
06/07/2023
FAHAMU TATIZO LA MAPAFU KUJAA MAJI
📌Mapafu Kujaa Maji; Ni pale ambapo kunakuwa na mkusanyiko wa maji kati ya kuta mbili zinazozunguka mapafu. Kujaa huku kwa maji husababisha mgonjwa kupata shida ya kupumua vizuri.
✍🏻Sababu za mapafu kujaa maji zinaweza kuelezewa kutokana na aina ya maji yaliyojaa:
👉🏻Kwa mfano kuna kitu kinatajwa kuwa ni Transudate; hapa maji hutoka kutoka kwenye mishipa ya damu na kuingia kwenye mapafu hasa kwa watu ambao wana magonjwa yafuatayo:
✅Moyo kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi (congestive cardiac failure),
✅ini kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi (liver failure) na,
✅figo kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi (renal failure)
👉🏻Exudate; hapa maji hujaa kutokana na kuta zinazozunguka mapafu kuwa na maji kitaalamu (pleura) husababisha mapafu kuvimba.
✍🏻Mtu anaweza mapafu yake kujaa kutokana na magonjwa ya mapafu mfano:
✅Kansa ya mapafu au ya t**i,
✅ugonjwa unaoitwa Lymphoma,
✅Kifua kikuu (TB),
✅vichomi,
✅figo kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi au
✅kuwa na majipu ndani ya tumbo.
*DALILI YA UGONJWA*
✍🏻Mtu ambaye amepatwa na tatizo la mapafu kujaa maji huwa na dalili za;
👉🏻kusindwa kuhema vizuri,
👉🏻kusikia maumivu ya kifua
👉🏻hukumbwa na Kifua Kikuu
👉🏻jasho jingi kutoka kipindi cha usiku,
👉🏻Kukohoa damu, na
👉🏻Kupungua uzito kwa kasi ya kutisha.
👉🏻Kuwa na vichomi,
👉🏻Kupatwa na homa,
👉🏻Kukohoa makohozi yenye rangirangi, inaweza kuwa damudamu au manjano.
*MATIBABU*
✍🏻Kwa sababu ya kusababisha matatizo ya kupumua huduma zetu huangalia kwanza kudhibiti yafuatayo;
👉🏻kuokoa,
Kuangalia mfumo wa hewa na kadhalika.
👉🏻Kutibu magonjwa yanayosababisha maji kwenye mapafu.
✍🏻Kila mtu aonapo dalili nilizozitaja anatakiwa kufanya vipimo ili kujua chanzo cha tatizo na kuanza matibabu mapema
Matibabu yetu
Ni kwa muda wa siku 30 tu👇👇
Tupigie simu leo+255695715467