Honey Spring

Honey Spring Tunauza ASALI YA NYUKI WADOGO & WAKUBWA pamoja na kutoa ELIMU, USHAURI kuhusu ASALI kwa ujumla wake.

HONEY SPRING imekua kwenye sekta ya asali tangu mwaka 2012 ikijihusisha na uchakaji na uuzaji wa ASALI YA NYUKI WADOGO pamoja na ASALI YA NYUKI WADOGO!!

23/12/2024

ASALI YA NYUKI WAKUBWA

1kg-10,000 plus gharama ndogo ya delivery.

Wasiliana nasi kupitia 0718353638 ujipatie asali safi isiyo na shaka!!

Tunauza ASALI YA NYUKI WADOGO & WAKUBWA pamoja na kutoa ELIMU, USHAURI kuhusu ASALI kwa ujumla wake.

ASALI YA NYUKI WADOGOKaribuni sana wadau zetu mjipatie asali safi ya NYUKI WADOGO kwa matumizi ya kila siku pamoja na da...
16/09/2024

ASALI YA NYUKI WADOGO

Karibuni sana wadau zetu mjipatie asali safi ya NYUKI WADOGO kwa matumizi ya kila siku pamoja na dawa k**a:-

1. Dressing ya vidonda
2. Vidonda vya tumbo
3. Kikohozi kikali iwe kwa mtoto au mtu mzima
4. Kupunguza gas tumboni nk

1. 1kg ni 30,000
2. 340g-10,000

Kwa wateja wa Dar mteja analipia gharama ya usafiri mpaka atakapotaka.

Wasiliana nasi kupitia 0718353638 au 0683370065( whatsapp)

HONEY SPRING MIAMBA YA ASALI YA UHAKIKAKwa mahitaji  ya ASALI YA NYUKI WADOGO kwaajili ya 1. Kikohozi kikali (changanya ...
28/08/2024

HONEY SPRING MIAMBA YA ASALI YA UHAKIKA

Kwa mahitaji ya ASALI YA NYUKI WADOGO kwaajili ya

1. Kikohozi kikali (changanya na KIINI CHA YAI)

2. Tumbo kujaa gas (changanya na MDALASINI WA UNGA)

3. Kufanyia DRESSING YA VIDONDA nk

BEI

NYUKI WADOGO

1kg-30,000

NYUKI WAKUBWA

1kg-10,000

Wasiliana nasi kupitia 0718353638 au 0683370065( whatsapp pia)

Kwa wakazi wa DAR ES SALAAM unachangia gharama ndogo ya delivery.

HONEY SPRINGWadau wetu,popote utakapokutana na bango hili basi ujue ASALI YA HONEY SPRING inapatikana ndani.Karibuni san...
23/08/2024

HONEY SPRING

Wadau wetu,popote utakapokutana na bango hili basi ujue ASALI YA HONEY SPRING inapatikana ndani.

Karibuni sana.

Unaweza wasiliana nasi kupitia 0718353638 au 0683370065

TUPE ORDER TUKUFIKISHIEKaribuni wadau wetu mnaohitaji ASALI YA NYUKI WADOGO na WAKUBWA mtupe order mjipatie kitu kilicho...
11/08/2024

TUPE ORDER TUKUFIKISHIE

Karibuni wadau wetu mnaohitaji ASALI YA NYUKI WADOGO na WAKUBWA mtupe order mjipatie kitu kilicho bora.

ASALI YA NYUKI WADOGO

1kg-30,000

340g-10,000

ASALI YA NYUKI WAKUBWA
1kg-10,000

Wasiliana nasi kupitia 0718353638 au whatsapp 0683370065

Kwa wateja wetu wa Dar mtaongeza gharama ndogo ya delivery kutegemea na sehemu ulipo.

HONEY SPRING  NANE GROUNDSK**a kawaida wadau wetu karibuni kwenye banda la SUA mjipatie elimu kuhusu asali pamoja na asa...
01/08/2024

HONEY SPRING NANE GROUNDS

K**a kawaida wadau wetu karibuni kwenye banda la SUA mjipatie elimu kuhusu asali pamoja na asali zenyewe.

Ukiingia tu tupo banda la pili kwenye tents za katikati!!

Wasiliana nasi kupitia 0718353638

Karibuni sana

HERI YA MWAKA MPYA KWA WADAU WETU WOTEKaribuni tuuanze mwaka na ASALI safi toka HONEY SPRING kwa matumizi yako ya kwenye...
10/01/2024

HERI YA MWAKA MPYA KWA WADAU WETU WOTE

Karibuni tuuanze mwaka na ASALI safi toka HONEY SPRING kwa matumizi yako ya kwenye:-

1. Chai
2. Mkate
3. Uji
4. Kupikia
5. Tiba nk

ASALI YA NYUKI WAKUBWA 1KG- 10,000 tu

Wasiliana nasi kupitia 0718353638 kujipatia dhahabu hii.

KIWANGO CHA MAJI( MOISTURE CONTENT) KWENYE ASALI.Je wajua kua kiwango cha maji kizuri kinachotakiwa kwenye ASALI ni kati...
17/08/2023

KIWANGO CHA MAJI( MOISTURE CONTENT) KWENYE ASALI.

Je wajua kua kiwango cha maji kizuri kinachotakiwa kwenye ASALI ni kati ya 17% na kisichozidi 21% kwa asali ya NYUKI WAKUBWA??

Hapa tunazungumzia maji wanayoingiza nyuki kwenye mzinga ili KUUPOOZA MZINGA wakati wa utengenezaji asali na sio maji yanayoongezwa na wachakachuaji.

Asali ikizidi kiwango cha maji ya 21% basi itachacha na kua pombe haraka.

Wafikishie na wengine ujumbe huu kwa KULIKE,COMMENT na KUSHARE.

Kwa mahitaji ya asali wasiliana nasi 0718353638

JE WAJUA??Bila uwepo wa maua hatuwezi kupata ASALI hata tone moja!!Nyuki huchukua NECTAR(MAJI MATAMU) toka kwenye maua n...
16/08/2023

JE WAJUA??

Bila uwepo wa maua hatuwezi kupata ASALI hata tone moja!!

Nyuki huchukua NECTAR(MAJI MATAMU) toka kwenye maua na kisha kuyachakata ili kutengeneza ASALI.

Hivyo ni muhimu tutunze mazingira yetu ili kuendelea kupata asali.

Kwa mahitaji ya ASALI wasiliana nasi 0718353638.

04/08/2023

NANE NANE MOROGORO

Wadau wetu bado tupo na asali za kutosha za NYUKI WADOGO na WAKUBWA.

Tunapatikana kwenye viwanja vya SUA.

BEI YA OFFER
Nyuki wakubwa 1kg-9,000 tu

Wasiliana nasi kupitia 0718353638

Karibuni sana.

Tunauza ASALI YA NYUKI WADOGO & WAKUBWA pamoja na kutoa ELIMU, USHAURI kuhusu ASALI kwa ujumla wake.

MAONYESHO YA NANE NANE-MOROGOROWadau wetu mtakaokuja kwenye viwanja vya NANE NANE tunawakaribisha k**a kawaida mje mjipa...
01/08/2023

MAONYESHO YA NANE NANE-MOROGORO

Wadau wetu mtakaokuja kwenye viwanja vya NANE NANE tunawakaribisha k**a kawaida mje mjipatie asali safi kwa bei nafuu.

Tunapatikana katika viwanja vya SUA, tupo kwenye tent za nje mkabala na mabanda ya samaki.

Bei ni

NYUKI WAKUBWA
1kg-10,000
340g-4,000

NYUKI WADOGO
1kg-25,000
340g-10,000

Tupigie 0718353638 kwa maelezo zaidi.

26/07/2023

DODOMA DODOMA

Wadau wetu wa DODOMA karibu ujipatie asali kwa bei nafuu kwa ubora ule ule. Tupo moaka tarehe 29/7.

Wasiliana nasi kupitia 0718353638

Bei:-
NYUKI WAKUBWA
1kg-10,000
340g-4,000

NYUKI WADOGO
1kg-25,000
340g-10,000

Mwambie na mwenzako asipitwe.

Tunauza ASALI YA NYUKI WADOGO & WAKUBWA pamoja na kutoa ELIMU, USHAURI kuhusu ASALI kwa ujumla wake.

JE WAJUA??ASALI sio njia sahihi ya kutumia k**a "huduma ya kwanza" (FIRST AID) kwa mtu alieungua MOTO.Hii ni sababu unap...
18/07/2023

JE WAJUA??

ASALI sio njia sahihi ya kutumia k**a "huduma ya kwanza" (FIRST AID) kwa mtu alieungua MOTO.

Hii ni sababu unapopaka asali unazuia joto kutoka nje na hivyo kupelekea kuzidi kuungua kwa ndani.

FIRST AID nzuri ni kumwagia maji ya baridi yanayotiririka kisha ndio utumie ASALI k**a tiba.

Kwa mahitaji ya asali wasiliana nasi kupitia 0718353638 au whatsapp https://wa.me/message/N4S6ZWXNMQ53M1.

ASALI YA NYUKI WADOGO1kg-25,000Karibuni sana mjipatie ASALI YA NYUKI WADOGO safi kwa matumizi ya 1. Kikohozi2. Wenye vid...
13/07/2023

ASALI YA NYUKI WADOGO

1kg-25,000

Karibuni sana mjipatie ASALI YA NYUKI WADOGO safi kwa matumizi ya
1. Kikohozi
2. Wenye vidonda vya tumbo
3. Vidonda vya operation
4. Kuongeza kinga ya mwili nk

Wasiliana nasi kupitia 0718353638

BEI MPYA, UBORA WA UHAKIKA!!Usipate shida kuhusu ASALI, wasiliana nasi kupitia 0718353638.ASALI YA NYUKI WADOGO1KG (Kilo...
10/07/2023

BEI MPYA, UBORA WA UHAKIKA!!

Usipate shida kuhusu ASALI, wasiliana nasi kupitia 0718353638.

ASALI YA NYUKI WADOGO
1KG (Kilo Moja)-25,000

ASALI YA NYUKI WAKUBWA
1KG ( Kilo Moja)-10,000

Karibu ujionee utofauti.

22/04/2023
ASALI HALISI TOKA HONEY SPRINGUsiache kua na ASALI ndani muda wote mana ina matumizi mengi k**a1. Kujitibu vidonda iwe v...
05/04/2023

ASALI HALISI TOKA HONEY SPRING

Usiache kua na ASALI ndani muda wote mana ina matumizi mengi k**a

1. Kujitibu vidonda iwe vya operation au kawaida

2. Kuweka kwenye UJI,CHAI,MKATE nk

3. Kupikia MKATE,MAANDAZI, CAKE

4. Kulamba ili kuongeza kinga ya mwili

Na matumizi mengine mengi

Bei ni

NYUKI WAKUBWA
lita 1-12,000
Lita 5-55,000(badala ya 60,000)

NYUKI WADOGO
Lita 1-30,000 badala ya 35,000
250ml-13,000

Tupigie 0718353638 au whatsapp wa.me/0683370065

Address

Kilakala
Morogoro
6094

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 15:00

Telephone

+255718353638

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Honey Spring posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Honey Spring:

Share