10/04/2026
🎓✨ AL-RAHMAH SCHOOLS – TUNAJALI WAZAZI NA WALEZI ✨🎓
Tunatambua changamoto zinazowakabili wazazi na walezi katika kugharamia elimu ya watoto wao.
Kwa kuzingatia hilo, *Al-Rahmah Schools* tumekuja na suluhisho rafiki:
✅ Ada inaweza kulipwa kwa awamu tatu
👉 Kurahisisha malipo na kumpa mzazi/mlezi nafuu zaidi
📍 Tunapatikana: Mkuranga, Pwani
🚨 Nafasi ni chache!
Usikose nafasi ya kumleta mwanao katika shule bora yenye malezi na elimu yenye ubora wa hali ya juu.
📲 WhatsApp: 0673 526 644
Karibu Al-Rahmah Schools – Elimu bora, malezi imara 🌟