Bawasiri Therapy

Bawasiri Therapy Bawasiri Ni Mtindo Mbovu Wa Maisha Tunaoishi Kila Siku...

K**a na Wewe ni Miongoni mwa Watu ambao Wanasumbuliwa Sana na Hii Hali ya Kinywa Kutoa Harufu Mbaya Sana Kila SikuHata B...
09/01/2025

K**a na Wewe ni Miongoni mwa Watu ambao

Wanasumbuliwa Sana na Hii Hali ya Kinywa

Kutoa Harufu Mbaya Sana Kila Siku

Hata Baada ya Kupiga Mswaki

Unakuta Bado Mdomo Unanuka

Mpaka Unajisikia Vibaya Hata Kuwa Karibu na ndugu, Jamaa na Marafiki

Kwa Sababu ya Kuhofia Mdomo Kutoa Harufu Kali

Sasa Leo Nataka Ku Share Kitu Kidogo Tu

Nini Kinasababisha Mdomo Kutoa Harufu Kali

Wengi Wanadhani Shida ni Mdomo ambao Unatoa Harufu

Lakini Shida Sio Mdomo

Tatizo Kuu Lipo Kwenye;

"Mfumo Wako wa Chakula"

Ndio, Maana Yake Mfumo Wako wa Chakula Haupo Vizuri

Mfumo Wako wa Chakula ni Mbovu

Hivyo, Hiyo Harufu Kali Inatokea Kwenye Mfumo wa Chakula

Yaani Kutoka Kwenye Tumbo na Utumbo

Ko Watu Wengi Wanaanza Kuhangaika na Mdomo

Bila ya Kujua Hii Shida Inaanzia Wapi...

Kitu cha Muhimu Sana Ili Kusafisha na Kurekebisha

Mfumo wako wa Chakula Uwe Vizuri

Ni Kutumia

" Juisi ya Limao "

Juisi ya Limao Huwa Tunaita ni Kiosho cha Mwili wa ndani

Tumia Juisi ya Limao asubuhi Kabla ya Kupata

Kifungua Kinywa.

Afya Bora

Ni Wewe

Mwenyewe

Mshauri Wako

Mwankenja Adam

08/01/2025
Cheza Vizuri.
08/01/2025

Cheza Vizuri.

Bush Diet...
08/01/2025

Bush Diet...

Leo nataka nizungumzie Suala Moja ambaloLinawatesa Wengi Sana Kila SikuHasa Hasa kwa Watu Wenye Changamoto ya Bawasiriβœ… ...
08/01/2025

Leo nataka nizungumzie Suala Moja ambalo

Linawatesa Wengi Sana Kila Siku

Hasa Hasa kwa Watu Wenye Changamoto ya Bawasiri

βœ… Kupata Choo Kigumu Sana.
Hali ambayo Inamfanya Mtu atumie Nguvu nyingi Sana

Wakati wa Kujisaidia Haja Kubwa

βœ… Kupata Maumivu Makali Sana Wakati wa Kujisaidia Haja Kubwa

Kwa Sababu ya Kile Kinyesi Kinakwangua Vile Vinyama

Katika Njia ya Haja Kubwa na hii Hali Inaweza Kupelekea

Kuota Vinyama Vingine Tena

unakuta Mtu ana Vinyama Zaidi ya Viwili au Vitatu

Katika Tundu la Haja Kubwa

Kwa Sababu ya;

''Choo Kigumu ''

βœ… Kutumia Nguvu nyingi Sana.
Kikawaida Mtu anavyojisaidia Inabidi atumie

Misuli ya Tumbo Ku- Push Haja Kubwa

Lakini K**a Choo ni Kigumu Sana

Itamlazimu atumie Misuli ya Mwili Mzima

Kwa Nguvu Zote...

Unakuta Mpaka Mishipa ya Kichwani Kwenye Komwe

Imevimba Ili Mtu apate Choo

Mpaka Mtu amalize Tayari Kachoka Vibaya Mno

Mpaka
" Kizungu zungu "

Hayo ni Baadhi Tu ya Madhara ya Kutumia sukari

Yaani

Vinywaji Vyenye Sukari Sana

Mfano;
🚫 Soda Nyeusi
🚫 Juisi zaViwandani
🚫 Energy Drinks

Pia na Vyakula Vyenye Sukari Sana

Mfano;
🚫 Keki
🚫 Maandazi
🚫 Mikate ya Viwandani

Kwa Ushauri Zaidi

Kwa Wale

Wenye Matatizo ya Kupata Choo Kigumu

au

Kutopata Choo Kabisa

Wasiliana nami

'' *0766 931 400* ''

Mtindo wako wa Maisha,

Ni Wewe,

Unae amua.

"Epuka Sukari"

Mshauri Wako,

Mwankenja Adam...

Badili Mtindo, Badili Maisha.
13/11/2024

Badili Mtindo, Badili Maisha.

Watu Wengi Huwa Tunakosea HapaKwenye Suala la MatundaNa ni Kitu Ambacho Kimezoeleka SanaKula Matunda Baada ya Kula Chaku...
05/09/2024

Watu Wengi Huwa Tunakosea Hapa
Kwenye Suala la Matunda
Na ni Kitu Ambacho Kimezoeleka Sana
Kula Matunda Baada ya
Kula Chakula
Sasa Leo Nikupe Somo Kidogo
Ndani ya Sekunde 60 Zijazo
Utaenda Kujifunza Siri Muhimu
Ya Ulaji Mzuri wa Matunda
Twende Kazi...

Matunda inabidi Yaliwe Kabla ya Kula Chakula
Tena Yaliwe Saa Moja Kabla ya Kula Chakula
Najua Unajiuliza Kwanini?
Ok Vizuri Sana
Matunda ni Rahisi Sana
Kumeng'enywa au Kusagwa
Na Virutubisho Vyake Kufyonzwa Ndani ya Mwili
Ikiwa Tumbo Litakuwa Empty
Yaani Tumbo Halina Chakula
Ukifanya Hivi Utakuwa
Umefanya Mwili Kuweza Kupata
Vitamins na Madini Yatokayo
Kwa Matunda Kiurahisi Zaidi
Lakini Watu Wengi Huwa Wanakula Matunda
Baada ya Kula Chakula Kitu Ambacho
Sio Sahihi Kwa Mwili
Kwanini?
Kwa Sababu...
Ukila Chakula afu Ukala Matunda
Haya Matunda Yanakuw ni Vigumu
Kumeng'enywa au Kusagwa
Kwa Sababu Yamekutana na
Chakula Kizito Tayari Tumboni
Hivyo Basi Vitamins na Madini Yaliyopo
Kwenye Hayo Matunda Hayatafyonzwa Mwilini
Kwa Hiyo Utakuwa Umeupa Tu Mwili
Mzigo Mzito Sana wa Kufanya Umeng'enyaji wa Chakula
Pamoja na Matunda
Ngoja Nikuulize Swali Kidogo?
Hivi Ushawahi Kula Chakula afu Baada ya Hapo
Ukala Tikiti Maji?πŸ‰
Ulijisikiaje??
Najua Hii Experience Kila Mtu Anayo
Yah Ulihisi Tumbo Limejaa Sana...
Ila Ungeanza Kula Tikiti Maji afu Baadae
Ukala Chakula Inakuwa ni Vizuri Zaidi
Na Hii Itakufanya Usile Chakula Kingi Sana
Na Hii ni Nzuri Sana Kwa Wale Ambao Hawataki
Kuongezeka Uzito wa Mwili
Kwa Leo Tuishie Hapo
Kula Matunda kwa Afya Yako
Mshauri Wako
Adam Mwankenja...

Changamoto Nyingine Kubwa ZaidiAmbayo Inawasumbua Watu WengiWenye Tatizo la BawasiriNi, KuharishaSuala la Kuharisha ni S...
04/09/2024

Changamoto Nyingine Kubwa Zaidi
Ambayo Inawasumbua Watu Wengi
Wenye Tatizo la Bawasiri
Ni, Kuharisha
Suala la Kuharisha ni Suala la Kawaida
Ambalo Linamtokea Kila Mtu na Muda Wowote
Bila Kutarajia
Lakini Hili Suala Tunaweza Tukalipunguza
Ka Kiasi Fulani Ili Tusipate Majanga Zaidi
Hasa Hasa Kwa Mtu Mwenye Bawasiri
Huwa Inakua ni Hatari Zaidi
Kwa nini? Utauliza
Ok Vizuri Kwa Kuuliza
Kwa Sababu
Kitendo cha Kuharisha Huwa Kinasababisha
Maumivu Makali Sana Kwa Bawasiri
Au Vile Vinyama Katika Njia ya Haja Kubwa
Yaani Haya Maumivu Huwa Yanakuwa Mara Saba Zaidi
Ya Maumivu Kawaida
Inaweza Kupelekea Mtu Asiweze ata Kuketi
Kwenye Kiti Kwa Sababu ya Maumivu Makali
Hivyo Basi
Hakikisha Unakula Chakula Salama Kwa Tumbo Lako
Hata K**a Unakula Mgahawani
Hakikisha Unachagua Mgahawa Mzuri na Msafi
Ni Bora Ugharamie Chakula Ghali ata Kwa 15,000/=
Kuliko Kula Chakula cha 3000/=
Ukaharisha na Kuishiwa Maji Mwilini
Na Kwenda Kulazwa Hospitali na Kulipa Gharama Zingine
Zaidi ya Ile ya Kugharamia Chakula
Kwa Hiyo Hakikisha Una Kuwa Selective
Yaani Uwe Mtu Mwenye Uwezo wa Kuchagua
Nile nini? Nisile Nini?
Nile Wapi? Nisile Wapi?
Kula Salama Kula Vizuri
Mshauri Wako
Mwankenja Adam

Matokeo ya Mtindo Mbovu wa MaishaTunaoishi nao Kila SikuImekuwa ni Gumzo Kwa SasaHasa Hasa kwa MagonjwaYasiyo ya Kuambuk...
03/09/2024

Matokeo ya Mtindo Mbovu wa Maisha
Tunaoishi nao Kila Siku
Imekuwa ni Gumzo Kwa Sasa
Hasa Hasa kwa Magonjwa
Yasiyo ya Kuambukizwa
Ikiwemo Bawasiri
Imekuwa ni Changamoto
Kubwa Sana Kwa Watu Wengi Sanaa
Hivyo Basi
Kitu cha Kwanza Kabisa
Kabla Hata ya Kuhangaika
Kutafuta Hiyo Dawa
Jichunguze Mtindo Wako
Wa Maisha
Badilika
Sio Rahisi
Ila, Inawezekana...πŸ’ͺ🏽

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bawasiri Therapy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Bawasiri Therapy:

Share