
24/05/2025
FAIDA Za UBANI
ukichanganywa na manemane huleta amani na utulivu katika fikra ya mtu ikiwa ni pamoja na kufukuza mizuka mibaya katika nyumba na ilikuwa ni zawadi kwa Yesu ilipochanganywa na manemane na kwa Abraham au Ibrahim ilikuwa ni pozo la fikra kwa harufu nzuri na kukuza imani
kwa mwenye maradhi ya mashetani akijifunika moshi wake na kuuvuta kwa siku 7 basi humuondoshea na kuwa hhuru
husaidia katika kuondoa mafua na baridi mwilini ukichomwa kwa kujifusha
huponya meno ukitafunwa k**a jjojo
huongeza ndoto nzuri wakati wa uusingizi
huponya kidonda chenye kuvuja damu na kufuta kovu lake