02/04/2021
Zifahamu fangasi za ukeni (va**na candidias/ va**na yeast infection),
kwanza ifahamike kwamba fangasi wapo sehemu mbalimbali za mwili wa mwanadamu K**a vile kinywani/ mdomoni, ukeni, tumboni, kwenye ngozi n.k, fangasi wanaumhimu Katika kusaidia mwili ili uweze kufanya kazi yake vizuri.
• Inatokeaje mpaka kusababisha maambukizi (va**na yeast infections)?
• Fangasi za ukeni- husababisha maambukizi mara tu zinapo ongezeka kwa kiasi kisicho Cha kawaida (fungal overgrowth), kutokana na kuharibika kwa usawa Kati ya bakteria na fangasi (balance) Katika uke ndiko hupelekea seli za fangasi kuongezeka kupita kawaida na kusababisha maambukizi hayo (fangasi wa ukeni) ambayo huonesha Dalili zifuatazo÷
• DALILI
1. kutokwa na uchafu mweupe usio wa kawaida
2. kuwashwa sehemu za Siri
3. Kutokwa na vipele ama michubuko ukeni
4. Kupata maumivu wakati wa kufanya mapenzi
5. Kupata maumivu au kutojihisi vizuri (uncomfortable) wakati wa kukojoa n.k
ZINGATIA
Endapo unasumbuliwa na tatizo K**a Hilo usisite wala kuona aibu ya kutafuta tiba, Tatizo hili linatibika kabisa na huisha pia kumbuka kukaa na ungonjwa bila kupata tiba stahiki kwa muda mrefu hupelekea Ugonjwa kuwa sugu ama kusababisha madhara makubwa ya kiafya.Unashauriwa kufika hospitali/ klinic iliyopo karibu yako ili uweze kutibiwa au waweza wasiliana nasi kupitia no:(0764108196) ili tukuhudumie na kukupatia Dawa stahiki zitakazoweza kumaliza tatizo Hilo.