JP uzazi

JP uzazi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from JP uzazi, Medical and health, Mwanza.

Ujauzito wa mwezi mmoja🤰🤰 Hakika ni jambo la kumshukuru Mungu.Hii ni baada ya kuangaika kwa muda mrefu kutafuta mtoto la...
12/09/2022

Ujauzito wa mwezi mmoja🤰🤰 Hakika ni jambo la kumshukuru Mungu.

Hii ni baada ya kuangaika kwa muda mrefu kutafuta mtoto lakini pia changamoto ya uvimbe.

Mpendwa wetu aliamua kuamini huduma zetu badala ya kufanyiwa upasuaji.

✍️ *DrJosephat*Whatsapp|call|0753977803*Mwanza.**_Kwanini ule parachichi kila siku?_*Parachichi ni tunda muhimu kwa kila...
12/09/2022

✍️ *DrJosephat*
Whatsapp|call|0753977803
*Mwanza.*

*_Kwanini ule parachichi kila siku?_*

Parachichi ni tunda muhimu kwa kila mlo, kwa ujumla litakufanya uwe vizuri kiafya kwa muda mrefu.

🥑Nikudokeze tu kuwa ingawa matunda mengi husaidia kuongeza kinga ya mwili, tunda hili lina ukwasi wa aina yake katika zoezi hilo.

🥑Parachichi lina faida nyingine kubwa katika mfumo wa chakula wa binadamu ikiwa ni pamoja na kusaidia katika kulainisha choo huku ikizuia kuhara.

🥑Kwa Wajawazito
Parachichi ni muhimu sana kwa mwanamke mwenye ujauzito kutokana na kuwa na kiwango kikubwa cha folic acid; na ni muhimu katika kurekebisha seli za mwili na kusaidia afya ya uzazi hasa mapigo ya moyo ya mama na mwana. Ulaji wa parachichi humsadia afya ya ubongo pamoja na mfumo wa fahamu wa mtoto mchanga.

✅✅ *Unashauriwa kula parachichi angalau mara moja kwa siku.

NB; Ndugu zangu wa Mbeya k**a nawaona😄

12/09/2022

Baadhi ya faida za chai ya mchaichai.
📌KINGA DHIDI YA SARATANI
Kwenye mchaichai, kuna viondosha sumu ambavyo vina uwezo wa kuukinga mwili dhidi ya ugonjwa wa saratani.

📌MMENG'ENYO WA CHAKULA
Husaidia umeng'enyaji wa chakula. Chai ya mchaichai hurahisisha utaratibu wa mmeng'enyo wa chakula na pia hutibu magonjwa ya kuhara na maumivu ya tumbo ikiwamo kujaa gesi. Hurahisisha utaratibu wa kuondoa uchafu mwilini.

📌KUSAFISHA FIGO
Mchaichai pia una kazi ya kusafisha figo ambayo kazi yake kubwa ni kusafisha damu mwilini.

📌KUONDOA MAFUTA MABAYA MWILINI ambayo mengi yanatengenezwa kwa kemikali za kiwandani na hivyo kushindwa kuziondoa baadae kusababisha magonjwa mbalimbali ikiwemo saratani.

📌MAUMIVU WAKATI WA HEDHI
Mchaichai ukichanganywa na pilipili manga pia huwasaidia akina mama ambao wanaumwa na tumbo kipindi cha hedhi.

"Unapokunywa mchachai, unaweza kusafisha mirija ya uzazi na hivyo kuwezesha damu kupita kwa urahisi,".

📌MAJIPU NA MCHAFUKO WA DAMU
Vilevile mchachai una kazi ya kusafisha damu, hasa kwa watu ambao wamekuwa na tabia ya kupata magonjwa ya ngozi k**a mapele na kutokwa na majipu.

📌KUZUIA KUHARISHA
Mchachai pia unaelezwa kuwa ni dawa ya kuzuia kuharisha ambapo una uwezo wa kupambana na mdudu aina ya Protozoa anayesababisha ugonjwa huo.

📌MAMA WAJAWAZITO
Mchaichai husaidia kulegeza nyonga.

📌Mchaichai hutibu vidonda vya tumbo na kupunguza kiwango cha gesi tumboni.
Hata hivyo kwa wagonjwa wanaosumbuliwa hasa na vidonda vya tumbo, mchaichai husaidia kuondoa gesi ambazo huwapata mara kwa mara.

📌U.T.I SUGU.
Mchaichai ni tiba ya U.T.I sugu

Unachotakiwa kufanya ni ;
Kuendelea kutumia chai ambayo imepikwa kwa majani ya mchaichai mara kwa mara.

✅JINSI YA KUTUMIA MCHAICHAI.
Kupata faida hizi unashauriwa majani ya mchaichai yalowekwe katika maji ya moto na si kuchemsha majani ya mchaichai weka majani ya mchaichai kisha kunywa maji hayo kiasi cha kikombe kimoja cha chai kabla ya kula chochote asubuhi, mchana na jioni

Kwa hiyo husaidia damu ifike kwa kiwango kizuri zaidi kwenye sehemu ambazo hutakiwa kutanuka wakati mtu akipata hisia za...
12/09/2022

Kwa hiyo husaidia damu ifike kwa kiwango kizuri zaidi kwenye sehemu ambazo hutakiwa kutanuka wakati mtu akipata hisia za kufanya tendo la ndoa ambazo ni viungo vya ndani yani kisimi cha mwanamke na ndani ya uume wamwanamme.

Hivyo hisia na msisimko wakati wa tendo huongezeka.

Kazi kwenu🙃

12/09/2022

Address

Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JP uzazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share