Uzazi Wellness

Uzazi Wellness ✨Kuimarisha Afya ya Uzazi kwa Wanawake kwa Kutumia Tibalishe na asilia💫

18/12/2025

Salfuri (S)

Asidi/Alkalini: Hutengeneza asidi mwilin

Vyanzo vya sumu:

Dawa za kudumu za nywele (hair permanents), straighteners, na baadhi ya conditioners zinauwezo wa kuathiri kiwango cha salfuri mwilini.

Kumbuka:

Salfuri inajulikana kwa kulinda seli dhidi ya athari za sumu za metali nzito. Pia, matumizi ya tumbaku hupunguza ufyonzwaji

Faida zake kiafya:

✅Salfuri husafisha damu
✅husaidia mwili kupambana na bakteria
✅hulinda protoplasimu ya seli.
✅Husaidia katika michakato muhimu ya uoksidishaji mwilini
✅huchochea utolewaji wa nyongo
✅hulinda dhidi ya vitu vyenye sumu. Kutokana na uwezo wake wa kulinda mwili dhidi ya athari hatarishi za mionzi na uchafuzi wa mazingira
✅salfuri husaidia kupunguza kasi ya mchakato wa kuzeeka.
✅Inahitajika katika utengenezaji wa kolajeni, protini kuu inayoipa ngozi uimara na muundo wake.
✅Inahitajika pia kwa afya ya nywele, kucha, insulini, gegedu (cartilage), na damu.
✅Husaidia mmeng’enyo wa chakula na utoaji wa taka mwilini. Ni wakala wa uoksidishaji katika hemoglobini.

Muhimu:

Salfuri ni kiungo muhimu kinachofanya vitunguu saumu kuitwa “mfalme wa mimea tiba.”

Upungufu:

Kudumaa kwa ukuaji, eczema, dermatitis, ukuaji duni wa kucha na nywele au kuwa dhaifu na rahisi kuvunjika.

Sumu (Toxicity):

Huongeza hatari ya magonjwa ya moyo.

Mwl wa afya,Shambani mwa Bwana

Scientific name:Momordica charantiaL.Common name;Bitter melon,Bitter gourdKiswahili:Tikit chunguFamily:Cucurbitaceae *Un...
16/12/2025

Scientific name:Momordica charantiaL.
Common name;Bitter melon,Bitter gourd
Kiswahili:Tikit chungu
Family:Cucurbitaceae

*Unapatikana*

pembeni ya uzio wa shamba
porini
Bustanini (Unalimwa k**a mboga)

*Maelezo ya mmea*

Ni mmea unaotambaa (climber) wenye mashina laini.

Majani ni mapana, yamekatika vipande (lobes).

Maua ya njano.

Tunda ni kijani chenye vinundu, huiva na kuwa rangi ya chungwa kisha kupasuka kuonyesha mbegu nyekundu.

Ladha ya tunda ni chungu sana.

*Sehemu zinazotumika*

Majani

Tunda

Mbegu

Mizizi (kwa tahadhari)

*Matumizi ya kiafya (Tiba asilia)*

Kushusha sukari ya damu (maarufu kwa wagonjwa wa kisukari)

Kuimarisha kinga ya mwili

Magonjwa ya tumbo: minyoo, kuharisha

Magonjwa ya ngozi: vipele, fangasi

Afya ya wanawake: hutumika kwenye tiba za jadi (kwa uangalifu)

*Jinsi hutumika*

Majani au tunda huchemshwa na kunywa maji yake

Tunda hupikwa k**a mboga

Hutengenezwa juisi au unga wa kukaushwa

Tahadhari ⚠️

kujua tahadhar njoo DM

12/12/2025

100%natural

vilivyomo

Ngano nzima,mbegu maboga unga,
Unga dengu,Chachu asilia,Ndizi za kuiva,Chia seed,Chumvi magadi, Chumvi asilia na mafuta

Namna ya kupika

Changanya vitu vya unga pamoja
Changanya vimiminika pamoja
Mwisho kanda mkando k**a wa chapati ya kusukuma kisha tengeneza umbo unalotaka na weka tayari kwenye chombo cha kuokea na acha uumuke kwa masaa1.2+ utakuwa unakagua kuona ikiwa umeshauumuka.

Oka kwa moto kidogo ili uive ndani na baada ya dk 15 ongeza moto na kagua kadiri utavoona umekuwa wa kahawia ivo ipua au choma na kitu chenye ncha ikiwa hautatoka na minato basi umeiva huo.

Lantana camara — maarufu sana kwa jina la “jani la uzazi” ni mmea wenye nguvu ya kushangaza katika kusafisha kizazi cha ...
11/12/2025

Lantana camara — maarufu sana kwa jina la “jani la uzazi” ni mmea wenye nguvu ya kushangaza katika kusafisha kizazi cha mwanamke.

K**a umetumia dawa nyingi bila mafanikio ya kubeba ujauzito, basi mmea huu utakupa muujiza wa kufungua tumbo lako.

📌Chuma majani laini ya mmea huu
📌Yaoshe na uyasafishe vizuri
📌Chemsha kwa dakika 15
📌Kunywa kikombe cha chai kutwa mara tatu.
✅Tumia wakati ukiwa period tu, hedhi ikikata unaaacha mpaka uingia period tena.

Kila utakapokunywa dawa hiyo, utaona uchafu unatoka — ni dalili kuwa kizazi chako kinasafishwa na kutakaswa kabisa, sasa jiandae kuitwa mama.

Matumizi ya chai majani yake husaidia pia kuondoa hali mbali za kiafya ikiwemo:-
- Vidonda vya tumbo
- Shinikizo la juu la damu
- Matatizo ya figo
- Brain fog
- wenye shida ya kupoteza kumbukumbu
- allergy
Na mengine mengi

*STONE BREAKER, MZALIA NYUMA*Tafuta mmea wa mzalia nyuma iliyoota sehemu yenye udongo mweusi au kwenye kichuguu. Ng’oa m...
09/12/2025

*STONE BREAKER, MZALIA NYUMA*

Tafuta mmea wa mzalia nyuma iliyoota sehemu yenye udongo mweusi au kwenye kichuguu. Ng’oa mmea mzima pamoja na mizizi yake.

🤝Safisha na upondeponde, kisha chemsha kwenye maji kwa dk 10 hadi 15,
ipua na acha ipoe kiasi.

🤝Kunywa ikiwa ya vuguvugu kutwa mara mbili.

👉🏽Dawa nzuri kwa ugonjwa wa kisukari
👉🏽Inatoa mawe kwenye figo
Inatoa mawe kwenye kibofu cha nyongo (gallstones)
👉🏽 Inalinda ini dhidi ya maambukizi
👉🏽Inatibu Malaria
👉🏽Dawa nzuri ya matatizo ya uzazi kwa wanawake
👉🏽 Inatibu maradhi ya matatizo ya mkojo.
👉🏽Inatibu vidonda vya tumbo

sababu kwanini wagonjwa wa kisukari wengi ni wanawakekwa hiyo k**a una mvurugiko wa hormone uko kwenye hatari kubwa ya k...
30/11/2025

sababu kwanini wagonjwa wa kisukari wengi ni wanawake

kwa hiyo k**a una mvurugiko wa hormone uko kwenye hatari kubwa ya kuugua kisukari

BORESHA MUDA WA   ULAJI KWA AJILI YA USINGIZI MTAMUYeremia 31:26"Basi nikaamka, nikaangalia; usingizi wangu ulikuwa mtam...
26/11/2025

BORESHA MUDA WA ULAJI KWA AJILI YA USINGIZI MTAMU

Yeremia 31:26

"Basi nikaamka, nikaangalia; usingizi wangu ulikuwa mtamu kwangu."

✨ “Mfuko wa chakula, tunapolala ili kupumzika, unapaswa uwe umemaliza kufanya kazi yake yote ili upate kufurahia kupumzika pamoja na sehemu nyingine za mwili.
Kazi ya kumeng’enya chakula haipaswi kuendelea katika kipindi chote cha saa za kulala.”
— E.G. White, How to Live, page 56

Kwa nini hili ni muhimu?

🔸 Mwili unapolala unahitaji kupumzika, si kuendelea kusaga chakula.
🔸 Usiku mzuri wa usingizi hutegemea tumbo lililotulia.
🔸 Kuupa mfumo wa mmeng’enyo kupumzika huupa mwili mzima utulivu—hupunguza mzigo kwa moyo, hurahisisha kazi ya ini, na huratibu vizuri homoni.”

*Kanuni ya Afya ya Kufuatwa*

⏰ Kula angalau saa 3-5 kabla ya kulala.

Hii inasaidia:

✅Kupunguza gesi na kiungulia
✅Kuimarisha usingizi
✅Kuboresha mmeng’enyo
✅Kuamsha mwili ukiwa mwepesi na wenye nguvu

Tafakari

Je huu muda wa saa 8:51

Ndio unajiandaa kula?
Bado unaandaa chakula??

Muda wa kula ndio suluhisho mojawapo la matatizo ya tumbo yote.

Wako shambani mwa Bwana

Mwalim wa afya

22/10/2025

K**a unapitia hiyo changamoto,usipite

DM 0762733168
kwa mafunzo zaidi

POWER HERBAL TONIC Inatibu✅Mafua, kikohozi, baridi yabisi, sinusitis, pumu.✅Huzuia maambukizi ya bakteria, virusi na fan...
20/08/2025

POWER HERBAL TONIC
Inatibu
✅Mafua, kikohozi, baridi yabisi, sinusitis, pumu.
✅Huzuia maambukizi ya bakteria, virusi na fangasi.
✅Gesi tumboni, kuvimbiwa, kuharisha
✅Maumivu ya viungo na kuvimba
✅Huongeza nguvu za mwili, kuondoa uchovu na msongo wa mawazo
✅Kusafisha damu, kusaidia kung’arisha ngozi, na kupunguza upele/chunusi zinazosababishwa na sumu mwilini

"Nilipokea ujumbe huu wenye nguvu leo kutoka kwa Madam Mwanjia aliekuwa akisumbuliwa na PID, UTI sugu, uvimbe kwenye kiz...
05/08/2025

"Nilipokea ujumbe huu wenye nguvu leo kutoka kwa Madam Mwanjia aliekuwa akisumbuliwa na PID, UTI sugu, uvimbe kwenye kizazi wa sm 3.5
Leo hii, amepona kabisa! 🙌🏽💚

Ushuhuda huu ni wa kweli — Unaaminisha uponyaji kupitia tiba za asili.Tunaendelea kumshukuru Mungu kwa kila hatua ya uzima anayorejesha kwa wanawake wetu 🌸

👉🏽 K**a unapitia hali k**a hii, usinyamaze. DM sasa au tembelea — kuna tumaini. Kuna tiba.

"

🌿 “Mwili wa afya hujengwa kwa neema ya mavuno ya asili.” 🥑🍋🍅Leo tumebarikiwa na:✅ Fenesi – chanzo bora cha nyuzinyuzi na...
02/08/2025

🌿 “Mwili wa afya hujengwa kwa neema ya mavuno ya asili.” 🥑🍋🍅
Leo tumebarikiwa na:
✅ Fenesi – chanzo bora cha nyuzinyuzi na vitamini C
✅ Parachichi – mafuta safi kwa ubongo na ngozi
✅ Karanga – protini na nguvu
✅ Karoti & Hoho – macho imara, ngozi ang'avu
✅ Pilipili kichaa – msisimko wa kinga ya mwili
✅ Limao – mwangaza wa damu safi
✅ Vitunguu & Nyanya – detox ya asili 💥

📖 “Nchi itatoa mazao yake; Mungu, Mungu wetu, ametuubariki.” – Zaburi 67:6





“Umeongeza mwaka mmoja wa busara na furaha! Mungu akulinde na kukutunza, malkia wetu mdogo.”
29/07/2025

“Umeongeza mwaka mmoja wa busara na furaha! Mungu akulinde na kukutunza, malkia wetu mdogo.”

Address

Muleba

Telephone

+255762733168

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uzazi Wellness posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Uzazi Wellness:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram