Afya bora ni mtaji

Afya bora ni mtaji Afya yako na Dr Onike

Permanently closed.
https://chat.whatsapp.com/EnaSyWghD8b8kcoYiSRJzO karibu kweny group la afya ya mifupa tunatatua changamoto mbalimbali za...
11/01/2022

https://chat.whatsapp.com/EnaSyWghD8b8kcoYiSRJzO karibu kweny group la afya ya mifupa tunatatua changamoto mbalimbali za mifupa kwa siku 30 tu K**a una ndugu jamaa mama baba au rafiki share nae apate tiba sahihi ya changamoto ya mifupa

WhatsApp Group Invite

18/11/2021

Suluhisho la sukari lipo iwe ni sukari ya Kurithi au ya ukubwan inatibika, kamwe usikubali kukatwa kiungo chako cha mwili,.
Wasiliana nami, 0753398792

CHANZO  CHA MIGUU KUWAKA MOTOHuu ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi sana na mara nyingi humfamnya mtu mwenye tatizo hilo...
18/11/2021

CHANZO CHA MIGUU KUWAKA MOTO
Huu ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi sana na mara nyingi humfamnya mtu mwenye tatizo hilo kushindwa kusinzia japo anahisi kusinzia.

Miguu kuwaka moto ni ugonjwa unaotokea ambapo katika mwili wa binadamu kutakuwa na matatizo k**a kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili yani za miguuni hivyo kupoteza uwezo wa utendaji kazi wa neva miguuni, sababu zingine ni k**a kutokuwa na mzunguko mzuri wa damu, kuwa na sumu nyingi mwilini,kurithi au mwili kushindwa kufanya kazi zake vizuri.

Dalili za ugonjwa wa miguu kuwaka moto
Ugonjwa huu una dalili nyingi zikiwemo:
- Kuhisi ganzi,
- kuhisi kuchomwa na kitu chenye ncha Kali miguuni,
- kuhisi miguu kuwa na majimaji kwa ndani,
- joto Kali miguuni,
- kuhisi k**a unaungua miguuni,kushindwa kushika au kubeba vitu na maumivu makali.

Vitu/ mambo yanayoweza kupelekea mtu miguu yake kuwaka moto
Kuna mambo mengi sana yakiwemo:
- Uzito mkubwa wa mwili (hii husababisha uti wa mgongo kukaa tofauti na unavyostahili hivyo baadhi ya neva kukandamizwa na uzito wa mwili au misuli hivyo kusababisha miguu kupata maumivu na kufa ganzi.
- Matumizi ya baadhi za dawa zenye kemikali kwa muda mrefu au mara kwa mara mfano dawa za TB, HIV nk.
- Upungufu wa virutubusho mwilini hasa mkusanyiko wa Vitamini B
- Magonjwa ya sukari na Shinikizo la damu , magoti , mzio na fangasi
- Matatizo ya moyo
- Matatizo katika mishipa ya damu
- Ulevi wa kupindukia kwa muda mrefu

Jinsi ya kuepuka ugonjwa wa miguu kuwaka moto
- Kuwa na uzito unaoenda na na kimoja chako
- Fanya mazoezi ya mwili
- Kula chakula kinachokupatia virutubisho mwili hasa VITAMINI B
- Usafi wa viatu, sox na miguu
- Ondoa sumu au kemikali mara kwa mara mwilini

Matibabu:
- Kula vyakula vyenye mkusanyiko wa vitamini B za kutosha
- Fanya mazoezi ya mwili k**a kukimbia, Kutembea n.k pia kufanya massaging
- Punguza uzito uliopitiliza
- Tumbukiza miguu katika maji ya vuguvugu yenye chumvi
- Tibu maradhi ya sukari hakikisha sukari ipo sawa
- Ondoa sumu kali mwilini mara kwa mara
- Chua miguu yaki kwa vitu vinavyopunguza maumivu ,vinavyosaidia mzunguko wa damu kuwa Vizuri (paka Asali mbichi, shubiri na limao
Wasiliana nami : call/ WHATAPP 0753398792

19/07/2021

UFAHAMU UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS DISEASE),VISABABISHI VYAKE NA TIBA YAKE*

*VIDONDA VYA TUMBO NI NINI???*
Vidonda vya tumbo ni matokeo ya kuharibika kwa uteute wa ndani ya ukuta wa tumbo la Chakula au ndani ya utumbo mdogo wa Chakula na matokeo yake ni ukuta wa tumbo kugusana na tindikali iliyoko tumboni ambayo ni kali sana k**a maji ya betri
_vidonda vya tumbo husababishwa na maambukizi ya bacteria waitwao *HELICOBACTER PYLORI*, aidha matumizi ya baadhi ya dawa za kutuliza maumivu za jamii ya Non_steroids anti inflammatory drugs k**a vile *ASPIRIN /DICLOFENAC* huweza kusababisha uwezekano wa kupata ugonjwa huu,
_vidonda vya tumbo vinaweza kujitokeza katika utumbo mdogo na katika tumbo la Chakula na pia ni Mara chache huweza kujitokeza katika koo la Chakula ambapo hapakukusudiwa kustahimili tindikali ya tumbo

*AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS DISEASE)*
Kuna aina nyingi za vidonda vya tumbo navyo ni
(a) vidonda vinavyotokea katika mfumo wa Chakula yani tumboni
b) vidonda vinavyotokea katika utumbo mdogo
(c) vidonda vinavyotokea katika koo /koromeo la Chakula
*HATUA KUU ZA VIDONDA VYA TUMBO*
ni vizuri kufaham kwamba huu ugonjwa una hatua nne ambazo ni muhimu
(1)HATUA YA KWANZA ~hatua ya kwanza ya huu ugonjwa ni ule uvimbe sugu unaotokea sehem ya ndan ya tumbo,
(2)HATUA YA PILI~hapa vijidonda hujitokeza sehemu zenye uvimbe na taratibu vidonda hvyo huongezeka na kua vikubwa katika hatua hii mgonjwa hupatwa na maumivu makali ya tumbo yanayodumu kwa muda mrefu yakiambatana na kiungulia, tumbo kujaa gesi wakati wote, kukosa hamu ya kula, choo kuwa kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu, hata hvyo Hali hii ya kukosa choo kwa muda mrefu (CHRONIC DYSPEPSIA) yani kushindwa kufanya Kazi kwa mfumo wa mmeng'enyo wa Chakula kutokana na tindikali nyingi inayozalishwa tumboni huingia Kwenye mzunguko wa dam hivyo mgonjwa hujisikia uchovu na kizunguzungu cha Mara kwa Mara katika hatua hii tindikali husababisha magonjwa ya ini na Figo kwa kuwa tayar iko katika mfumo mzima wa damu
(3)HATUA YA TATU ~hii ni hatua ambayo ni ya hatari kwasababu vidonda vikubwa hupasua mishipa yote midogomidogo ya damu na kusababisha damu kuvia tumbon na kubadilisha rangi ya choo kuwa cyo ya kawaida, pia damu nyingi ikivujia tumboni mgonjwa hutapika na kuharisha damu Hali hii husababisha mgonjwa kuishiwa damu Mara kwa Mara, maumivu makali ya tumbo,hupata Homa, maumivu ya viungo na kukosa hamu ya kula.
(4)HATUA YA NNE ~katika hatua saratani ya utumbo inahusika kwani katika hatua hii vidonda vya tumbo hutengeneza tundu katika tumbo au utumbo mdogo na kusababisha kuoza kwa viungo vya ndani na matokeo yake ni saratani ya utumbo
*VISABABISHI/VIHATARISHI VYA VIDONDA VYA TUMBO*
visababishi vya ugonjwa huu vipo vingi sana hivyo yatupasa kuviepuka ili kujiepusha na huu ugonjwa.zifuatazo ni visababishi vya ugonjwa huu
i. Utumiaji wa madawa ya kuondoa maumivu kwa muda mrefu
ii.mawazo na huzuni kwa muda mrefu
iii.kutokuwa na muda maalum wa kula
iv.Utumiaji wa pombe uliopitiliza

Kwa mawasiliano zaidiii piga 0753398792

23/06/2021

Mwanamme usione aibu Tezi dume inatibika Wahi sasa nikupatie tiba asili zitakazoweza kumaliza tatizo lako haraka mno wasiliana nami kupitia 0753398792

23/06/2021

Kwa mweny presha ya kupanda na kushuka nina dozi yako wasiliana nami kupitia 0753398792 ushaur ni bure kabisaa

Je unafaham kuwa tezi dume kwa WANAUME inatibika
15/06/2021

Je unafaham kuwa tezi dume kwa WANAUME inatibika

Maumivu ya tumbo ya mara kwa mara kwa wanawakeWANAWAKE wanaosumbuliwa na maumivu ya tumbo chini ya kitovu mara kwa mara ...
06/06/2021

Maumivu ya tumbo ya mara kwa mara kwa wanawake
WANAWAKE wanaosumbuliwa na maumivu ya tumbo chini ya kitovu mara kwa mara hupata athari nyingi baadaye endapo k**a hawatagundua chanzo cha maumivu hayo.
Katika tumbo la mwanamke kuna mfumo wa kawaida wa tumbo ambao ni tumbo la chakula na mfuko wa haja kubwa, kuna kibofu cha mkojo na mfumo wa mkojo.

Pia kuna mfumo wa uzazi ambao ndiyo tunaozungumzia leo kwa undani.
Mfumo wa chakula una matatizo yake mengi ambayo huambatana na kichefuchefu na kufunga choo, mfumo wa mkojo nao una shida nyingi tu ambazo ni maambukizi au ‘UTI’ ambayo huambatana pia na maumivu katika njia ya mkojo.Matatizo ya mfumo wa uzazi huambatana na dalili mbili, mojawapo ni ile ya kutokwa na uchafu ukeni.

Chanzo cha tatizo
Maumivu ya mara kwa mara ya tumbo kwa wanawake yanahusiana zaidi na mfumo wa uzazi. Maumivu haya yanaweza kuwa maambukizi katika mfumo wa uzazi ambayo huathiri kuta za ndani za uzazi, maambukizi yanasambaa hadi katika mirija ya uzazi hali iitwayo ‘Salpingitis’ na huweza kusababisha mirija kujaa maji ‘Hydrosalpinx ’ au kujaa usaha ‘Pyosalpinx’.

Maambukizi pia husambaa hadi katika vifuko vya mayai ‘Oophoritis’.
Maambukizi pia huwa ukeni na kitaalamu huitwa ‘Vaginitis’ na hushambulia kuta za uke, yakifika katika mlango wa shingo ya kizazi huitwa ‘Cervicitis’.

Pamoja na kushambulia ndani ya uke na shingo ya kizazi, pia hushambulia nje kabisa ya uke ambapo mwanamke hulalamika muwasho nje ya uke kwenye midomo au mashavu ya uke na hata kutokwa vipele.

Dalili za tatizo
Mwanamke mwenye tatizo ukeni hulalamika muwasho ukeni na kutokwa na uchafu ambao mara nyingi huwa na harufu k**a shombo la samaki. Pia hulalamika maumivu wakati wa tendo la ndoa.
Mwanamke ambaye maambukizi yamefika katika mlango wa shingo ya kizazi hupatwa na maumivu wakati wa tendo la ndoa na wakati mwingine hutokwa na damu wakati wa kujisafisha huona damu kidogo au k**a hakuna damu atahisi mdomo wa kizazi umevimba na kushika kitu k**a kigolori ndani ya uke.

Mwanamke pia hulalamika k**a kuna kitu kinasukumwa wakati wa tendo la ndoa.
Maumivu ndani ya kizazi hasa katika kuta za ndani hupatwa na maumivu baada ya tendo la ndoa, vilevile hupatwa na maumivu chini ya tumbo

Kwa ushaur zaidii na tiba lishe wasiliana nami 0753398792

31/05/2021
30/05/2021
Kalibu upone kwa dawa asilia, kwa mwanaume tatizo la tezi dume kwishaa
27/05/2021

Kalibu upone kwa dawa asilia, kwa mwanaume tatizo la tezi dume kwishaa

Dawa ya asilia ya  wanawake
24/05/2021

Dawa ya asilia ya wanawake

Zijue faida mbalimbali Za bidhaa zangu zitakazo weza kukusaidia wewe katika tatizo la UTIsugu, PIDna harufu  zisizo rasi...
22/05/2021

Zijue faida mbalimbali Za bidhaa zangu zitakazo weza kukusaidia wewe katika tatizo la UTIsugu, PIDna harufu zisizo rasimi kwa Mwanamke

🥑 *Madini Mbali mbali* yanayorudisha Asili ya kuta za uke na kuleta uwiano sawa wa bakteria ukeni na kupelekea kuondoa tatizo la *UTI sugu*
🥑 *Mchanganyiko wa Mafuta ya Asili yanayotokana na Mimea*
yanayosaidia kuondoa maambukizi yote ya bacteria ukeni na kupelekea kuondoa *fangasi, harufu na miwasho*
🥑 *Mchanganyiko wa Vitamin* unaosaidia kuondoa *uchafu wote ukeni*
🥑 *Mchanganyiko wa virutubisho vinavyotokana na mboga mboga* vinavyolinda uke usiweze kupata maambukizi ya bakteria kirahisi.
🥑 *Amino Asidi* Inayosaidia virutubisho vyote kufyonzwa kwa urahisi ukeni na kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa.

Wasiliana nami kwa 0753398792 whasup

Kalibu tukuhudumie
18/05/2021

Kalibu tukuhudumie

18/05/2021

Afya bora na onike

Njoo tukuhudumie bila ya usapuaji, no kalibu upone kwa siku 40 tu.
18/05/2021

Njoo tukuhudumie bila ya usapuaji, no kalibu upone kwa siku 40 tu.

Kwa maradhi ya kila aina wasiliana nami 0753398792.maisha ni afya
18/05/2021

Kwa maradhi ya kila aina wasiliana nami 0753398792.maisha ni afya

Kalibu BF suma kwa bidhaa Za chakula tiba zilizotengenezwa kwa mimea asilia na mboga mboga zenye virutubisho vya kila ai...
18/05/2021

Kalibu BF suma kwa bidhaa Za chakula tiba zilizotengenezwa kwa mimea asilia na mboga mboga zenye virutubisho vya kila aina

18/05/2021

Maisha ni afya

Address

Mwanza City

Telephone

+255753398792

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya bora ni mtaji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya bora ni mtaji:

Share