08/03/2023
KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA NA UUME LEGEVU
Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa wanaume na mwanamke sio jambo la kawaida,Hii huashiria kwamba kuna sehemu ya mwili wako haipo sawa.Hii husababishwa na Homoni au vichocheo vya mwili kupungua au kuongezeka
Nakushauri kila siku uwe na utaratibu Wa kula tikiti maji kwa wingi kwani hili linachukuliwa kuwa ndilo tunda bora katika kuboresha afya ya mapenzi
Tunda hili lina asilimia karibu 90 za maji na asilimia 8 zilizobaki zina phytonutrient citrulline ambayo hugeuzwa kuwa arginine
Arginine ni amino Acid Ambayo hufanya mishipa ya damu kuwa kwenye hali ya ubora na kusaidia Damu kupita vizuri na kwa urahisi
Tikiti husaidia kufanya damu ifike kwa kiwango kizuri zaid kwenye sehemu ambazo hutakiwa kutanuka wakati mtu akipata hisia za kufanya mapenzi ambavyo ni viungo vya ndani vya uzazi
Tunda hili husaidia wanaume pia kwa kiasi kikubwa, hufanya damu kusafiri vizuri kwenye mishipa Kumbuka ili Mwili ufanye kazi vizuri damu inatakiwa kuwa nyepesi na Sio nzito Mabonge mabonge
Kwa mwanaume ambaye hana uwezo wa kusimamisha vizuri au kua na Uume legevu anashauriwa apate tikiti maji katika kila mlo wake ili kuipata amino acid inayojulikana k**a Arginine
Hamu ya mapenzi ni hitaji la kila kiumbe iweje udharau??
MAMBO YA KUZINGATIA
Hitilafu za life style hupelekea kukosa hamu ya tendo la ndoa, badili mfumo wa maisha punguza mawazo, kula vizuri, pata muda wa kupumzika
Kuoga hufanya vitundu vya hewa Kuzibuka na kupitisha hewa vizuri.
NJIA RAHISI YA KUMALIZA TATIZO NI MATUMIZI YA SUPPLIMENTS / VIRUTUBISHO VENYE WINGI WA ARGININE
Matumizi ya vyakula vyenye wingi wa arginine pekee hayasaidii katika kumaliza tatizo hili, hii ni kutokana na upatikani mdogo wa Arginine katika vyakula ivyo mfano tikiti ina asilimia 8 pekee ya phytonutrient citrulline ambayo hubadilishwa kua Arginine na pia vyakula vingi kukuzwa na mbolea kwa kiasi kikubwa kitu ambacho hupelekea amino acid hii kupotea .
Kwa elimu zaidi na Ushauri tuma ujumbe neno Sasa hivi AFYA KWANZA kwenda watsapp
au piga simu usaidiwe mapema