Clinical Medicine Organasation Cmoznz

Clinical Medicine Organasation Cmoznz An organization that aims to help Zanzibaris achieve and 100% equal access to health society and imp

No health without Mental healthMental Health Matters
10/10/2022

No health without Mental health
Mental Health Matters











Tutashiriki
18/02/2022

Tutashiriki


We wish all the best
11/01/2022

We wish all the best

Kila la kheri katika majukumu yako mengine
10/01/2022

Kila la kheri katika majukumu yako mengine

Assalam Alaikum Warahmatullah WabarakatuhLeo hii J3 11/10/2021 Clinical Medicine Organization kwa kushirikiana na BARAZA...
11/10/2021

Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh

Leo hii J3 11/10/2021 Clinical Medicine Organization kwa kushirikiana na BARAZA la Vijana Shehia ya Welezo tulifanya zoezi la Utoaji wa Elimu ya Afya juu ya Usafi wa mwili kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Welezo pamoja na kupima pressure Walimu wa Shule hio.

Jumla ya Wanafunzi wasiopungua 100 wamenufainika na Elimu. Sambamba na hilo, tumeweza kuwapa zawadi wanafunzi hao k**a vile Kalamu, Juzuu n.k

Shukran za dhati kwa wote ambao wamefanikisha kwa njia moja au nyengine kwani bila ya nyinyi tusingeweza kufanikisha.

Ahsanteni sana
CEO, CMO

TAARIFA YA UTOAJI WA ELIMU YA AFYA KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI WELEZOUongozi wa CMO ukishirikiana na Kamati ya Afya...
08/10/2021

TAARIFA YA UTOAJI WA ELIMU YA AFYA KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI WELEZO

Uongozi wa CMO ukishirikiana na Kamati ya Afya ya Baraza la Vijana Shehia ya Welezo unawataarifu Viongozi na Wajumbe wote wa CMO kuwa, siku ya Jumatatu tarehe 11/10/2021 saa 3:00 asubuhi tutafanya zoezi la utoaji wa Elimu ya Afya katika shule ya Msingi Welezo. Pia, tutumia nafasi hii kuwapima pressure walimu wa shule hio kwa ajili ya kuonesha Upendo zaidi.
Tafadhali tunaomba tuhudhurie kwa wingi sana tukiwa na vitendea kazi vyetu na tujali muda.

Imetolewa na
MULHAT MUHSIN SWALEH
KATIBU MKUU
CMO

World Hepatitis Day"Hepatitis can't wait"
28/07/2021

World Hepatitis Day
"Hepatitis can't wait"

Eid Mubarak
21/07/2021

Eid Mubarak

Assalam Alaikum Warahmatullah WabarakatuhKatika kuonesha kwamba tunajali afya, tunategemea kuwa na mechi kali Sana ktk K...
22/05/2021

Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh

Katika kuonesha kwamba tunajali afya, tunategemea kuwa na mechi kali Sana ktk Kiwanja Cha Mbweni baina ya

CMO ( Maafisa Tabibu ) na ZASWA (Waandishi wa Habari za Michezo)

Siku ya tarehe 23 May Jumapili saa 10 jioni

Note:

Tunaomba siku hiyo tuwepo Uwanjani kusapoti kikosi chetu. ( Wachezaji wetu ni CO na wengine kutoka sehem tofauti).

Pia, mashabiki k**e kiume waje uwanjani
Ahsanteni

Imetolewa na

Mkurugenzi Mtendaji
C/O Mahmoud Karim Zam
CMO

Assalam Alaikum warahmatullah wabarakatuhTangazoTunaomba kwa ambae ana afya Njema afike Bank ya Damu Sebleni kwa ajili y...
16/05/2021

Assalam Alaikum warahmatullah wabarakatuh
Tangazo
Tunaomba kwa ambae ana afya Njema afike Bank ya Damu Sebleni kwa ajili ya kuchangia damu.
Kwa Sasa kuna uhaba mkubwa kwani damu nyingi zilitumika ktk Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Tunawaomba sana mufanikishe hilo kwani hujui Nani itamsaidia damu yako.
By
MAHMOUD KARIM ZAM
CEO, CMO ZANZIBAR

Assalam Alaikum Warahmatullah WabarakatuhSiku ya Jumamosi 15.05.2021 CMO ikishirikiana na ZAPHEO, ZVO, wanafunzi wa ZSH,...
16/05/2021

Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh

Siku ya Jumamosi 15.05.2021 CMO ikishirikiana na ZAPHEO, ZVO, wanafunzi wa ZSH, UVCCM Magogoni na vijana wengine kutoka sehemu tofauti tumeungana pamoja katika Nyumba Za Wazee Sebleni kwa ajili ya kusafisha maeeneo hayo, kuwajuulia Hali Wazee wa humo ambao ni 31 pamoja na kuwapima afya zao.

Katika zoezi hili la leo, Mgeni Rasmi alikua Mh Diwani Bi Asha kutoka Kwerekwe Jitamai kwa niaba ya Mh Mwakilishi wa Jimbo la Magogoni. Vilevile, Mwenyeji wetu alikua na Mh Diwani wa Amani, Bw Makame Kh. Ame.

Kwa pamoja, tuendelea kuwajali wazee na kuwathamini kwani bila wao tusingefika hapa.
Ahsanteni


14/05/2021

Eid Mubaraq

Address

Mombasa Zanzibar
Mombasa
1637

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255773596492

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Clinical Medicine Organasation Cmoznz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Clinical Medicine Organasation Cmoznz:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram