
08/08/2024
We are OPEN!
Appointments, Walk-in and Telephonic consultations.
Be sure to reach out and meet our ENT specialists.
Tupo WAZI leo.
Unaweza kufika kliniki, kuweka miadi au kuongea na daktari kwa simu.
Wasiliana nasi sasa upate huduma ya daktari bingwa wa Masikio, Pua na Koo.
Nane Nane Njema!