Yasinta afya ycm

Yasinta afya ycm Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Yasinta afya ycm, Medical and health, Mbeya.

TUNATOA SURUHISHO LA MATATIZO YOTE YA AFYA KAMA KISUKAR,UTI SUGU,FANGASI,PID,MATATIZO YA UZAZI KWA MWANAMKE NA MWANAUME
TUNAPATIKANA MBEYA KWA NAMBA 0620428738 NA 0653221018

25/05/2023

Mafuta ya samaki ni mazuri sana kwa watoto

📞0620428738

29/08/2021
✨ viginal detox✨       Detox ni kifupi Cha detoxification ambayo ni mchakato unaoendelea wa uondoshaji wa sumu   ✨Je Kun...
14/07/2021

✨ viginal detox✨
Detox ni kifupi Cha detoxification ambayo ni mchakato unaoendelea wa uondoshaji wa sumu
✨Je Kuna umuhimu wa kufanya viginal detox ?
Ndio Kuna umuhimu wa kufanya viginal detox kwasababu tumekua watu wakutumia ✨kutumbukiza vidore wakati wa kusafisha uke kitu ambacho sio sahihi,uke unatakiwa usafifishwe kwa maji maji masafi tu na sio kuingiza vidore,kuingiza vidore kunaweza kusababisha kuingiza bacteria wasiotakiwa ukeni na kuua bacteria walinzi✨kutumia madawa ya kutumbukiza ukeni nayo sio sahihi✨wengine wanatumia maji ya Michele✨wengine wanatumia vipipi,kinachotakiwa kuingia kwenye uke ni uume tu na sio vitu vingine
✨Hivyo viginal detox itaenda kusafisha kila aina ya uchafu ukeni itaenda kufyonza uchafu wote na utaondokana na matatizo ya ✨U T I✨fangasi za ukeni✨Kutokwa uchafu ukeni wenye harufu mbaya✨P I D
✨Kufanya viginal detox kutakufanya usahau kabisa infection za aina yoyote ukeni na utaenda kuwa mkavu,harufu nzuri,Raha ya tendo uwe msafi na mkavu


JIPATIE VIGINAL DETOX KWA GHARAMA NAFUU NA NI SALAMA ISIYO NA MADHARA YOYOTE NA UENDE KUSAHAU KABISA INFECTION
☎️ 0720428738 na wattsapp 0620428738 follow@yasinta_afya__ycm
Follow@yasinta_afya__ycm
Follow@yasinta_afya__ycm

Ushauli bure kabisaa njoo dm nikusaidie
09/07/2021

Ushauli bure kabisaa njoo dm nikusaidie

FAIDA ZA MAFUTA YA SAMAKILeo tuzijue faida chache za mafuta ya samaki katika mwili wa Binadamu kuanzia mtoto Hadi mtu mz...
26/06/2021

FAIDA ZA MAFUTA YA SAMAKI

Leo tuzijue faida chache za mafuta ya samaki katika mwili wa Binadamu kuanzia mtoto Hadi mtu mzima...
Faida zake Ni K**a ifuatavyo:-
Ni Kinga ya mwili, inasaidia mwili kupambana na maradhi yanayoshambulia afya ya mtoto, mama mjamzito na hata unayejiona Ni mzima.
Inaondoa tatizo la ukavu wa macho na kuimarisha afya yako ya macho.
Huimarisha mifupa( husaidia watoto wenye matege kunyooka na kuwa sawa).
Inaimarisha afya ya mfumo wa uzazi wa mwanamke (husaidia kuimarisha mayai ya mwanamke) na mwanaume (kuongeza afya ya mbegu na kufanya mwanaume awe na uwezo wa kurutubisha hasa kwa wenye tatizo la uzazi na wale wenye tatizo la premature ej*******on)
Huzuia mimba kuharibika kipindi Cha ujauzito (pre mature)
Huimarisha afya ya Ubongo wa mtoto...na ukumbuke mtoto usipompa vyakula vya kujenga Ubongo Ni shida baadae hata atakapokuwa shule. Jenga Ubongo wa mwanao Sasa kabla hajawa mkubwa maana kila kitu Ni msingi ukichelewa ndo Basi Tena.
Husaidia kuondoa tatizo la kusahau
Mtoto mdogo anahitaji Sana mafuta ya samaki sababu ya Uwezo wake wa kumkingana maradhi K**a ya moyo, cancer, pumu na miguu.
Ni vyema visikose ndani kwako nasi tumekuletea mafuta ya samaki yaliyo na ubora wa Hali ya juu.
Weka Oda kwenda namba. ☎️0620428738

Beautiful baby❤️❤️❤️🙏✨✨✨   Leo naruhusu maswali,K**a unaswali lolote kuhusu afya Niko tayar kukujibu
10/06/2021

Beautiful baby❤️❤️❤️🙏



Leo naruhusu maswali,K**a unaswali lolote kuhusu afya Niko tayar kukujibu

Zinc Wahi maana zimebak chache Tena. Unapata kwa Bei ya punguzoo kabisa
09/02/2021

Zinc
Wahi maana zimebak chache Tena. Unapata kwa Bei ya punguzoo kabisa

UTANGULIZI – UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBOVidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo m...
05/12/2020

UTANGULIZI – UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya kuharibika kwa ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaoitwa mucus. Kemikali ambayo ni acidi inayozalishwa mwilini kiasili husaidia kuyeyusha chakula na kuua wadudu tumboni, k**a ukuta wenye ute ukiharibiwa na kushindwa kufanya kazi basi kemikali (acid) itaathiri tumbo au utumbo na kuruhusu bakteria kuendelea kusababisha vidonda vya tumbo.

Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine k**a kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito.

AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO

Kuna aina zipatazo mbili za Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers)

Vidonda vya tumbo kubwa (Gastric ulcers) – Hivi ni vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa
2. Vidonda vya utumbo mdogo (Duodenal ulcers) – Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye utumbo mdogo (hasa juu)

TUNATOA HUDUMA RAHISI ISIYO NA MADHARA YOYOTE NI SALAMA KABISA DAWA ZETU ZINATENGENEZWA KWA MATUNDA NA MBOGA MBOGA
TUTAFUTE KWA NAMBA
📞☎️0620428738

📞☎️ 0620428738
28/11/2020

📞☎️ 0620428738

Uke mkavu ni tatizo ambalo husabahishwa na upungufu au kiwango kidogo cha hormon za uzazi yaa ESTROGEN ambayo huleta ute...
15/11/2020

Uke mkavu ni tatizo ambalo husabahishwa na upungufu au kiwango kidogo cha hormon za uzazi yaa ESTROGEN ambayo huleta ute na virainishi vya Uke
Kwa kawaida Uke unatakiwa kuwa na ute wa wastan ambao hufanya Uke kubana na kuleta joto na Raha katika tendo
VISABABISHI VYA UKE MKAVU

✨magonjwa ya zinaa K**a kaswende gonorea
✨U T I sugu
✨Fungus sugu ukeni
✨Uke mchafu
✨Matumizi ya sabuni za. Antibiotic kusafishia Uke
✨K**a unafanya matibabu ya kansa

DALILI ZA UKE MKAVU
✨Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
✨Kutokwa na damu wakati wa tendo au baada ya tendo
✨Kukosa au Kupungua kwa ham ya tendo la ndoa
✨ Maumivu ya chini ya kitovu wakati wa tendo
✨Maumivu ya kiuno,mgongo,tumbo,mifupa na viungo
✨Kuwa na ngozi kavu
✨Msongo wa mawazo kupita kiasi
✨Siku za hedhi kutokuwa na mpangilio maalumu
✨Kutokufurahia tendo la ndoa
✨Kutokushika mimba

✨✨NI VYEMA KUJUA TATIZO NI NINI NA TUKUPATIE HIDUMA INAYODTAHILI KARIBU

U T I    Urinary tract infection ni maaambukizi njia ya mkojo na huathiri mfumo wa mkojo na mfumo wa uzazi Wadudu huathi...
08/11/2020

U T I
Urinary tract infection ni maaambukizi njia ya mkojo na huathiri mfumo wa mkojo na mfumo wa uzazi
Wadudu huathiri sana kibofu na urethra hivyo wanawake Wana hatar kubwa kuriko wanaume
Maambukizi ya kwenye kibofu huleta Maumivu makali na madhara makubwa hutokea maambukizi yakifika mpaka kwenye Figo

MGAWANYO WA U T I
👉maambukizi ya juu
Hii hujumuisha Figo na urethra

👉Maambukizi ya upende wa chini
Hii hujumuisha kibofu na urethra

CHANZO CHA MAAMBUKIZI YA U T I
👉kinga za mwili kutokuwa imara
👉Kutumia vifaa au dawa za kuzuia Ujauzito
👉Mtu mwenye kisukari
👉Kwa wakike Kupungua kwa hormon ya estrogen
👉Kutumia choo kichafu na kinachotumiwa na idadi kubwa ya watu
👉Kuwa na tatizo la mmeng'enyo na tatizo la choo
👉Kukaa mda mrefu bila kutembeatembea

ILI KUEPUKANA NA TATIZO HILI FUATILIA VYANZO VYAKE NA KUVIEPUKA
👉PIA K**A UNATATIZO HILI NA UMETIBIWA UMECHOKA BADO HUJAPONA NJOO tukupatie suruhisho la kudumu na utapona kabisa tatizo lako

Tuwasiliane kwa 👉0620428738

DALILI ZA HORMONE IMBALANCE👉Kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa👉Kutoshika mimba👉Mizunguko ya hedhi kubadilikabadilika👉Kut...
07/11/2020

DALILI ZA HORMONE IMBALANCE
👉Kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa
👉Kutoshika mimba
👉Mizunguko ya hedhi kubadilikabadilika
👉Kutopata usingizi vizur
👉Kuongezeka uzito
👉Kupata choo kwashida
👉Mapigo ya moyo kutokuwa sawa
👉Maumivu wakati wa tendo la ndoa
👉Maumivu ya kichwa
👉Mafua ya Mara kwamara
👉Kupoteza kumbukumbu
👉Uchovo wa Mara kwamara

JE UNASUMBULIWA NA TATIZO HILI KWA MDA MREFU NA HAUJUI UTAPATA WAPI TIBA SURUHISHO LA KUDUMU LIMEPATIKANA SASA

tutafute kwa namba 0620428738 na 0653221018

P I Dpelvic inflammatory diseases.   Ni maambukizi katika via vya uzazi inayosababiswa na matumiz ya antibiotic kwa wing...
17/10/2020

P I D
pelvic inflammatory diseases. Ni maambukizi katika via vya uzazi inayosababiswa na matumiz ya antibiotic kwa wingi,matumiz ya kondoms,kufanya ngono zembe na utoaji wa mimba


Dalili za P I D
-Kutokwa na uchafu mzito sehem za siri yaweza kuwa mweupe ,njano au maziwa

-kuwashwa sehem za siri
-uke kutoa harufu mbaya
-maumiv ya tumbo chini ya kitovu
-uke kuwa mlain sana
-maumivu wakat wa tendo la ndoa
-kufurugika kwa hedhi
-kutokwa majimaji uken kupita kias
-maumivu wakati wa kukojoa na haja kubwa
-homa kizunguzungu uchovu na kukosa ham ya kula

Madhara ya P I D
-ugumba
-kansa ya shingo ya kizazi
-mirija ya uzazi kuziba
-majeraha kwenye mirija ya uzazi

JE DALILI HIZI ZOTE UNAZO NA JE UMEPIMA UMEAMBIA UNA MAAMBUKIZI YA P I D NA UNADHINDWA KUJUA UTAPATA WAPI TIBA

NJOO UPATE TIBA SALAMA BILA MADHARA YOYOTE KWA DAWA ZILIZOTENGENEZWA KWA MIMEA NA MATUNDA

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yasinta afya ycm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Yasinta afya ycm:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram