Choz Wellness Hub

Choz Wellness Hub Mwalimu & Mshauri wa Afya
Suluhisho la matatizo ya meno, mdomo & kinga ya mwili
Bidhaa salama | Ushauri wa bure 📩+255752553528
📍 Tanzania WhatsApp #0763314502

*LIFE CHANGE PRESENTATION  2024*Je, Wewe ni kijana, binti, baba , mama au mtu fulani ambaye una ndoto kubwa, malengo mak...
08/07/2024

*LIFE CHANGE PRESENTATION 2024*

Je, Wewe ni kijana, binti, baba , mama au mtu fulani ambaye una ndoto kubwa, malengo makubwa na unatamani kufikia ila hujapata kitu chakukusaidia kufikia malengo hayo?

Je, wewe ni mtu fulani ambaye ungependa kusaidia au kugusa maisha ya watu wengine kiafya, kiuchumi, mitazamo, elimu nk?

Au wewe ni mtu ambaye umefanya vitu viiingi sana lakini havija kufikisha mahali unatamani kufika?

Je, wewe nihuyu ambaye anatamani siku moja awe na uhuru na kipato chake, awe na muda wa kusafiri, kujifunza na ku enjoy maisha yake ya baadae?

Je, wewe ni huyu ambaye amechoka na kutafta ajira, au mshahara haujitoshelezi, unatamani kuanza biashara hujajua ufanye biashara gani,?

Je, wewe ni huyu ambaye hana shida yapesa wala kusafiri shida yake nikuwa na afya bora?

Je, unafahamu kuwa licha ya kuwepo changamoto nyingi kuna kitu tunaweza kufanya kikabadilisha mwelekeo wa maisha yetu?

*THE VICTORY TEAM KWA KUSHIRIKIANA NA THE DREAM TEAM,* *THE HUNTERS TEAM, BRIGHT FUTURE, TUMEKUANDALIA EVENT KUBWA ITAKAYO FANYIKA MBEYA MJINI*

Waala sio ya kukosa, kutakuwepo na watu wengi wenye background mbalimbali, historia mbalimbali njoo ujifunze kitu, njoo itakusaidia hata kwenye shughuli zako zingine.

Inawezekana umeshiriki nyingi lakini hii nakwambia itakuwa ni yatofauti.

Ujumbe huu ni wako sio wa mtu mwingine, Unaweza kuwasiliana nasi kupitia 075255352 au alie kutumia ujumbe huu..

DAKTARI WA MENODAWA HII YA MENO INA;• BLUE CLEANING FACTOR• INA GREEN HERBAL FACTOR• GINSENG ESSENCEFAIDA ZAKE NI HIZI H...
15/02/2024

DAKTARI WA MENO
DAWA HII YA MENO INA;

• BLUE CLEANING FACTOR
• INA GREEN HERBAL FACTOR
• GINSENG ESSENCE

FAIDA ZAKE NI HIZI HAPA.
Viambata hivyo vinasaidia kuimarisha meno, mifupa pamoja na misuli.
_________
Inasaidia unyevu, ladha, inasaidia pia usagaji wa chakula kwenye kinywa.( Hii inapunguza hatari ya meno kutoboka)

_______
Inasaidia kuondoa placque kwenye kinywa( mabaki ya chakula kwenye kinywa ambayo hupelekea bakteria kujipatia chakula na kuharibu meno)
_______
Inasaidia pia kinywa kuwa na harufu nzuri.

Imetengenezwa kiasili kwa teknolojia kubwa.

DAWA HII INAMFAA KILA MTU ANAYE JALI AFYA YA KINYWA.

Matumizi;
Unashauriwa kutumia kila baada ya kula chakula

Nivizuri zaidi ukatumia asubuhi baadaya chakula na jioni baada ya chakula unavyokwenda kulala.
Kwa maelezo zaidi tupigie
0752553528/0763314502

Ninachokifahamu kuhusu afya ya kinywa na meno.Meno ni viungo vya mwili vilivyopo kinywani vyenye kazi ya kutafuna  (kume...
12/02/2024

Ninachokifahamu kuhusu afya ya kinywa na meno.

Meno ni viungo vya mwili vilivyopo kinywani vyenye kazi ya kutafuna (kumega) chakula.

Meno hupatikana kwa vertebrate tu ( wanyama wenye uti wa mgongo)

Kazi kubwa ya meno kwa binadamu ni kumeng'enya chakula.

Mtu mzima huwa na meno 32.

Mmeng'enyo wa chakula huanzia kinywani.

Binadamu ana aina mbili za meno, meno ya utoto yanayobadilishwa wakati wa kubalehe kwa meno ya kudumu.

Kwahio kuna wakaa mbili za meno. Meno ya utoto katika wakaa ya kwanza meno huwa ni 20.

Meno yanaanza kuota mtoto anapokuwa na miezi 6.

Kawaida huwa yanakuwa yameota anapotimiza miaka miwili.

Wakaa ya pili meno yanakuwa 32. Meno haya huanza kuota umri wa miaka 6. Kukamilika umri wa miaka 18-20 ( wengine huota upesi)

AINA ZA MENO.

⭕Meno ya mbele.( Ingincisors)

Kuna meno 8 ya kukatia. Katika kila taya yapo 4

⭕Meno yanayofuatia ni machonge ( Canine teeth) Yapo machonge manne kwa ujumla katikati kila taya kuna machonge mawili. Kazi yake ni kurarua.

⭕Meno yanayofuatia hapo ni magego madogo. (Premolars) jumla yapo 8 katika kila taya yapo 4.

⭕Meno yanayofuatia ni Magego (Molars)
Magego yote ni 12. Kila taya kuna magego 6.

Kazi ya magego madogo na magego makubwa ni kusaga chakula.

Katika wakaa ya kwanza huwa hakuna magego ..

Asante kwa kuendelea kufuatilia masomo yetu, tukutane tenawakati ujao.
Kupata Elimu| Tiba ya kudumu| Dawa za meno nzuri piga/ text 0752553528

⏭️KARIBUNI WOTE TUJIFUNZE KUHUSU AFYA YA KINYWA NA MENO.Je, niwewe au rafiki yako au mwanao anasumbuliwa na haya;➡️ Meno...
21/01/2024

⏭️KARIBUNI WOTE TUJIFUNZE KUHUSU AFYA YA KINYWA NA MENO.

Je, niwewe au rafiki yako au mwanao anasumbuliwa na haya;

➡️ Meno kuuma
➡️ Meno kuoza
➡️ Meno kutoboka
➡️ Meno kufa ganzi
➡️ Magonjwa ya fizi
➡️ Vidonda mdomoni
➡️ Harufu mbaya
➡️ Meno kutikisika
➡️ Rangi isiyo rafiki
➡️ Fangasi kinywani
➡️ Mpangilio mbaya wa meno kwa watoto.(sababu)
Instagramhttps://www.instagram.com/home_dentalcare_?igsh=MXdoNmhxa3R2cGRrbQ==

Simu: +255752553528

JE, MENO YAKO YAMETOBOKA? Una dhani nini kina pelekea watu wengi meno yao kutoboka??Kwa kawaida meno huanza kutoboka taa...
16/01/2024

JE, MENO YAKO YAMETOBOKA?

Una dhani nini kina pelekea watu wengi meno yao kutoboka??

Kwa kawaida meno huanza kutoboka taaratibu na kuendelea kutanuka hadi kufikia shimo kubwa. Kwakuwa hii process huwa haiumi pengine unaweza usichukue maamuzi ya haraka kuyatibu.

Na wakati mwingine unaweza usijue k**a una hilo tatizo.

Licha ya kwamba tayari meno yako yametoboka kuna hatua unaweza kuchukua ili kulinda meno yako mengine.

DALILI ZA MENO KUTOBOKA

✓kupata ganzi
✓ Meno kuuma
✓ Uwepo wa shimo kwenye jino
✓ Kuwepo utando mweusi kwenye meno.

CHANZO CHA MENO KUTOBOKA.
✓ Matumizi makubwa ya vyakula/ vinywaji vyenye sukari
✓ Upungufu wa vitamini kwenye lishe ( A,D, E hasa D)
✓ Upungufu wa madini k**a Calcium, Magnesium na Phosphorus.
Wasiliana nasi kupata tiba bora na ya uhakika.

__Better teeth, Better Healthy__
:
:
:

0752553528

JE, UNAFAHAM MADHARA YA KUTO KUTIBU TATIZO LA MENO MAPEMA?Tafiti zinaonyesha kuwa magonjwa mengine yanaweza kutokea kwa ...
10/01/2024

JE, UNAFAHAM MADHARA YA KUTO KUTIBU TATIZO LA MENO MAPEMA?

Tafiti zinaonyesha kuwa magonjwa mengine yanaweza kutokea kwa kutokutibu tatizo la meno.

Mara nyingi vijidudu vya jipu vya jipu huingia moja kwa moja katika njia ya damu au pengine usaha unaomezwa pamoja na vijidudu vinaweza kuanzisha ugonjwa wa kuvimba katika sehemu zingine za mwili.

Jali afya ya kinywa chako.
Let's talk about it 👇👇👇
https://chat.whatsapp.com/CRmcksbDINz21Lwb1oKGKd

Tiba Bora| ushauri| Elimu| Buree kabisa.

Je, Unafaham nin kuhusu KISEYEYE? DALILI ZAKE NI ZIPI?KISEYEYE?Huu Ni ugonjwa wa meno. Ni ugonjwa wa mishipa inayo zungu...
08/01/2024

Je, Unafaham nin kuhusu KISEYEYE? DALILI ZAKE NI ZIPI?

KISEYEYE?

Huu Ni ugonjwa wa meno. Ni ugonjwa wa mishipa inayo zunguka meno ndio Kiseyeye kitaalam tunaita *PYRROHOEA.*

Katika ugonjwa huu ufizinaweza kuvimba na kutoka damu ukiguswa kidogo tu, mfano pale unaposafisha meno

Address

P.o. Box 643
Mbeya
00000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Choz Wellness Hub posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Choz Wellness Hub:

Share