09/10/2024
Wengi huwa wanaamini UTI
Ni ugonjwa wa kawaida, well
Endelea kuamini ni ugonjwa simple
Ila tambua kuwa UTI ndio chanzo cha magonjwa haya.
1. Figo kwenye mawe
2. Kuharibu nguvu za kiume
3. Utasa kwa wanaume na wanawake
4. Huleta PID
5. Ndio inaharibu mayai ya uzazi
6. Ndio hutafuna nyoga za kiuno
7. Hupelekea pingili za mgongo kusagika
8. Hunguza kibofu cha mkojo
Tiba ya UTI zinategemeana,
Dawa hospital huwa wanatoa antibiotic ambazo hizi ukitumia zaidi ya mara 3 damu na bacteria huwa sugu hivyo UTI itakuwa haionekani ila ndani kwa ndani UTI itakuwa inakutafuna na ndio maana ili kuepuka madhara makubwa wao uza dawa k**a vile AZUMA za UTI huzuiliwa kuzitoa ovyo sababu :
AZUMA kirefu chake ni azithromycin dawa hii, hii ukisikia mtu ini limekufa basi huwa inasababishwa na Azuma
Pia ukisikia mtu anashida ya moyo, jua kilichosababishwa ni kutokana na umezaji wa AZUMA ndio maana serikali inajitaidi kupiga marufuku uzaji wa ovyo wa dawa hii.
Naendelea, kuwapongeza wote mnaotumia > AZUMA maana mkiisha kuwa wagonjwa wa ini au moyo bill itaongezeka kutoka kutibiwa UTI kwa 3,000 hadi kuwa Laki 3 kwa mwezi 😀😀.