
31/03/2024
๐ง๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐๐จ๐๐จ๐ ๐จ ๐ฌ๐ ๐ง๐๐ง๐๐ญ๐ข ๐๐ ๐๐๐ช๐๐ฆ๐๐ฅ๐ (๐ก๐๐๐ก๐ ๐ก๐ ๐ก๐๐) ๐
*0766574166*
๐๐๐ช๐๐ฆ๐๐ฅ๐ (๐๐๐ ๐ข๐ฅ๐ฅ๐๐ข๐๐๐ฆ/๐ฃ๐๐๐)
๐ Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa
๐๐๐๐ก๐ญ๐ข ๐๐๐ ๐๐๐ช๐๐ฆ๐๐ฅ๐
(๐๐๐ ๐ข๐ฅ๐ฅ๐๐ข๐๐๐ฆ)
โ Tabia ya kukaa sehemu moja kwa muda mrefu mfano (Madereva/Mafundi kushona)
โ Tatizo sugu la kuharisha
โ Ujauzito
โ Uzito wa mwili kupita kiasi
โ Kufanya ngono Kinyume na Maumbile (kulawitiwa)
โ Kupata Choo Kigumu
โ Kua na mgandamizo mkubwa tumboni
โ Kunywa pombe
โ Kula sana nyama nyekundu
โ Vidonda vya tumbo (Ulcers)
โ Ngiri (Chango/Hernia)
โ Kula sana pilipili
โ Kunyanyua vitu vizito
๐๐๐๐๐๐ ๐ญ๐ ๐๐๐ช๐๐ฆ๐๐ฅ๐
(๐๐๐ ๐ข๐ฅ๐ฅ๐๐ข๐๐๐ฆ)
โ๏ธ Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
โ๏ธ Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
โ๏ธ Kutokewa na kiuvimbe katika tundu La Haja kubwa
โ๏ธ Kupata kinyesi chenye damu
โ๏ธ Kupata maumivu makali wakati wa
kujisaidia haja kubwa
โ๏ธ kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa
โ๏ธ Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa
โ๏ธ Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa k**a kidonda
โ๏ธ Uume kusinya (unapoteza urefu na ukak**avu)
๐ ๐๐๐๐๐ฅ๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐ช๐๐ฆ๐๐ฅ๐
(๐๐๐ ๐ข๐ฅ๐ฅ๐๐ข๐๐๐ฆ)
๐ Upungufu wa damu mwilini
๐ Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
๐ Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
๐ Kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
๐ Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi (Sexual Performance)
๐ Kupata tatizo la kisaikolojia
๐ Kutopata ujauzito (Infertility)
๐ Mimba kuharibika (Miscarriage)
๐๐ช๐ ๐ง๐๐๐ ๐ก๐ ๐จ๐ฆ๐๐๐จ๐ฅ๐ ๐ญ๐๐๐๐
Tembelea Ofisi Zangu Zilizopo Nchi Nzima au Nipigie Sasa Kupitia
โ๏ธ0766574166