Dr. Waziri Health care

Dr. Waziri Health care Afya Bora ni jukumu la kila mtu , karibu kwenye ofisi zetu uweze kupata ushaur na matibabu ya afya y always for every body

 #  # #MOROGORO     MOROGORO 💨 💨💨💨💨💨💨💨💨💨💨💨💨💨🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Siku      : JUMAPILI Tarehe : 19/02 /2023Muda    : Saaa NANE...
18/02/2023

# # #
MOROGORO MOROGORO

💨 💨💨💨💨💨💨💨💨💨💨💨💨💨

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Siku : JUMAPILI

Tarehe : 19/02 /2023

Muda : Saaa NANE KAMILI HAD SAA KUMI NA MOJA NA NUSU jioni

Ukumbi : SABA GENERAL, MOROGORO MJINI..
FLOOR YA KWANZA

WATU WOOOTE MNAKARIBISHWA

Mjulishe Ndugu yako Amjulishe NDUGU yake

Note : HAKUNA KIINGILIO NI Bureeeeeee

☎️ 📞 0767 425 162

SHARE TANGAZO HILI KWENYE GROUPS MBALI MBALI na kwa Ndugu , jamaa na MARAFIKI
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

*WOMEN FERTILITY KIT🤱🏻*..0765465162Hii kit ni nzuri k**a umeshafanya vipimo vyote na huonekani kuwa na tatizo ningeshaur...
18/08/2022

*WOMEN FERTILITY KIT🤱🏻*..0765465162

Hii kit ni nzuri k**a umeshafanya vipimo vyote na huonekani kuwa na tatizo ningeshauri utumie hii mume pia atapata kirutubisho chake cha kuboost uzalishaji na ubora wa s***ms (s***m count,s***m motility,s***mshape)

*Faida za Women fertility Kit inafanya Yafuatayo*
▶️inasaidia kupevusha mayai

▶️inasafisha mirija,ready kabisa kupitisha Yai/mayai(kwa mapacha),na mbegu za kiume zinapita vizur kabisa

▶️inaweka kizazi vizuri kabisa,ready kupokea mtoto

▶️inaweka PH ya uke,vagina ile nzur inafaa kupitisha mbegu za kiume bila kuziua.

▶️inakufanya mwanamke upate ule UTE special unaovutika k**a ute mweupe wa mayai ukiwa siku za hatari,huu ute ni muhimu maana ndio ute special mbegu za kiume zinapitia kuingia ndani....

▶️zinaweka hormones Zikae sawa ka bisaaaaaa zinazofanya upevushe mayai,udake mimba na ukipata mimba,Isitoke.

▶️INATIBU PID.inasafisha infection na uchafu wote.
Na k**a imeonekana hupati MIMBA,lakin shida haijaonekana,basi unahitaji sanaaaa sanaaaa hii kit,package.

kwa ushauri wasiliana nasi 0765465162.

15/07/2022

*TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE}*

*BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE*
➖ Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa

*CHANZO CHA BAWASIRI*
➖ Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
➖ Tatizo sugu la kuharisha
➖ Ujauzito
➖ Uzito wa mwili kupita kiasi
➖ Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
➖ Kupata haja kubwa ngumu
➖ Kua na mgandamizo mkubwa tumboni
➖ Kunywa pombe
➖ Kula sana nyama nyekundu
➖ Vidonda vya tumbo
➖ Ngiri(Chango/Hernia
➖ Kula sana pilipili
➖ Kunyanyua vitu vizito

*DALILI ZA BAWASIRI*
➖ Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
➖ Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
➖ Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
➖ Kupata kinyesi chenye damu
➖ Kupata maumivu makali wakati wa
kujisaidia haja kubwa
➖ kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa
➖ Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa
➖ Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa k**a kidonda
➖ Uume kusinya (unapoteza urefu na ukak**avu)

*MADHARA YA BAWASIRI*
➖ Upungufu wa damu mwilini
➖Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
➖ Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
➖ Kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
➖ Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
➖ Kupata tatizo la kisaikolojia
➖ Kutopata ujauzito
➖ Mimba kuharibika

Call➖text&sms➖whatsapp👇

0765465162

SHARE kwenye MA GROUP NA WATU MBALI MBALI UWASAIDIE WENGI WANAO TESEKA 🙏🙏🙏 na ushaur burwww

Hello habari za muda huu!!HEBU NIAMBIE WEWE NDIYE HUYU????✅Imeshindikana Kabisa kubeba Ujauzito.✅Unatokwa na harufu mbay...
18/01/2022

Hello habari za muda huu!!

HEBU NIAMBIE WEWE NDIYE HUYU????
✅Imeshindikana Kabisa kubeba Ujauzito.
✅Unatokwa na harufu mbaya sehemu za Siri.
✅ Mzunguko wako wa hedhi haueleweki Tena.
✅Unasumbuliwa na U.T.I sugu.
✅Unahisi Maumivu MAKALI wakati wa TENDO la Ndoa.
✅Maumivu WAKATI wa kukojoa.
✅Kiuno kuuma Sana wakati wa hedhi.
✅Maumivu chini ya kitovu.
✅Hata upate Mwanaume Rijali vipi huwezi kufika kileleni.
✅Unahisi Maumivu WAKATI wa tendo la Ndoa.
✅Umebeba ujauzito ukaharibika.

Usiwe na wasiwasi naomba tuwasiliane ili upate Tiba sahihi ya changamoto uliyonayo kwa kuondoa Chanzo Cha Tatizo.

Ushauri Ni bure kabisaaaa!
Tuwasiliane ,,0767425162

Soluhisho la CHANGAMOTO hizo zote lipoPiga / watsap 0767425162
17/01/2022

Soluhisho la CHANGAMOTO hizo zote lipo
Piga / watsap 0767425162

VIDONDA VYA TUMBO,DALILI NA MATIBABU YAKEImekuwa ni changamoto sana kwa watu wanaosumbuliwa na vidonda vya tumbo hii ni ...
21/11/2021

VIDONDA VYA TUMBO,DALILI NA MATIBABU YAKE

Imekuwa ni changamoto sana kwa watu wanaosumbuliwa na vidonda vya tumbo hii ni kwa sabubu zifuatazo
1. Jamii haijatambua kuwa vidonda vya tumbo husababishwa na mienendo ya maisha yetu. Hivyo tiba yake kuu ni kubadili maisha tunayoishi nayo,kuanza lishe tunayopata,jamii tunayo ishi nayo, na kuepuka vinywaji vinavyo hatarisha afya ya ukuta wa mfuko wa chakula.
2. Dawa k**a omeprazole na zingine nyingi ambazo kwa pamoja tunaziita PROTON PUMP INHIBITORS zinapunguza utoaji wa asidi ambayo ikitolewa kwa wingi inaenda kuharibu kuta za mfuko wa chakula. Hivyo zinazuia tu tindikali bila kushugulika na chanzo cha kuongezeka kwa hiyo tindikali. Hivyo bila kuondoa chanzo kinachosababisha kuongezeka kwa tindikali hiyo ya HCL hata siku moja huwezi kupona ndio mana siku hizi kuna dawa za kutuliza k**a mmoja wapo wa wagonjwa nilikutana nae anasema hivyo. Inaweza kuwa leo hii na wewe umebahatika kusoma makala hii hivyo napenda nikuambie kuwa tiba ya vidonda vya tumbo ni wewe mwenyewe na tiba yake unayo hapo nyumbani tatizo ni kwamba TUMEKARIRI kwamba tiba lazima uikute madukani inauzwa.. vidonda vya tumbo vinatibika pata elimu ya lishe na badili tabia yako hakika utapona.

3. Hizi dawa za vidonda vya tumbo zinatakiwa zitumike pale panapohitajika siyo maisha yako yote. Kwani hizi dawa mara nyingi huja na maudhi mbalimbali kwani ni dawa ambazo zimetengenezwa kwa chemikali. Dawa pekee ambazo ni sahihi kwa matumizi na zina madhara kidogo ni zile ambazo ni za asili. Changamoto kubwa kwa hapa Tanzania ni kuwa huduma hii bado haijapata wataaalamu waliobobea wakaanza kutoa bidhaa bora na zenye kufanyiwa utafiti wa kutosha na zenye kiwango cha kimataifa.
4. Tunapenda kula vyakula vyenye sukari nyingi,vyakusindika,viwandani na vyenye viungo vingi hivi vyote ndio visababishi vyakutolewa kwa tindikali ya HCL mwilini ambayo ikizidi inaharibu kuta za tumbo. Hivyo ni wakati sasa wa kurudi katika vyakula ambavyo bibi na babu zetu walivyokula. Ni ukweli usiopingika kuwa vyakula vya super market ni vya bei ya chini kuliko vyakula vya matunda, na mboga mboga. Je umeshawahi jiuliza kwa nini hivyo vyakula vinauzwa kwa bei ndongo!!! Fanya uchunguzi huu juice ya zabibu lita moja ukiitengeneza wewe ya asili itagharimu shilingi ngapi!! Na je lita moja ya zabibu juisi kiwandani ni shilingi ngapi!! Ifike sehemu tubadilike kwani tiba ipo nyumbani na vyakula tunavyokula ndivyo vinaangamiza jamii. Nalijua hilo mtanzania anapokuwa ana afya njema ni mjuaji sana kuhusu afya yake laikini waswahili walisema mganga hajigangi.

VIDONDA VYA TUMBO NINI??
>Ni kuharibika kwa ukuta wa tumbo la chakula na sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba
Kuna aina kuu mbili za vidonda vya tumbo
1. Gastric ulcers-hivi hutokea kwenye mfuko wa tumbo la chakula
2. Duodenal ulcers-hivi hutokea sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba

VISABABISHI VIKUU VYA VIDONDA VYA TUMBO
1. KUONGEZEKA KWA TINDIKALI YA HCL KWENYE TUMBO LA CHAKULA
>imekuwa ni changamoto kubwa sana kwani moja ya visababishi hivi kila siku tunakumbana navyo ndiyo maana kwa nchi k**a Tanzania kutibu vidonda vya tumbo ni changamoto kubwa.
VIFUATAVYO HUONGEZA TINDIKALI YA HCL
A. MAWAZO
Watu wengi tunasumbuliwa na changamoto hii ya kushambuliwa na msongo wa mawazo kila siku hii inatokana na kutojua namna ya kushughulika na msongo wa mawazo. Jifunze namna ya kuepuka msongo wa mawazo utaona mabadiliko yakitokea .
B. Madawa mbalimbali..Imekuwa ni desturi sisi kutumia dawa k**a diclofenac,aspirin na zingine nyingi k**a makande. Dawa hizi huzuia utengenezaji wa uteute unaolinda ukuta wa tumbo na hivyo kushambulia kwa kasi kwa ukuta wa tumbo. Pia dawa hizi huzuia utengenezwaji wa ukuta wa tumbo na hatimaye ukuta kudhoofika na kuanza kushambuliwa na tindikali. Pia dawa hizi zinaua bacteria wanao stahili kukaa tumboni yani normal flora na kufanya wadudu nyemelezi k**a helicobacter pylori kushambulia ukuta wa tumbo. Kuwepo kwa walinzi hawa huyo mdudu anaye sababisha vidonda vya tumbo hata siku moja hawezi kushambuliwa. Hivyo kuwalinda bakiteria hawa ni kuhakikisha tunawalisha chakula kinachowafanya waendelee kustawi na kukulinda. Jiulize ni chakula gani kinafaa?? Jibu ni vyakula vitokanavyo na mimea na matunda hufanya bacteria walinzi wetu watulindi kwa umahili mkubwa.
C. Uvutaji wa sigara na kunywa pombe sana
D. Vyakula vibaya tunavyokuwa kila siku
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
1. Tumbo kuwaka moto sehemu ya juu kulia na endapo maumivu yakizidi husambaa hadi mgongoni.
2. Njaa hasa wakati wa usiku saa kumi na moja asubuhi utasikia tumbo linawaka moto
3. Tumbo kujaa gesi sana
4. Kichefu chefu na kuharisha kutokana na kubagua vyakula
5. Inaweza kupelekea kutapika damu,kuishiwa damu na hatimaye kifo k**a mgonjwa asipo wahishwa hospitali
6. Kutoa choocheusi ni kiashiria damu inavia sehemu ya juu ya tumbo.
UKIONA DALILI K**A HIZI TAFADHALI MUONE DAKTARI

VYAKULA VYA KUEPUKA KABISA
1. Vyakula vyenye viungo vingi.
2. Vyakula au kinywaji chenye caffeine hivyo angalia label k**a wewe ni muhanga wa vyakula vya viwandani na hutaki kuacha.
3. Pombe ya aina yoyote
4. Vyakula vyote vya ngano nyeupe k**a mikate nk kwani zina glutten
5. Vyakula vya sukari nyingi pia vinywaji vya sukari nyingi. Hii ni kwa sababu ulapo au unywapo sukari nyingi inalisha bakteria wabaya na hatimaye hao bacteria wazuri kufa na hawa wabaya kuanza kushambulia kuta za tumbo la chakula. Hivyo sukari huenda kulisha bacteria wabaya.

HIVI NI VYAKULA VIKUU VYA KULA KWA MTU MWENYE VIDONDA VYA TUMBO
MATOKEO NI NDANI YA MUDA MFUPI TU.

1. KULA CHAKULA KIDOGO KIDOGO..Hii ina maaana unatakiwa kuepuka kitendo cha kula chakula kingi kwa mara moja. Tenga chakula chako na kigawanye ule mara nyingi hii ni kwa sababu unapokula chakula kingi kwa wakati mmoja kunasababisha mmengenyo wa chakula utaenda polepole na hivyo kuzidi kuathiri zaidi ukuta wa tumbo. Pia tunashauri ule mara kwa mara ili kufanaya chakula chako kifanyiwe kazi ipasavyo bila mrundikano na pia kupunguza maumivu ya tumbo.

2. KULA VYAKULA VYA NYUZINYUZI AU FIBER
Ninapo ongelea fiber nina maaanisha kutoka kwenye mboga mboga na matunda pia nafaka kidogo. Hakikisha kila siku unapata angalau 30gm za fiber itakusaidia na kukubadilisha maisha kabisa. Kwani utafiti unaonesha kuwa fiber inaongeza wingi wa kichocheo cha LEPTIN ambacho hukusaidia wewe ule kwa kiasi pia zinakata ulaji mwingi wa sukari pia inakufanya ukae muda mrefu tumbo likiwa limeshiba. Hivyo hapo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja kwani umezuia asidi,umekata ulaji wa sukari na hakuna maumivu tena ya njaa. Swali la kujiuliza ni vyakula gani vina fiber nyingi?? Vyakula vipo vingi lakini jitahidi sana kutumia juice na mboga za majani ulizo zipika kwa mvuke pekee kwani zina fiber nyingi sana pia kuna matunda yani wingi mkubwa wa fiber
3. JUICE YA KABEJI
Imekuwa ni furaha iliyoje nataja mboga ambayo kila siku tunaiona ni mboga ambayo haina manufaa kwetu. Kwani utafiti unaonesha kuwa kabeji ina alkali ambayo hupunguza makali ya tindikali pia ina wingi wa vitamin C na viambata vingine mahususi ambavyo hufanya wale bacteria wazuri wale vizuri na watulinde na magonjwa nyemelezi k**a huyo h. pylori. Pia ina VITAMINI K AMBAYO INA KAZI KUBWA SANA YA KUPONYESHA KABISA KUTA ZA MFUKO WA CHAKULA.
MATUMIZI
Andaa kabeji yako na uoshe vizuri hakikisha una APPLE MBILI NA CARROTI HATA MBILI katakata weka kwenye Brenda kisha saga kwa muda wa dakika 5-8 tumia juice hii mara tatu kwa siku asubuhi mchana na jioni kabla ya kula chochote

NOTE: BFSUMA tuna Package ya Bidhaa za BIRUTUBISHOLISHE AMBAYO NI MAALUMU KWA WAHANGA WA VIDONDA VYA TUMBO

BFSUMA ULCERS PACKAGE itakutibu kabisa vidonda vya tumbo hata k**a ni vya mda mrefu
Bidhaa hizi kazi yake ni kutibu ukuta wa tumbo ulioathiriwa

MAWASILIANO: 0767425162

FAIDA /UMUHIMU WA REFINED YUNZHI >>KUIMARISHA KINGA YA MWILI >>KUZUIA KUKUA NA KUENEA KWA SELI ZA KANSA >>KUIMARISHA HOR...
26/07/2021

FAIDA /UMUHIMU WA REFINED YUNZHI

>>KUIMARISHA KINGA YA MWILI

>>KUZUIA KUKUA NA KUENEA KWA SELI ZA KANSA

>>KUIMARISHA HORMONES na kuondonsha kabisa tatizo la HORMON IMBALANCE

>>KUYEYUSHA UVIMBE KWENYE KIZAZI BILA UPASULIWAJI na Vimba sehemu mbali mbali za mwili

>>HUWASAIDIA WENYE TATZO LA KUTOPATA UJAUZITO/mimba

>>HUONDOSHA TATIZO LA MIMBA KUHARIBIKA MARA KWA MARA

>>HUWASAIDIA WANAWAKE WANAOPATA MAUMIVU WAKATI WA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA

>>Huwasaidia wenye tatzo la kutokua na HAMU Ya kushiriki Tendo la Ndoa

>>Nzuri Kwa Wenye P.I.D na MATATIZO mbali mbali kwenye MFUMO WA UZAZI Kwa wanawake

>>NZURI KWA WALIOFANYIWA VIPIMO/Tiba za mionzi

>>HUONGEZA UTETE sehemu za Siri za Mwanamke na kumsaidia kutopata maumivu wakati wa Tendo la Ndoa

•••Ni kinga ya KUZUIA kutokewa na vimbe sehemu mbalimbali za mwili na kuzuia SELI za kansa,HIVYO HUWEZA KUTUMIWA NA MTU YEYOTE.

Note:NI BIDHAA YA ASILI ISIYO NA KEMIKALI YOYOTE na Haina madhara kwa watumiaji.

& SHARE UJUMBE HUU KUWASAIDIA WENYE MATATIZO HAYO
Call/WhatsApp:0692839645 au. 0767425162

🛑 *UJUE UGONJWA WA P.I.D*Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa kitaalamu Pelvic Inflamatory Diseases au kwa k...
19/07/2021

🛑 *UJUE UGONJWA WA P.I.D*

Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa kitaalamu Pelvic Inflamatory Diseases au kwa kifupi PID, ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake. Kwa kawaida maambukizi haya huusisha shingo ya uzazi (cervix) hali ambayo hujulikana k**a cervicitis, nyama ya mfuko wa uzazi (endometrium) ambayo kitaalamu huitwa endometritis, na mirija ya uzazi (fallopian tubes) hali ijulikanayo kitabibu k**a salpingitis.

*_PID husababishwa na nini?_*

Pamoja na aina kadhaa za vimelea kuhusishwa na PID, vimelea vya jamii ya Neisseria Gonorrhoeae pamoja na Chlamydia trachomatis ndivyo vinavyoongoza kwa umaarufu zaidi katika kusababisha PID kwa akina mama.

*Je mwanamke huambukizwaje PID?*

Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza kuambukizwa PID. Njia hizo ni pamoja na

✅Kufanya ngono isiyo salama.

✅Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi mara baada ya kujifungua (au postpartum period)

✅Maambukizi ya njia ya uzazi mara baada ya kutoa mimba kwa njia zisizo salama (post abortion) au mara baada ya mimba kutoka (miscarriage)

✅Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi (IUCD) k**a njia mojawapo ya uzazi wa mpango.

✅Kuambukizwa kupitia damu iliyo na vimelea vya PID.

*Dalili za PID ni zipi?*

Zipo dalili kadhaa za ugonjwa huu wa PID. Miongoni mwa dalili hizi ni :-

✅Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu

✅Kupata maumivu ya mgongo.

✅Mwanamke kupata utoko mchafu sehemu za siri. Utoko huu huambatana na harufu mbaya.

✅Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa.

✅Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa.

✅Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi.

✅Kupata homa.

✅Wakati fulani kuhisi kichefuchefu na
Pia kutapika.

⏩Ugonjwa huu wa Pelvic Inflammatory Diseases *P.I.D* unakuwa kwa Kasi kubwa na baadhi ya wanawake hupata madhara makubwa baadae hususani Ugumba kutokana na kupuuzia matibabu. Ikiwa unaona dalili tajwa hapo juu jitahidi kuanza matibabu taratibu kabla haujapata madhara ambayo yanaweza kugharimu Maisha yako kwa ujumla.

Address

Moshi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr. Waziri Health care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr. Waziri Health care:

Share