Dondoo ZA AFYA

Dondoo ZA AFYA Health and Wellness

DALILI ZA FANGASI UKENI NI PAMOJA NA;1. Mwanamke kupata miwasho sehemu za siri ikiwa ni pamoja na eneo la ngozi kati ya ...
19/11/2024

DALILI ZA FANGASI UKENI NI PAMOJA NA;
1. Mwanamke kupata miwasho sehemu za siri ikiwa ni pamoja na eneo la ngozi kati ya njia ya haja kubwa na sehemu za siri
2. Mwanamke kutokwa na uchafu wenye rangi k**a maziwa,ambao huambatana na harufu mbaya ukeni
3. Sehemu za siri kuwa na michubuko pamoja na vidonda kwenye mashavu na ngozi ya ukeni
4. Ngozi ya sehemu za siri kubadilika rangi na kuwa nyekundu
5. Kupata maumivu wakati wa tendo la Ndoa

MADHARA YA FANGASI WA UKENI NI PAMOJA NA;
– Mwanamke kunuka au kutoa harufu mbaya sehemu zake za siri
– Mwanamke kutokwa na uchafu mithili ya maziwa Mgando
– Mwanamke kuwa mkavu na Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa
– Sehemu za siri za mwanamke kuwa na michubuko pamoja na vidonda
– Kukosa raha ya tendo la Ndoa
– Kukerwa na miwasho sehemu za siri hata ukiwa mbele za watu
– Fangasi sugu huweza kukusababishia hata tatizo la kutokushika mimba.

*Chukua Hatua mapema kabla ya hatari
Wasiliana nasi 0716161433
0710727648

*MVURUGIKO WA HOMONI (HORMONAL IMBALANCE)*Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vich...
05/09/2024

*MVURUGIKO WA HOMONI (HORMONAL IMBALANCE)*

Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika. Mvurugiko wa homoni kwa mwanamke huweza kuchangiwa kutokuwepo na usawa katika homoni za Estrogen na progesterone. Kupungua au kuzidi kwa homoni hizi hupelekea mvurugiko wa homoni kwa mwanamke.

*VYANZO/SABABU ZA MVURUGIKO WA HOMONI*

✓Uwepo wa sumu mwilini hasa katika ✓mfumo wa damu.
mfumo mbovu wa maisha. Hili ni janga kwa magonjwa mengi yasiyoambukizwa kwasababu watu wengi wameondokana na vyakula vya asilia.
✓Umri ukienda sana hasa wakati mwanamke akifikia kipindi chaKukoma kwa hedhi miaka 45+
✓Kutofanya mazoezi, na kutokulala masaa anayostahili kwa siku kwa sababu watu wengi tuko bize kupita kiasi ✓Uzito mkubwa kwa mwamke
✓Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa huwa pia inaweza kuathiri mfumo wa hedhi.
✓Msongo wa mawazo. Hili ndilo janga linaloongoza kwa kuvuruga hormoni kwa kuwa wanawake wengi siku hizi wanaishi kwa Msongo mkubwa.
✓Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango k**a vidonge,sindano na njiti.
✓Utoaji wa mimba. Dada zangu hii inawahusu ni chanzo kikubwa cha Mvurugiko wa homoni ikijumuisha mzunguko wa hedhi.
✓Historia ya familia(Upungufu au ongezeko ya homoni ya progesterone na Estrogen)

*DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI*
>Ukavu ukeni
> >Maumivu wakati wa tendo la ndoa
>Kutoa jasho usiku
>Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
>Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa
>Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)
>Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi
>Uchovu wa mara kwa mara
>Hasira za mara kwa mara
>Kukosa usingizi
>Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara
>Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula
>Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe
>Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k)
>Maumivu ya viungo
>Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)
>Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea
>Mwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi
>Kusinyaa na kupauka kwa ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango
>Maumivu ya kichwa mara kwa mara
>Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)
>Kutokupata choo kwa wakati
>Misuli kudondoka

*MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONI*

Pamoja na dalili nyingi tulizoziona wanawake wanapaswa waelewe vitu vifuatavyo hutokea ;

_Ukiendelea kubaki na dalili tajwa hapo awali kwa muda mrefu, kinga ya mwili itashuka kwa kiasi kikubwa na kusababisha madhara mengi k**a yafuatayo:

_Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu
_Mimba kuharibika mara kwa mara
_Kukosa mtoto au Ugumba
_Maumivu wakati wa tendo la ndoa
_Kuwa na tabia na maumbile ya kiume
_UTI (Urinary Tract Infection) ya mara kwa mara
_Kuzeeka mapema
_Kuziba kwa mirija ya uzazi
_Saratani ya shingo ya KIZAZI
-Uvimbe kwenye uzazi wa mwanamke (Fibroids and Cysts)

*Kwa ushauri na tiba wasiliana nasi
0716161433 / 0710727648

*NINI MAANA YA BAWASILI/CHANZO/SABABU NA MADHARA* .-Bawasiri ni Ugonjwa *unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya d...
03/09/2024

*NINI MAANA YA BAWASILI/CHANZO/SABABU NA MADHARA* .

-Bawasiri ni Ugonjwa *unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya dawa sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama/Uvimbe ambao ndio huitwa Bawasiri.*

Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa kinyama,miwasho,maumivu makali na kutoa damu

Ugonjwa huu umekuwa ni ugonjwa hatari kutokana na tabia za wagonjwa kuficha kutokana na aibu ya tatizo lenyewe lilipo au kuhofia jamii kumtazama tofauti kwa sababu jamii nyingi hasa za afrika mashariki zinaamini kuwa ugonjwa huu ni mkosi mkubwa.

*DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI*
1.kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
2.kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa
3.kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
4.kupata kinyesi chenye damu
5.kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
6. Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya

AINA ZA BAWASIRI⤵️
-Kuna aina 2 za Bawasiri k**a ifuatavyo⤵⤵⤵
1⃣. BAWASIRI YA NJE
Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa ambapo kinyama huwa nje hata k**a hujaenda kujisaidia haja kubwa.
2️⃣.BAWASIRI YA NDANI
Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu na kinyama hutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.

Bawasiri ya ndan ina hatua NNE ambazo ni:⤵
1. HATUA YA KWANZA
Katika hatua hii mtu hujihisi maumivu makali,miwasho pamoja na kutokwa damu wakati wa kujisaidia na kinyama hakionekan wakati wa kujisaidia.
2. HATUA YA PILI
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe punde baada ya kujisaidia
3.HATUA YA TATU
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe ama inaweza kurud yenyewe baada ya muda
4. HATUA YA NNE
Hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi baada ya kujisaidia.

*VISABABISHI/MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI*
1.Uzito kupita kiasi(Overweight)
2. Ujauzito
3. Unywaji pombe
4. Kukaa sana sehemu ngumu
5. Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa.
6.Kujisaidia Choo Kigumu.Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:
-Vidonda vya TUMBO
-Ngiri/Hernia
-Ulaji duni
-Kuwa na acid mwingi tumboni
7. Kula sana nyama nyekundu
8.Presha ya kupanda
9. Kula sana pilipili
10. Kula udongo(Wajawazito na watoto wadogo)
11. Kujisaidia kwenye vyoo vya kukaa
12.Kuharisha kupita kiasi.
13. Kufanyakaz ngumu/kunyanyua vitu vizito

*MADHARA/ATHARI ZA BAWASIRI*
1.Upungufu wa damu mwilini
2.Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
3.kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
4.kupungukiwa nguvu za kiume
5.kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
6.Kupata tatizo la kisaikolojia
7.Kutopata ujauzito
8.Mimba kuharibika
10. Kupata kansa ya utumbo ( Colorectal cancer)
11. Mwili kudhoofika

*NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI*
1.Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi
2.kunywa maji mengi lita 2.5 hadi 3 kwa siku
3.Acha kufanya mapenzi kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
4.Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.
5. Acha kunywa pombe
6.Punguza kula nyama nyekundu
7.Punguza matumizi ya pili pili.
8.Jitibie vidonda vya tumbo
9.Jitibie Ngiri
10.Dhibiti uzito wako
11.Jiepushe/punguza kunyanyua vitu vizito mara kwa mara

MATIBABU YA UGONJWA WA BAWASIRI
Kuna matibabu aina mbili katika kutibu ugonjwa wa Bawasiri:

*1. MATIBABU YA KISASA*
-Matibabu ya kisasa yanahusisha matibabu ya Hospital ambapo tiba kubwa ya Bawasiri kwa hospital ni kufanyiwa upasuaji mdogo ( minor surgery) kwaajili ya kuondoa kinyama. Changamoto kubwa ya matibabu haya ni kwamba asilimia kubwa ya wagonjwa wanaofanya upasuaj wa tatzo hili tatizo hujirudia kwasababu upasuaji huondoa athari ya tatzo na si mzizi wa tatizo yaani ni sawa na kukata mti kisha ukaacha mizizi bila shaka mti huo utachipua na kumea tena.Lakini pia Upasuaji wa Bawasiri huwa na maumivu makali sana na uponaji wa kidonda hufika mpaka miezi miwili,hali hii ya kukaa na kidonda kwa muda mrefu kunaweza kupelekea kupata Kansa ya utumbo ( Colorectal Cancer).
Kwa

*2. MATIBABU KWA NJIA ASILI*
-Matibabu haya yanahusisha utumiaji wa dawa zinazotokana na mimea dawa ( *Virutubisho lishe/saplements)* .Dawa hizi Hutibu Bawasiri bila **kufanya upasuaji* na huweza kuleta matokeo ya haraka kwa mgonjwa endapo atatumia dawa huku akijitahidi kujiepusha na visababishi vyote vinavyopelekea mtu kupata Bawasiri k**a ilivyoainishwa juu pale.
Kwa USHAURI na matibabu wasiliana nasi
0716161433 au 0710727648

: *NINI CHANZO CHA UKE KUWA MKAVU?** *Uke mkavu; ni tatizo ambalo husababishwa na upungufu wa homoni au kutokua na uwian...
06/07/2024

: *NINI CHANZO CHA UKE KUWA MKAVU?**

*Uke mkavu; ni tatizo ambalo husababishwa na upungufu wa homoni au kutokua na uwiano wa homoni ya estrogen ambayo upelekea misuli ya uke kusinyaa na kukosa vilainishi*.

Kwa kawaida uke unatakiwa kuwa na Ute wa wastani ambao hufanya uke kubana kuleta joto na Raha ya tendo.
Ute huo ukizidi Sana au kua pungufu Sana nalo ni tatizo.

*VISABABISHI VYA UKE MKAVU*

Sababu kadhaa zinaweza kusababisha ukavu wa uke, ikiwa ni pamoja na:

🌂Mabadiliko ya Homoni: Kupungua kwa viwango vya estrojeni wakati wa kukoma hedhi, baada ya kuzaa, au wakati wa kunyonyesha.

🌂Dawa: Dawa fulani, kutia ndani antihistamines, antidepressants, na matibabu ya saratani.

🌂Masharti ya matibabu: shida za autoimmune, kisukari, na ugonjwa wa Sjögren.

🌂Mambo ya Mtindo wa Maisha: Uvutaji sigara, mafadhaiko, na ukosefu wa shughuli za ngono.

🌂Utumiaji mafuta yenye kemikali (cosmetics)
🌂-Magonjwa ya zinaa na fangasi
🌂-Matumizi ya sabuni za antibiotics kwa kuoshea uke
🌂-Uoga na wasiwasi

*DALILI ZA UKE MKAVU*
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa
-Kupungua hamu ya tendo la ndoa
-Kua na ngozi kavu
-Maumivu ya mifupa na viungo
-Msongo wa mawazo
-*Mzunguko wa hedhi Kubadilika badilika*
-Kutokufurahia tendo la ndoa kutokana na Maumivu*

*MATIBABU YA UKE MKAVU*
Tatizo hili huwa mara nyingi linatibiwa kwa kuzingatia chanzo japokuwa linaweza pia kutibika kwa mfumo wa kubadilisha lishe kwakuwa
*Kuna lishe ambazo zimetengenezwa kwa kuzingatia tiba lishe na Ni Bora Zaidi kwa afya*

*KWANINI MWANAMKE ANAPATA MAUMIVU YA TUMBO, KUHARISHA NA KUTAPIKA WAKATI WA HEDHI?*

*Ni kweli kabisa, Kuna wanawake au wana- wa k**e hupata maumivu wakati wa hedhi yakiambatana na kuharisha, kutapika na maumivu ya mgongo, sio wanawake wote wanaweza kupata tatizo hili*

*K**a wewe unapitia changamoto hii, Leo tutakufundisha kwanini inatokea na njia za kufanya Kupunguza au kuondoa tatizo hilo*.

*Maumivu wakati wa hedhi husababishwa na Kuongezeka kwa uzalishwaji wa homoni ya prostaglandins kuliko kawaida*

*Kwa Hali ya kawaida, Kila mwanamke akiwa kwenye siku zake ni lazima homoni ya prostaglandins izalishwe ili iwezeshe utokaji wa damu yote ya hedhi nje na kuacha uterus ikiwa safi, kwa mwanamke anaepata maumivu homoni hii huzalishwa nyingi sana kuliko kawaida na kusababisha maumivu makali*

*Homoni ya prostaglandins husababisha mvurugiko wa mmeng'enyo wa chakula hivyo, kusababisha mwanamke kutapika lakini pia huongeza peristalsis mara mbili ya peristalsis ya kawaida hivyo kusababisha kuharisha( diarrhoea)*.

*Tatizo hili hutokea mara nyingi sana kwa wanawake k**a hawatapata Tiba, lakini pia sio wanawake wote ni Hali ya kawaida wengine ni dalili za Magonjwa ya Mfumo wa Uzazi k**a vile; PID, fibroids( uvimbe kwenye Mfumo wa Uzazi) au endometriosis*.
KWA USHAURI NA TIBA WASILIANA NASI 0716161433 / 0710727648

FAHAMU FAIDA YA KULA N**I.Imeandaliwa na  1.nazi ina fati iliyo salama kwa afya (fatty acid)2.Husaidia katika kuimarisha...
06/07/2024

FAHAMU FAIDA YA KULA N**I.

Imeandaliwa na

1.nazi ina fati iliyo salama kwa afya (fatty acid)
2.Husaidia katika kuimarisha na kuboresha afya ya moyo
3.Husaidia katika uunguzwaji wa mafuta mwilini
4.Hupunguza njaa
5.Hupunguza kifafa
6.Huongeza cholesterol zilizo nzuri
7.Hulinda afya ya ngozi, nywele na meno
8.Huimarisha afya ya ubongo
9.Hupunguza mafuta mabaya kwenye tumbo (kitambi).
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na 0716161433 / 0710727648

30/06/2024

*DON'T DELAY TO TREAT KIDNEY DISEASE.*

*Chronic kidney disease (CKD) is a long-term condition characterized by a gradual loss of kidney function over time. It is defined by a decreased glomerular filtration rate (GFR) or evidence of kidney damage, such as proteinuria (excess protein in the urine), that persists for more than three months.*
CKD can progress to end-stage renal disease (ESRD), requiring dialysis or a kidney transplant. Risk factors for CKD include diabetes, hypertension, cardiovascular disease, and a family history of kidney disease.
Symptoms often do not appear until kidney function is significantly impaired.

*Causes of Chronic Kidney Disease (CKD):*

1. **Diabetes**: High blood sugar levels can damage blood vessels in the kidneys.
2. **High Blood Pressure (Hypertension)**: Increased pressure can damage kidney blood vessels over time.
3. **Glomerulonephritis**: Inflammation of the kidney's filtering units (glomeruli).
4. **Polycystic Kidney Disease**: A genetic disorder causing cysts in the kidneys.
5. **Prolonged Obstruction**: Conditions like kidney stones, enlarged prostate, or some cancers that block the urinary tract.
6. **Recurrent Kidney Infections (Pyelonephritis)**: Can cause scarring and damage.
7. **Autoimmune Diseases**: Such as lupus, which can affect multiple organs including the kidneys.
8. **Toxins and Drugs**: Long-term use of certain medications, including some over-the-counter pain relievers, and exposure to toxins.
9. **Chronic Kidney Infections**: Or recurrent urinary tract infections.
10. **Vascular Diseases**: Affecting the blood vessels in the kidneys.

*Effects of Chronic Kidney Disease:*

1. **Fluid Retention**: Leading to swelling in limbs, high blood pressure, or fluid in the lungs (pulmonary edema).
2. **Electrolyte Imbalance**: Such as high potassium (hyperkalemia), which can affect heart function.
3. **Cardiovascular Disease**: Increased risk of heart disease, heart attack, and stroke.
4. **Bone Disease**: As kidneys fail to maintain calcium and phosphorus balance, leading to bone weakening (osteodystrophy).
5. **Anemia**: Reduced production of erythropoietin, leading to decreased red blood cell production.
6. **Acidosis**: Accumulation of acid in the body due to impaired kidney function.
7. **Nerve Damage (Neuropathy)**: Resulting in tingling or numbness.
8. **Nutritional Deficiencies**: Poor appetite and changes in metabolism can lead to malnutrition.
9. **Compromised Immune System**: Making it harder to fight infections.
10. **Mental and Cognitive Impairments**: Due to the buildup of toxins in the blood.
11. **Dermatologic Issues**: Such as dry, itchy skin.
12. **Gastrointestinal Problems**: Nausea, vomiting, and loss of appetite.

* *
➖ Avoid too much salt
➖Stay hydrated
➖Long term use of drugs it is not safe
➖ Alcohol must be avoided
➖ High blood pressure patients are at high risk please get treatment
➖ Diabetes should be treated.

CKD often progresses silently, with few symptoms until the kidneys are significantly damaged. Early detection and management are crucial to slow the progression of the disease and mitigate its effects.

*If you are suffering from any kidney disorders we are here for you, through our natural medicine contact us 0716161433 / 0710727648

14/03/2024

"

13/03/2024

K**A UNAFANYA KOSA HILI 👇

N.B ✍️Basi Leo iwe mwisho wengi Wetu kipindi hiki Cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan

✍️Wakati wa kufungulia Huwa tunapenda kukimbilia kunywa maji ya baridi .
✍️ Hali inayofanya mfumo wa mmengenyo wa chakula kufanya kazi ya ziada , uchovu na maumivu ya Tumbo .
✍️USHAURI ANZA KWA KUNYWA MAJI YA YA KAWAIDA AU YA UVUGUUVUGU K**A UNA KIPANDE CHA LIMAO KAMULIA .
ITAPENDEZA K**A UKICHANGANYA NA ASALI KIDOGO
KWA MCHANGANYIKO HUO UTAONDOA GESI TUMBONI NA KUSAIDIA MMENGENYO WA CHAKULA KUFANYA KAZI IPASAVYO 🙏🙏🙏
RAMADAN KAREEM🙏
Kwa ushauri zaidi piga cm no. 0716161433

Wanaume mwajua hili👇👇*_UNENE KUPITA KIASI UNASABABISHA VIPI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME?_*Unene Kupita kiasi unaweza kusa...
06/03/2024

Wanaume mwajua hili👇👇

*_UNENE KUPITA KIASI
UNASABABISHA VIPI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME?_*

Unene Kupita kiasi unaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume kwa sababu inaweza kusababisha matatizo ya kiafya ambayo yanaweza kuathiri utendaji wa ngono. Kwa mfano:

➖Unene unaweza kusababisha mzunguko duni wa damu, ambao ni muhimu kwa kudumisha uwezo wa kushiriki Tendo La Ndoa vizuri

➖Unene unaweza kusababisha kuongezeka kwa kiwango cha mafuta mwilini, ambacho kinaweza kuathiri viwango vya homoni za kiume k**a Testosterone.

➖Unene unaweza kusababisha shinikizo la damu na ugonjwa wa kisukari, ambayo yote yanaweza kuchangia upungufu wa nguvu za kiume.

Kupunguza uzito, kudumisha lishe bora, na kujihusisha na mazoezi ya mara kwa mara vinaweza kusaidia kuboresha uwezo wa ngono na kupunguza hatari ya upungufu wa nguvu za kiume.

*_Ikiwa una wasiwasi kuhusu suala hili, ni vyema kuzungumza na mtaalamu wa afya ambaye atakupa ushauri na matibabu sahihi._*

Tambua hili pia👇👇

*ISHARA 9 MWILI WAKO UNAHITAJI USAFI:*
✅ MAUMIVU YA TUMBO
✅ UCHOVU/KUPUNGUA KWA NGUVU
✅ KUVIMBIWA
✅ MAUMIVU YA KICHWA
✅ KUWASHWA
✅ MICHUBUKO YA NGOZI
✅ TAMAA YA CHAKULA
✅ TABU KULALA
✅ MSONGAMANO/BARIDI YA KILA WAKATI
Kwa ushauri na tiba zaidi wasiliana nasi
0716161433 or 0710727648

1.3. DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO1:Kupatwa na maumivu ya kuwaka moto tumboni huzidi hasa wakati wa kula na usiku wakati k...
02/03/2024

1.3. DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO

1:Kupatwa na maumivu ya kuwaka moto tumboni huzidi hasa wakati wa kula na usiku wakati kulala.

2:Kiungulia (heartburn).

3: Tumbo kujaa ges kuvimbiwa.

3: Kujisaidia haja kubwa yenye rangi ya kahawia au nyeusi na harufu mbaya sana na pia yaweza changanyikana na damu.

4: Kupungua uzito.

5: Kupoteza hamu ya kula.

6: Maumivu ya mgongo na kifua.

7: Chembe moyo.

8: Kuwa na choo kigumu.

9: Kichefuchefu na kutapika na pengine kutapika damu.

10: Kushindwa kupumua vizuri.

11: Kupungukiwa na damu.

12: Mapigo ya moyo kwenda mbio.

13: Kuhisi kizunguzungu.

MADHARA YA KUKAA NA VIDONDA VYA TUMBO KWA MUDA MREFU BILA KUFANYA MATIBABU.

1: Kuvujia kwa damu ndani hali hii anaweza kuijua mgonjwa kwa dalili zifuatazo
(a) kizunguzungu na Kuhisi kichwa chepesi
(b) uchovu
(C) Kupumua kwa shida
(d)kujisaidia kinyesi chenye rangi ya kahawia au cheusi
(e) kutapika damu
Kuvujia kwa damu ndani kunaweza kupelekea anaemia na upungufu wa damu ambao unaweza kupelekea mgonjwa kuhitaji kuongezewa damu

2: Matundu katika ukuta wa tumbo.

3: Kansa ya tumbo (gastric cancer).

4: Kuziba kwa njia za chakula hali inayopelekea kushiba haraka, kutapika na kupungua uzito.

MATIBABU YA VIDONDA VYA TUMBO.
Matibabu ya vidonda vya tumbo yamegawanyika katika njia mbili
(a) kwa njia ya kisasa,
(b) kwa njia ya asili.

(a) MATIBABU KWA NJIA YA KISASA.

matibabu kwa njia ya kisasa ni matibabu ambayo hutolewa hospitalini huusisha

Antibiotics - ni dawa ambazo zinauwezo wa kuua Helicobacter pylori mfano amoxicillin (Amoxil), clarithromycin (Biaxin), metronidazole (Flagyl), tinidazole (Tindamax), tetracycline na levofloxacin.

Proton pump inhibitors PPI - ni dawa ambazo hupunguza uzalishaji wa acid tumboni na hivyo kuleta nafuu kwa mgonjwa mfano wa PPIs ni Omeprazole, pantoprazole na lansoprazole.

H-2 blockers - ni dawa ambazo hupunguza uzalishaji wa acid tumboni kwa kuzuia uzalishaji wa histamine hivyo kuleta nafuu kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo mfano wa H-2 blockers nifamotidine (Pepcid AC), cimetidine (Tagamet HB) na nizatidine (Axid AR).

Antacids- ni dawa ambazo hubatilisha acids ambayo huzalishwa tumboni hivyo huleta nafuu ya haraka kwa mgonjwa.matibabu mengine ni matibabu ambayo mgonjwa hupewa dawa ambazo zinaulinda ukuta wa tumbo kwa kutengeneza tabaka ambalo linazuia acid kugusa ukuta wa tumbo N.k.

(b) MATIBABU KWA NJIA YA ASILI.
Matibabu kwa njia ya asili ni matibabu ambayo yanahusisha utumiaji wa dawa zilitengengenezwa kwa mimea. Zipo dawa nyingi za asili zinazotibu vidonda vya tumbo miongoni mwa dawa hizo ni Probio3

*FAIDA ZA KUTUMIA Probio3.*

Probio3
Ni dawa ya asili iliyotengenezwa kwa mchanganyiko wa mimea tiba na inatumika k**a kirutubisho kwa kuwa ipo mfumo wa unga.

1: Probio3 inauwezo wa kutibu na kuponyesha vidonda vya ndani.

2: Inauwezo wa kuua helicopter pylori ( ni aina ya bacteria ambao husababisha vidonda vya tumbo).

3: Inauwezo wa kurekebisha na kudhibiti uzalishaji wa hydrochloric acid tumboni ( ni acid ambayo huzalishwa na ukuta wa tumbo kwa ajili ya kuua vidudu k**a vile bacteria n.k).

4: Ni dawa ambayo hurudisha uwezo wa ukuta wa tumbo wa kuzalisha mak**asi (mucus) kwa wingi . Mak**asi (mucus) huizuia hydrochloric acid ambayo huzalishwa tumboni kukutana au kugusana na ukuta wa tumbo.

5: Ni dawa ambayo haina madhara kwa mtumiaji wake na ni salama kabisa.
6. Inaongeza bacteria walinzi katika kuta za tumbo ambao hudhoofisha asidi inayomegua kuta za tumbo

Matibabu kwa njia ya asili/mbadala ni matibabu ambayo ni rafiki kwa afya na gharama zake ni nafuu.

Tumia Probio3 kufanya matibabu ya Vidonda vya tumbo. Kwa kuwa ni dawa sahihi kwa matibabu ya vidonda vya tumbo na utapona inshaa Allah.

*Ushauri* : Fanya matibabu haraka ya vidonda vya tumbo ili kuepuka madhara makubwa wasiliana nasi kwa ushauri na Matibabu
0716161433

"🥫I *MWANAUME  USIYOYAJUA KUHUSU "TEZI DUME" NA FAIDA ZAKE".*🍂🥒 Hii ni Tezi ambayo Inaundwa na sehemu mbili ambazo zimeu...
28/02/2024

"🥫I *MWANAUME USIYOYAJUA KUHUSU "TEZI DUME" NA FAIDA ZAKE".*

🍂🥒 Hii ni Tezi ambayo Inaundwa na sehemu mbili ambazo zimeunganishwa na kufunikwa kwa nje kwa utando wa tishu.

🥒Tezi hii ipo mbele kidogo ya puru ( *re**um* ) na chini kidogo ya kibofu cha mkojo.

👉*Tezi dume* inauzunguka mrija unaounganisha kibofu cha mkojo na uume ( *urethra* ).

🥫* KAZI ZA TEZI DUME* 🥫

1• *Tezi dume* hutoa majimaji ambayo huchanganyika na mbegu za kiume na kutengeneza shahawa.

👉 Asilimia 60 ya shahawa huwa ndio hayo majimaji yaliyo tengenezwa na *tezi dume* na asilimia 40 ndio mbegu za kiume zilizotengenezwa kwenye kiwanda cha mbegu ( *korodani* ).

2• Majimaji yanayotoka kwenye *tezi Dume* ndiyo huanza kutangulia mbele kusafisha njia ya mkojo ili kuondoa asidi kwenye njia hiyo na kubakia hali ya *alkaline* ili mbegu za kiume zisife.

👉Hivyo inaondoa asidi na pia inazilinda zisife kuanzia kwenye njia ya mkojo ya mwanaume mpaka *ukeni kwa mwanamke* maana nako Pia kuna asidi sana.

3. Kazi nyingine ya *tezi dume* ni *kuchuja sumu* ili zisichanganyike na mbegu za kiume hivyo hata mbegu inakuwa haina ugonjwa na salama.

4. *Tezi dume* ndio yenye kufunga njia ya mkojo na kuruhusu mbegu za kiume zitoke wakati umefika kileleni na kuziba njia ya mbegu za kiume na kufungua njia ya mkojo unapokuwa umemaliza tendo.

5. Wanaume tukimaliza tendo huwa shahawa zinaruka sana hiyo ni kazi ya *tezi dume*.

• K**a shahawa zako zinamwagika tu lakini haziruki zenyewe k**a mkojo nikiwa na maana kwa speed ujue *tezi dume* lako haliko sawa.

👉Pia Inakuwa ngumu mbegu zako kufikia yai la mwanamke na kumpa ujauzito Kwa Sababu Zitakosa Uwezo Wa Kusafiri Kwa Wepesi Endapo *Tezi dume haina Uwezo Wa Kutosha .

6. *Tezi dume* inailinda njia ya mkojo isishambuliwe na vijidudu vya U.T.I.

7. *Tezi dume* ni sehemu ya kilele cha raha kwenye tendo la ndoa kwa mwanaume.

8. *Tezi dume* Kupitia majimaji yake ndio inayosaidia Kusafirisha *mbegu za kiume* kutoka kwa mwanaume mpaka kwa mwanamke na kukutana na yai la mwanamke.

9. Majimaji yanayotoka kwenye *tezi dume* ambayo ndani Yake Kuna Protein ndiyo chakula cha mbegu za kiume , Endapo Maji haya Yakiosekana Mwanaume ana Uwezekano Mkubwa Wa Kupeleka Kwenye Kizazi Cha Mwanamke Mbegu mfu na Zisizo na Uwezo Wa Kutungisha mimba.

👉 Kwa hiyo mbegu za kiume zinapata chakula kutoka kwenye *tezi dume* .

🥒 *Kuvimba Tezi Dume (BPH)".*

🥒 Kwa kadri mwanaume anavyozeeka, ni jambo la kawaida pia kwa *tezi dume* kuongezeka ukubwa Kupita Kiwango Cha Kawaida au kuvimba.

🥒 Sababu Ya *Kuvimba kwa *tezi dume*.

🥒 Chanzo halisi cha kuvimba kwa tezi au vihatarishi vyake ( *risk factors* ) havijulikani kwa uhakika.

• Kwa muda mrefu imekuwa ikichukuliwa kuwa ugonjwa huu hutokea kwa wanaume watu wazima na wazee tu lakini siku hizi hata vijana..

• Ingawa Baadhi Ya tafiti Zinaonyesha Kuhusika Kwa Baadhi Ya Sababu K**a :- Hormones , Ongezeko la Umri Maambukizi Ya Magonjwa Ya Mfumo wa Mkojo Kuhusishwa na Uwezejano Mkubwa Wa Kusabiaha tatizo hili la Kuvimba au Kukua Kusiko Kwa Kawaida Kwa *tezi dume*.

🥫 *Dalili Za Kuvimba Kwa*Tezi Dume* 🥫

- Kukojoa mkojo unaokatika katika.
- Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu.
- Kuchukua muda kabla ya mkojo kuanza kutoka.
- Hali ya kujihisi kubanwa na mkojo kila mara.
- Kushindwa kuthibiti mkojo kiasi cha mkojo kutirika wenyewe.
- Hali ya kuhisi mkojo haujaisha kwenye kibofu.
- Kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku.
- Kushindwa kukojoa kabisa ( *Urine retention* ) .
~
🥒 *Madhara Ya Kuvimba Kwa Tezi dume* :🥒

👉 Endapo mtu atapatwa na tatizo la Kuvimba kwa *tezi dume* inaweza Pia Kusababisha Vijiwe kwenye Kibofu cha mkojo.
- Maambukizi Yasiyokwisha ( *Mara Kwa Mara* ) Katika njia ya mkojo ( *U.T.I* ).
- Madhara katika figo au kibofu.
- Shinikizo la damu ( *Pressure* ).
-Kufanya tendo la ndoa bila kutoa Shahawa Kwenye Uume ( *retrograde ej*******on* ).
- Kupungua kwa *nguvu za kiume* na kushindwa *tendo la ndoa*.
- Kushindwa Kusamisha Uume ( *Uhanithi* ) au Kusimama Kwa taabu Sana.

*Nini Kifanyike*?

🥒 Ondoa Hofu Kabisa ( *Relax* ) ~ Tunakukaribisha *Uje Kulinda Tezi Dume Yako na Kutibu Kwa Njia Za Kisasa Kabisa Bila Upasuaji , Njoo Utumie Bidhaa Zilizo tengenezwa U.S.A Kwa Utaalamu Wa Hali Ya Juu Sana Kwa Kutumia Mimea Tiba Kutoka China , India na Korea na Matokeo ni ya uhakika*

FAIDA YA KULA TUNDA LA NDIZI ASUBUHI NA JIONI. Ndizi zina virutubisho vingi k**a vile vitamini, nyuzinyuzi, protini, wan...
15/02/2024

FAIDA YA KULA TUNDA LA NDIZI ASUBUHI NA JIONI.



Ndizi zina virutubisho vingi k**a vile vitamini, nyuzinyuzi, protini, wanga, madini ya chuma na virutubisho vya sukari k**a ‘Sucrose’ na ‘Fructose’.

FAIDA ZAKE NI........
_ Kuondokana na tatizo la kiungulia (heartburn).
_ Kuondoa pressure kwa sababu ina madini ya sodium (Na) na potassium (K).
_ Kuongeza nguvu mwili kutokana na madini, vitamin pamoja na wanga yenye 'Glycemic '.
_ Kuondokana na magonjwa ya vidonda vya tumbo.
_ Husaidia wagonjwa wa anaemia kwasababu ndizi ina madini chuma hivyo ina protein ya (haemoglobin) husaidia damu kuzunguka salama.
_ Huondoa mgandamizo wa mawazo.
Ndizi zina muunganiko wa pekee ambao kitaalam huitwa ‘Tryptophan’ hii ni asidi inayopatikana kwenye protini, ambayo husaidia kwa kutotokea mgandamizo wa mawazo. Virutubisho hivi vikiingia mwilini vinabadirika na kuwa ‘Serotonin’ ambayo hupatikana moja kwa moja kwenye ubongo, huweka misuli sawa na husaidia mtu ajisikie furaha na kuondokana na mawazo. Kwa ushauri zaidi piga or watsap no. 0716161433

Address

Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dondoo ZA AFYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dondoo ZA AFYA:

Share