02/12/2025
🔥 OFA KUBWA YA DESEMBA (ENT)!
Mwezi huu chukua hatua kwa afya yako ya Masikio, Pua na Koo na upate punguzo maalum kwenye:
✅ Ushauri wa aleji & sinasi (mafua)
• Pua kuziba
• Kupiga chafya
• Maumivu ya sinasi & kichwa
✅ Uchunguzi wa sauti & kumeza
• Sauti kukwaruza
• Maumivu ya koo
• Ugumu wa kumeza
✅ Uchunguzi wa endoskopi kwa punguzo
(Pua • Koo • Sauti)
• Haraka, salama na sahihi zaidi
🎉 Ni kwa Desemba tu.
Hii ni Desemba, mwezi wa familia na furaha, hakikisha afya yako na ya wapendwa wako iko salama.
📞 Piga simu: 0763 000 084 / 0778 410 488
📧 Barua pepe: clinic.veritas@gmail.com