23/05/2023
FAIDA YA NDIZI KWA MWANAUME
Unavyofikiri kufanya vyema katika tendo la ndoa unatakiwa kuwaza kuhusu uimara wa misuli ya mwili, kwani misuli ya mwili hutajwa kuwa sehemu kuu na yenye umuhimu mkubwa katika tendo la ndoa.
Ulaji wa NDIZI mbivu ni muhimu Sana kwani husaidia kujenga misuli mwilini na pia kumfanya mwanaume kuwa hodari katika tendo la ndoa.