
25/06/2022
# TWAIYA
DALILI ZA FANGASI
●Kuwa na miwasho sehemu za siri mara kwa mara
●Vipele vidogo vidogo ukeni
●Kutokwa na uchafu mweupe au wa rangi ya kijivu ukeni wenye harufu mbaya
●Vidonda au kuwa na michubuko ukeni
●Kutokwa na harufu mbaya ukeni
Kupatwa na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa au tumbo La chini
●Kuvimba au kuwa mwekundu katika mdomo wa nje ya uke.
●Kuwaka moto ndani na nje ya uke.
Fangasi Isipotibiwa huingia mpaka kwenye kizazi na kusababisha pid
Natoa Ushauri Namna Ya Kutibu na kuzuia Fangasi
Njoo WhatsApp-0786931911