Shamsia Herbal

Shamsia Herbal PWANI

  HERBAL: HUDUMANATIBAASILI #Tunatoa huduma za uhakika kwa kutumia tiba asili na kisomo kwa magonjwa sugu na changamoto ...
14/04/2026

HERBAL: HUDUMANATIBAASILI #
Tunatoa huduma za uhakika kwa kutumia tiba asili na kisomo kwa magonjwa sugu na changamoto za kimaisha. Pata ufumbuzi wa matatizo yako kupitia wataalamu waliobobea:
1. Tiba ya Magonjwa Sugu ya Tumbo (Uchawi)
Tunatibu matatizo ya tumbo yanayosababishwa na kulishwa vitu vibaya kwa njia ya ndoto au ushirikina (uchawi wa tumbo). Huduma hii inasaidia kusafisha mfumo wa chakula na kuondoa athari zote za kiganga zilizojificha tumboni.
2. Maradhi ya Majini Sugu na Uchawi
K**a unasumbuliwa na maradhi yasiyoonekana hospitali, maumivu ya mwili yaliyokithiri, au kutingishika kifikra kutokana na majini na vifungo vya kishirikina, tunatoa tiba mbadala ya kuondoa viumbe hao na athari zao mwilini.
3. Vidonda vya Tumbo (Ulcers)
Tunatoa tiba ya uhakika ya vidonda vya tumbo kwa kutumia mitishamba asilia inayosaidia kuponya kuta za tumbo na kuondoa maumivu na kiungulia kwa muda mfupi.
4. Kisomo Maalum cha Ruqya
Tunafanya kisomo maalum cha Ruqya kwa ajili ya kutibu uchawi, kufungua vifungo, na kuondoa husuda. Hii ni tiba ya kiroho inayomrudisha mtu katika hali yake ya kawaida na amani ya nafsi.
5. Mivuto ya Biashara
Je, biashara yako imedorora au haina wateja? Tunatoa huduma za mivuto ya kisheria inayosaidia kuleta hamasa na mvuto katika biashara yako ili kuongeza mauzo na mafanikio.
6. Kusafisha Nyota
Kuondoa nuksi, mikosi, na giza lililofunika nyota yako. Huduma hii inakusaidia kuwa na mvuto, kukubalika mbele za watu, na kufungua milango ya heri iliyokuwa imefungwa.
7. Kinga Imara (Mwili, Nyumba, Biashara na Mashamba)
Tunatoa kinga madhubuti dhidi ya maadui, wezi, na washirikina. Linda familia yako, mali zako, na vitega uchumi vyako kwa kinga ya uhakika itakayozuia madhara yoyote ya nje.
Wasiliana nasi leo kwa huduma bora

> "Mwanzo mpya, mwonekano mpya! ✨ Dr. Bwashari Tiba Asili sasa ni **SHAMSIA HERBAL**. Tumejipanga kukupelea huduma bora ...
14/04/2026

> "Mwanzo mpya, mwonekano mpya! ✨ Dr. Bwashari Tiba Asili sasa ni **SHAMSIA HERBAL**. Tumejipanga kukupelea huduma bora zaidi za tiba asilia tukiwa na mwonekano wa kisasa. Asante kwa kuendelea kuwa nasi kwenye safari hii ya afya! 🌱☀️ "
>

Asalaam alaykum warahmatul allah wabarakaatuhNaam karibuni katika page yangu hii mpya kabisa inayohusu tiba asili k**a u...
10/04/2026

Asalaam alaykum warahmatul allah wabarakaatuh
Naam karibuni katika page yangu hii mpya kabisa inayohusu tiba asili k**a unasumbuliwa na matitizo yanyohusu tiba hizi basi unakaribishwa au

20/08/2025

KAZI ZA MDUDU FULUWILI KATIKA TIBA
Naam kila kiumbe alichokiumba mwenyezi mungu kina kazi kubwa katika tiba na Leo nawapa kazi ya viumbe hivi vinavyoitwa fuluwili
*MVUTO WA BIASHARA
*MVUTO WA KAZI
*MVUTO WAAPENZI
*KINGA
*WATOTO WANAOCHELEWA KUTEMBEA
Wachukue Hawa wadudu Kwa manuizi ya mambo unayoyahitaji wachome mpaka update unga wake tumia kuchanja na kupuliza kwenye biashara na kazi,Kwa watoto wasiotembea tumia kuwachanja miguuni na KINGA tumia kuchanja
Hii dawa kubwa sana Ina kazi nyingi tu.
Kwa elimu ya tiba natoa kwenye group la whatssap kwa kufuata link hiyo https://chat.whatsapp.com/ErQp17JSTDCF3NSBFkBKBN?mode=ac_t

0710649372

10/06/2025

Send a message to learn more

Fusho kali sana na zuri kwa wale wanaosjmbuliwa na majjni wachafu k**a cheketu,jini maiti,jini kaburi,jini mahaba na maj...
06/02/2025

Fusho kali sana na zuri kwa wale wanaosjmbuliwa na majjni wachafu k**a cheketu,jini maiti,jini kaburi,jini mahaba na majini wote wabaya.
pia inatibu homa za upepo mbaya yaani joto la sihiri au baridi la sihri
tumia kjjifusha asubuhi na jioni

pia hii inafukuza majini wachafu kwenye nyumba unafukiza kila siku ashbuhi na jioni lakini wakati unafusha ndani pasiwe na mtu.

13/03/2024
13/03/2024

SAFISHA NYOTA YAKO
Naam chukua halbat nuksi,msafisha nyota,mvuto,mlipu,chumvi ya mawe, utaoga siku Saba mfululizo Kwa manuizi
Alafu chukua kandar na ubani Maka utajifukiza Kwa muda wa siku wa tatu asubuhi na jioni Kwa uwezo waallah utafanikiwa

Address

Kiparang'anda
Mkuranga

Telephone

+255626692341

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shamsia Herbal posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category