daktari_kiganjani

daktari_kiganjani Daktari mtoa Huduma & Elimu kwa jamii |
Maelezo kuhusu hali za kiafya na magonjwa |
Ipende Afya yako
Ujuzi wako kiafya utamuokoa Umpendaye Siku moja.

11/01/2026

watoto hawaelewi logic yoyote....
wanaangalia kinacho wapa furaha muda huu

11/01/2026

Nilipata Fursa ya kuungana na wazazi, walimu n watangazaji wa Azam TV kuzungumzia maandalizi ya kisaikolojia kwa mtoto anaetakiwa kurudi shule kutokea likizo

10/01/2026

Nilipata Fursa ya kuungana na wazazi, walimu n watangazaji wa Azam TV kuzungumzia maandalizi ya kisaikolojia kwa mtoto anaetakiwa kurudi shule kutokea likizo

09/01/2026

Nilipata Fursa ya kuungana na wazazi, walimu n watangazaji wa Azam TV kuzungumzia maandalizi ya kisaikolojia kwa mtoto anaetakiwa kurudi shule kutokea likizo

08/01/2026

Haijawaji kuwa rahisi


Namshukuru sana Bwana Yesu Kristo  Kwa Kibali cha mimi kuonekana nafaa kutoa mada kuhusiana nanamna ya kumsaidia kisaiko...
07/01/2026

Namshukuru sana Bwana Yesu Kristo Kwa Kibali cha mimi kuonekana nafaa kutoa mada kuhusiana nanamna ya kumsaidia kisaikolojia mtoro anae takiwa kurudi shule baada ya likizo.

Tunaimalizia video na tutashare session zote hapa kuanzia kesho.

Nawashukuru wote walio nitia mkono na hata kufuatilia live.Namshukuru sana dada Aurelia Gabriel kwa mualiko na kusimamia program.

Namshukuru sana pia director wangu kwa kunisimamia na kuniongoza.
Mwisho ila sio kwa umuhimu nawashukuru familia yangu kwa support.



01/01/2026

Asante sana kwa kufika hapa na tuna ahidi kuendelea kukusikiliza Mwaka 2026

31/12/2025

fanya kinacholeta maana ya likizo- Kupumzika

30/12/2025

Tusaidie na wengine tufaham hapa ni wapi na ni mkoa Gani....

30/12/2025

nitupieni mawe ila ujumbe umefika:

29/12/2025

hakikisha unakunywa maji ya kutosha wakati wote

28/12/2025

usiache kusali wakati wa likizo

Address

Capripoint. Block 35
Mwanza

Opening Hours

Monday 08:00 - 19:00
Tuesday 08:00 - 19:00
Wednesday 08:00 - 19:00
Thursday 08:00 - 19:00
Friday 08:00 - 19:00

Telephone

+255624054976

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when daktari_kiganjani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to daktari_kiganjani:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram