06/05/2026
๐ญ๐๐๐๐๐๐ ๐จ ๐๐๐๐๐ ๐ญ๐ ๐ข๐ ๐๐๐-3 ๐๐ช๐ ๐๐๐ฌ๐ ๐ฌ๐๐๐ข.
Mwili wako hauna uwezo wa kujitengenezea Omega 3 ni lazima upate kupitia vyakula / virutubisho k**a Omega 3 fish oil.
๐๐ฎ๐ถ๐ฑ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ข๐บ๐ฒ๐ด๐ฎ 3 ๐ณ๐ถ๐๐ต ๐ผ๐ถ๐น:
โ๏ธ Huboresha afya ya moyo
โ๏ธ Hupunguza presha ya damu
โ๏ธ Hushusha kiwango cha cholesterol mbaya (๐๐๐)
โ๏ธ Huongeza afya ya ubongo na kumbukumbu ๐ง
โ๏ธ Huboresha afya ya macho
โ๏ธ Hupunguza uvimbe mwilini (๐ฎ๐ป๐๐ถ-๐ถ๐ป๐ณ๐น๐ฎ๐บ๐บ๐ฎ๐๐ผ๐ฟ๐)
โ๏ธ Husaidia afya ya ngozi
โ๏ธ Huimarisha kinga ya mwili
๐๐ฒ๐ป๐ด๐ฎ ๐ธ๐ฒ๐๐ต๐ผ ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐ฎ๐ณ๐๐ฎ ๐ป๐ท๐ฒ๐บ๐ฎ ๐น๐ฒ๐ผ!
๐ข๐บ๐ฒ๐ด๐ฎ-3 fish oil ni uwekezaji mdogo wenye matokeo makubwa kwa afya yako.
Usisubiri hadi uumwe ndio uanze kuzingatia lishe yako. Anza safari ya kujenga afya imara sasa kwa kuongeza virutubisho hivi kwenye milo yako.
๐๐ณ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ ๐ป๐ฑ๐ถ๐ผ ๐ธ๐ถ๐ฝ๐ฎ๐๐บ๐ฏ๐ฒ๐น๐ฒ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ธ๐ผ!
๐ซ๐น ๐๐ฎ๐ถ๐ฑ๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐๐ฏ๐ผ๐ฟ๐ฒ๐๐ต๐ฎ ๐๐ณ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ ๐ผ๐๐ผ ๐ธ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐๐บ๐ถ๐ฎ ๐ข๐บ๐ฒ๐ด๐ฎ 3 ๐ฆ๐ฎ๐น๐บ๐ผ๐ป ๐ข๐ถ๐น
๐ซ Husaidia kupunguza mafuta mabaya kwenye damu (๐ฐ๐ต๐ผ๐น๐ฒ๐๐๐ฒ๐ฟ๐ผ๐น).
๐ซ Huchangia kushusha hatari ya presha ya damu kuwa juu.
๐ซ Husaidia mapigo ya moyo kwenda sawa.
๐ซ Hupunguza hatari ya kuziba kwa mishipa ya damu.
๐ซ Husaidia kuongeza mzunguko mzuri wa damu mwilini.
๐ซ Huchangia kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo.
๐ซ Husaidia moyo kufanya kazi kwa nguvu na afya bora.
๐ข๐ ๐๐๐-3 ๐๐๐ง๐ง๐ฌ ๐๐๐๐๐ฆ ๐ก๐ ๐ก๐๐ก๐?
๐ข๐บ๐ฒ๐ด๐ฎ-3 ni aina ya mafuta muhimu sana (๐ฒ๐๐๐ฒ๐ป๐๐ถ๐ฎ๐น ๐ณ๐ฎ๐๐) ambayo mwili hauwezi kuyazalisha wenyewe, hivyo lazima uyapate kupitia chakula.
๐๐๐ป๐ฎ ๐ฎ๐ถ๐ป๐ฎ ๐ธ๐๐ 3 za ๐ข๐บ๐ฒ๐ด๐ฎ-3:
๐๐๐ (๐๐น๐ฝ๐ต๐ฎ-๐น๐ถ๐ป๐ผ๐น๐ฒ๐ป๐ถ๐ฐ ๐ฎ๐ฐ๐ถ๐ฑ) โ hupatikana kwenye mimea
๐๐ฃ๐ (๐๐ถ๐ฐ๐ผ๐๐ฎ๐ฝ๐ฒ๐ป๐๐ฎ๐ฒ๐ป๐ผ๐ถ๐ฐ ๐ฎ๐ฐ๐ถ๐ฑ) โ hupatikana kwenye samaki
๐๐๐ (๐๐ผ๐ฐ๐ผ๐๐ฎ๐ต๐ฒ๐
๐ฎ๐ฒ๐ป๐ผ๐ถ๐ฐ ๐ฎ๐ฐ๐ถ๐ฑ) โ muhimu sana kwa ubongo na macho
๐๐๐๐๐ ๐ญ๐ ๐ข๐ ๐๐๐-3 ๐ ๐ช๐๐๐๐ก๐
1. Hupunguza uvimbe (inflammation) Uvimbe wa ndani wa mwili ni chanzo kikubwa cha magonjwa mengi k**a unene, kisukari na matatizo ya moyo. Omega-3 husaidia kuutuliza.
2. Husaidia kupunguza kitambi Omega-3 husaidia mwili kutumia mafuta k**a nishati badala ya kuyahifadhi, hasa mafuta ya tumboni.
3. Huboresha kazi ya homoni Homoni k**a insulin zikifanya kazi vibaya, mwili huhifadhi mafuta zaidi. Omega-3 husaidia kurekebisha hali hiyo.
4. Huimarisha afya ya ubongo ๐๐๐ ni muhimu sana kwa kumbukumbu, umakini, na hata kupunguza msongo wa mawazo.
5. Husaidia afya ya moyo Hupunguza triglycerides, shinikizo la damu na hatari ya magonjwa ya moyo.
6. Huboresha ngozi na nywele Husaidia ngozi kuwa laini, yenye unyevunyevu na kupunguza ukavu.
๐๐๐๐๐๐ ๐ญ๐ ๐จ๐ฃ๐จ๐ก๐๐จ๐๐จ ๐ช๐ ๐ข๐ ๐๐๐-3
Ngozi kukauka sana
Uchovu wa mara kwa mara
Kusahau haraka
Maumivu ya viungo
Kuongezeka kwa mafuta ya tumboni
๐ฉ๐ฌ๐๐ก๐ญ๐ข ๐ฉ๐ฌ๐ ๐ข๐ ๐๐๐-3
๐ Vyanzo vya wanyama (bora zaidi):
Samaki wa mafuta (k**a sardines, salmon, dagaa, mackerel)
Mafuta ya samaki (๐ณ๐ถ๐๐ต ๐ผ๐ถ๐น)
๐ Vyanzo vya mimea:
Mbegu za flax (๐น๐ถ๐ป๐๐ฒ๐ฒ๐ฑ)
Mbegu za chia
Karanga (๐๐ฎ๐น๐ป๐๐๐)
Mafuta ya
Mboga za majani ya kijani (๐ด๐ฟ๐ฒ๐ฒ๐ป ๐น๐ฒ๐ฎ๐ณ๐, k**a ๐๐ฝ๐ถ๐ป๐ฎ๐ฐ๐ต)
๐ ๐จ๐๐๐ ๐จ ๐๐จ๐๐จ๐ Watu wengi wanakula Omega-6 nyingi (kutoka mafuta ya kupikia ya kawaida) lakini hawapati Omega-3 ya kutosha โ hii inasababisha mwili kuwa kwenye hali ya uvimbe (inflammation) muda wote
๐๐ต๐ฎ๐ธ๐๐ณ๐ฎ๐ป๐๐ฎ.๐
K**a unahangaika na kitambi, uzito kupitiliza, au mwili kushindwa kuburn mafuta, usibaki peke yakoโฆ
๐ฒ Kwa msaada zaidi wa kupunguza kitambi na unene kupitiliza, wasiliana nasi kwa namba: +255757246595
Tutakusaidia kwa mfumo unaoeleweka na unaoleta matokeo ๐ช