24/11/2022
Tunatamani kila mtu ajiamini na mwili wake,ndo maana tunakuletea products zetu zifuatazo🤩
•ACNOFA SOAP-karibu tukupe tabasamu na sabuni yetu ya acnofa inayoondoa inayoondoa mafuta na uvimbe wa chunusi🥰inang’arisha ngozi Yako na kukuacha uwe na muonekano mpya kabisa.
•ANTILUK-antiluk cream ni nzuri kwaajili ya watu wenye mafuta na chunusi usoni, ni cream ambayo imetengenezwa na kwa mzizi wa carrot 🥕, haina mafuta kabisa ,inaondoa chunusi na kuzuia ongezeko la chunusi inasoftisha na haiachi hata doa😍👌✨
•ACNOFA face wash -inafungua vitundu vya ngozi na inang’arisha 👌😍
•RAVSCAR-KISABUNI kidogo chenye maajabu 😍,inaondoa makovu,inalainisha na kusoftisha ngozi.
•GOACAR-Kama una kovu na unataka kuliondoa iwe mshono,makovu ya chunusi mikunjo usoni jaribu gel yetu ya kuondoa makovu👌
•CLESTRECTH-NI LOTION YA KUONDOA MICHIRIZI YA AINA ZOTE
-unene, lotion, Uzazi etc
Hii ndo lotion pekee inayokupa guarantee ya kuondoa michirizi 100%
•REVTEEN-Sasa boresha mahusiano na mwenza wako, kwa kutumia Hii bidhaa yetu ya Revteen.
-inasaidia kubana misuli ya uke bila kusababisha madhara yoyote kwasababu,
1. Imetengenezwa kwa mimea asilia
2. Imethibitishwa na TBS ni salama kabisa kwa afya ya mwanamke.
•SHECLINO-Zile siku zetu za Hedhi wanawake tunapenda kuoga na kujiosha vizuri sehemu zetu zile ili tusinuke, na tuwe Nuru.
Lakini ukitumia sabuni ya kawaida kuoshea ukeni inaleta madhara,
Pia ukisema utanawa na maji tu haikati kale kaharufu….
JE! UNAFANYA JE ?
- Ndio pale tunakuletea sabuni yetu maalumu ya kuoyeaa ukeni,
-salama kabisa haina madhara ,
- imetengenezwa kwa madini mbali mbali na mimea asilia ikiwemo tea tree oil ,
- ina balance PH 3.5
- inazuia maambukizi ya bacteria anayo tokana na matumizi ya ped au vyoo vya public
- inaondoa miwasho
- na inakuacha unajisikia fresh na mwenye kujiamini siku zote na siku za Hedhi ….
Unaanzaje kukosa mambo mazuri k**a Hayo kwa mfano😍😘usikubali kupitwa na ujiwahie Yako sasa 💃🏽
Sasa zinapatikana MARHABA PHARMACY
MOROGORO