Health and Wellness Tanzania

Health and Wellness Tanzania Hii ni page kuhusiana na bidhaa zetu za asili ambazo hazina madhara kwa mwili na zinatumika k**a kinga au tiba lishe kwa magonjwa sugu karibuni sana.

DAWA MBADALA ZINAZOTUMIKA KUREJESHA UKE MKUBWA AU ULIOLEGEAJinsi gani ya kukaza uke au ni namna gani kufanya uke uwe mdo...
13/08/2020

DAWA MBADALA ZINAZOTUMIKA KUREJESHA UKE MKUBWA AU ULIOLEGEA

Jinsi gani ya kukaza uke au ni namna gani kufanya uke uwe mdogo tena ni mada au somo lisilopendwa kuzungumzwa na watu wengi.

Ikiwa wewe ni mmoja wa waathirika na tatizo hili basi tumia muda wa kutosha kusoma makala hii sasa hivi, irudie mara nyingi mpaka umeielewa.

KINACHOSABABISHA UKE KULEGEA

Uke kulegea au kuwa mkubwa zaidi unaweza kutokea kutokana na sababu nyingi. Kumbuka pia kushiriki tendo la ndoa mara chache siyo suluhisho la kuwa na uke mdogo. Hakuna uhusiano wa moja kwa moja wa kuwa na uke mkubwa na kushiriki tendo la ndoa mara nyingi.

Pia hakuna uhusiano wa umri na ukubwa wa uke. Wapo wamama watu wazima wana uke mdogo pia kuna wasichana wadogo kabisa wana uke mkubwa kupitiliza.

Watu wengine huamini kuwa mwanamke mwenye uke mkubwa na mlegevu ametembea na wanaume wengi sana, jambo hilo sio kweli kwani hakuna uume unaoweza kufanya hivyo ila mwanamke aliyezoea uume mkubwa anaweza kupata shida kufurahia tendo la ndoa akipata mwanaume mwenye uume mdogo.

K**a ilivyo kwa uume kwamba wanaume wana uume wenye ukubwa tofauti tofauti kadharika wanawake nao kila mwanamke ana uke wa ukubwa tofauti tofauti tofauti.

Kwa kawaida hakuna mwanaume anayependa kushiriki tendo la ndoa na mwanamke mwenye uke mkubwa. Kuna tetesi zisizo rasmi kuwa hata wanaume wanaopenda kushiriki tendo la ndoa kinyume na maumbile na wake zao huanza tabia hiyo mara baada ya kuona uke umelegea kiasi cha kutokuwa na radha tena.

Uke kulegea ni matokeo ya asili ya kuchakaa na kupanuka kwa kuta zake.

Mfano mara baada tu ya kujifungua misuli ya uke inalegea na k**a hutachukua hatua mapema uke unaweza kupoteza hali ya kujibana tena na kurudi kwenye saizi yake ya awali.

Je kuna njia za kugundua k**a una uke mdogo au mkubwa?

Wanawake wengi hawajui ukubwa wa uke wao kwa kuwa hawawezi kujipima au kuona umuhimu wa kufanya hivyo.

Uke unapokuwa katika hali yake ya kawaida kuta zake zinalaliana na kwa wengi kipenyo cha uke hakizidi inch 1 na nusu na urefu wake kati ya inch 3 hadi 4, hata hivyo ukubwa wake hubadilika mwanamke anapokuwa tayari kwa tendo la ndoa.

Unaweza kuwa inch 1 au moja na nusu ni ndogo kwa mwanaume kupitisha uume wake, ukweli ni kwamba uke una uwezo wa kutanuka ili uweze kumeza uume. Ukiingia ndani ya uke ukubwa huongezeka zaidi hadi kufikia inch 3.

Kwa wanawake waliozaa hawana budi kukabiliana na ongezeko la ukubwa wa uke wao,kadri watoto wanavyozidi kuongezeka ndivyo ukubwa wa uke uongezekavyo ,hali hii hutokana na uharibifu wa misuli iliomo katika kuta za uke.

K**a uke wako umepanuka zaidi na umekuwepo ulegevu mkubwa matokeo yafuatayo yatakukabili;

1.Hutafurahia tendo la ndoa

2.Mpenzi au mumeo atapata shida kuridhika nawe kutokana na hali ya kupwayapwaya.

3.Unaweza kupata tatizo la hewa kuingia ndani ya uke na kusababisha hali inayofanana na kujamba, jambo linalowakuta wanawake wengi.

Baada ya kujifungua yanakuwepo mabadiliko ya vichocheo muhimu,kichocheo cha Estrogen na Progesterone hupungua na hili husababisha upungufu wa majimaji ya kupunguza msuguano wakati wa kufanya mapenzi.

UTAJUAJE KUWA UKE WAKO UMELEGEA AU KUONGOZEKA UKUBWA?

Wanawake wengi wanagundua kuwa uke wao umebadilika pale mpenzi au mume anapoanza kulalamika au kupoteza hamu ya kufanya mapenzi.

Wengine wanashindwa kujua kwanini wapenzi wao au waume zao wamepoteza msisimko wa kufanya mapenzi k**a zamani,hapa ndipo unapoonekana umuhimu wa wapenzi kushirikishana mambo mbalimbali katika mahusiano yao bila woga.

Zifuatazo ni ishara za kujua k**a huko chini kumelegea au kuwa kukubwa

1. K**a ukiingiza kidole chako ukeni inakuwa vigumu kukibana kwa uke wako

2. Unapokuwa bado hujapata hamu ya kufanya mapenzi,uke wako (tundu ambalo uume huuingia) linakuwa wazi yaani hupati pingamizi lolote ukiingiza kidole.

3. Unaweza kuingiza vidole vitatu au zaidi ndani ya uke wako bila kipingamizi kikubwa.

4. Unapata shida kubwa kufika kileleni.

Sababu kuu za uke kulegea na kuwa mkubwa ni pamoja na:

* Kuzaa mara kwa mara
* Uzito na unene uliozidi
* Kujifungua kwa upasuaji
* Kuinua vitu vizito mara kwa mara
* Mazoezi mazito ya mara kwa mara
* Misukosuko ya siku za nyuma katika nyonga
* Ukomo wa hedhi
* Maumivu sugu nyuma ya mgongo
* Kupiga chafya au kikohozi mara kwa mara
* Kufunga choo au kupata choo kigumu mara kwa mara

Mlolongo huu ni wa asili, hata hivyo kuna hatua unaweza kuzichukua na hivyo kurudishia kifaa chako katika hali ya kawaida k**a msichana tena.

Baadhi ya wanawake hupendelea kufanya upasuaji maalumu ili kurudishia maumbile yao kuwa madogo jambo ambalo linaweza kuwa na athari kubwa kiafya hapo baadaye.

Zipo njia za asili unazoweza kuzifuata kukusaidia kukaza tena kifaa chako ukiwa nyumbani na kwa namna za asili bila kukuacha madhara yoyote hapo baadaye.

Ili kufanya misuli ya uke ibane unaweza kutumia Shampoo spesho ya k**e ambayo imetengenezwa kwa vitu asilia na jukumu kubwa ni kurudisha uhalisia wa misuli ya uke ilerejee kubana k**a awali na pia kuongeza mnato asilia. Shampoo hii umaweza tumia mara mbili kwa siku asubuhi na jioni kwa kutumia matone machache tu k**a matatu yanatosha kabisa.

Mambo mengine muhimu ya kuzingatia:

*Kuwa msafi kila mara
* Vaa nguo za ndani zinazotengenezwa kwa pamba

Njia hio nilioelezea hapo juu ni nzuri katika kurejesha saizi ndogo uke ulikokwisha kuwa mkubwa au uliolegea. Chakula na mazoezi pia ni muhimu kuzingatia kwa matokeo mazuri na yenye uhakika.

Kwahiyo k**a wewe ni mmoja wa watu wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo hili usiichukulie poa hii makala jaribu yaliyopendekezwa humu na uniletee mrejesho.

Jinsi ya kupata hii shampoo wasiliana nasi kwa PIGA/SMS/WHATSAPP +255 744 373 225 Karibuni Nyote.

11/07/2020

Heshima ya Ndoa.

Tunatatua changamoto za Nguvu za Kiume na kwa maelezo zaidi tuwasiliane PIGA/SMS/WHATSAPP +255 744 373 225.

*FAIDA  ZA FEMININE WASH KATIKA   SEHEMU ZA SIRI ZA MWANAMKE/MFUMO WA  UZAZI:*-Hutibu tatizo la uke kuwa mkavu.- Hutibu ...
10/07/2020

*FAIDA ZA FEMININE WASH KATIKA SEHEMU ZA SIRI ZA MWANAMKE/MFUMO WA UZAZI:*
-Hutibu tatizo la uke kuwa mkavu.
- Hutibu U.T.I sugu
- Hutibu tatizo la fungus ukeni
-Huzibua mirija ya uzazi iliyoziba
-Huondoa tatizo la uke kujaa maji mengi wakati wa sex/tendo la ndoa.
- Huondoa hali ya uke kupwerepeta
- Huondoa tatizo la mwanamke kukosa hisia ya mapenzi
- Huufanya uke kubana/kuwa mnato
- Huondoa harufu mbaya ukeni
- Hutibu tatizo la kutokwa uchafu wenye harufu mbaya ukeni
- Huondoa maumivu kipindi cha hedhi
- Hurudisha furaha na kuleta heshima ya ndoa kwa mwanamke.
- Huufanya uke kuwa mdogo na misuli kubana na huondoatatizo la misuli kulegea
na uke kuwa mpana/mkubwa sana. nk.
- Huua bacteria wanaosababisha magonjwa ukeni/uzazi
- Hutibu P.I.D

*.FEMININE WASH HUTUMIWA ENDAPO HAUUMWI K**A KINGA,USAFI SEHEMU ZA SIRI,KUONGEZA HALI YA KUJIAMMINI ZAIDI MWANAMKE.*

*.INASHAURIWA MWANAMKE ATUMIE FEMININE WASH MARA KWA MARA ILI KUONDOA MAAMBUKIZI UKENI/KUUFANYA NA MFUMO WA UZAZI KUWA SALAMA NA IMARA ZAIDI.

Kwa maelezo, ushauri au kuweka Order wasiliana nasi kwa PIGA/SMS/WHATSAPP +255 744 373 225.

Somo la leo:-*DAWA ZA UZAZI WA MPANGO ZINAATHIRI VIPI  MZUNGUKO WAKO WA HEDHI?*♦️Kwanza kabisa tuangalie udhibiti wa hor...
16/06/2020

Somo la leo:-

*DAWA ZA UZAZI WA MPANGO ZINAATHIRI VIPI MZUNGUKO WAKO WA HEDHI?*

♦️Kwanza kabisa tuangalie udhibiti wa hormone katika mzunguko wa hedhi, yaani hormone zipi zinahusika na mzunguko wa hedhi na zinafanya vipi kazi.K**a inavyoonekana katika mchoro huu.

♦️Katika ubongo kuna tezi ya *hipothalmas* inayozalisha hormone ya *Gonadotropini* hii hormone inachochea tezi ya pituitari ambayo nayo ipo kwenye ubongo kuzalisha hormone zifatazo

↔️ *1.hormone chochezi ya mayai (FSH)* ambayo huchochea kukua na kupevuka kwa mayai na kuchochea mfuko wa mayai *(ovari)* kuzalisha hormone za uzazi *oestrogen na progesterone.*

↔️ *2.Hormone ya lutea* ambayo huchochea kuachiliwa kwa yai kutoka kwenye mfuko wa mayai *(Ovulation).*

♦️Baadae *estrogen na progesterone* ambazo zinakazi kubwa katika mzunguko zinapokuwa zimezalishwa kwa kiasi cha kutosha zinafanya sasa tezi ya *hipothalmus isizalishe tena Hormone ya gonadotropin* na kuzuia mzunguko mzima.

♦️Pindi unapokaribia hedhi *estrogen na progesterone* zinashuka kiwango ili kuruhusu *Hipothalmus* izalishe tena *gonadotropin* ili mzunguko uanze tena

*JE DAWA ZA UZAZI WA MPANGO K**A MAJIRA ,P2 NA NYINGINEZO ZINAATHIRI VIPI MZUNGUKO?*

♦️Kwanza kabisa ile dhana kwamba zinaacha sumu si kweli,
Unapomeza mfano vidonge ndani ya *masaa 24 hadi 36* zinakuwa zimeshatolewa kabisa mwilini kupitia ini.

♦️Sasa kwa nini mtu anaweza kukosa hedhi baada ya kuacha kutumia hizi dawa. Fuatilia hapo chini nimekuwekea maelezo
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
♦️Dawa hizi zinakuwa na *kemikali* ambazo zinafanana na *hormone ya progesterone* na nyingine zina dawa inayofanana na *estrogen.*

♦️Zinapoingia mwilini zinafanya kazi k**a hormone hizo na kuziba vijishikizo *(receptors)* za hormone hizo, mwili huhisi kuwa kuna kiwango kikubwa cha hormone ya *estrogen na progesterone* matokeo yake *hipothalmus* inakuwa *inactive* na kuacha kuzalisha *hormone ya gonadotropin* na kuathiri uzalishwaji wa mayai na hedhi. Hadi kupelekea mwanamke hapati ujauzito. Kwa hiyo znafanya kazi kwa kuvuruga huo mpangilio wa hormone.

♦️Unapoacha kutumia tezi ya *hipothalmus* kurudia hali yake ya kawaida kuanza kuzalisha *gonadotropin* inatofautiana kati ya mtu na mtu wengine muda mfupi na wengine muda mrefu kwani mwili umekua tegemezi kwa hizo hormone zilizomo kwenye dawa kuliko zile unazozalisha wenyewe.

↔️ *HIVO BASI DAWA HIZI HAZIACHI SUMU BALI ZINAVURUGA JINSI MFUMO WA HORMONE UNAVORATIBU MZUNGUKO WA HEDHI*

♦️Ndio maana nimekuwa nikisisitiza Kuwa unapopata matibabu ya kuratibu changamoto ya *Hormone Imbalance* yaani mvurugiko wa vichocheo vya hormones kupitia vidonge vya CPE na feminine Wash lazima uwe mvumilivu kwa uangalizi wa siku 90(miezi 3) japokuwa Dawa huweza kuondoa tatizo kabla ya muda huo kutokana na ukubwa wa tatizo kwasababu Kuna walio tumia njia hizo au vidonge vya *P2* kwa muda mrefu, na pia inategemeana na Kinga yako ya mwili..

♦️Bado ninaendelea kuwasihi kuwa ikiwa umeahatumia njia hizo au vidonge vya Kuzuia Mimba *P2* na Sasa unapata shida ya uzazi tafadhali nipigie simu nitakupa ushauri kwa namba PIGA/SMS/WHATSAPP +255 744 373 225.

SOMO LA LEO:-LIJUE TATIZO LA UKE MKAVU   NA MATIBABU YAKEUKE MKAVU:Ni tatizo linalo sababishwa na upungu/kiwango kidogo/...
11/06/2020

SOMO LA LEO:-
LIJUE TATIZO LA UKE MKAVU NA MATIBABU YAKE

UKE MKAVU:
Ni tatizo linalo sababishwa na upungu/kiwango kidogo/uwiano mbaya wa homoni za uzazi(HORMONE IMBALANCE)

UKE MKAVU:
Ni tatizo linalo wasumbua akina dada na wanawake wengi ni uke usio na ute wa aina yyte haijarishi mwanamke ameandaliwa kwa muda gani hapati ute wa uke wala wa uzazi

VISABABISHI VYA UKE MKAVU
-U.T.I SUGU
-FANGASI SUGU UKENI
-UKE MCHAFU
-MAGONJWA YA ZINAA K**A KASWENDE,GONOREA n.k
-HORMONE IMBALANCE
-MATUMIZI YA PED ZISIZO NA ANIONS

*DALILI ZA UKE MKAVU*
-Maumivu makali wakati wa tendo
-Kutokwa damu wakati wa tendo na baada ya tendo
-Kukosa hamu ya tendo
-Maumivu makali chini ya kitovu wakat wa tendo
-Kutokwa na damu wakat wa tendo
-Siku za hedhi kuto kuwa na mpangilio maalum

*MADHARA YA UKE MKAVU*
-Kuto shika mimba
-Kupata michubuko ukeni hvyo n rahisi kuambukizwa magonjwa k**a kaswende,gonorea,HIV n.k
-Kuto furahia tendo
-Kutokwa damu katkat ya mwezi

Kwa maelezo zaidi na kupata tiba au ushauri wasiliana nasi kupitia PIGA/SMS/WHATSAPP +255 744 373 225.

*FAIDA  ZA FEMININE WASH KATIKA   SEHEMU ZA SIRI ZA MWANAMKE/MFUMO WA  UZAZI:*-Hutibu tatizo la uke kuwa mkavu.- Hutibu ...
05/06/2020

*FAIDA ZA FEMININE WASH KATIKA SEHEMU ZA SIRI ZA MWANAMKE/MFUMO WA UZAZI:*
-Hutibu tatizo la uke kuwa mkavu.
- Hutibu U.T.I sugu
- Hutibu tatizo la fungus ukeni
-Huzibua mirija ya uzazi iliyoziba
-Huondoa tatizo la uke kujaa maji mengi wakati wa sex/tendo la ndoa.
- Huondoa hali ya uke kupwerepeta
- Huondoa tatizo la mwanamke kukosa hisia ya mapenzi
- Huufanya uke kubana/kuwa mnato
- Huondoa harufu mbaya ukeni
- Hutibu tatizo la kutokwa uchafu wenye harufu mbaya ukeni
- Huondoa maumivu kipindi cha hedhi
- Hurudisha furaha na kuleta heshima ya ndoa kwa mwanamke.
- Huufanya uke kuwa mdogo na misuli kubana na huondoatatizo la misuli kulegea
na uke kuwa mpana/mkubwa sana. nk.
- Huua bacteria wanaosababisha magonjwa ukeni/uzazi
- Hutibu P.I.D

*.FEMININE WASH HUTUMIWA ENDAPO HAUUMWI K**A KINGA,USAFI SEHEMU ZA SIRI,KUONGEZA HALI YA KUJIAMMINI ZAIDI MWANAMKE.*

*.INASHAURIWA MWANAMKE ATUMIE FEMININE WASH MARA KWA MARA ILI KUONDOA MAAMBUKIZI UKENI/KUUFANYA NA MFUMO WA UZAZI KUWA SALAMA NA IMARA ZAIDI.

Kwa maelezo, ushauri au kuweka Order wasiliana nasi kwa PIGA/SMS/WHATSAPP +255 744 373 225.

Somo la leo:-SIKU ZA MIMBA NA HATARI KATIKA MIZUNGUKO MBALIMBALI1. Mzunguko wa siku 20. Siku za hatari zinaanza Siku ya ...
04/06/2020

Somo la leo:-

SIKU ZA MIMBA NA HATARI KATIKA MIZUNGUKO MBALIMBALI

1. Mzunguko wa siku 20. Siku za hatari zinaanza Siku ya 2 hadi Siku ya 10.

2. Mzunguko wa``` Siku 21 Siku za hatari zinaanza siku ya 3 hadi Siku ya 11.

3. ```Mzunguko wa Siku 22 Siku za hatari zinaanza Siku ya 4 hadi Siku ya 12

4- mzunguko wa siku 23 Siku za hatari zinaanza Siku ya 5 hadi Siku ya 13

5 mzunguko wa siku 24 Siku za hatari zinaanza``` siku ya 8 hadi ya 14

6- mzunguko wa siku 25 Siku za hatari zinaanza Siku ya 9 hadi 15

7- mzunguko wa siku26 siku za hatari zinaanza siku ya 10 hadi 16

8- mzunguko wa siku 27 siku za hatari zinaanza``` siku ya 11 had 17.

9- mzunguko wa siku 28 Siku za hatari zinaanza Siku ya 10 hadi ya 18.
```
10. Mzunguko wa siku 29 Siku za uzazi zinaanza siku ya11 hadi Siku ya19

11- mzunguko wa Siku 30 siku za uzazi zinaanza siku ya12 hadi ya 20

12- mzunguko wa siku 31 Siku za uzazi zinaanza Siku ya 13 hadi siku ya 21

13. Mzunguko wa Siku 32 sikuza hatari zinaanza Siku ya 14 hadi Siku ya 22
14- mzunguko wa Siku 33 Siku za hatari zinaanza Siku ya 15 hadi Siku ya 23.

15- mzunguko wa siku 34 Siku za hatari zinaanza Siku ya 16 hadi Siku ya 24.

16. Mzunguko wa siku 35 Siku za hatari zinaanza siku ya 17 hadi siku ya 25.

*NOTE - Mzunguko chini ya siku 20 haupo na sio mzuri hata ukiwa nao. Na pia mzunguko wa Siku zaid ya 35 haupo na k**a unao sio mzuri*

*k**a una mzunguko wa hedhi usiyoeleweka yaani kuvurugika kwa hedhi usichukulie poa! Tafta suluhisho la kudumu kwa kuwasiliana nasi Piga/sms/Whatsapp +255 744 373 225*

SOMO LA LEO:-Dondoo:-  Sababu zinazosababisha Maumivu Wakati wa Tendo la Ndoa Kwa Mwanamke.Ni kawaida kwa wanawake kuhis...
02/06/2020

SOMO LA LEO:-

Dondoo:- Sababu zinazosababisha Maumivu Wakati wa Tendo la Ndoa Kwa Mwanamke.

Ni kawaida kwa wanawake kuhisi maumivu wakati wa kujamiiana. Katika matukio mengi hali k**a hizo, hutokana na mwanamke kutolainika sawasawa, hali hii inaweza kutatuliwa kwa urahisi kwa kuongeza muda wa kumchezea mwanamke(foreplay) au kutumia vilainishi vya ziada. Hata hivyo, iwapo maumivu hayakuweza kupungua, hizi hapa ni baadhi ya sababu, ambazo husababisha maumivu wakati wa tendo la ndoa:

👉 Kukak**aa kwa misuli ya uke (Vaginismus):
Hali hii inasababishwa na mkazo katika misuli ya uke inayotokana na hofu ya maumivu au majeraha.

👉 Matatizo ya shingo ya kizazi:
Wakati mwingine uume unaweza kuingia ndani zaidi hivyo kugusa shingo ya kizazi. Iwapo mwanamke ana maambukizi huisi maumivu mara shingo ya kizazi inapogusana na uume.

👉 Matatizo katika mfuko wa uzazi:
Matatizo k**a fibroids(Uvimbe) yanaweza pia kuwa sababu ya maumivu wakati wa ngono.

👉 Maambukizi ya uke:
Aina yoyote ya maambukizi ya uke k**a vile maambukizi ya fangasi inaweza kusababisha maumivu wakati wa kujamiiana.

👉 Kuumia uke:
Majeraha kutokana na sababu kadhaa mfano kuchanika wakati wa kujifungua au kuongeza njia katika msamba wakati wa kujifungua.

👉 Endometriosis:
Hii ni hali ambayo inasababisha tishu za mji wa mimba kukua nje ya mfuko wa uzazi, na hivyo kuchochea maumivu wakati wa kukutana kimwili.

👉 Maambukizi kwenye funga nyonga(PID):
Viungo kwenye nyonga vinaweza kupata maambukizi hivyo kusababisha maumivu wakati wa ngono.

👉 Matatizo ya ovari:
Matatizo haya ni pamoja na uvimbe kwenye mfuko wa mayai (ovarian cyst).

👉 Waliokoma siku(Menapause):
Wakati wanapokuwa wamekoma siku zao maumbile yao yanasinyaa na kuwa kavu, hivyo kuchochea maumivu wakati wa tendo la ndoa.

👉 Magonjwa ya zinaa:
Magonjwa ya zinaa k**a malengelenge (herpes), masundosundo n.k, yanaweza kusababisha maumivu wakati wa ngono.

Ni hayo tu kwa leo, kwa ushauri au suluhisho la changamoto ya afya tuwasiliane kwa Piga/sms/Whatsapp +255 744 373 225.

Somo La Leo:-TATIZO LA GANZI YA MIGUU NA MIKONO(MIGUU KUWAKA MOTO NA TIBA YAKE)Ganzi ni moja ya tatizo/ugonjwa unaowakum...
27/05/2020

Somo La Leo:-

TATIZO LA GANZI YA MIGUU NA MIKONO(MIGUU KUWAKA MOTO NA TIBA YAKE)

Ganzi ni moja ya tatizo/ugonjwa unaowakumba watu wengi sana na ni tatizo ambalo linakera sana kwa sababu hata unapoenda hospitali Mara nyingi hawapati tatizo lolote.

NINI HASWA CHANZO CHA TATIZO HILI

1:UMRI
Kawaida mtu anapokua umri umeenda, mwili mzima uzeeka pamoja na mfumo mzima wa damu, hii husababisha mishipa midogo midogo ya damu kufa, au kuziba kupelekea kusababisha chakula na hewa ya oksijeni kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali k**a miguuni na vidoleni hali hii hupeleekea mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa safi hivyo ganzi hutokea.

2:KISUKARI
Sukari inapokua nyingi kwenye mzunguuko wa damu hupelekea kuunguza mishipa ya damu hali hii husababisha mishipa kusinyaa ambalo hupelekea hewa ya oksijeni na chakula kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali sana k**a miguuni na mikononi hali hii husababisha mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa hivyo husababisha ganzi.

3:DAMU NZITO
Damu inapokua nzito pia hupelekea MTU kupata tatizo LA ganzi kwani husababisha kutofika kwa damu kwenye mishipa midogo midogo ya damu hii hupelekea ganzi pia.

Wasiliana nasi kwa Piga/sms/whatsapp +255 744 373 225 kwa ajili ya suluhisho na pia tunatoa ushauri wa afya bure.

SOMO LA LEO:-SULUHISHO LA TATIZO LA KUTANUKA/KUKUA KWA TEZI DUME.Kuongezeka ukubwa/kukua/kutanuka kwa Tezi dume ni tatiz...
21/05/2020

SOMO LA LEO:-

SULUHISHO LA TATIZO LA KUTANUKA/KUKUA KWA TEZI DUME.

Kuongezeka ukubwa/kukua/kutanuka kwa Tezi dume ni tatizo linalowakumba wanaume wengi.

Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.

Ukuaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume.

Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.

VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA

Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi. Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jamii kuhusu afya zao.
Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume:

*Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini.
*Uwepo wa sumu nyingi mwilini.
*Kutokufanya mazoezi.
*Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara.
*Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi.
*Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance).
*Msongo wa mawazo (Stress).
*Magonjwa ya zinaa.
*Umri mkubwa.
*Upasuaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja.
*Historia ya Familia (Kurithi).
*Mazingira (Ethnicity).

DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME

Mpaka mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer), ujue amekaa na tatizo hilo kwa muda mrefu, si chini ya miaka isiyopungua 10.

Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo (Urethra) wakati unakojoa ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija baada ya muda unazalisha “Uric Acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).

Saratani ziko stage nne. Ya kwanza na yapili ukiwahi unaweza kupona lakini ikishafika stage ya 3 na 4, hazitibiki. Unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote. Hivyo ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua tahadhari na hatua mapema kabla hujaharibu mfumo wako mzima wa uzazi wa mwanaume.

a) Dalili za awali
*Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu
*Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
*Maumivu kwenye mfumo wa mkojo
*Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
*Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.
*Homa
*Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku

b) Dalili za mtu aliyeathirika
*Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
*Miguu kuwa dhaifu
*Kushindwa kumudu tendo la ndoa, au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
*Kushindwa kuzuia mkojo, pindi unapohisi kukojoa
*Kushindwa kuzuia haja kubwa (kinyesi cha maji maji)
*Tumbo kuja gesi mara kwa mara

MADHARA YA TEZI DUME ILIYOTANUKA
Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka:
*Kibofu cha mkojo kuuma: hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini … … n.k.
*Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
*Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
*Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)
*Ugumba (Infertility, Frigidity for men)
*Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume
*Kifo

Suluhisho lipo kwa njia ya bidhaa asilia wasiliana nasi kwa piga/sms/whatsapp +255 744 373 225.

MyChoco ni chocolate iliyosagwa katika unga laini wa COCOA ili kumsaidia mtumiaji kuutumia kwa urahisi zaidi hata kwa ku...
18/05/2020

MyChoco ni chocolate iliyosagwa katika unga laini wa COCOA ili kumsaidia mtumiaji kuutumia kwa urahisi zaidi hata kwa kulamba na kuongezewa
virutubisho pekee vyenye manufaa kwa Afya ya
mwili.

MyChoco inaweza kuongezewa Maji ya moto,
baridi au Maziwa na kubaki na radha yake ileile ya
Chokoleti huku ikiukinga mwili wako na mashambu-
lizi ya magonjwa.

My Choco imetengenezwa na:
Unga wa Cocoa wenye ubora, Maziwa, Sukari, Alive!
Mega- Nutritionals na Unga unga wa DHA.

Faida za Mychoco:-
▪Inaongeza Hamu Ya Kula.
▪Inaimarisha Mfumo Wa Kinga Ya Mwili.
▪Inakinga Na Kutibu Kubanwa Kifua.
▪Nzuri Kwa Wale Wenye Matatizo Ya Kuishiwa Damu.
▪Kuimarisha Ukuaji Na Utendaji Kazi Wa Ubongo.
▪Inapambana Na Ugonjwa Wa Kusahau.
▪Kusaidia ubongo Kuongeza Umakini.
▪Inaondoa Sumu Mwilini.
▪Inasaidia Kuondoa Maumivu Ya Kichwa.
▪Inasaidia katika kuboresha mfumo wa mzunguko wa damu.

Kwa maelezo zaidi au kuweka order yako wasiliana nasi kupitia PIGA/ SMS/ WHATSAPP +255 744 373 225 karibuni nyote na mikoani tunatuma.

UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI- HEMORRHOIDS(MIWASHO, MAUMIVU NA VIMBE KATIKA TUNDU LA HAJA KUBWA )Bawasiri ni ugonjwa ambao...
10/05/2020

UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI- HEMORRHOIDS

(MIWASHO, MAUMIVU NA VIMBE KATIKA TUNDU LA HAJA KUBWA )

Bawasiri ni ugonjwa ambao unatokana na kuathirika kwa mishipa ya sehemu ya ndani na nje ya tundu la haja kubwa na hupelekea wakati mwingine kutoa damu wakati wa kutoa haja kubwa.
Ugonjwa huu unasababisha muwasho na maumivu makali katika tundu la haja kubwa.

Mara nyingi tatizo hili huwapata watu kuanzia umri wa miaka 25 – 70.
Ila kwasasa ugonjwa huu unawaathiri mpaka watoto wa umri wa chini kabisa:

Kuna aina mbili za bawasili:

Bawasiri ya Ndani:
Hiki nikinyama kinachootea ndani kabla ya Kutokea nje
Huanza kwa mtu kukosa choo, Maumivu wakati wa kujisaidia
Pia uvimbe huanza kujitengeneza kwa kutoka ndani ya tundu la haja kubwa hasa pale wakati wa kujisaidia

.Bawasiri ya Nje:
Hiki ni Bawasiri ambayo hujitokeza sehemu ya nje ya tundu la haja kubwa. Hutokea nje baada ya kujiimarisha ndani.
Wapo watu ambao huathirika nje moja kwa moja na hutegemea ni chanzo gani ambacho kimepelekea kuathirika na tatizo hilo.
Huambana na Miwasho ya mara kwa mara, Maumivu katika sehemu ya nje ya tundu la haja kubwa, Damu kutoka wakati wa kujisaidia na baada ya kujisaidia

II. CHANZO CHA UGONJWA WA BAWASIRI

Bawasiri ni tatizo linaloanzia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Huu mfumo ukishakua mbovu hupelekea kutokupata choo vizuri(Haja kubwa)

Mfumo mbovu wa mmeng'enyo wa chakula unasababisha chakula kisimeng'enywe vizuri kwenye utumbo mdogo na hivyo kupelekea chakula kupiliza kwenda moja kwa moja k**a kilivyo kwenda kwenye utumbo mkubwa ambapo maji maji kutoka kwenye chakula hufyonzwa na kuacha chakula kikiwa kikavu.Inapofikia wakati wa kupata choo; choo kinakua kikavu hivyo unatumia nguvu nyingi kukisukuma choo kitoke.
Hali hii hupelekea misuli ya haja kubwa kutanuka na kupelekea kukwanguliwa na choo kigumu na hivyo kinyama kuanza kujitengeneza, Hivyo husababisha kuanza kusikia maumivu na miwasho kwa ndani, na mara nyingine kupata choo chenye damu.
Hivyo basi kadri unavyoendelea kupata choo kigumu misuli ya tundu la haja kubwa huendelea kuathirika zaidi k mpaka kinatokeza.

Mtu mwenye afya nzuri anapata choo kulingana na milo aliopata kwa siku. K**a unauwezo wakupata milo mitatu kwa siku, unasitahili kupata choo mara tatu kwa siku, tena choo chako kitoke na urefu sawa wa ndizi mbivu, bila kujikatakata k**a kile cha mbuzi.

Bawasiri pia huweza kusababishwa na:

-Kufanya mapenzi kinyume na maumbile,
- Ujauzito
- kuhara kwa mda mrefu
-Kutopata choo kwa mda mrefu

III. DALILI ZA UGONJWA WA BAWASIRI ,

- Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa. Huu muasho unakuja kwa kujirudia mara kwa mara baada ya muda furani.

- Kukatishwa kwa haja kubwa na kurudi ndani wakati wa kujisaidia. Kitendo hiki huongeza msuguano katika mishipa ya ndani ya tundu la haja kubwa.

- Kujitokeza kwa uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa. Uvimbe huu unaanza kuota k**a upele na huambatana na miwasho na maumivu makali.

- Kujitokezea kwa kijinyama katika tundu la haja kubwa. Kinyama hiki kinaanzia ndani ya tundu la haja kubwa na kutokea nje ya Tundu la haja kubwa. Hatua hii huashiria tatizo limesha kuwa kubwa na una hili tatizo la bawasili kwa muda mrefu, na linaweza kusababisha vifo vya gafla kwa sababu mishipa inayosafirisha damu ndio inakwanguliwa na mwishowe kuathirika.
Chukua tahadhari mapema kabla hujaathirika sana au upoteze maisha; kwasababu hiki ni chanzo cha kupatwa na magonjwa mengine mengi ya kiafya.

- Kujisaidia kinyesi chenye damu na kunuka kwa harufu mbaya sana

- Kupumua na kushindwa kuzuia kinyesi wakati ukipumua(kujamba na kutoa haja kubwa)

IV. MADHARA YA UGONJWA WA BAWASIRI

Upungufu wa damu mwilini

Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa.

Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa k**a kidonda

Kutopata hamu ya tendo la ndoa kwa jinsia zote. Yaani Mwanamke na Mwanaume.

Kuathirika kisaikolojia na hupelekea kuptojiamini katika hadhara ya watu hasa pale miwasho inapoanza.

Kuvuja damu, maumivu ya mda mrefu na hupelekea kushindwa kukaa.

Maumivu ya mgongo ya mara kwa mara na kiuno.

V. JINSI YA KUDHIBITI TATIZO HILI LA BAWASIRI (HEMORHOIDS ) KABLA HALIJAKUPATA

Jitahidi kupata mlo kamili kila siku. Tutumia matunda na mboga za majani kwa wingi (kila mlo).Kunywa maji ya kutosha. Angalau lita 3 kwa siku.Epuka kukaa chooni kwa mda mrefu
Jiepushe na vilevi
Usiwe mpenzi wavitu vya viwandaniJenga utaratibu wa kusafisha mwili wako kwakutumia Cleansing Program, ili utoe taka mwili zote, na uondoe sumu mwilini; k**a vile unavyooga zaidi ya mara mbili kwa siku. (Wasiliana na si kwauhitaji wa program ya kusafisha mwili, kuondoa sumu na kupunguza mafuta mwilini)

VI. NJIA ZAKUONDOA TATIZO HILI

a. Tiba yake hospitalini Ugonjwa huu tiba yake ni opereation (kukukata uvimbe uliojitokeza katika tundu la haja kubwa ili usiendelee kukua na kusababisha magonjwa mengine.
Tiba hii huwa na Changamoto ya kujirudia tena kwa hilo tatizo baada ya mda fulani hasa pale mgonjwa akosapo kinga tosha mwilini.
Pia hupelekea maumivu makali kwa mgonjwa na kutokwa damu kwa mda mrefu hasa wakati wa kujisaidia na mara baada ya kujisaidia,
Tiba hii huondoa uvimbe pekee na haiboreshi mfumo wa chakula kuanzia ndani ambako ndo hasa chanzo cha Tatizo hili na kupelekea
baadae tatizo hili kujirudia tena.

SULUHISHO LA KUDUMU.

Tiba nzuri ni kutumia lishe na virutubisho (mwili utajitengenezea kinga bora tena yakudumu)

Tiba nzuri ni kuanda utaratibu wa kusafisha mfumo wako mzima wa mumeng’enyo wa chakula (Digestive System) kwa kuulisha mwili Virutubisho muhimu.

Chanzo cha magonjwa yote tunayoyapata Hasa huu wa BAWASIRI hutokana na mfumo mbovu wa mumeng’enyo wa chakula,
mzunguko wa damu (Poor Blood Circulation) na Mwili kuwa na sumu nyingi. Kila siku tunaoga zaidi ya mara mbili au mara tatu kwa siku nje ya mwili wetu, Vivyo hivyo tunapaswa kuanda utaratibu wakusafisha mili yetu ndani ya miili yetu na kuhakikisha sehemu kuu tatu za mili yetu zinafanya kazi vizuri.

Hivyo ipo Programu maalumu ambayo husaudia katika kuboresha afya kuanzia ndani na kuondoa changamoto hii ya Bawasiri ya ndani.
Programu hii husaidia katika kuondoa vimbe za ndani na kuboresha upataji wa choo laini,
Husaidia kuondoa upataji choo ngumu na uvimbe kwa upande wa ndani.
Lakini pia zipo tube maalumu za kupaka ambazo husaidia katika Kuondoa vimbe za nje ya tundu la haja kubwa.
Pia husaidia katika kuondokana na maumivu, miwasho na kulainisha na kuondoa uvimbe uliojitokeza katika tundu la haja kubwa.

VII. Umuhimu wa programu hii katika kuboresha na kuimarisha afya yako.

1. Digestive System (Mfumo mzima wa mumeng’enyo wa chakula)

2. Blood Circulation (Mfumo mzima wa mzunguko wa damu)
3: Kuboresha kinga ya mwili na kuongeza virutubisho muhimu mwilini.

Programu hii hujumuisha Virutubisho vyenye Carbohydrates & Proteins, Vitamins & Mineral, Essential Fatty Acids, Trace Elements. Miili yetu huhitaji kuvipata ili uzidi kutengenza kinga ya mwili kwajili ya kuondokana na Ugonjwa huu.

Programu hii
imeandaliwa kitaalamu zaidi na hazina kemikali yenye madhara kwa mtumiaji.

BAWASIRI NI UGONJWA HATARI K**A HUTOUCHUKULIA HATUA YA TIBA MAPEMA.

Kwa maelezo zaidi au uhitaji wa program hii. Wasiliana nasi kwa namba:

+255 744 373 225

Calls/Texts and whatsapp

SOMO LA LEO :-SABABU KUU ZA TATIZO LA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA TENDO LA NDOA (DYSPAREUNIA) ⚫Tendo la kujamiiana linapasw...
08/05/2020

SOMO LA LEO :-
SABABU KUU ZA TATIZO LA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA TENDO LA NDOA (DYSPAREUNIA)

⚫Tendo la kujamiiana linapaswa kuwa tendo la kuvutia na bila shaka utajiuliza maswali mengi iwapo maumivu yataambatana na tendo hilo.
Zifuatazo ni sababu zinazoweza kusababisha maumivu wakati wa tendo la ndoa:

*Vaginismus:*
⏩Hili ni neno la kitaalamu linalomaanisha kukaza kwa misuli ya uke kusiko kwa hiari wakati wa tendo la ndoa. Hii hutokea pale ambapo mwanamke anakua na hofu ya kuumizwa wakati wa kuingiliwa.

*Maambukizi katika uke:*
⏩Hii hutokea mara kwa mara pale ambapo uke unashambuliwa na vijidudu k**a vile fangasi,Uti Hatimaye sehemu iliyo na maambukizi huweza kuwa na maumivu wakati wa kujamiiana.

*Uvimbe katika mji wa mimba:*
⏩Iwapo kuna uvimbe katika mji wa mimba *(Uterus)* k**a vile uvimbe unaofahamika kitaalamu k**a *fibroids,* huweza kusababisha maumivu wakati wa kujamiiana hasa pale mwanamke anapoingiliwa kwa nguvu *(deep penentration).*

*Ukavu katika uke:*
⏩Hii hutokea iwapo mwanamke hajaandaliwa vizuri na mwezi wake wakati wakufanya tendo la ndoa.

Kwa maelezo zaidi tuwasiliane PIGA/SMS/WHATSAPP +255 744 373 225.

SOMO LA LEO:-CHANGO LA UZAZI KWA MWANAMKE.CHANGO la uzazi ni miongoni mwa magonjwa yanayoshambulia viungo vya uzazi vya ...
06/05/2020

SOMO LA LEO:-
CHANGO LA UZAZI KWA MWANAMKE.

CHANGO la uzazi ni miongoni mwa magonjwa yanayoshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke ambapo humsababishia maumivu makali ya tumbo na kushindwa kupata ujauzito, au mimba kuharibika kila zinapoingia.

Zipo aina nyingi za chango ambazo zinaweza kujitokeza kila moja peke yake au zikajikusanya na kujitokeza kwa pamoja, mkusanyiko huu ndiyo unaitwa Ovulation Disorder (O.D).

CHANZO CHA TATIZO
Matatizo ya chango la uzazi, inatokana na vifuko vya mayai ya uzazi (ovaries) kutokuwa na uwezo wa kuzalisha mayai na kufanya yakue kwa wakati muafaka. Mwanamke mwenye matatizo haya hushindwa kuwa na siku za hatari za kunasa ujauzito na k**a zipo basi huwa hazina mpangilio unaoeleweka.

Yawezekana mwanamke mwenye tatizo hili akawa na uwezo wa kuzalisha mayai lakini yakashindwa kukomaa au hata yakikomaa yakashindwa kusafiri kwenye mirija ya uzazi kwenda kukutana na mbegu za uzazi za kiume kwa ajili ya kurutubishwa.

Tatizo hili huanzia kwenye ubongo, ambapo sehemu inayohusika na uzalishaji wa homoni hushindwa kufanya kazi yake vizuri na hivyo kushindwa kudhibiti uzalishaji wa homoni za Follicle Stimulating Hormone (FSH) na Lutenizing Hormone (LH) ambazo ndizo zinazohusika na uzalishaji na uchavushwaji wa mayai ya mwanamke katika viungo vyake vya uzazi.

Matumizi ya tumbaku ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kusababisha homoni za mwanamke kuvurugika na hivyo kupata tatizo hilo. Kuziba kwa mirija ya uzazi, maambukizi katika via vya uzazi na kufunga kwa shingo ya kizazi ni sababu nyingine za tatizo hili.

Chanzo kingine cha tatizo hili ni Hyperplo-lactinemia ambapo mwili wa mwanamke huzalisha homoni ya Prolactin kwa wingi ambayo ikizidi katika damu, huzuia uzalishwaji wa homoni nyingine ya Oestrogen ambayo hutumika kuchochea uzalishaji wa mayai ya uzazi.
Wanawake wenye uzito mkubwa wanatajwa kuwa kwenye hatari kubwa zaidi ya kupatwa na chango la uzazi.

DALILI ZA CHANGO LA UZAZI
Dalili za chango la uzazi kwa mwanamke ni pamoja na kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi, kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa, kujisikia homa kali anapokaribia siku zake za hedhi pamoja na kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.

Pia kurugika kwa mzunguko wa hedhi ni dalili nyingine ambapo mwanamke anaweza kuwa na mzunguko mrefu wa hedhi wa takriban siku 35, kubadilikabadilika kwa siku za hedhi au kuwa na mzunguko mfupi wa hedhi chini ya siku 21.

Dalili nyingine ni mwanamke kuwa na hasira kali anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi, kupata michubuko kwenye sehemu zake za uke, kuchukia kushiriki tendo la ndoa, kupata uvimbe kwenye kizazi na mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi.

MADHARA YA CHANGO LA UZAZI KWA MWANAMKE
Yapo madhara mengi kwa mwanamke mwenye tatizo hili lakini kubwa, huwa ni vigumu kupata ujauzito na hata pale anaponasa ujauzito, huharibika na kutoka kwa rahisi na kushindwa kufurahia tendo la ndoa ambapo huwa vigumu sana kwa mwanamke mwenye tatizo hili kufika kileleni wakati wa tendo.

Wasiliana nasi kwa msaada zaidi na tiba PIGA/SMS/ WHATSAPP +255 744 373 225.

Address

Kinondoni

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255744373225

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Health and Wellness Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Health and Wellness Tanzania:

Share

Category