25/12/2022
*🌱UPUNGUFU NA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME🌱*
Mwanaume huzingatiwa kuwa na tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume iwapo mara kwa mara atapata dalili za tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, pia kushindwa kumridhisha mwanamke.
wala mtu hatahesabika kua na upungufu kwa kuzingatia hali inayojitokeza mara moja moja.
*DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*
Dalili za tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ni pamoja na zifuatazo:
1. Kutokuwa na uwezo wa kuanza kusimama uume ila baada ya kuulazimisha.
2. Kushindwa kudumisha usimamiaji wa uume, au kusimama kwa uume kwa muda mfupi ambao hauruhusu kukamilika kwa tendo.
3. kumwaga mapema, au kuchelewa sanaa, au kutofika kileleni kabisa.
4. Uume kusinyaa na kurudi ndani.
5. Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa.
6. Uume kusimama ukiwa legelege.
7. Manii kutokua na uwezo wa kutungisha mimba.
8. Kushindwa kurudia tendo la ndoa.
9. Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa.
10. Kila ukiamka asuhuhi uume umelala.
11. Kuwa na kiwango kichache cha Manii.
12. Kushindwa kumfikisha mwanamke kileleni.
*MIONGONI MWA SABABU ZA KUKOSA AU KUPUNGUKIWA NA NGUVU ZA KIUME*
*(A) Sababu za kimwili*
Mara nyingi ukosefu au upungufu wa nguvu husababishwa na sababu ya kimwili.
Sababu hizo kimwili za kawaida ni pamoja na:
1. ugonjwa wa moyo.
2. Kuziba kwa mishipa ya damu (atherosclerosis).
3. cholesterol kua juu.
Shinikizo la damu/presha.
4. Ugonjwa wa kisukari.
5. Unene kupita kiasi.
6. Ugonjwa wa kimetaboliki -ni hali ya maradhi inayojumuisha shinikizo la damu, viwango vya juu vya insulini, mafuta ya mwili kuzidi katika maeneo ya mzunguko wa kiuno na tumbo, na cholesterol ya juu.
7. ugonjwa wa Parkinson (Parkinson's Disease) Yaan mtu anatetemeka mikono/miguu bila kukusudia huku yeye ametulia tu na hawezi kujizuia, hata k**a akili yake iko vizuri.
8. Ugonjwa wa Sclerosis (Multiple Sclerosis) ugonjwa ambao huathiri mfumo wa neva, na kuathiri hisia .
9. Baadhi ya dawa zinye kemikali zikitumiwa kwa muda mrefu.
10. Uvutaji wa sigara na matumizi yote ya bidhaa za tumbaku
11. Ugonjwa wa Peyronie - kujiunda tishu za kovu ndani ya uume kuufanya upinde.
12. Ulevi na aina zingine za matumizi ya dawa za kulevya au pombe.
13. Matatizo ya usingizi.
14. Njia za kutibu saratani ya tezi dume/Prostate au Prostate iliyopanuka.
15. Upasuaji au kuumia kunakopelekea kuathiri eneo la kiuno au uti wa mgongo.
16. Upungufu wa homoni za testosterone .
17. kula vyakula visivyo na Afya.
18. Mazoea ya kutumia dawa za uchovu na maumivu.
19. Umri kusogea sana.
20. Baadhi ya matibabu ya kisasa, k**a vile mionzi kwa wenye saratani.
*(B) Sababu za kisaikolojia*
Sababu za kisaikolojia zinazopelekea kupatwa na upungufu wa nguvu za kiume.
Ubongo una jukumu kubwa katika kuanzisha mlolongo wa matukio ya kimwili ambayo husababisha kusimama kwa uume na kuibuka hisia za msisimko wa kujamiana.
Mambo mengi yanaweza kuingilia hisia za ngono na kusababisha kuharibika kwa nguvu za kiume au hali mbaya ya kulitenda tendo la ndoa.
Mambo hayo Ikiwa ni pamoja na:
1. Unyogovu/ ugonjwa wa mhemko, au hisia za huzuni, hasara, au hasira ambazo huingilia shughuli za kila siku za mtu binafsi.
Matukio muhimu ya maisha yanaweza kusababisha unyogovu, k**a vile huzuni au kupoteza kazi. Hata hivyo, hisia za uchungu zinazingatiwa kuwa sehemu ya unyogovu ikiwa zinaendelea.
Unyogovu ni shida inayoendelea, sio ya muda mfupi.
Inajumuisha matukio ya kudumu angalau wiki mbili ambapo dalili hudumu kwa wiki, miezi, au miaka .
2. Wasiwasi.
3. Hali zingine za matatizo ya afya ya akili.
4. Matatizo ya mahusiano yanayoleta msongo wa mawazo.
5. Mawasiliano duni au matatizo mengine kati ya wenza wawili.
*KINGA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.*
1. Jitahidi uondoe msongo wa mawazo.
2. Fanya mazoezi (mazoezi ya kigel na yoga) yatakusaidia hasa kwa wale wanaochoka sana baada ya tendo.
3. Jiepusha kabisa na uvutaji wa sigara na matumizi ya tumbaku.
4. Dhibiti uzito wako usikuzidi.
*TIBA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME .*
Ikiwa upungufu wa nguvu za kiume umetokana na tatizo la kiafya basi fanya haraka kujitibu.
Aidha ikiwa tatizo linatokana na ada za maisha za kimakosa k**a vile migogoro nk. Basi Jitahidi urekebishe.
Sambamba na hayo nikuusie kinywaji cha tangawizi, asali na kitunguu thaumu kipo vizuri sana.
*TWIBBU HERBAL TUNAYO DAWA YA NGUVU ZA KIUME.*
Dawa yetu ni ya asili inamaliza matatizo ya upungufu na ukosefu wa nguvu za kiume.
JINA LA DAWA NI *_MUQAWIY_*
*FAIDA ZA DAWA YA MUQAWIY KWA UFUPI*
1. Uume kusimama ukiwa imara k**a.
2. Kukuwezesha kukaa kifuani kwa muda mrefu.
3. Kukuwezesha kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara mbili bila misuli ya uume kuchoka au kulegea.
4. Kuuwezesha uume kusimama wenyewe bila kuhitaji vichocheo vingi.
5. Inakufanya kukamilisha tendo la ndoa kwa ukamilifu mkubwa.
6. Kuongeza wingi wa mbegu za kiume.
7. Huongeza wingi wa manii
NOTE:
*DAWA ZIPO TATU/CHUPA TATU NA TIBA KAMILI YA MUQAWIY NI KUTUMIA DAWA ZOTE TATU (3).*
Bei zetu ni rafiki
Kwa Mawasiliano:
+255674916068
WhatsApp group 👇
https://chat.whatsapp.com/CXGd34ZEqi59Hq4Hvd8iam
Telegram 👇
TWIBBU HERBAL
Miti ni dawa ya kila ugonjwa
https://t.me/twibbu_herbal
https://twibbuherbal.wordpress.com/