia kuwa lege lege na huweza kusinyaa wakati wowote. Tatizo hili ni matokeo ya kulegea kwa mishipa ya uume. Mishipa ya uume ndio inayo ufanya uume usimame barabara.
2▶️kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa mara moja. Hii husababishwa na kutokuwa na msukumo mzuri wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya uume
3▶️Kutojisikia hamu ya tendo la ndoa. Hili ni matokeo ya kuwa na msongo wa mawazo
4▶️Kufika kileleni mapema
5▶️Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha kabisa. Hali hii hutokea pindi tatizo la kutokuwepo kwa msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya uume linapokuwa limekomaa
6▶️Uume kusinyaa na kurudi ndani. Hapa uume wa mwanaume unakuwa umesinyaa na kurudi ndani. Uume huu unakuwa hauna uwezo wa kukamilisha tendo laV ndoa hali hii husababishwa na upigaji punyeto kw a mda mrefu pia magonjwa hasa chango lá kiume au ngiri
*PIA VYANZO VIKUU VYA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME*
●upigaji punyeto wa mda mrefu
●msongo wa mawazo
●ugonjwa wa kisukari
●shinikizo lá damu (pressure
●kupooza kwa mwili
●kuugua chango la kiume
●ulevi ulokithiri
●woga wa kufanya tendo la ndoa
●kuwa na wasiwasi wa kumudu kutekeleza tendo la ndoa
●uzoefu wa kukatisha tamaa wa siku za nyuma
●ulaji mbovu wa vyakula vya kisasa na vyenye mafuta kupita kiasi
●mazingira yasiyoridhisha wakati wa tendo la ndoa.

*JE NI WEWE,NDUGU,AMA RAFIK ANAPITIA/UNAPITIA* *CHANGAMOTO HII,NA PENGINE UNATAMAN SIKU MOJA UWEZE KUWA VIZUR ILA* *UMEKUA UKITAFUTA SULUHISHO BILA MAFANIKIO YOYOTE*
*TUMAINI LIPO UKITUMIA VIRUTUBISHO VYETU UTARUDI UHALISIA WAKO TUNAONDOA MZIZI WATATIZO NA AUTO RUDIA TENA KULALAMIKA*

https://wa.me/255765613692

JE UMEKUWA NA CHANGAMOTO YA KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA?Try these iko👍🏼👇🏽

💥FOREVER MULT MACA😍
Inatokana na mmea uitwao MACA au Lupidium meyenii kutoka nchini Peru wenye historia ya miaka zaidi ya 2000 Kuongeza Stamina ya mwili .Haina madhara na Ina faida kubwa sana kwa WANAUME na WANAWAKE.

Wanawake wa PERU wanaotumia MACA kuanzia wakiwa na umri wa miaka 3 ili wawe na NGUVU YA HAMU TENDO LA NDOA na uwezo wa kuzaa.
Ina Protein nyingi katika mfumo wa Amino Acids ,na Virutubisho muhimu vinavyosaidia kazi kuamsha ishara za Hamu ya TENDO la NDOA

*FAIDA ZA MULT MACA *
√Aphroidiasic Activity
INAONGEZA HAMU YA MAPENZI KWA KINA MAMA NA BABA kwa asilimia 180 stamina na nguvu.
√Inasaidia kuondoa msongo wa mawazo.
√Inasaidia kuondoa Madhara ya kukomaa kwa HedhiMenopause( homon na kusikia Joto Kali_hot flashes)
√Inarutubisha mayai
√Inaongeza idadi ya mbengu za kiume (s***m count)kwa asilimia 200 na uwezo wa mbegu kuogelea vizuri(mobility)
√Inabalance kiwango cha Chuma kwenye DAMU
√Inasaidia Kupromote matumizi ya glucose kwenye Damu kubadirishwa na kuwa Nguvu na Si kugeuzwa kuwa mafuta
Call
Whatsap 0765613692
Free Delivery in Dar

*TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME – Chanzo, Dalili & Tiba**UTANGULIZI – LIJUE TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*U...
19/09/2021

*TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME – Chanzo, Dalili & Tiba*

*UTANGULIZI – LIJUE TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*
Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. atizo hili huripotiwa kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao anatatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kuto kuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba.
Hili tatizo huwanyima watu raha kwa kuwa na mawazo, kuwa na matatizo katika mahusiano, watu wengi wenye tatizo hili wanahitaji kutumia dawa zisizo na madhara na kubadilisha mitindo ya maisha yao ili kuweza kurudisha hali zao na kuondoa tatizo, cha msingi ni kuzingatia yale utakayoelekezwa.
Kuna matatizo ya kutofanya mapenzi kikamilifu, nayo ni; kuwahi kumwanga mbegu za uzazi, Kuto kumwaga, kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa

CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na;

1.Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo

2.Kuvuta sigala na unywaji wa pombe

3.Uzito kupita kiasi na unene uliozidi

4.Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

5.Kisukari

6.Kuwa na mawazo na wasiwasi

7.Matumizi ya madawa mbalimbali

8.Umri hasa wazee

9.Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili

10.Kuwa na tatizo la kibofu

11.Tabia za kujichua kwa mda mrefu

12.Kutopata usingizi kamili

13.Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa k**a kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Dalili za kuonesha kuwa una tatizo la upungufu wa nguvu za kiume karibia zote zinahusiana na hali itakayo onekana katika tendo la ndoa au mda wa kujamiiana, hizo dalili zake ni k**a;

1.Kuwahi kufika kileleni

2.Kukosa hamu ya mapenzi

3.Kushindwa kurudia tendo la ndoa

4.Uume kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha

5.Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji

6.Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo

7.Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)

8.Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji

JINSI YA KUEPUKANA NA KUPATA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME

1.Fanya mazoezi – Angalau dakika 30 kwa siku

2.Kula vyakula asilia na usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

3.Tibu magonjwa yako yanayokuweka hatarini k**a kisukari, moyo, punguza unene na mengine

4.Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol) au mafuta yaliyozidi

5.Balansi usito wako

6.Usivute sigara

7.Punguza au acha kunywa pombe

8.Punguza mawazo

9.Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali

10.Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9

11 Usitumie dawa zenye kemikali nyingi huathiri mfumo wa uzazi

12.Kunywa maji ya kutosha

TIBA YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Hili ni tatizo ambalo huwanyima raha watu wengi kwasababu linaashiria upungufu flani wa kimwili, tunawashauri watu wengi wafanye mazoezi, kula chakula bora hasa asilia na pia wanywe maji mengi ili kuimarisha afya zao. Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linaondolewa japo ni kwa mda kidogo, wengi hudanganywa na kupewa dawa za kuongeza nguvu pale unapoenda kujamiiana na sio dawa ya kutibu.
Tuna Virutubisho vya kutatua tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ambavyo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa.Virutubisho hutibu kwa mda kulingana na ukubwa wa tatizo, ukianza kutumia baada ya siku ya tano huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa utumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendelea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa.
Tunamshukru Mungu kwa uumbaji wake na kutupa dawa ambazo alizileta ili kutuimarisha na kutuponya, Mungu hakuumba dawa nyingine zaidi ya mimea na vitu vingine vya asili, japo wengi hudharau. Mungu tunaomba utuokoe na kutuponya.

*0765613692*

*HAYA NDIYO MAJANGA 7 YANAYOWATESA WANAUME WENGI. SOMA HAPA UTATUZI (TIBA) WA MAJANGA HAYA*Ambatana nami.Ukosefu au upun...
08/09/2021

*HAYA NDIYO MAJANGA 7 YANAYOWATESA WANAUME WENGI. SOMA HAPA UTATUZI (TIBA) WA MAJANGA HAYA*

Ambatana nami.

Ukosefu au upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo kubwa sana, ambalo endapo halitatafutiwa ufumbuzi na muhusika linaweza kuyaathiri maisha yake kwa kiasi kikubwa sana. Majanga hayo haya:-

(1). KUTOKUWA NA UWEZO WA KUSIMAMISHA UUME BARABARA
Kwa kawaida uume wa mwanaume aliyekamilika (rijali ) unaposimama, hutakiwa kuwa imara k**a msumari, lakini kwa mwanaume anayekabiliwa na tatizo hili uume
wake hata ukisimama hubakia kuwa lege lege na huweza kusinyaa wakati wowote.
Tatizo hili ni matokeo ya kulegea kwa mishipa na misuli ya uume. Hii ndio inayo ufanya uume usimame barabara. Mishipa na misuli hii inapokuwa imelegea, uume hauwezi kusimama barabara hata iweje.

(2).KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA
Hapa mwanaume anakuwa hana uwezo wa kutamani kufanya tendo la ndoa hata anapokuwa faragha na mke wake. Tatizo hili kwa kiasi kikubwa husababishwa na
msongo wa mawazo.

(3).KUTOKUWA NA UWEZO WA KURUDIA TENDO LA NDOA ZAIDI YA MARA MOJA
Mwanaume akishakamilisha mshindo mmoja wa tendo la ndoa basi anakuwa hana tena uwezo wa kurudia mshindo mwingine. Hali hii husababishwa na kutokuwa na msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya kwenye uume.

(4). UGONJWA WA KISUKARI AU SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA)
Watu wenye magonjwa haya husumbuliwa sana na tatizo hili kwani huathiri msukumo wa damu na hivyo kuleta mshikeli.

(5). KUTOKUWA NA UWEZO WA KUSIMAMISHA UUME KABISA
Hali hii hutokea pindi tatizo la kutokuwepo kwa msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya uume, linapokuwa limekomaa. Na wakati mwingine, hali hii hutokea pindi vyanzo zaidi ya kimoja vya tatizo la kiume vinapo kuwa vimejitokeza kwa mtu mmoja.

(6). UUME KUSINYAA NA KURUDI NDANI
Uume wa mwanaume unakuwa umesinyaa na kurudi ndani na kuwa k**a wa mtoto. Uume huu unakuwa hauna uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa.

(7). MSONGO WA MAWAZO
Mtu mwenye msongo wa mawazo au kwa lugha ya kigeni (Stress) muda wote, mambo hayendi k**a unavyotaka, akili inakuwa imejazwa na mawazo mengi basi moja kwa
moja hata ule mfumo unaoratibu hisia zako kwenye suala la mapenzi unashindwa kufanya kazi vizuri.

NINI KIFANYIKE ILI UWEZE KURUDI KATIKA HALI YAKO YA KAWAIDA

TUMIA PACKAGE MOJA WAPO KATI YA IZI TATU AMBAPO KILA PACKAGE INA BIDHAA TOFAUTI NDANI YAKE

1.PACKAGE KUBWA
2.PACKAGE YA KATI
3.PACKAGE NDOGO

Karibu ili urejeshe nguvu za kiume.

*package izi zita kusaidia kwenye mambo haya niliyo ya orodhesha hapa chini*

1) Husaidia kuurudisha nje uume ulio ingia ndani sababu ya kupiga punyeto na matumizi ya muda mrefu ya vidonge vya kuongeza nguvu za kiume.
2) Huondoa hali ya Kuwahi mapema kufika kileleni
3) Hutibu tatizo la Kushindwa kurudia tendo la ndoa
4) Hurejesha hamu ya kufanya tendo la ndoa zaidi ya mara mbili kwa siku.
5) Huondoa tatizo la kutoa manii kidgo na nyepesi.
6) Hurutubisha mbegu na kuondoa uchovu baada ya tendo la ndoa.
7) Huimarisha misuli na mishipa ya uume na kuufanya
uume kusimama imara k**a msumari.

Unaweza kubonyeza link hii chini ili ikulete whatSapp

https://wa.me/255765613692

Kwa ushauri na maswali na kujipatia package yako nipigie kwa namba

*0765613692*

Address

Kinondoni

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:30

Telephone

+255765613692

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya kwa maendeleo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya kwa maendeleo:

Share