Afya kwanza

Afya kwanza suluhisho la vidoda vyatumbo

Kinachosababisha mtu kupata vidonda vya tumbo .(1) Matumizi ya mara kwamara ya dawa zakupunguza maumivu. (2) mgongo wann...
16/05/2023

Kinachosababisha mtu kupata vidonda vya tumbo .(1) Matumizi ya mara kwamara ya dawa zakupunguza maumivu. (2) mgongo wanna mawanzo (3) kula vya kula vinavyosababisha asidi kwa using (4 ) kutokula mlo kwampangilio (5) kuvuta singers (6) kunywa pombe na vinywanji vikali kupitiliza.

Tatizo LA vidonda vya tumbo linatibika
16/05/2023

Tatizo LA vidonda vya tumbo linatibika

11/05/2023

Asidi ya haidrokloriki
Asidi ya haidrokloriki (HCl) husaidia kufanya mambo yafuatayo tumboni:

Husaidia kuweka mazingira ya asidi ili vimeng’enya vya tumbo viweze kufanya kazi. Vimeng’enya vya tumboni hufanya umeng’enyaji kwa ufanisi katika hali ya uasidi.
Huvunja sukari tata (complex sugar) kuwa sukari rahisi.
Huua bakteria waliomo katika chakula.
Huanzisha ufanyaji kazi wa vimeng’enyo vingine katika tumbo. Pepsinogen na prorennin hubadilishwa kutoka katika hali ya awali na kuwa pepsin na rennin kwa mpangilio uliotajwa; hali ambazo hasa ndizo hufanyazo umeng’enyaji

TIBA YA ASILI YA KUTIBU VIDONDA VYA TUMBO KWA HARAKAUlcers ImageVidonda vya tumbo(Ulcers) ni ugonjwa unaowasumbua watu w...
11/05/2023

TIBA YA ASILI YA KUTIBU VIDONDA VYA TUMBO KWA HARAKA
Ulcers Image
Vidonda vya tumbo(Ulcers) ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi kutokana na staili ya Maisha, Ulaji na Mazingira. Ugonjwa huu kitaalam unasababisha kuwa na michubuko katika kuta za tumbo au utumbo mdogo na hivyo kusababisha maumivu makubwa ya tumbo.

Wakati mwingine vidonda hivi huonekana kati ya tumbo na utumbo mdogo hivyo kitaalam tunaviita PEPTIC ULCERS, aina hii ya vidonda vya tumbo huwaathiri sana Wanaume kuliko wanawake

11/05/2023

Jinsi Ya Kujikinga Na Vidonda Vya Tumbo:
1) Jijengee tabia ya kunywa maji mengi kila siku.

2) Punguza mawazo, fanya mazoezi yatakupunguzia na mawazo.

3) Punguza (balansi) kiwango cha halemu (cholesterol).

4) Usivute sigara.

5) Punguza au acha kunywa pombe.

6) Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali.

7) Tenga muda wa kutosha wa kupumzika–unashauriwa kulala masaa 7 hadi 9 kila siku.

Vyakula vya mtu mwenye vidonda vya tumbo

Address

Moshi

Telephone

+255787610748

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram