Munda Herbal Clinic 3

  • Home
  • Munda Herbal Clinic 3

Munda Herbal Clinic 3 Ninahitaji utayari wako wa kupatiwa matibabu kutoka kwangu Mungu anahitaji Imani yako ili akuponye

K**a Unatamani Kupona Changamoto Ya Vidonda Vya Tumbo Basi Ujumbe Huu Ni Maalum Kwaajili Yako.....Hakuna Kitu Kinakera S...
02/01/2023

K**a Unatamani Kupona Changamoto Ya Vidonda Vya Tumbo Basi Ujumbe Huu Ni Maalum Kwaajili Yako.....

Hakuna Kitu Kinakera Sana K**a Ile Hali Ya Kukosa Hamu Ya Kula, Kuhisi Maumivu Makali Ya Tumbo Au Hata Tumbo Kujaa Gesi kupata choo kigumu au kukosa choo kabisa

Alafu Kila Dawa Unayojaribu Kutumia Inaishia Kukupatia Nafuu Ya Muda Mfupi Tu Kisha ......

Maumivu Makali Ya Tumbo Yanarudi K**a Mwanzo.....

Asikuambie Mtu Ukisikia Mtu Anaumwa Vidonda Vya Tumbo Jua Kabisa Kua Anapitia Katika Wakati Mgumu Sanaa ......

Inawezekana Umejaribu Sana Kutumia Dawa Tofauti Tofauti Lakini Hujafanikiwa Kumaliza Changamoto Yako.....

Basi Nina Habari Njema Sana Kwaajili Yako Kwa Hata Mimi Niliwai Kusumbuliwa Na Changamoto Ya Vidonda Vya Tumbo Kwa Muda Wa Miaka 10 .........

Nilituma Vidonge Hata Dawa Za Kienyeji Kwa Muda Mrefu Lakini Zote Ziliishia Kunipa Nafuu Tu Kisha Tatizo Linarudi ........

Kuna Muda Hata Kazini Nilikua Nashindwa Kwenda Kwa Sababu Ya Maumivu Makali..........

Ilinichukua Miaka 10 Kupata SULUHISHO LA Kudumu.....

Kwa Sababu Najua Maumivu ya Kua Na Changamoto Ya Vidonda Vya Tumbo .....

Hivyo Nikaamua Kuanza Kuwasaidia Watu Wote Ambao Wanaishi na Changamoto K**a Yangu .......

Na Ndio Maana Tumekuandalia Mafunzo Ya Bure Kabisa Ambapo Nitafundisha Jinsi Nilivyo Pona Vidonda Vya Tumbo..... na Acid Reflux
N.k.

Baada ya Kuhangaika Kwa Muda Mrefu....

Ili Kupata Mafunzo Haya Bure Kabisa Basi Gusa LINK Hapa Chini👇
https://chat.whatsapp.com/K2LsQwRwQFf7NJQdAgoihd

Au Unaweza Kupata USHAURI Bure Kwa Kupiga Namba Hii Hapa Chini👇
0676199904 au ukatutafuta WhatsApp kwa namba hiyo hiyo

*MADHARA YA UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO* ✍️ *DAMU KUVUJA TUMBONI*  Hali hii yaweza kusababishwa na vidonda kuenea hadi ...
19/12/2022

*MADHARA YA UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO*

✍️ *DAMU KUVUJA TUMBONI*

Hali hii yaweza kusababishwa na vidonda kuenea hadi kwenye mishipa ya damu na hivyo kufanya damu kuanza kuvuja. *Hali hii ni hatari sana na inahitaji tiba ya dharura.*

✍️ *KUTOBOKA KWA UKUTA WA TUMBO*
Vidonda vya tumbo huweza kusababisha tundu (kutoboka kwa ukuta wa tumbo) na kufanya vitu vilivyo ndani ya utumbo kutapakaa katika tumbo (abdomen) Hali hii huitwa peritonitis na ni hatari sana na inahitaji matibabu ya dharura.
Aidha, kuenea huko kunaweza pia kuathiri tezi kongosho na kusababisha madhara katika tezi hiyo, ugonjwa unaojulikana k**a pancreatitis.

✍️ *KUATHIRI VIUNGO VINGINE VYA MWILI*

Vidonda vya tumbo vinaweza pia kuenea na kuathiri pia viungo vya jirani k**a vile ini au kongosho (pancrease)

✍️ *KUVIMBA KWA UKUTA WA TUMBO KWA NDANI* yanayosababishwa na vidonda hivi huweza kusababisha kuziba kwa njia ya kupitishia chakula kutoka kwenye tumbo (stomach) kwenda sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo (duodenum) hali ambayo kitaalamu huitwa gastric outlet obstruction.

✍️ *TATIZO LA KANSA*

Iwapo vidonda vya tumbo vimesababishwa na H. pylori, kuna uwezekano wa kati ya mara tatu hadi ya sita ya mgonjwa kupata kansa ya tumbo (stomach cancer).

✍️ *TATIZO LA NGUVU ZA KIUME*
Hali itakayomuathiri mwanaume kupata hamu ya tendo la ndoa, kushindwa kabisa kufanya tendo, kuwahi
kufika kileleni pamoja na kushindwa kutungisha Mimba.

✍️ *MWANAMKE KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA*
Hali inayopelekewa kwa homoni kuvurugika na mwisho MWANAMKE anakoswa hamu ya tendo la ndoa kushindwa kupata hedhi vizuri na kwa asilimia chache hupelekea MWANAMKE kutopata ujauzito

19/12/2022
KUKOSA HEDHI KWA MUDA MREFU Sababu 8 za kokosa Hedhi na Hedhi KuvurugikaSababu za mara kwa mara Zinazopelekea Kukosa hed...
17/12/2022

KUKOSA HEDHI KWA MUDA MREFU

Sababu 8 za kokosa Hedhi na Hedhi Kuvurugika

Sababu za mara kwa mara Zinazopelekea Kukosa hedhi na Kuvurugika kwa Mpangilio wa Hedhi.

Ukiachilia mbali ujauzito na kukoma hedhi ambavyo vyote hivi ni vipindi vya kawaida kwa mwanamke kukosa hedhi. Zifuatazo ni sababu ambazo hupelekea kukosa hedhi 👇

1. Msongo wa mawazo

2. Lishe mbaya

3. Uzito mdogo kupita kiasi

4. Kufanya mazoezi kupita kiasi

5. Matatizo kwenye Tezi ya Thairodi

6. Matumizi ya dawa za kupanga uzazi

7. Ugonjwa wa PCOS

8. Alegi ya vyakula.

❌Usiendelee kuteseka na changamoto hiyo
Suluhisho 👨‍💻lipo la uhakika

KUKOSA HEDHI KWA MUDA MREFUMwanamke na hedhiSababu 8 za kokosa Hedhi na Hedhi KuvurugikaMpaka mwisho wa makala hii tayar...
12/12/2022

KUKOSA HEDHI KWA MUDA MREFU

Mwanamke na hedhi

Sababu 8 za kokosa Hedhi na Hedhi Kuvurugika

Mpaka mwisho wa makala hii tayari utakuwa unajua

Jinsi mzunguko wa hedhi unavofanya kazi

Nini kinasababisha ukose hedhi kwa muda mrefu au hedhi yako kuvurugika

Madhara ya kukosa hedhi kwa muda mrefu

Ushauri nini ufanye na

Huduma ya dawa asili kurekebisha hedhi yako

Endelea kusoma kupata mwanga na mafunzo zaidi uboreshe afya yako k**a mwanamke.

Wanawake wengi wana Tatizo la Kukosa hedhi

Kukosa hedhi au kubadilika kwa mzunguko wa hedhi inaweza kuwa tatizo kubwa kulitatua. Kwasababu hedhi ndio kiashiria chema kuonesha hadhi ya mwanamke. K**a ukikosa hedhi lazima utaanza kupata msongo wa mawazo na kukosa amani.
Kukosa hedhi na kuvurugika kwa mpangilio wa hedhi huwakumba wanawake wengi sana kwa sasa hasa kutokana na mitindo ya maisha inayopelekea kuvurugika kwa homoni za k**e.
Mpangilio wa hedhi unaratibiwa na vichocheo kutoka kwenye tezi na ubongo, kwa hivo ni muhimu kurekebisha mtindo wa maisha unaovuruga homoni zako na kukupelekea kuvurugika kwa hedhi.

Hatari ya Kuvurugika na Kukosa Hedhi ni Kubwa

Kwa mwanamke ambaye ni mzima wa afya kikawaida hutoa yai moja lililokomaa kila baada ya siku 25 mpaka 28 tayari kwa kurutubishwa na mbegu ya kiume kwenye siku za hatari. Japo mzunguko wa hedhi kwa kila mwanamke unatofautiana, wanawake wengi wenye afya njema mzunguko wao huchukua mwezi mmoja.
Mwanamke anapokoma kupata hedhi kabla ya kipindi chake inaonesha kwamba kuna tatizo la kiafya. Kupata hedhi ya kawaida isiyoambatana na maumivu makali kila mwezi ni kiashiria kwamba homoni zako zimebalansi na mfumo wako wa uzazi unafanya kazi ipasavyo.

Homoni Kuvurugika ni Chanzo cha Kukosa Hedhi

Kinyume chake pia ni ukweli kwamba ukiwa unakosa hedhi, hedhi isiyo na mpangilio mzuri, maumivu makali wakati wa hedhi na hedhi kuchukua siku nyingi zaidi ya 7 ni kiashiria kwamba homoni zako zimevurugika. K**a una uhakika kwamba huna ujauzito na unakosa hedhi basi siyo kitu cha kuchukulia kawaida unahitaji kujua chanzo cha tatizo na kuchukua hatua.
Tafiti nyingi ziansema kwamba kundi kubwa la wanawake huficha jambo hili na kutoliripoti kwa dactari pale wanapokosa hedhi mara kwa mara. Kitendo hiki ni hatari kwani kukosa hedhi na kuvurugika kwa homoni kunaweza kuletekeza matatizo mengine makubwa ya kiafya k**a, magonjwa ya moyo, kupungua kwa nguvu ya mifupa, na ugumba.

Jinsi Mzunguko wa Hedhi Unavofanya Kazi

Kikawaida kila mwezi mwanamke hutoa yai moja ili lirutubishwe kutengeneza kichanga. Pale yai lisipotolewa kwenye kikonyo chake tunaita anovulation. Moja ya dalili kwamba mayai yako yanapevuka lakini hayatolewi ni kukosa kabisa au kuvurugika kwa hedhi.
Kwa wanawake wasio na ujauzito wenye umri wa kuzaa kuanzia miaka 15 mpaka 40 na hawapati hedhi, hiki ndio kisababishi cha kushindwa kushika mimba kwa karibu 30%.

Homoni

Mpangilio wa hedhi unaratibiwa na vichocheo au homoni za mwanamke hasa estrogeni. Homoni za estrogen husaidia kujenga ukuta na mazingira mazuri kwa ajili ya ukuaji wa kiumbe kinachozalishwa. Mwanamke akishakoma hedhi uzalishaji wa estrogen hupungua sana na ndio maana unaanza kukosa siku zako.
Kwa wanawake walio kwenye umri wa kuzaa, kuwa na kiwango kidogo sana cha estrogen husababisha kukosa hedhi na kuvurugika kwa mpangilio wa hedhi. Kwahivo unapoenda hospitali kishiria cha kwanza kwamba una kiwango kidogo cha estrogeni ni ikiwa unakosa siku zako.

Sababu za mara kwa mara Zinazopelekea Kukosa hedhi na Kuvurugika kwa Mpangilio wa Hedhi.

Ukiachilia mbali ujauzito na kukoma hedhi ambavyo vyote hivi ni vipindi vya kawaida kwa mwanamke kukosa hedhi. Zifuatazo ni sababu ambazo hupelekea mwanamke kukosa hedhi

1.Msongo wa Mawazo

Kikawaida mwili unapokutana na kitu cha kuogofya ama kinacholeta msongo wa mawazo unatunza nishati kubwa ili kuzielekeza kupambana na changamoto iliyopo mbele yako. Kwa hivo kila mara unapokuwa na msongo wa mawazo utendaji wa shuguli zingine za mwili unapungua na kudhoofika ikiwemo upevushaji wa mayai.
Homoni ya estrogen inapozalishwa kwa kiwango kidogo pamoja na homoni zingine k**a homoni ya LH na FSH ukuta ambao humeguka kila mwezi kutoka pamoja na yai hautajengwa na hivo kupelekea ukose hedhi.

kwanini mwili unapunguza kasi ya upevushaji wa mayai wakati wa msongo wa mawazo?

Mwili unatambua kwamba upo kwenye kipindi cha hatari na unatakiwa upambane ili uishi kutokana na hatari inayokuwa mbele kwa hivo maisha ni kitu cha kwanza ndipo swala na hedhi lifuate. Mwili utatengeneza stress homoni kwa wingi k**a cotisoli na adrenalini ili kukuandaa kupambana, ama kukimbia hatari iliyopo mbele yako.
Fikiria pale unapotembea usiku na ukaona kitu kisicho cha kawaida mbele yako, tazama mwili unavobadilika, sasa mabadiliko ya homoni pale unapokutana na kitu cha hatari ni sawa na vile unapopata msongo wa mawazo. Kadiri mawazo yanavokuathiri ndipo unaharibu mpangilio wako wa mwili na kukupelekea ukose hedhi.

2.Lishe Mbaya

Lishe mbaya yenye upungufu wa virutubisho ikiwemo vitamini na madini na yenye sukari na viambata vya kuongeza ladha kwa wingi hupelekea tezi za Adrenal na Thayroid kufaya kazi kupita kiasi. Kitendo hichi hupelekea uzalishaji wa kichocheo cha cotisoli ambacho kinapunguza uzalishaji wa homoni za uzazi.
Cortisol inapokuwa nyingi zaidi pia taweza kuletekeza madhara mwilini k**a udhaifu wa mifupa, ngozi kuharibika, tishu za ubongo na misuli kudhoofika. Kwahivo mtiririko huu unapojirudiarudia kila mara ndipo hali ya mwili huwa mbaya zaidi.

3.Uzito Mdogo Kupita Kiasi

Ili kupima uzito wako k**a uko sawa kiafya, tunatumia kipimo cha BMI yaani body mass index ni kipimo kinachotumika kupima uwiano wa uzito na urefu wako. BMI= Uzito wako kwa kg gawanya kwa (urefu kwa mita x 2). BMI kuanzia 18.5 mpaka 25 inaonesha kwamba uzito wako ni mzuri. Ukipata zaidi ya 25 manake uzito wako ni mkubwa na ukipata chini ya 18.5 ni kwamba una uzito mdogo kupita kiasi.
Mafuta mwilini huchochea uzalishaji wa homoni ya estrogeni kwa wanawake na ndio maana wanawake wembamba sana hukosa hedhi maranyingi zaidi. Kufanya mazoezi makali hupelekea mahitaji ya virutubisho mwilini kuongezeka na hivo uzito kupunguakupta kiasi na kuvurugika kwa homoni.

4.Kufanya Mazoezi Kupita Kiasi

Mazoezi ni muhimu kwa mwili katika kurekebisha athari za msongo wa mawazo, kuweka sawa shinikizo la damu, usingizi mzuri na kuweka sawa uzito wamo. Ila kumbuka kufanya mazoezi kupita kiasi kunachosha sana mwili kupelekea uzalishaji mkubwa wa cotisoli ambayo ndio kizuizi cha kuzalishwa kwa homoni za uzazi. Kwahivo hakikisha unafanya mazoezi mara 3 kwa week na yasiwe mazoezi yanayokula nguvu yako nyingi na kukuacha mdhaifu.

5.Matatizo Kwenye Tezi ya Thairodi.

Tezi ya thairodi ni kiungo chenye umbo la kipepeo. Kiungo hichi kipo kwenye shingo chini ya koromeo la sauti. kazi kuu ya Tezi hii ni kuzalisha homoni za (T3) na (T4), ambazo kwa pamoja hufanya kazi ya kurekebisha mzunguko wa damu na kazi mbalimbali za mwili. Matatizo kwenye tezi ya Thairodi k**a kushuka kwa uzalishaji wa homoni ama tezi kufanya kazi kupita kiasi huweza kuleta mabadiliko pia kwenye kiwango cha estrogeni na cotisoli. Kiwango cha cotisoli kwenye damu kinapokuwa kingi hupunguza uwezo wa tezi ya thairoidi ambapo matokeo yake ni kushuka kwa kazi za mwili k**a upevushaji wa mayai na uzalishaji wa homoni za k**e

6. Matumizi ya dawa za kupanga uzazi

Baadhi ya wanawake hukosa hedhi kwa muda mrefu baada ya kuacha kutumia vidonge vya uzazi wa mpango. Japo madactari hushauri kwamba hali itakaa sawa baada ya kuacha kumeza vidonge lakini bado hali huwa mbaya kwa wanawake wengine kwani tayari vidonge vimevuruga vichocheo. Kikawaida mpangilio wa hedhi unakuwa na kipindi cha kupanda na kushuka kwa homoni za estrogeni na progestene kwa kupishana, lakini vidonge vya uzazi wa mpango hufanya estrogeni kuwa juu muda wote na kuudanganya mwili kwamba una ujauzito wakati huna na hivo kukosa hedhi kabisa. Inachukua miezi ama miaka mingi mpaka mwili kurudi kwenye hali yake ya kawaida.

7.Ugonjwa wa PCOS

Polycyst ni wingi wa neno cyst, Neno cyst ni kitu chenye uwazi kwa ndani na kimezungushiwa ukuta mwembamba na laini (Membrane). Na mle ndani kunaweza kukaa damu,usaha,maji nk. kwa upande wa mwanamke hizo follicles nyingi ambazo zimekomaa na zimeshindwa kutoa mayai zinafanishwa na Cysts .Sasa inapotokea Kila mwezi hupati hedhi na vimbe hizi zinakuwa nyingi tunaziita Polycyst.
Na mkusanyiko wa dalili mbalimbali k**a uzito mkubwa na kitambi, kupanda kwa sukari kwenye damu, kuwa na chunusi nyingi, kuota ndevu na hedhi kuvurugika ndizo tunaziita syndrome au Polycystic Oarian syndrome. Wanawake wenye PCOS hukosa hedhi kutokana na kuvurugika kwa homoni zao.

8.Alegi ya Vyakula

Mwili kushindwa kuchakata baadhi ya vyakula k**a vyakula vya ngano na maziwa ama kuwa na aleji na vyakula baadhi husababisha mwili kukosa virutubisho muhimu na hivo kuzalisha magonjwa sugu

Tumia dawa zetu leo Mungu akushangaze
Baada ya kutumia dawa zetu tegemea kupata matokeo haya

Hedhi kutoka vizuri kwa

Maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi kuisha kabisa

Homoni kubalansi

Kupata hedhi nyepesi ya kawaida

Mzunguko wa hedhi kurekebika na kuanza kupata kila mwezi

Kizazi kuimarika sana hata kuongeza chansi ya kushika mimba k**a wewe ni muhanga wa kukosa mimba kwa muda mrefu.

Bei ni Tsh 75,000/=
Tupige 0676199904

Vidonda vya tumbo vinatibika ukipata mtu mwenye ufahamu sahihi wa kujua  kwanini watu wengi hawaponi vidonda vya tumbo b...
12/12/2022

Vidonda vya tumbo vinatibika ukipata mtu mwenye ufahamu sahihi wa kujua kwanini watu wengi hawaponi vidonda vya tumbo basi mtu huyo atakusaidia kuondokana kabisa na changamoto hiyo kwq asilimia 100 tupie 0676199904

CHANGO LA UZAZI - {OVULATION DISORDER}...KWA 👉MWANAMKE NA MWANAMME!!!*JUA SASA PENGINE NAWEWE NI MHANGA HUJIJUI TU KIUND...
11/10/2022

CHANGO LA UZAZI - {OVULATION DISORDER}...KWA 👉MWANAMKE NA MWANAMME!!!

*JUA SASA PENGINE NAWEWE NI MHANGA HUJIJUI TU KIUNDANI,*

*SABABU,DALILI NA TIBA ZAKE*👇

Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mwanamke au mwanamme.

*HUANZAJE ANZAJE!!?*👇

>>>>Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo sana {utotoni}.

Kwa mfano :- mwanaume hupata maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini

>>> Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo nakuendelea.

>>>>Maumivu hayo yakiendelea humpelekea mwanamme na mwanamke kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi.

》》》》 *UTAJUAJE/DALILI ZAKE*

>>>>Kwa mwanaume atakuwa akishiriki tendo la ndoa, anawahi sana kufika kileleni na kurudia mara nyingine ni vigumu sana au asubilie baada ya masaa kadhaa.

>>>>Pia mwanaume hatakuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake vizur kwa muda mrefu.

>>>>Ni vigumu kumpa mimba mwanamke hii hutokana na production kupungua

>>>> *Kwa Mwanamke mwenye chango la uzazi*

>>>> *Dalili zake*

>>>>Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi au anapo kuwa tayari kwenye siku zake,

>>>>Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa,

>>>>Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba maalum zitakuwa
zinabadilika badilika,

>>>>Hujisikia homa kali,kichefu chefu,mwili kuuma anapokaribia siku zake za hedhi,

>>>>Kupatwa hasira kali/ jaziba anapokaribia kuingia,

>>>>Katika siku zake za hedhi,Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi,

>>>>Kupata mchubuko kwenye mapaja,vipele au chunusi sehemu mbalimbali za mwili na hata za uke,

>>>>Kuchukia kushiriki tendo la ndoa,

>>>>Ni rahisi kupata uvimbe kwenye kizazi,

>>>>Ni rahisi pia mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi,

》》》 *ANGALIA MADHARA YAKE KWA MWANAMKE*

>>>>Ni vigumu sana kwa mwanamke kupata mimba kirahisi,

>>>>Mwanaamke anaongeza uwezekano mkubwa wakuwa tasa kabisa,

>>>>Kuingia na kutoka kwa mimba/kuharibika {miscarriage},

Address


Telephone

+255682614620

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Munda Herbal Clinic 3 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram