
29/12/2023
Hii nimeweka special kwa wanawake wanaochanganya UTI na Fungus/PID/ bacterial vaginosis(kutokwa uchafu unaonuka)
unakuta mtu anakwambia Dr natoka Sana uchafu unajaa kwenye Chupi, nimeaambiwa Ni UTI, nimetumia sana madawa haiponi, unabaki HUELEWI
๐Mwanamke ana Vishimo viwili,cha juu ni NJIA ya mkojo,hapa mkojo Tu Hupita,na shimo la Chini ni VA**NA,UKE wenyewe hapa uume hupita,mtoto hupita wakati wa kuzaliwa lakin pia mwanamke akiwa period, damu Hupita Hapo..
UTI inahusiana na Njia ya JUU tu,yaan njia ya mkojo,na dalili zake ni kuumia wakati wa kukojoa, kukojoa mara kwa mara mkojo kidogo,kutoa mkojo wenye harufu kali sana
kutoka Uchafu unaonuka sana, kuwashwa Ukeni kwa ndani,maumivu wakati wa s*x, chanzo ni NJIA hiyo ya chini, Vagina...inaweza kuwa Vaginal candidiasis yaan fungus,PID,au hata vaginosis, ila SIO UTI๐..
In Shortly Uke umeganyika katika Sehemu kuu mbili nazo ni:-
1.UKE (VA**NA)/ njia ya Uzazi.
Uke ni ile sehemu (tundu) inayopitisha mtoto wakati wa kuzaliwa,pia ndiyo sehemu ambayo uume huingia wakati wa kujamiiana. Kwa maana rahisi kabisa, uke ni sehemu ya ndani inayotengeneza sehemu za siri za mwanamke, rejea kidole kwenye picha
2.VULVA
V***a ni sehemu ya nje ya uke ambayo ndiyo hugusana na nguo za ndani anazovaa mwanamke. Hii inahusisha mashavu makubwa ya nje ya uke, mashavu madogo ya ndani ya uke, tundu la mkojo pamoja na sehemu zote zilizo nje (isipokuwa tundu lenyewe la uke).
Sehemu ya haja kubwa japo siyo mojawapo ya sehemu zinazounda mfumo wa uzazi wa mwanamke tunaweza kuikaribisha pia kuwa sehemu ya v***a kwa kuwa matatizo yoyote yanayohusisha v***a huathiri pia sehemu ya haja kubwa.
K**a umejifunza usiache kumtag rafiki yako tujifunze pamoja.
Pia k**a una changamoto yoyote ya Uzazi? Tuambie, tunaweza kuwa sehemu ya suluhisho kwako!
Leo nimetoa upendeleo wa kipekee Niko Online DM/ Inbox Najibu messange zote una changamoto yoyote ya UZAZI nitumie Ujumbe DM/ inbox au Whatsapp no:+255762628556