AICT Mkula Hospital

AICT Mkula Hospital AICT Mkula Hospital ni taasisi inayotoa huduma za kiafya

25/12/2024
Karibuni wote Mpate huduma za kibingwa kutoka kwa madaktari bingwa wa mifupa, macho, sikio, pua na Koo na magonjwa ya nd...
24/11/2024

Karibuni wote Mpate huduma za kibingwa kutoka kwa madaktari bingwa wa mifupa, macho, sikio, pua na Koo na magonjwa ya ndani madaktari walio bobea kwa huduma Bora kabisa

AICT Mkula hospital inawatangazia wiki ya kliniki ya daktari bingwa wa magonjwa ya ndani itakayoanza jumatatu ya tarehe ...
12/10/2024

AICT Mkula hospital inawatangazia wiki ya kliniki ya daktari bingwa wa magonjwa ya ndani itakayoanza jumatatu ya tarehe 14/10/2024 hadi ijumaa tarehe 18/10/2025. Karibuni sana

Watumishi wa AICT Mkula hospital wakiwa Sako kwa Bako, Mguu kwa Mguu, Mtaa kwa Mtaa kuzunguka sehemu mbali mbali za mkoa...
12/10/2024

Watumishi wa AICT Mkula hospital wakiwa Sako kwa Bako, Mguu kwa Mguu, Mtaa kwa Mtaa kuzunguka sehemu mbali mbali za mkoa wa Simiyu hadi kata ya lamad katika harakati za kutangaza huduma zinazotolewa na hospital sambamba na kutangaza wiki ya kliniki ya daktari bingwa wa magonjwa ya ndani itakayoanza tarehe 14/10/2024

Address

MKULA Hospital
Mkula

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AICT Mkula Hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category