Dr. Ebby Herbal

Dr. Ebby Herbal Nawasaidia watu wenye changamoto za ki afya Kwa Tiba na Ushauri kwa kutumia mimea Asili matunda na mboga mboga za majani,. ASILI HUPONYA..

MIMI NINATIBU NA MUNGU ANAPONYA /Whatsapp_0757991560_Dr. Ebby 🤝

HUU UJUMBE NI MUHIMU SANA 💊 na Dr. Ebby ☎️ 0757991560“Daktari, kwanini shahawa za mume wangu haziruki tena k**a zamani?”...
30/04/2026

HUU UJUMBE NI MUHIMU SANA 💊 na Dr. Ebby ☎️ 0757991560

“Daktari, kwanini shahawa za mume wangu haziruki tena k**a zamani?” 🤔

👩🏽 “Dkt. Ebby, nataka nikuambie kitu kwa moyo mzito. Mume wangu zamani alikuwa na nguvu sana, shahawa zake zilikuwa nzito na zikiruka mbali, lakini siku hizi zimekuwa nyepesi na chache. Hata moto wake umepungua. Mimi naanza kuamini labda ana wanawake wengine nje, au labda tatizo ni mimi…”

Nikamwangalia kwa utulivu nikamwambia:
👉🏽 “Kwanza kabisa dada yangu, elewa kitu kimoja mabadiliko ya shahawa (manii) ya mwanaume siyo mara zote yanamaanisha usaliti. Mara nyingi ni ishara ya mabadiliko ya kiafya, homoni, au hata mtindo wa maisha.”

Shahawa (semen) ni mchanganyiko wa maji ya seminal vesicles, prostate gland na mbegu (sperms).

Kawaida shahawa ni:

Nyeupe yenye ukungu (milky white),

Nzito kidogo na baada ya dakika chache hubadilika kuwa nyembamba zaidi.

Sasa tukielewa rangi na ubora wake:

⚪ Shahawa za kawaida:

Rangi nyeupe au kijivu kidogo.

Zenye uzito na mnato.
Hii huashiria afya ya uzazi ikiwa hakuna harufu isiyo ya kawaida.

🟡 Shahawa za njano:

Huashiria maambukizi kwenye njia ya uzazi (k**a vile UTI au magonjwa ya zinaa).

Wakati mwingine hutokea kwa wanaume wanaotumia dawa k**a antibiotics au vitamins nyingi za B-complex.

🔴 Shahawa zenye damu:

Hutokea pale ambapo mishipa midogo ya damu inapasuka kwenye tezi ya prostate au urethra.

Ni hali inayohitaji uchunguzi wa daktari.

🌊 Shahawa nyembamba, nyeppesi na chache:

Hii mara nyingi hutokana na kufanya tendo mara kwa mara sana bila kupumzika.

Pia inaweza kuashiria tatizo la homoni ya testosterone kushuka, upungufu wa zinc au magonjwa ya prostate

Kwa nini shahawa za mwanaume zinabadilika kuwa nyepesi au chache?

1. Ngono mara kwa mara sana mwili haupati muda wa kutengeneza shahawa nzito na mbegu za kutosha.

2. Kiwango cha homoni kushuka hasa testosterone, ambacho huchochea uzalishaji wa shahawa.

3. Lishe duni.
upungufu wa protini, madini (k**a zinc, selenium) na vitamini fulani hupunguza ubora wa shahawa.

4. Magonjwa ya mfumo wa uzazi mfano prostatitis (uvimbe wa tezi dume) au infections.

5. Msongo wa mawazo na uchovu huchangia homoni kubadilika na kuathiri shahawa.

Delayed Ej*******on (Kuchelewa kufika kileleni)
Muda mwingine unaweza kushangaa mwanaume wako umemzoea baada ya dakika kadhaa mmefika ila kuna siku anaenda muda mrefu mra mbili hadi tatu ya ilivyo mzoea bila kumwaga (kumaliza)
Sababu zake ni nyingi:

Kisaikolojia: msongo wa mawazo, hofu, au kutopata hamasa ya kimapenzi.

Matumizi ya dawa: baadhi ya antidepressants na dawa za presha huzuia haraka ya kufika kileleni, muda mwingine haya mambo ya ujana k**a vile vumbi la Congo 😂🫣 mbosso alisema atampakia MCONGO 😱👎🏾

Magonjwa: kisukari, matatizo ya mishipa ya fahamu au ulevi wa pombe.

Mahusiano: wakati mwingine mwanaume anaweza kuchelewa kufika kileleni ikiwa hana connection ya kihisia na mwenzi wake.

HARUFU YA SHAHAWA

Kwa kawaida shahawa zina harufu ya “alkaline” kidogo (k**a bleach) au mfano wa Jiki ile ya kuondolea madoa sugu kwenye nguo nyeupe, Lakini zikianza kutoa harufu mbaya, kali au chungu, huashiria maambukizi ya bakteria au magonjwa ya zinaa.

Uhusiano kati ya rangi, mnato na uwezo wa kutungisha mimba

Shahawa chache na nyepesi = hizi mara kadhaa huonesha uwezekano mdogo wa mbegu kufika kwenye yai.

Shahawa nzito mno = zinaweza kushindwa kusafiri kwa urahisi.

Shahawa za kawaida, mnato wa wastani = hizi zinamanisha nafasi kubwa ya mbegu zenye afya zonazotungisha mimba.

Chakula cha Asili cha Kumrudishia Nguvu

👉🏽 Mwanamke unaweza kumsaidia mume wako kwa kumpa chakula bora kinachoimarisha shahawa:

Vitungu swaumu 🧄 huchochea mzunguko wa damu na kuongeza nguvu za kiume.

Parachichi 🥑 lina vitamini E na mafuta bora yanayoongeza uzalishaji wa mbegu.

Mbegu za maboga 🎃 zina zinc nyingi, muhimu kwa testosterone.

*Samaki wa maji baridi 🐟* k**a salmon na dagaa, Sato hasa kwenye tumbo lake lina mafuta mazuri wanaoimarisha homoni na ubora wa shahawa.

Unaweza kumandalia uji wa ulezi + asali + karanga, au supu ya samaki na mboga za kijani, k**a mlo wa asili wa kumrudishia uzito wa bao.

KUMBUKA
Siyo kila mabadiliko ya shahawa yanamaanisha usaliti au udhaifu usioweza kutibika. Mara nyingi ni mabadiliko ya homoni, lishe, au mtindo wa maisha.

Kwa hivyo dada yangu, ukiona shahawa zimebadilika rangi, harufu au mnato, tafadhali usikae kimya mshauri mumeo akapimwe. Kuna tiba na kuna diet maalum ya kurejesha afya ya mbegu zake.

👉🏽 Ukiitaji Dawa na Diet maalum ya kubalance homoni na kuboresha ubora wa shahawa, ubora wa Mayai na aafya ya uzazi kwa mwanaume nitumie ujumbe sasa hivi au piga simu 📞 0757991560 Dr. Ebby pia unaweza fika moja kwa moja ofisini kwetu Tunapatikana Mwanza eneo linaitwa Mkolani jirani na Ghorofa la Family corner 🤝

Nataka niwape somo kuhusu huyu kiumbe anaitwa SHRIMP kwa English.. Kibongo bongo tunamwitaje?
27/04/2026

Nataka niwape somo kuhusu huyu kiumbe anaitwa SHRIMP kwa English..

Kibongo bongo tunamwitaje?

Muungwana huomba msaada pale aonapo mambo yanaenda hovyo... Jambo hili linatesa sana k**a umewahi kutana nalo au mpaka s...
25/04/2026

Muungwana huomba msaada pale aonapo mambo yanaenda hovyo... Jambo hili linatesa sana k**a umewahi kutana nalo au mpaka sasa nawe unateseka basi utaelewa mdau amemaanisha Nini.. hapa utafurahia tu ukutane na wale wananawake wenye shida za hormone ambao tendo sio vitu vyao..... Okay, k**a na wewe hii inakutesa njoo nikushauri kitu

🤝 Dr. Ebby Call//Whatsapp 0757991560 au fika ofisini kwetu Mwanza Mkolani jirani na Ghorofa la Family corner

SOMA FAIDA YA MMEA HUU AMBAO NI MSAADA MKUBWA WA TIBA.... NA DR. EBBY 0757991560👇Huu  ni mmea wa ajabu unaojulikana  kwa...
20/04/2026

SOMA FAIDA YA MMEA HUU AMBAO NI MSAADA MKUBWA WA TIBA.... NA DR. EBBY 0757991560👇

Huu ni mmea wa ajabu unaojulikana kwa Kiingereza k**a Lion’s Ear, Lion’s Tail, au Wild Dagga. Kitaalamu, unajulikana k**a Leonotis nepetifolia. Katika maeneo ya hapa Tanzania unajulikana k**a wasukuma nsogeti , Omubirizi kwa Wahaya , Olkiloriti kwa waarusha ,wamasai ,na Kwa7 Maeneo mbalimbali ya Kenya na kwingineko, una majina tofauti ya Asili k**a Nyanyodhi kwa Waluo, Tsutsune kwa Waluhya, Mosibjot kwa Wakalenjin, Gichibi kwa Wameru, na mengine mengi.

》》 Hili linaloonyesha matumizi yake ni mapana na umuhimu wake wa kitamaduni. Hata kimataifa, unajulikana k**a chandelier bush nchini Trinidad na ball bush nchini Barbados.

》 Huu ni mmea wenye majani mapana ambao umekuwa ukithaminiwa kwa vizazi vingi kutokana na sifa zake nyingi za kitabibu.

》 Kiasili, mmea huu Huwa nauchukulia kuwa dawa yenye nguvu kwa matatizo mbalimbali ya afya.

》 Hutumika sana kutibu matatizo ya tumbo k**a maumivu ya tumbo, gesi (kujaa tumbo), kuharisha, kuhara damu (dysentery), kilimi, maambukizi ya amoeba, na bakteria wa H. pylori. Pia unaaminika kusaidia kudhibiti shinikizo la damu, matatizo ya tezi (thyroid)—iwe imezidi au imepungua na kupunguza uvimbe mwilini.

》 Kwa afya ya wanawake, mmea huu una thamani kubwa sana kwao .

☆ Hutumika kusaidia kurekebisha hedhi, kuleta hedhi iliyochelewa au kupunguza , pia kwa wenye shida ya kutokwa na damu nyingi.

》 Baadhi ya jamii wanaamini kuwa husaidia kuongeza uwezo wa kushika mimba na kusafisha mfumo wa uzazi.
》 Pia husaidia kupunguza maumivu ya hedhi na usumbufu wa tumbo.

》》 Magonjwa ya mfumo wa upumuaji k**a mafua, kikohozi, homa ya mafua, pumu, na kubana kwa kifua hutibiwa kwa kutumia mmea huu.

》 # Njia za matumizi ni pamoja na kuchemsha majani au mmea mzima na kunywa maji yake, au kuvuta mvuke (steam) kutoka kwenye dawa hiyo. Uta (nectar) kuvuta utamu kutoka kwenye maua yake, ambao mara nyingi hupendwa na watoto, husaidia kupunguza dalili za mafua.

》》 Mmea huu pia hutumika kwa matumizi ya nje ya mwili. Unaheshimiwa sana kwa kutibu majeraha, kuungua, maambukizi ya ngozi na vipele. Baadhi ya njia ni pamoja na kutumia majivu ya maua yaliyochomwa na kupata usila wake au kupaka majani yaliyosagwa kwenye eneo lililoathirika.

》 Pia hutumika kwa maumivu ya meno, tonsillitis (kwa kutafuna majani), maumivu ya sikio (kwa kuweka juisi ya majani), kilimi kwa kuchemsha majani na hata kusafisha macho ..

》 Aidha Faida nyingine , hutumika katika kudhibiti homa, malaria, mzio (allergies), maumivu ya mgongo, kizunguzungu, na hata matatizo k**a ngiri (hernia).

》》 Utafti wangu mdogo juu ya mmea huu Baadhi ya jamii hutumia k**a dawa ya minyoo na kusaidia tatizo la kufunga choo.

♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡

Njia za maandalizi hutofautiana. Njia ya kawaida ni kuchemsha mmea mzima au sehemu zake (majani, mizizi, au maua) na kunywa mara moja au mbili kwa siku.

Majani yanaweza pia Kukaushwa na kusagwa na kisha mtu akanywa moja kwa moja na maji ya uvuguvugu, au kukaushwa na kusagwa kuwa unga na kutumika k**a chai. Kwa baadhi ya matumizi, dozi ndogo na za tahadhari napendekeza, hasa unapoitumia mizizi kwa sababu ya nguvu yake.

Kihistoria na kitamaduni, mmea huu una kumbukumbu nyingi za utotoni. Watu wengi hukumbuka kunyonya utamu wake kutoka kwenye maua yake au kutumia mashina yake kutengeneza vitu vya kuchezea.

》 Baadhi ya matumizi mengine ya Kiasili ni pamoja na kuvuta (k**a sigara) majani au maua yaliyokaushwa kwa ajili ya kupunguza msongo au maumivu ya kichwa, ingawa inaweza kuwa na athari ndogo ndogo za kubadilisha hali ya akili (psychoactive), hivyo inapaswa kutumika kwa tahadhari.

Health Community care Tunajali na kuthamini afya yako, Tunapatikana Mwanza eneo linaitwa Mkolani jirani na Ghorofa la Family corner 🤝

Piga simu kwa msaada wa Ushauri na hata matibabu kwa kutumia mimea asili vyakula matunda na mboga mboga, kumbuka Asili huponya

JE! WEWE UNAUFAHAMU MMEA HUU KWA MATUMIZI GANI???

Dr. Ebby ☎️ 0757991560//Whatsapp

10/04/2026

JIFUNZE HAPA na Dr. Ebby 🤝

Ukipata ugonjwa ni rahisi kitaka DAWA ili kupona haraka..

Ni kawaida kila mtu anatamani hivyo..

Lakini kuna jambo linahaulika..

Sehemu kubwa ya magonjwa yetu ya siku hizi yanatokana na makosa kwenye mtindo wa maisha yetu na hasa chakula.

Kila unachokula kinasaidia kukujenga au kukuharibu..

Magonjwa mengi yanakuwa hayaponi hata yameitwa SUGU kwa sababu dawa tu ndio zinatumika

Dawa haiwezi kushindana na sahani unayokula asubuhi, mchana na jioni kila siku.

Badili mtindo wako wa maisha na kila dawa itafanya kazi vizuri na kwa haraka......

Cheers!
Dr. Ebby ☎️ 0757991560

USHAURI WA CHAKULA AMBAO AKIUTUMIA MWENYE KISUKARI,  PRESHA NA UZITO MKUBWA BASI ATAKUWA NA AFYA NZURI MNO... na Dr. Ebb...
31/03/2026

USHAURI WA CHAKULA AMBAO AKIUTUMIA MWENYE KISUKARI, PRESHA NA UZITO MKUBWA BASI ATAKUWA NA AFYA NZURI MNO... na Dr. Ebby ☎️ 0757991560

Mwongozo rahisi, wa vitendo kwa mgonjwa wa Kisukari, Presha na uzito mkubwa ili kudhibiti hatari kila siku.

Kumbuka makala hii imeandaliwa nasi MASHA HERBAL STORE tunaopatikana Mwanza - Mkolani

LENGO KUU
Kuepuka kupanda kwa sukari ghafla, presha na uzito kupitiliza.
➖ Kula kwa ratiba nzuri
➖Kuchagua vyakula sahihi

ASUBUHI
✅ Vyakula vinavyofaa:
➖Mayai ya kuchemsha au kukaanga kwa mafuta mazuri ya Mzeituni au ya n**i asili(usitumie mafuta mengine)
➖Parachichi
➖Karanga, almond au korosho kidogo

❌ Epuka:
Chai yenye sukari,
Maandazi, chapati, juice za viwandani

➖Unaweza kunywa:
Chai bila sukari

MCHANA
✅ Vyakula vinavyofaa:
➖Samaki
➖Kuku au nyama
➖Maharage
➖Dengu au Kunde
➖Mchicha
➖Spinach
➖Sukuma wiki
➖Broccoli

USIKU
➖Supu ya mboga
➖Supu ya kuku
➖ Supu ya samaki
➖Maharage
➖Mboga za majani

✅ Kula mapema (saa 1–2 usiku ikiwezekana)

VITAFUNWA NA MATUNDA
➖Tufaha(Apple)
➖Karanga
➖Mtindi usio na sukari

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA
➖Kula mara 3 – 5 kwa siku ila tumia vyakula vilivyoelekezwa tu
➖Usiruke mlo
➖Kunywa maji mengi
➖Fanya mazoezi kidogo (kutembea dakika 30)

NB: STAILI HIYO YA VYAKULA INAWAFAA HAWA
1. Mgonjwa wa Kisukari
2. Mgonjwa wa Presha
3. Mgonjwa wa kupooza/ganzi
4. Mtu anayehitaji kupunguza uzito
5. Mtu anayehitaji kuwa na ngozi nzuri
6. Mtu anayehitaji kujilinda asiwe na mwili wa kuzeeka

Makala hii inamhitaji mtu aliye serious tu kwa hayo mambo, pia ni vizuri kufuata kilichoandikwa bila kutafuta washauri wengine wanaoweza kukupoteza

Kutoka Mwanza eneo la Mkolani Jirani na Ghorofa la Family corner

Tunaandaa virutubisho tiba vya Kisukari, Presha, uzazi kwa jinsia zote pamoja na tiba zingine mbalimbali ikiwemo maswala ya uzazi kwa jinsia zote

Tupigie simu: 0757991560 Dr. Ebby

🔥 OF A MAALUM YA Eid al-Fitr – AFYA YAKO NI THAMANI YAKO! 🔥Katika kuelekea siku hii njema ya Eid, tunakuletea fursa ya k...
17/03/2026

🔥 OF A MAALUM YA Eid al-Fitr – AFYA YAKO NI THAMANI YAKO! 🔥
Katika kuelekea siku hii njema ya Eid, tunakuletea fursa ya kipekee kabisa ya kujali afya yako kwa gharama nafuu zaidi!
✨ Leo hii usikose nafasi ya kujitibu na kurejesha afya yako kwa utulivu wa mwili na akili.
💊 DAWA ZINAZOPATIKANA:
✅ Stomach Care – Vidonda vya tumbo (Ilikuwa 150,000)
✅ Acid Solution – Acid reflux (Ilikiwa 185,000)
✅ Diabetic Package – Kisukari (Ilikiwa 200,000)
✅ Pressure Balance – Presha (Ilikuwa 200,000)
✅ Chai Care – Changamoto za kina mama (PID, UTI, uzazi, homoni) (Ilikuwa 185,000)
✅ Man Care – Nguvu za kiume & uzazi (Ilikuwa 160,000)
✅ Ngiri & Tezi Solution – Ngiri + Prostate gland (Ilikiwa 165,000)
✅ Bawasiri Care – Bawasiri ya ndani & nje (Ilikuwa 185,000)
🎁 OF A YA AJABU KABISA: 👉 Dawa yoyote kati ya hizi leo ni TSH 58,000 tu
🚚 Kwa waliopo nje ya Mwanza – Gharama hii inajumuisha na usafiri! Na Dawa kukufikia popote ulipo
🎁 Utapata pia DAWA YA KUONDOA SUMU MWILINI BURE
⏳ MUDA WA OFA: MASAA 24 TU!
Usikubali kuingia Eid ukiwa na maumivu, presha, kisukari au changamoto za mwili…
✨ Jipe zawadi ya AFYA NJEMA leo!
📞 Wahi sasa kuagiza: 0757 991 560 (Dr. Ebby)
📍 Mwanza – Mkolani jirani na Ghorofa la Family corner
👉 Afya yako ni uwekezaji, sio gharama. Usichelewe!🤝

 Zipo njia na dawa kadha wa kadha Mujarrabu kwa ajili ya kukufanya uwe kidume haswa unaposhiriki tendo la ndoa k**a iliv...
11/03/2026



Zipo njia na dawa kadha wa kadha Mujarrabu kwa ajili ya kukufanya uwe kidume haswa unaposhiriki tendo la ndoa k**a ilivyokwisha elezwa huko nyuma.
Zipo pia sababu mbalimbali zinazoweza kupelekea ukosefu wa nguvu za kiume, sitozielezea sana kwani nimekwishazielezea katika makala za nyuma.
Hivyo hapa tutaelekezana dawa hii mujjarabu katika kutatua tatizo la nguvu za kiume hata k**a una miaka 100.

MAHITAJI:
Mayai ya kienyeji mawili
Habbat Soda (Unga) Kijiko kimoja
Kitunguu saum

KUANDAA
Vunja mayai mawili kisha koroga vizuri
Weka kijiko kikubwa kimoja cha unga wa habbat Soda.
Saga kitunguu swaumu aghalabu punje 12 na uchanganye katika mchanganyiko
Koroga hadi vichanganyike hasa.
MATUMIZI
Kunywa kutwa mara mbili Asubuhi kabla hujala chochote na wakati wa kulala kipimo vijiko viwili vya Chakula..
Tumia ndani ya siku 30 pekee hakika utaona maajabu ya dawa hii ni 🔥🔥🔥🔥🔥

Address

Mwanza
33110

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr. Ebby Herbal posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share