AFYA ZETU

AFYA ZETU Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA ZETU, Medical and health, Kirumba, Mwanza.

TUNATATUA MATATIZO YA KIAFYA KAMA VILE,
UTI SUGU,
BAWASIRI BILA UPASUAJI
, MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA UZAZI [PID],
MATATIZO YA MIFUPA, KISUKARI,
TEZI DUME BILA UPASUAJI [ BPH]

05/03/2022

Tezi dume inatibika
Karibu tukutibu kabla haijabadilika kuwa kansa

Piga 0623984849

05/02/2022

FEMI CARE

INATIBU
💪UTI SUGU YA AINA YEYOTE

💪MIWASHO SEHEMU ZA SIRI

💪FANGASI UKENI

💪HARUFU MBAYA UKENI

💪HUZUIA BACTERIA WABAYA UKENI

Tupigie 0623993656

Suluhisho la tatizo la watoto wasiopenda kula Call me 0623984849
25/01/2022

Suluhisho la tatizo la watoto wasiopenda kula

Call me 0623984849

Ni tatizo sugu kwa watu wengi, wengi wamelitibu kwa mda mrefu lakini linajirudia mala nyingi, unamaliza dozi za antibiot...
09/12/2021

Ni tatizo sugu kwa watu wengi, wengi wamelitibu kwa mda mrefu lakini linajirudia mala nyingi, unamaliza dozi za antibiotic lakini tatizo liko palepale.

Usikae na ugonjwa tupigie kwa namba
0623984849
Dr Christopher💪💪

FAHAMU UGONJWA WA UTI, DALILI NA JINSI YA KUEPUKA UTI SUGUUTI(Urinary tract infection) ni ugonjwa wa maabukizi katika mf...
11/09/2021

FAHAMU UGONJWA WA UTI, DALILI NA JINSI YA KUEPUKA UTI SUGU
UTI(Urinary tract infection) ni ugonjwa wa maabukizi katika mfumo wa mkojo na maambukizi haya yanasababishwa na viumbe k**a bakteria,fangasi na virus. Maranyingi bakteria wanaoingia kwenye mfumo wa mkojo hutolewa na mwili,Wakati mwingine bakteria wanaweza zidi kinga ya mwili na kusababisha maambukizi hayo.
UTIs inaweza athiri urethra,kibofu cha mkojo na figo
MFUMO WA MKOJO
Mfumo wa mkojo ni mfumo wa mwili unaotumika kuondoa uchafu na maJi ya ziada
Mfumo huu unaundwa na ureta,kibofu cha mokojo,figo na urethra sitachambaua kwa undani hizi sehemu
KISABABISHI CHA UTI
Mara nyingi UTI zinasababishwa na bakteria aitwaye Escherichia coli (E. coli) na UTI nyingine zinaweza sababishwa na Chlamydia na Mycoplasma na UTI hizi zina athiri hadi mfumo wa uzazi na wanandoa wanapaswa kupata tiba pamoja,
Maambukizi ya UTI ni makubwa sana dunian Zaidi ya watu milioni 8 pointi 1 wanaathiriwa na ugonjwa huu
KWANINI WANAWAKE NDO WAHANGA WAKUBWA?
Wanawake ni wahanga wakubwa sana wa ugonjwa huu kulingana na maumbile yao ya nje
1.Urethra(mrija wa mkojo kutoka kwenye kibofu) kwa wanawake ni mfupi sana hivyo kuruhusu bakteria kufika kwa haraka kwenye kibofu
2.Pia mrija huo unafungukia sehemu ambazo zinaweza kuwa ni vyanzo bakteria ambayo ni sehemu ya uke na pili ni puru
Kwa wanaume ni vigumu sana ila wakipata tatizo linaweza kuwa zito kutibu tofauti na kwa wanawake
WATU WALIO KATIKA HATARI YA KUPATA UTI
‪ #‎Watu wenye vidonda kwenye uti wa mgongo
‪ #‎Mtu yeyote mwenye tatizo katika mfumo wa mkojo
‪ #‎Tendo la ndoa linaweza likahamisha bakteria kutoka kwenye uke kwenda kwenye urethra
‪ #‎Baadhi ya njia za uzazi k**a kutumia diaphragm,spermicides,kondomu nk
KURUDIARUDIA KWA UTI(UTI SUGU)
Mara nyingi wanawake wakipata UTI inaweza ikawa inajirudia mara kwa mara kulingana na sababu zifuatazo
1.Uwezo wa bakteria kujishika kwenye njia ya mkojo hivyo kutotibika na kurudia tena
2.Sababu nyingine ni wanawake kuwa non sector yani kuwa na damu grupu A,B na AB ambao hawawez kuzalisha kinga nzur kwa ajili ya hao bakteria
DALILI ZA UTI
1.Kukojoa mara kwa mara na maumivu wakati wa kukojoa
2.Kuhisi kuunguzwa na mkojo kwenye kibofu au mrija wa mkojo
3.Maumivu ya misuli na tumbo
4.Mkojo kuwa na harufu mbaya na pia kubadilika rangi kuwa nyeusi au rangi ya mawingu nk
5.Kwa mtu aliyeathiriwa figo anaweza kuwa na maumivu mgongoni au kwenye mbavu pia kichefuchefu na kutapika
6.Kushikwa na hamu ya kukojoa ila mkojo unatoka kidogo
JINSI YA KUZUIA UTI SUGU
1.Kunywa maji mengi kunsaidia kusafisha bakteria kwenye mfumo
2.Mtu anatakiwa akojoe mara kwa mara kila anapojiskia kukojoa
Mkojo ukikaa sana kwenye kibofu unaweza zalisha bakteria
Na baada ya kukojoa wanawake wanatakiwa kujisafisha kuanzia mbele kurudi nyuma ili kulinda urethra
3.Vaa nguo za ndani za pamba na ambazo hazibani sana kuruhusu hewa kupita vizuri ,epuka jinsi zinazobana sana ambazo zinaweza kukusanya na kuleta tatizo

kwa ushauri na tiba tupigie 0623984849

20/08/2021
20/08/2021

Address

Kirumba
Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA ZETU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share