Foka Medics

Foka Medics Health care facilities

21/01/2025
02/10/2023
Neno moja kwa huyu mzazi?πŸ‘‡πŸ‘‡
10/07/2023

Neno moja kwa huyu mzazi?
πŸ‘‡πŸ‘‡

πŸ‘‡wangapi mnakubaliana na hili?
07/07/2023

πŸ‘‡wangapi mnakubaliana na hili?

Jeshi la polisi mkoa wa Tabora linamshikilia Rayson Agnelusi Duwe muuguzi msaidizi daraja II (ANO) katika hospitali ya W...
13/06/2023

Jeshi la polisi mkoa wa Tabora linamshikilia Rayson Agnelusi Duwe muuguzi msaidizi daraja II (ANO) katika hospitali ya Wilaya ya Sikonge, kwa kosa la kumbaka mama mgojwa mwenye ujauzito wa miezi tisa baada ya kumchoma sindano yenye dawa ya usingizi.

Kamanda wa jeshi la polisi Mkoa wa Tabora ACP. Richard Abwao akitoa taarifa ya tukio hilo ambalo amelitaja kuwa sio la kiungwana amesema lilitokea June 9, 2023 majira ya saa mbili usiku.

Kamanda Abwao amesema muuguzi huyo ambaye aliingia kazini akiwa amelewa pombe alitenda kosa hilo wakati alipopangiwa zamu ya usiku ya kuhudumu wagonjwa wa nje (OPD) ndipo alipotoka na kwenda chumba cha wagonjwa wa ndani na kumbaka mama huyo mwenye ujauzito wa karibu kujifungua ambaye alikuwa anaendelea na matibabu ya ugojwa wa malaria.

Muuguzi huyo alikutwa akiwa na bomba la sindano pamoja na dawa za usingizi huku taarifa ya kitabibu zikithibitisha kuwa alimwingilia mgonjwa huyo.

Mtuhumiwa huyo amefikishwa mahakani mapema hii leo June 13, 2023 kujibu tuhuma zinazo mkabili baada ya upelelezi kukamilika.

CREDITED TO

Nianze na kukusalimu Habari za asubuhi?πŸ‘‡πŸ‘‡Uangaliapo hii picha kunataswira gani inakujia kichwani kwako?πŸ‘‡πŸ‘‡Muombe sana Mun...
13/06/2023

Nianze na kukusalimu
Habari za asubuhi?
πŸ‘‡πŸ‘‡
Uangaliapo hii picha kuna
taswira gani inakujia
kichwani kwako?
πŸ‘‡πŸ‘‡
Muombe sana
Mungu aibariki kazi
ya mikono yako
πŸ™πŸ™πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Kwa wazazi wanaolea watoto chini ya miaka mitano tupeane darasa hapa mtoto anapaswa kulazwa upande gani wa kitanda?
11/06/2023

Kwa wazazi wanaolea watoto chini ya miaka mitano tupeane darasa hapa mtoto anapaswa kulazwa upande gani wa kitanda?

ORODHA YA DAWA HATARI KWA USALAMA WA INI LAKO.
27/05/2023

ORODHA YA DAWA HATARI KWA USALAMA WA INI LAKO.

Hii ni kwa Vijana wenye umri kati ya miaka 20 hadi 45 wanao tumia staili ya kuwa nyonya wenza wao sehemu za siri lengo l...
25/05/2023

Hii ni kwa Vijana wenye umri kati ya miaka 20 hadi 45 wanao tumia staili ya kuwa nyonya wenza wao sehemu za siri lengo likiwa ni kuwavutia wapenzi wao katika kushiriki ngono. Tafahali Epuka oral s*x ili kujikinga na magonjwa k**a Saratani Ya Koo, Hepatitis A, Hepatitis B na
Hepatitis C.

TAARIFA KWA UMMA
18/05/2023

TAARIFA KWA UMMA

REST IN PEACE MWAMBA...πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ‘‡
14/05/2023

REST IN PEACE MWAMBA...
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ‘‡

Address

Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Foka Medics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Foka Medics:

Share

Category