Chris Mzumbwe

16/05/2025
Watoto kwa asili ni wanafunzi wakubwa (learners) na wanajifunza vizuri kwa kuona na kuiga.Kama maneno yetu wazazi yanase...
28/01/2025

Watoto kwa asili ni wanafunzi wakubwa (learners) na wanajifunza vizuri kwa kuona na kuiga.Kama maneno yetu wazazi yanasema kitu kingine na matendo huonyesha kitu kingine watoto huchagua matendo na kuacha maneno.Kwa sababu hii tunapaswa kuwa makini kuishi namna tunavyotaka watoto wetu wawe.

Baba wa Tanzania (Nyerere),Africa kusini (Mandela),Libya(Gaddaf) ,Zambia(Kaunda),Cuba (Fedro) na Baba wa Izirael (Abraha...
28/01/2025

Baba wa Tanzania (Nyerere),Africa kusini (Mandela),Libya(Gaddaf) ,Zambia(Kaunda),Cuba (Fedro) na Baba wa Izirael (Abraham).Kumbe Taifa linatokana na baba Baba ni mwanzilishi.Katika urithi wa baba lazima tulinde misingi,asili,hatima na iman waliyoamini kuhusu nchi yenyewe.Hapa pana kitu kikubwa sana kwamba mfumo wa Iman wa taifa ni jambo la msingi,falsafa na mawazo jengwa ndio njia ya Taifa.
Tanzania,Kwenye kitabu cha Nyerere kuna mahali anasema Malighafi k**a zahabu zinatakiwa kubaki ardhini hadi pale tutakapo pata wataalam wa kuchimba hapa kuna maana kubwa sana.

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chris Mzumbwe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Chris Mzumbwe:

Share

Category