Mobile Afya

Mobile Afya Mobile Afya - "Afya yako kiganjani"

Mobile Afya is the first Swahili USSD application in Africa using internet-free mobile technology to provide basic health information to Swahili speaking countries in East Africa starting with Tanzania.

02/06/2022

Isn’t Thursday for #ᴛʙᴛ

Kumekua na dhana nyingi kuhusu namna dalili za magonjwa ya zinaa zinavyoanza kuonekana.

Ukweli ni kwamba, usichukulie poa dalili yoyote hata iwe ndogo kiasi gani.

Hii ilikua mwaka 2020 na huyu bwana tulimkabidhi kwa mganga mkuu .afya 😀

On the 30th of May We had a wonderful chance to introduce  to H.E Ambassador Donald J. Wright, (MD MPH) as he hinted at ...
01/06/2022

On the 30th of May We had a wonderful chance to introduce to H.E Ambassador Donald J. Wright, (MD MPH) as he hinted at the good work that through USAID and other USA initiatives in health are doing in Tanzania.

He then highlighted the need to shine a light on Maternal and Child Health in Tanzania.

We hope to further collaborate and use our innovation to solve health challenges in Tanzania and Africa at large.

Representing Mobile Afya Dr.  and  received the award for the 2021 Digital Innovation in Health from We are humbled and ...
31/05/2022

Representing Mobile Afya Dr. and received the award for the 2021 Digital Innovation in Health from

We are humbled and grateful for the recognition of our work as we continue to bridge the gap of information to achieve a world free of diseases.

We humbly thank everyone who took their time to vote for us, it's finally home 💪

Leo ni siku ya ufahamu kuhusu shinikizo la juu la damu (hypertension)Ikiwa majibu ya kipimo cha presha yako ya damu ni 1...
17/05/2022

Leo ni siku ya ufahamu kuhusu shinikizo la juu la damu (hypertension)

Ikiwa majibu ya kipimo cha presha yako ya damu ni 140/90 au juu zaidi yawezekana ukawa na ugonjwa hii, hivyo yakupasa kwenda katika kituo cha afya kufanyiwa vipimo zaidi.

Kupima mara kwa mara presha, kufanya mazoezi na kula lishe bora kutakusaidia kuepuka au kudhibiti shinikizo la damu.

In frame: Our founder and Company lead  together with our Co-founder and medical lead Dr.  attending and showcasing our ...
04/05/2022

In frame: Our founder and Company lead together with our Co-founder and medical lead Dr. attending and showcasing our innovative work at the

We  are honored to have participated in celebrating The International Girls in ICT day hoisted by  Today was just a glim...
28/04/2022

We are honored to have participated in celebrating The International Girls in ICT day hoisted by

Today was just a glimpse of what girls can contribute to the development of the country and the IT-driven world.

Many thanks to the Authorities and all stakeholders who have put effort into making the day great.

Reposted from  The highlight of my day was  flying to Dodoma to spend the day shadowing me while in between we discuss ....
27/04/2022

Reposted from The highlight of my day was flying to Dodoma to spend the day shadowing me while in between we discuss . I am truly humbled for their recognition, confidence and trust in me and ready for what lies ahead. Stay tuned for this exciting news.

Mobile Afya tunajivunia kutangaza ushiriki wetu katika Maonesho ya Ubunifu ya Jukwaa la Afya la Geneva
20/04/2022

Mobile Afya tunajivunia kutangaza ushiriki wetu katika Maonesho ya Ubunifu ya Jukwaa la Afya la Geneva

 inakutakia wewe na familia yako heri ya sikukuu ya pasaka.
17/04/2022

inakutakia wewe na familia yako heri ya sikukuu ya pasaka.

Bangi ni mmea maarufu sana duniani, ila je umaarufu wake ni wa shari au heri? Mijadala mingi imeibuka juu ya matumizi ya...
11/04/2022

Bangi ni mmea maarufu sana duniani, ila je umaarufu wake ni wa shari au heri?

Mijadala mingi imeibuka juu ya matumizi ya bangi na watu wengi kupenda kuzungumia mema pekee kuliko mabaya ya mmea huu.

Yote ambayo umewahi kusikia, bado mmea huu umepigwa marufuku nchini kwa kuzingatia madhara unayoweza kuyapata kutokana na uvutaji bangi.

1. Bangi inaweza kuathiri afya yako ya akili
2. Kuwa hatarini kupata uraibu
3. Inaongeza athari mbaya ikitumiwa pamoja na pombe
4. Mawazo yanaweza kupotoshwa na kushindwa kujiongoza

Hizo ni baadhi tuu ya athari zake, achana na stori za mtaani bangi sio chai kijana.

Familia ya  inaungana na dunia kusherehekea siku ya Afya duniani yenye kauli mbiu “Dunia yetu, Afya yetu” inayotukumbush...
07/04/2022

Familia ya inaungana na dunia kusherehekea siku ya Afya duniani yenye kauli mbiu “Dunia yetu, Afya yetu” inayotukumbusha jukumu la kila mmoja wetu kulinda na kutunza afya zetu.

Afya ya jamii ni kipengele namba moja kwetu ndio maana huduma yetu imesheheni taarifa sahihi pamoja na dondoo muhimu katika kutunza afya yako.

Pia kuna vipengele vinavyoangazia taarifa za sasa k**a na nyingine ili kuziba mwanya wa uzushi na kukidhi uhitaji wa elimu ya afya ya jamii.

Ndugu zetu Waislamu chungu cha ngapi leo?   tunapenda kuwatakia mfungo mwema wa mwezi wa Ramadhani pamoja na kukumbushan...
04/04/2022

Ndugu zetu Waislamu chungu cha ngapi leo?

tunapenda kuwatakia mfungo mwema wa mwezi wa Ramadhani pamoja na kukumbushana mambo muhimu ya lishe katika msimu huu.

✅ 1. Hakikisha unapata mlo wa alfajiri (Daku)

✅ 2. Virutubisho! Virutubisho! Virutubisho! Jitahidi upate mlo wenye mchanganyiko wa Virutubisho mbalimbali (Wakati wa kufuturu na hata daku)

✅ 3. Hakikisha mwili una maji ya kutosha siku nzima kwa kunywa maji mengi wakati wa daku, kufuturu na wakati wa usiku.

❌ 4. Vyakula vyenye chumvi nyingi na vilivyokaangwa kwa mafuta mengi si rafiki kwa afya yako

Address

Bima Road, Block B, Mikocheni
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mobile Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mobile Afya:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram