08/07/2025
😴 Usingizi siyo anasa — ni tiba ya mwili!
Kukosa usingizi huongeza hatari ya magonjwa ya moyo, kisukari, sonona, na hata kupungua kwa kinga ya mwili.
👉 Usinyamaze ukiwa una matatizo ya usingizi — tafuta msaada leo!
📲 Tupigie au tuma ujumbe sasa — afya yako ni kipaumbele!