Boresha Afya

Boresha  Afya Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Boresha Afya, Medical and health, MISUFINI, Morogoro.

FOREVER ALOEVERA GEL☎+255 745855427Mfumo wa maisha wa sasa ni dhahiri kwamba tunaingiza uchafu na sumu nyingi sana mwili...
27/09/2020

FOREVER ALOEVERA GEL

☎+255 745855427

Mfumo wa maisha wa sasa ni dhahiri kwamba tunaingiza uchafu na sumu nyingi sana mwilini kupitia (hasa vyakula vya kisasa), (k**a soda, bia, na vingine vingi vya viwandani), & wa mazingira (Moshi wa viwandani & vyombo vya moto vya usafiri, kemikali mbaya kutoka viwandani, vumbi la viwandani, shughuli za ujenzi na mambo mengine kadha wa kadha yanayopelekwa mazingira yetu yasiwe salama).

Hata hivyo tunapokula, chakula hubaki kwenye utumbo na hukaa hapo kwa mda na baadae hubadilika kua uchafu mbaya sana (gesi, sumu & visivyohitajika na mwili).

Uchafu huu pamoja na ule ambao umeshakwisha fyonzwa na mwili usipotolewa nje kwa wakati huchochea matatizo mbalimbali mwilini k**a; mfumo wa mmeng'enyo wa chakula mwilini kuharibika,
utumbo kuchubuka au kuharibika, mwili kushindwa kufyonza virutubisho vingine kutoka kwenye chakula kipya utakachokula tena, mifumo mingine ya mwili kushindwa kufanya kazi vizuri, Kinga ya mwili kuporomoka, magonjwa kuanza kuushambulia mwili ikiambatana na matatizo mengine ya kiafya, na mwisho kua na afya mgogoro kwa ujumla.

Hali hii pia hupelekea kukosa choo, vidonda vya tumbo, matatizo ya tumbo kuuma mara kwa mara na maambukizi mengine ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula mwilini na mifumo yote ya mwili kwa ujumla nk.

JUICE ya Forever Living Products ni bidhaa yenye virutubisho zaidi ya 75 ambavyo mwili unahitaji kila siku lakini hauwezi kutengeneza, pia ina zaidi ya 200, 12, 18 pamoja na muhimu kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula mwilini.

Juice hii imekua certified na Aloevera International Science Council kwa ubora wake, na husaidia matatizo mengi ya kiafya baadhi yake ikiwa ni pamoja na:-
✅Kuondoa sumu itokanayo na uchafuzi wa mazingira, uchafu wa viwandani, Vinywaji, vyakula mbalimbali n.k,
✅Virutubisho muhimu kutoka kwenye vyakula tunavyokula na suplements kuweza kufyonzwa na mwili vizuri,
✅Kuondoa tatizo la kukosa choo au kutopata choo kwa wakati,
✅Kuondoa shida ya kinyama (bawasili),
✅Kusaidia shida ya baadhi ya vimbe zinazotea nje na ndani ya mwili,
✅Kusaidia shida za vidonda vya tumbo ,
💃💃

Address

MISUFINI
Morogoro
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Boresha Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share