16/12/2023
🎃*Faida 7 za kisayansi zinazotokana* *na Matumizi ya mbegu za maboga*.
Hadi mwisho, Utapata kufahamu
🩸Faida za mbegu za maboga kwa watu wote.
🩸Faida za mbegu za maboga kwa wanaume.
🩸Faida za mbegu za maboga kwa wanaume (Nguvu za kiume).
🩸Jinsi ya kutumia mbegu za maboga.
🧿Baadhi ya watu hutupa mbegu za maboga, k**a kitu kisicho na maana,Unapokula boga kausha na utunza mbegu zake. kuzitupa siyo jambo jema kiafya. mbegu za maboga zina virutubisho vingi sana ambavyo vinatosha kukujaza afya tele.
🧿Hapa nitakwenda kukuonesha faida za mbegu za maboga, kwa wanaume na faida zake kwa wanawake.
Kabla hatujafika mbali ngoja nikufahamishe baadhi ya virutubisho vinavyopatikana, katika maboga.
🧿Mbegu za maboga zina kalori ya kutosha.
🩸Wanga
🩸mafuta safi
https://chat.whatsapp.com/BotBeH0Ehjh00Bc1avPDNQ
🩸protini
🩸Nyuzinyuzi
🩸Madini ya zinc
🩸Madini ya sodium.
🩸Madini ya shaba(copper).
🩸Madini ya Phosphorus
🩸Magnesium na Potassium.
🩸Bila kusahau vitamin B2.
Zifuatazo ni faida za mbegu za maboga.
Kwanza nitataja faida za pamoja kwa ujumla, kisha nitaeleza faida kwa wanawake na kisha faida kwa wanaume.
*1.Kuongeza kinga ya mwili*.
Madini ya zinc ndani ya mbegu za maboga, Hufaa sana katika kuchochea kinga ya mwili. Hivyo kuupatia mwili uwezo wa kukabiliana na maambukizi ya vimelea vya magonjwa. Wanaotumia mbegu za maboga, hawawezi kuwa na upungufu wa madini ya zinc.
*2.Husaidia ukuaji na Ukarabati wa seli za mwili*.
Protein safi ndani ya mbegu za maboga huwezesha ukuaji na ukarabati wa seli chakavu ndani ya mwili wako.Hata kijiko kimoja tu cha mbegu za maboga kwa siku, zinatosha kukupatia manufaa haya makubwa ya kiafya.
*3.Huleta afya ya Moyo*.
Hivi unafahamu kwamba madini ya magnessium ni madini rafiki kwa ajili ya kushusha shinikizo la juu la damu?
na kuondoa hatari ya magonjwa ya moyo. Husisha mbegu za maboga katika maisha yako nawe uwe na shangwe tena.Pamoja na hivyo madini ya zinc, magnesium na mafuta safi (fatty acid) Pamoja na kemikali mimea ndani ya maboga, vyote hupigana kiume ili kuimarisha afya ya moyo wako.
*4. Huwezesha usingizi mnono*.
Ndani ya mbegu za maboga kuna Tryptophan, aina ya amino acid ambayo huongeza ubora wa usingizi. K**a unasumbuka kwa kukosa usingizi, mbegu za maboga zitakufaa kwa hilo. Anza kuzihusisha katika mlo wako. utakuwa unaamka kila siku ukiwa mpya.
*5.Hurekebisha kiwango cha sukari*.
Madini ya magnesium pia yana msaada mkubwa katika kuleta uwiano wa sukari. Tunda la boga kadhalika ni chakula rafiki sana kwa wagonjwa wa kisukari, kutokana na uwepo wa resistant starch ndani yake.
https://chat.whatsapp.com/BotBeH0Ehjh00Bc1avPDNQ
*6.Hupunguza hatari ya kupata saratani mbalimbali*.
Tafiti nyingi zimeonesha kuwa, mbegu za maboga, hupunguza sana uwezekano wa mtu kuwa na saratani ya tumbo,mapafu,utumbo mpana, na saratani ya tezi dume. Aina fulani ndani ya mbegu za maboga imedhibitika kuzuia, ukuaji wa seli za saratani katika mwivIDA ZA MBEGU ZA MABOGA KWA WANAWAKE*.
*1.Huzuia saratani ya t**i.*
Tafiti za hivi karibuni zinaonesha kuwa, wanawake walio katika ukomo wa hedhi, ambao walitumia mbegu za maboga, kwa kipindi fulani. walionekana kupungua uwezekano wa kuwa na saratani ya t**i. Kemikali mimea k**a lignans iliyopo ndani ya mbegu za maboga, husaidia sana kukinga saratani ya t**i kwa wanawake.
*2.Husaidia katika tatizo la Uvimbe kwenye mfuko wa mayai* (Polycyst ovarian syndrome-PCOS).
Mbegu za maboga husaidia homoni za k**e kuwa katika uwiano, hali inayopelekea kupungua kwa ukubwa wa vime katika kifuko cha mayai(PCOS).Vile vile tafiti zinasema, mbegu za maboga husaidia katika kuzuia tatizo la nywele kukatika katika na tatizo la wepesi wa mifuta (Osteoporosis) Maradhi ambayo huwakabiri sana wanawake kutokana na hali yao ya kupoteza damu kila mwezi.Mbegu za maboga pia huondoa cholesterol mbaya kwa wanawake, na hivyo kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo.
*MANUFAA YA MBEGU ZA MABOGA KWA WANAUME*.
*1.Kudhibiti tezi dume*.
K**a ilivyo kuwa kwa wanawake, wanaume pia wananufaika na mbegu za maboga kwa namna nyingi zaidi.Moja wapo ikiwa ni Kupunguza hatari za kupata tezi dume.
Wanaume wenye tatizo la tezi dume, zaidi sana wanakabiliwa na hali ya kutaka kukojoa kila muda. Tafiti zinasema kuwa, mbegu za maboga huondoa kabisa hali hiyo.
*2.Huongeza ubora wa mbegu za kiume*.
Mbegu za maboga ni msaada kwa tatizo la nguvu za kiume.Unaweza ukawa unatoa mbegu, lakini ni dhaifu, haziwezi kutungisha mimba.Mbegu duni huwa ni dalili za mwanzo za uhanithi.
Jipatie mbegu za maboga, ili hali yako ianze kuimarika.Madini ya zinc yatakufanikishia kazi hiyo. Pia huweza kukarabati kabisa hata mbegu zilizoharibiwa na mionzi hata matumizi ya dawa za saratani.
*Njinsi ya Kuziandaa na kuzitumia mbegu za maboga*.
Kula mbegu za maboga hata siyo kazi ngumu.Ili kupata manufaa yote ya hapo juu, unaweza kutafuna zikiwa kavu kawaida. Hakika zimesafishwa vizuri na kuhifadhiwa.
🩸Lakinimpia unaweza kuzikaanga kidogo tu, kisha ukatumia kwa kutafuna.
🩸Lakini pia unaweza kuzichanganaya kwenye kachumbali au kuzisagia katika juisi yako. kumbuka kipimo ni kijiko 1 au 2 tu kwa siku.Kwa kipindi endelevu.
*Hitimisho.*
Japo mbegu za maboga zinafaida nyingi sana, mtu fulani zinaweza zisimuafiki, kutokana na changamoto mbalimbali za magonjwa. K**a ukitumia mara ya kwanza, aina hizi na ukaona zinakuletea shida, basi ni bora kuziacha na kutumia vitu vingine.
Neema herbalist clinic 🔥 0766231903