Afya ya uzazi kwa wote - men/women's

Afya ya uzazi kwa wote - men/women's karibu tukuhumie matizo ya uzazi ya nguvu za kiume na magonjwa ya uzazi . piga simu tuhudumie harakara 0623111021

Hi, thanks for contacting us.

We've received your message and appreciate you reaching out. find me on Whatsapp or call 0623111021

⚠️Zipo sababu nyingi zinazopelekea mwanamke kushindwa kushika Ujauzito licha ya kufanya tendo la ndoa katika Siku zake z...
12/09/2023

⚠️Zipo sababu nyingi zinazopelekea mwanamke kushindwa kushika Ujauzito licha ya kufanya tendo la ndoa katika Siku zake za Uzazi kwa Kipindi cha mwaka mmoja;

¶ Maambukizi ktk via vya Uzazi (P.I.D)

¶ Uvimbe kwenye Kizazi(Fibroids)

¶ Uvimbe kwenye Mayai ya Uzazi(Ovarian cyst)

¶ Mirija ya Uzazi kuziba(blocked fallopian tubes)

¶ Mvurugiko wa hormones Mwilini(hormonal Imbalance)

¶ Makovu ktk Tumbo la Uzazi

Je, Ni wewe au rafiki yako anasumbuliwa na CHANGAMOTO hizi za Uzazi?

Karibu JJ Health solution tukuhudumie K**a tulivowahudumia wengine.

Sisi Tunatibu Mungu Anaponya. Amina

Health solution
WhatsApp/sms/call
📱0623111021
✍️📞0757111021

*EPUKA FEDHEA UKIWA NA MTU WAKO CHUMBANI WEWE MWANAUME* KUHUDUMIWA NA JJ HEALTH SOLUTION.Utapata huduma zote za mfumo wa...
01/09/2023

*EPUKA FEDHEA UKIWA NA MTU WAKO CHUMBANI WEWE MWANAUME* KUHUDUMIWA NA JJ HEALTH SOLUTION.
Utapata huduma zote za mfumo wa UZAZI KWA mwanaume ✍️💊☕☕..
mbegu zenye uwezo wa kurutubisha yai
kufika kilele pindi unafanya tendo
hamu na mwili kuwa na msisimko maradufu ukiwa na mwanamke chumbani
na Afya bora
# kuwa na uwezo wa kurudia Tena bila kuishiwa hamu
JJ HEALTH SOLUTION kwa USHAURI NA TIBA
📱0623111021
📱0757111021
Call/message/WhatsApp

*LIVEN ALKALINE COFFEE.☕na CPE💊💊🫖* INA KUFANYA UWE RIJALI KWA MWANAMKEi👇👇👇Faida Za *KUNYWA LIVEN ALKALINE COFFE na CEP👇👇...
01/09/2023

*LIVEN ALKALINE COFFEE.☕na CPE💊💊🫖* INA KUFANYA UWE RIJALI KWA MWANAMKEi👇👇👇

Faida Za *KUNYWA LIVEN ALKALINE COFFE na CEP👇👇👇*

👇👇👇👇👇👇👇👇
☕• Inapunguza cholesterol mwilini

☕• Inamlinda mtumiaji na matatizo ya moyo na kupunguza matatizo ya moyo

☕• Inasaidia kuzuia na kutibu kansa za aina zote

☕• Inasaidia kutibu na kukabili presha ya kupanda

☕• Inazuia magonjwa nyemerezi

☕• Inasaidia kupambana na Kisukari

☕• Inasaidia kukuza na kulinda mfumo wa kinga ya mwili.

☕• Inaondoa sumu mwilini

☕• Inaongeza hamu na nguvu ya Kufanya mapenzi

☕• Inaongeza uwezo wa mwili katika kufanya shughuri ngumu

☕• Inasaidia mwili kutokua na uchovu

☕•Inaongeza uzalishaji wa mbegu za Kiume

☕• Inasaidia kupunguza maumivu ya Kichwa

☕•Inasaidia katika kuboresha mfumo wa mzunguko wa damu na uzalishaji wa seli mwilini.

______________________
# JJ Health_solution
📱0 757111021

👉Je, mzunguko wa siku zako upo vizuri?👉je, unapata maumivu makali sana ya tumbo wakati wa hedhi?👉Je, una uvimbe kwenye k...
01/09/2023

👉Je, mzunguko wa siku zako upo vizuri?

👉je, unapata maumivu makali sana ya tumbo wakati wa hedhi?

👉Je, una uvimbe kwenye kizazi?

👉Je, unapata maumivu ya tumbo chini ya kitovu upande wa kulia na kushoto?

👉Je, unatokwa na uchafu wa aina yeyote ile ukeni?

👉Je, unapata siku zako vile inavyotakiwa? Yaani mzunguko wa siku zako upo sawa?

👉Je, unapata maumivu wakati wa tendo la ndoa?

👉Je, unapata ukavu wakati wa tendo la ndoa?

👉Je unakosa hisia za tendo la ndoa?

👉Je, huwa unapata ute wa uzazi siku za hatari (ovulation days)?

👉Je, ulishawahi kutoa ujauzito?

👉Je, umeshawahi kuugua P.I.D (mashambulizi ya bakteria kwenye kizazi)?

k**a jibu ni ndio kwa sababu mojawapo tajwa hapo juu basi hiyo ndiyo Sababu inayokuzuia kupata ujauzito.

*Je wewe unatatizo gani hi linakusumbua? Niambie sasahivi! Nikusaidie ;👇*
wa.me/255623111021

# JJ HEALTH SOLUTION #

K**A UMEONA KINACHOKUSUMBUA NA KINAKUNYIMA RAHA USISITE KUFIKA OFISIN .JJ HEALTH SOLUTION KWA USHAURI NA TIBA BORA. AU W...
01/09/2023

K**A UMEONA KINACHOKUSUMBUA NA KINAKUNYIMA RAHA USISITE KUFIKA OFISIN .JJ HEALTH SOLUTION KWA USHAURI NA TIBA BORA. AU WhatsApp/0623111021au0757111021
*Mirija kuziba
*PID.
*Uvimbe kwenye Kiaz
*UTI.
*Homon Inmbalance
*Kushindwa kubeba ujauzito
*.mvurugiko wa hedhi.
MATATIZO YOTE YA MFUMO WA UZAZI KWA MWANAMKE✍️✍️ JJ HEALTH SOLUTION NI SEHEMU SAHIHI NA UHAKIKA KWA AFYA YAKO📱

NANI MWINGINE ANATAMANI KUITWA MAMA ???? Je!!! *Unafahamu sababu zinazo fanya ushidwe kuitwa Mama*??PID . UVIMBE KWENYE ...
30/08/2023

NANI MWINGINE ANATAMANI KUITWA MAMA ????
Je!!! *Unafahamu sababu zinazo fanya ushidwe kuitwa Mama*??
PID . UVIMBE KWENYE KIZAZI.UTI. MIRIJA KUZIBA.CANCER KWENYE SHINGO YA KIZAZI .MAYAI HAYAJAKOMAA .KIZAZI KULEGEA.. K**a umeona changamoto inayokusumbua na imefanya ushindwe kuitwa mama / kubeba ujauzito.. usisite kuwasiliana na JJ HEALTH SOLUTION. 0623111021/0757111021.. KWA MSAADA ZAIDI.

DR JJ
HEALTH CONSULTANT
C.E.O OF JJ HEALTH SOLUTION
AFYA YA MWANAMKE #

‼️Kabla hatujaendelea na Mada Ya Leo   Tunywe kwanza *LIVEN ALKALINE COFFEE.☕🫖* kwa Faida Hizi👇👇👇Faida Za *KUNYWA LIVEN ...
30/08/2023

‼️Kabla hatujaendelea na Mada Ya Leo Tunywe kwanza *LIVEN ALKALINE COFFEE.☕🫖* kwa Faida Hizi👇👇👇

Faida Za *KUNYWA LIVEN ALKALINE COFFEE👇👇👇*

¶ CAPPUCCINO
¶ ORIGINAL
¶ LATTE
¶ SUGAR FREE
¶ BURN COFFEE

👇👇👇👇👇👇👇👇
☕• Inapunguza cholesterol mwilini

☕• Inamlinda mtumiaji na matatizo ya moyo na kupunguza matatizo ya moyo

☕• Inasaidia kuzuia na kutibu kansa za aina zote

☕• Inasaidia kutibu na kukabili presha ya kupanda

☕• Inazuia magonjwa nyemerezi

☕• Inasaidia kupambana na Kisukari

☕• Inazuia ugonjwa wa Kusahau

☕• Inasaidia kukuza na kulinda mfumo wa kinga ya mwili.

☕• Inaondoa sumu mwilini

☕• Inaondoa na kupunguza madhala ya ulevi na uvutaji sigara uliopitiliza

☕• Inaongeza hamu na nguvu ya Kufanya mapenzi

☕• Inang'arisha Ngozi

☕• Inaongeza uwezo wa mwili katika kufanya shughuri ngumu

☕• Inasaidia Kuongeza Umakini

☕• Inasaidia mwili kutokua na uchovu

☕• Inasaidia kupunguza uzito

☕•Inaongeza uzalishaji wa mbegu za Kiume

☕• Inasaidia kupunguza maumivu ya Kichwa

☕•Inasaidia katika kuboresha mfu
0623111021
0757111021

🤰👩🏻‍🍼Watoto Ni Baraka........ Mungu akaguse tumbo lako na wewe Upate Kuitwa Mama........ Tumewasaidia weng Waliotuamini ...
30/08/2023

🤰👩🏻‍🍼Watoto Ni Baraka........ Mungu akaguse tumbo lako na wewe Upate Kuitwa Mama........ Tumewasaidia weng Waliotuamini tumewahudumia wamepona na wengine wananyonyesha mapacha👩🏻‍🍼🧑‍🍼🧑‍🍼

*VITU VINAVYOSABABISHA MWANAMKE KUSHINDWA KUSHIKA MIMBA NI;*

____________________
🪄1.Kutokuwa na uwiano mzuri wa homoni (Hormonal Imbalance).

🪄2.Ovaries kushindwa kutoa mayai.

🪄3.Kuziba kwa mirija ya uzazi.

🪄4.Mirija ya uzazi kujaa maji.

🪄5.Uvimbe katika kizazi (uterine fibroid).

🪄6. Magonjwa k**a vile PID, kisonono kisukari nk.

🪄7.Kuwa na msongo wa mawazo.

🪄8.Utoaji wa mimba (Abortion).

🪄9.kuwa na uzito kupita kiasi (over-weight).

🪄10.Matumizi ya pombe, bangi, sigara, ulevi kupindukia.

🪄11.Matumizi ya madawa.

🪄12.Endometriosis:-Hii ni hali ambayo seli za ndani ya mfuko wa uzazi huanza kuota nje ya fuko hilo au hata sehemu nyingine.

_________________
*JE BADO UNAHANGAIKA KUPATA MTOTO? USIJALI, TUMEWASAIDIA WENGI.......NA WEWE UNAWEZA KUITWA MAMA.*

hapa Kuwasiliana nami Inbox👇
https://wa.me/+255623111021?text=Habari%2C%20Docta%20Naomba%20msaada%20wako%20zaidi%20

Au
Wasiliana nasi kupitia Whatsapp/sms/Call
📱0 623111021

Ipo siku Nawewe Utamkumbatia Mtoto wako Namna hii 👆👆👆👆🤰🤱😍❤️𝗩𝗬𝗔𝗡𝗭𝗢 𝗩𝗬𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗜𝗡𝗗𝗪𝗔 𝗞𝗨𝗣𝗔𝗧𝗔 𝗨𝗝𝗔𝗨𝗭𝗜𝗧𝗢:Tafiti zilizoto...
26/08/2023

Ipo siku Nawewe Utamkumbatia Mtoto wako Namna hii 👆👆👆👆🤰🤱😍❤️

𝗩𝗬𝗔𝗡𝗭𝗢 𝗩𝗬𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗜𝗡𝗗𝗪𝗔 𝗞𝗨𝗣𝗔𝗧𝗔 𝗨𝗝𝗔𝗨𝗭𝗜𝗧𝗢:

Tafiti zilizotolewa na shirika la afya duniani linasema katika kila familia sita, familia moja inakutana na tatizo la ugumba au utasa, Baadhi ya sababu zinazosababisha ugumba ama utasa kwa wanawake ni:

👉🏾Kushindwa kupevusha yai(40% ya wanawake)

👉🏾Maambukizi sugu k**a PID

👉🏾Mvurugiko wa homoni

👉🏾Uvimbe/majimaji/kuziba katika mirija ya kupitisha mayai

👉🏾Mayai kudhoofika kabla ya umri(POI)

👉🏾Magonjwa au vimbe mf fibroids, cancer, kisukari,

👉🏾Matatizo katika tezi za shingo(hyperthyroidism)

👉🏾Makovu katika mji wa uzazi labda kutokana na utoaji mimba katika njia zisizosalama

👉🏾Kulegea au kuziba kwa shingo ya uzazi

👉🏾Uzito kupita kiasi

👉🏾Unywaji pombe au uvutaji wa sigara

👉🏾Magonjwa sugu katika mfumo wa upumuaji ambayo huathiri ubora wa mayai, mzunguko wa damu

*LEO TUMEPATA OFA YA MWISHO WA MWEZI!,*

~PACKAGE YA UZAZI LIPIA~ ```140,000 Badala ya 160,000/=
``` ‼️
Chanzo kikubwa cha Wanawake Kushindwa Kushika Ujauzito.
-

Ukitaka Kunieleza Tatizo lako Binafsi Inbox 👉bofya hapa👇
wa.me/255623111021

✍️Kutolifaham tatizo  vizur ndo inasababisha mtu unaonja kila dawa unayopewa Badae unasema "Umetumia kila dawa hazijakus...
25/08/2023

✍️Kutolifaham tatizo vizur ndo inasababisha mtu unaonja kila dawa unayopewa Badae unasema "Umetumia kila dawa hazijakusaidia"

📌Kwahiyo Tuwe Watulivu, hatua kwa hatu *WOTE MNAONIAMINI MTAPONA.*
```Tunafundisha, Tunashauri, Tunatibu, Tunakusimamia nankukupa mwongozo wa Matibabu.```

Mungu Ni Mwema, kila Mmoja atapona.🙏 @ JJ Health_solution
0623111021
0757111021

‼️Hii nimeweka special kwa wanawake wanaochanganya *UTI na Fungus/PID/ bacterial vaginosis(kutokwa uchafu unaonuka/ mzit...
25/08/2023

‼️Hii nimeweka special kwa wanawake wanaochanganya *UTI na Fungus/PID/ bacterial vaginosis(kutokwa uchafu unaonuka/ mzito )*....
⚠️. (Unakuta mtu anakwambia *"Dr natoka Sana uchafu unajaa kwenye Chupi, nimeaambiwa Ni UTI,* nimetumia sana madawa haiponi," unabaki HUELEWI 😁😁😁). 📌Mwanamke ana Vishimo viwili,cha juu ni NJIA ya mkojo,hapa mkojo Tu Hupita, na shimo la Chini ni VA**NA, UKE wenyewe hapa uume hupita, mtoto hupita wakati wa kuzaliwa lakini pia mwanamke akiwa period, damu Hupita Hapo..
📌UTI inahusiana na Njia ya JUU tu, yaan njia ya mkojo,na dalili zake ni kuumia wakati wa kukojoa, kukojoa mara kwa mara mkojo kidogo,kutoa mkojo wenye harufu kali sana
✍️kutoka Uchafu unaonuka sana, kuwashwa Ukeni kwa ndani,maumivu wakati wa s*x, chanzo ni NJIA hiyo ya chini, Vagina...inaweza kuwa Vaginal candidiasis yaan fungus, PID, au hata vaginosis, ila SIO UTI📌..

_In Shortly Uke umeganyika katika Sehemu kuu mbili nazo ni:-_
👉1.UKE (VA**NA)/ njia ya Uzazi.
Uke ni ile sehemu (tundu) inayopitisha mtoto wakati wa kuzaliwa,pia ndiyo sehemu ambayo uume huingia wakati wa kujamiiana.Kwa maana rahisi kabisa,uke ni sehemu ya ndani inayotengeneza sehemu za siri za mwanamke, rejea kidole kwenye picha

👉2. V***A
V***a ni sehemu ya nje ya uke ambayo ndiyo hugusana na nguo za ndani anazovaa mwanamke. Hii inahusisha mashavu makubwa ya nje ya uke, mashavu madogo ya ndani ya uke, tundu la mkojo pamoja na sehemu zote zilizo nje (isipokuwa tundu lenyewe la uke).

Sehemu ya haja kubwa japo siyo mojawapo ya sehemu zinazounda mfumo wa uzazi wa mwanamke tunaweza kuikaribisha pia kuwa sehemu ya v***a kwa kuwa matatizo yoyote yanayohusisha v***a huathiri pia sehemu ya haja kubwa.

Ahsanteni Wapendwa✍️

Pia k**a una changamoto yoyote ya Uzazi? Tuambie, *tunaweza kuwa sehemu ya suluhisho kwako k**a tulivowasaidia wengine!..*
-

```TUNAWATHAMINI KWAKUWA MNATUAMINI```
____________________
JJ Health solution
Afya Ya Mwanamke
0 623111021

Address

Nyerere Road Mwanza
Mwanza
00255

Telephone

+255623111021

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya uzazi kwa wote - men/women's posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category